SHAFFI OMAR | QURANI NI MANENO YA NANI TZ | DEBATE YA TZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 661

  • @nooordubem2802
    @nooordubem2802 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah tabarak Allah...Allah awape afya na awaepushe na kila maovu maustadh wetu,in shaa Allah. Ustadh Shafi,kheir in shaa Allah

    • @masumbukomaulid9213
      @masumbukomaulid9213 3 ปีที่แล้ว

      juju juju km juju juju juju juju in juju juju juju juju km juju I juju juju juju juju juju I juju in juju km juju km juju in juju in juju I juju I juju juju km juju I juju juju juju juju juju I juju km juju km juju km juju km juju km juju km juju km juju km juju km juju km juju km juju 77úh7úhúh7úúúúúúúúúúúúúúúú

  • @salehehassan1330
    @salehehassan1330 6 ปีที่แล้ว +59

    Mazinge shafi kessy imani petro kadogoo kinyogori Dr sule na wengine wengi dua nawaombea mwenyezi awajarie kwa kila la kheri
    Jamani kazi ya daawa naijua ningumu niriwahi kuifanya na kukatishwa tamaa na kuchoka mpaka kuikimbia hivyo endeleeni kuelimisha jamii kazi hiyo ni wito

  • @bmaloo8864
    @bmaloo8864 6 ปีที่แล้ว +50

    Shafiiiiiiii DR Ww ni Fundi Nakupendaa Mpaka Basi Allah Akupe Umri Mrefuu

    • @asifmtambala8007
      @asifmtambala8007 6 ปีที่แล้ว +1

      B Maloo ppppp

    • @davidahad4043
      @davidahad4043 6 ปีที่แล้ว +1

      biblia hutafsiliwa kiroho zaidi si kutafsii kama hadithi au gazeti,,,,,

    • @dullyvidully7798
      @dullyvidully7798 5 ปีที่แล้ว +2

      @@davidahad4043 pole yko km ndo mnavodanganywa huko makanisani

    • @myself4128
      @myself4128 5 ปีที่แล้ว

      Utaachaje kupenda comedy? Jamaa nimchekeshaji sana nadhani angekariri quraan ingemsaidia sana anapayuka tuuu

    • @myself4128
      @myself4128 5 ปีที่แล้ว +1

      Siku waislamu wakiielewa biblia basi Kiama kitashuka

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah mashaikh wetu...Allah awajaalie IKHLASW na umri twawiil na awazidishie ilmu wazidi kutuilimisha waislamu na ndugu zetu wakristo...tuwe na dialogue

  • @Basiito
    @Basiito 6 ปีที่แล้ว +32

    May God Give Our Islamic Preachers Long Life...#Ameen

  • @razansalim532
    @razansalim532 5 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah jadha ka Allah kheir shuq-ran sana mashekhe wetu🤲🤲

  • @harbisulub
    @harbisulub 10 ปีที่แล้ว +26

    MashaAllah tabarakaAllah. Jazakumulaah khair brother

  • @mundharyhabibu5361
    @mundharyhabibu5361 4 ปีที่แล้ว +3

    Shekh mazinge...doctor sule...shekh safii...na wengineo mungu awalipe kila lakher kwakaz mnayofanyaa.

  • @Wpatrickwafula3432
    @Wpatrickwafula3432 4 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji wape dawa wanamatusi Bali Yesu ni kiboko yao AMEN

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂kama ni matusi bibilia yenu ime watukana wachungaji wanu ime waita umbwa😂😂😂😂

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 ปีที่แล้ว +28

    "waislamu vidole juu haya wasio kuwa waislamu vidole juu. makafiri nyie" hapo Umenimaliza mwalimu shafii
    Al islam dinul haq

  • @salehhemed9388
    @salehhemed9388 6 ปีที่แล้ว +9

    Alhamdulilah
    I am Muslim

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 6 ปีที่แล้ว +9

    shekh shafii allah akujaalie afya na umri mrefu shekh wanguu

    • @MohamedIbrahim-zs6nm
      @MohamedIbrahim-zs6nm 5 ปีที่แล้ว

      Huyu sheikh shafi nampenda yeye saana ningependa tukutane kwa janatul firdowsa

    • @omarmukhutar6847
      @omarmukhutar6847 5 ปีที่แล้ว

      Amjalie kudanganya waislamu wote awapoteze zaid,dash!!!

  • @muhsinyahaya5822
    @muhsinyahaya5822 5 ปีที่แล้ว +1

    Amin Mwenyezi Mungu awajaalie kila la kheli kwa kazi ya daawa Mungu awalipe kila la kheli

  • @lajecleyehsas9552
    @lajecleyehsas9552 6 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki ustadh shafi

  • @shabanjokoro1719
    @shabanjokoro1719 6 ปีที่แล้ว +6

    Inshaallah mungu awape wepesi waislamu katk mambo yenu

  • @abuukiogwe6806
    @abuukiogwe6806 6 ปีที่แล้ว +37

    nashukuru kuwa muislam japo sifatilii yote ila naaapa nitakufa nikiwa muislam

  • @habishsophy7665
    @habishsophy7665 7 ปีที่แล้ว +8

    mashaallah ustadh shafii mungu akujaze kheri inshaallah

  • @abdisalamosman7633
    @abdisalamosman7633 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Dr shafii safisha mazingira takbiir

  • @issaally1051
    @issaally1051 5 ปีที่แล้ว +12

    Mwenyez ni mmoja (wapekee) hakuzaa wala hakuzaliwa

  • @ismailismail8062
    @ismailismail8062 10 ปีที่แล้ว +21

    shukran sana kaka, huwa tunajifunza meng unapo aplod hizi debate, inshallah ukweli utaonekana

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  10 ปีที่แล้ว

      ismail ismail IN SHA ALLAH

    • @yasminey138
      @yasminey138 8 ปีที่แล้ว

      +AKASHA DAAWAH mashallwah

    • @msabahzahor476
      @msabahzahor476 8 ปีที่แล้ว +1

      +AKASHA DAAWAH wanaojiita wakristo kitabucho ni kipi?

    • @msabahzahor476
      @msabahzahor476 8 ปีที่แล้ว

      +Msabah Zahor nilikusudia kusema kitabuchao ni kipii?

    • @haleemasulthan4894
      @haleemasulthan4894 5 ปีที่แล้ว

      Quroan imetimia haijapungua hata lobo

  • @nasraalobaidani3194
    @nasraalobaidani3194 6 ปีที่แล้ว +10

    AlhamduliLLAH kuzaliw muislam polen san makafir wt dinian uislam ndodin pekee dinian raha sana

    • @yohanamgege2781
      @yohanamgege2781 5 ปีที่แล้ว +1

      Hata kama unamwabusu shetani utasema ndiyo dini ya haki shetani anatumia kukopi ndomaana amekubalika sana ndani ya uisilamu hata ukisoma koloani utajua kama si kitabu cha Mungu soma utaelewa kwamba imeandikwa miungu wengi siyo Mungu mmoja

  • @mahsnirmohammed2493
    @mahsnirmohammed2493 8 ปีที่แล้ว +12

    Allah akupe umri mrefu Sheikh wetu,Ameen!!!

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +2

    2021penda sana wislam na mashekhe wetu 🙏🙏

  • @saifalbarwani4993
    @saifalbarwani4993 6 ปีที่แล้ว +12

    mashallah mungu tujaalie sisi na mashehe wetu bihusni lhatima

  • @hipeople2745
    @hipeople2745 9 ปีที่แล้ว +9

    May Allah bless you and show the right path

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  9 ปีที่แล้ว

      Sabrina Salat DONT FORGET TO SHARE

  • @fatumamjaka7684
    @fatumamjaka7684 4 ปีที่แล้ว +6

    Iam proud to be a muslim alhamdullillah

  • @zariamutesiwase2371
    @zariamutesiwase2371 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah Allah awapee mwisho mwemaa ma sheikh wetu🙏🙏🙏🙏🥰🥰

  • @zainabrashid8670
    @zainabrashid8670 4 ปีที่แล้ว

    Mashekhe Allah akufamyien wepesi katika kazi ya kwanyooxha walio pimda

  • @kimoyochemokos6908
    @kimoyochemokos6908 4 ปีที่แล้ว +6

    Hakika dini hii ya uisilamu ,ndiyo njia ya Kweli na ya uzima kwa yeyote yule atakaye jua ukweli na kulifuata, kheri kutakuwa kwake. Allah awaongoze kikundi cha Mazinge ili neno hili liendelea mbele.

  • @sheikhsaidonlinetv6045
    @sheikhsaidonlinetv6045 5 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdhulilah nashkuru Allah kwa kunijali Mimi kuwa mwisilamu

  • @mussavenezuellmunguawasaid9920
    @mussavenezuellmunguawasaid9920 5 ปีที่แล้ว +5

    mungu akubariki sana mtumishi wa yesu

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 ปีที่แล้ว +2

    Mhubiri Mungu akubariki Qruan unaifam vizuri wislamu majanga makubwa

  • @godfreyjoseph7906
    @godfreyjoseph7906 6 ปีที่แล้ว +9

    Najivunia Sana kuwa na yesu,katika jina la yesu kila kibaya kinakaa mbali Sana,

    • @abdallahmohamed8180
      @abdallahmohamed8180 5 ปีที่แล้ว

      pole sana

    • @ukhutysalmaah1463
      @ukhutysalmaah1463 5 ปีที่แล้ว

      Polee yako

    • @iddibale1032
      @iddibale1032 4 ปีที่แล้ว

      Ukifahamu yesu ninani maana mpk leo wakiristo hawamjui
      .pakiwekwa mdahalo yesu ni MTU atatetea
      Yesu ni mungu watatetea
      Hivi mungu anatahiriwa

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 ปีที่แล้ว

    Rahaaaa sheikh wetu mashallah kaza butiii twakuombea umri mrefu na elimu zaidii

  • @jacksonnchimbi308
    @jacksonnchimbi308 5 ปีที่แล้ว +6

    Urafiki wa kutengeneza na kurushiana majini Sisi wa-kristo hatutaki

    • @mohamedyeslam5194
      @mohamedyeslam5194 ปีที่แล้ว

      Nenda kasome wewe, NYINYI wakristo ndio Muko na mapepo

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 7 ปีที่แล้ว +22

    kwakweli rahaaaa sanaaaa ukiwa unasikiliza mada kama hizi, yaaani ndio unauona usahihi wa Uislam waziwazi

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 8 ปีที่แล้ว +14

    subhannallah allah awaongeze inshaallah

  • @johnomae3267
    @johnomae3267 6 ปีที่แล้ว +9

    Jina Yesu is very powerful than any name msilifanyie msaha.

    • @allyjabiri5849
      @allyjabiri5849 6 ปีที่แล้ว

      Who is yesu?

    • @samiramohamed98
      @samiramohamed98 6 ปีที่แล้ว

      Useless ww

    • @samiramohamed98
      @samiramohamed98 6 ปีที่แล้ว +1

      Kama yes mungu nan kaumba dunia maana dunia kaikuta

    • @foremachiby5139
      @foremachiby5139 6 ปีที่แล้ว

      Dork sule

    • @dullyvidully7798
      @dullyvidully7798 5 ปีที่แล้ว +1

      Dunia inaumbwa yesu Wala mama yake hawajazaliwa wte twambie Nani aloumba hii dunia?

  • @issaabdullaabdullayussuf6098
    @issaabdullaabdullayussuf6098 6 ปีที่แล้ว +8

    Mungu mmoja tu Allah subhana wataala hajaza wala kuzaliwa

  • @mussamahmouud8944
    @mussamahmouud8944 4 ปีที่แล้ว +5

    Quraani ni maneno ya Allah na Allah aturehem kwa maneno yake amiin

  • @brianchristian7535
    @brianchristian7535 5 ปีที่แล้ว +4

    Christianity is life
    Every knee shall bow and confess that Jesus Christ is lord and saviour to the glory of God his father. Oh AMEN.. HALLELUJAH

    • @everlynekaiga1784
      @everlynekaiga1784 5 ปีที่แล้ว +1

      Siku ya mwisho ndio kila mtu atajua ni njia gani ataelekea.watashanga meno siku ya kiama .

    • @brianchristian7535
      @brianchristian7535 5 ปีที่แล้ว

      Everlyne Kaiga? Ahsante dada. Ndiyo hiyo.

    • @everlynekaiga1784
      @everlynekaiga1784 5 ปีที่แล้ว

      safi

  • @jorammarushwa1533
    @jorammarushwa1533 6 ปีที่แล้ว +2

    ukristo raha sana aleluyaa mbalikiwe sana pastor's pigen injili waokoke waislam waachane na majini na uchawi

  • @saadachara943
    @saadachara943 6 ปีที่แล้ว +5

    takbir allaaahu akbar allah akbar alhmndulillah allah kunijaalia kua muislam

    • @lewiskimathi9615
      @lewiskimathi9615 4 ปีที่แล้ว

      Wewe umepotea nà njia ufuatayo ni ya mauti, wafuata Qurani uchawi?

  • @gfdasd6287
    @gfdasd6287 5 ปีที่แล้ว +5

    Im proud to be muslim Alhamdulillah

  • @chalajisamson210
    @chalajisamson210 7 ปีที่แล้ว +4

    nimeamini bila YESU ni motoni kabisa...maaana hamna kitabu cha kweli ila biblia tu...asante YESU.

    • @youtubeisyours6417
      @youtubeisyours6417 7 ปีที่แล้ว

      yan we kama usilimu basis hapo tupu upo motonii kafiri mkubwa sansanaaa

    • @FirDaus-xm4ul
      @FirDaus-xm4ul 7 ปีที่แล้ว

      Kka tubu na uslim kbla ya kufa koz hakuna dini isipokua uislam allahakbar

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 ปีที่แล้ว

      Kitabu cha kweli icho kinasema wachungaji wte mbwa hahahaha

    • @musanyanda6073
      @musanyanda6073 5 ปีที่แล้ว

      Waislamu mtachomwa

  • @davidomari8660
    @davidomari8660 4 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizr mwalimu ndimbo!

  • @tiberioustuti715
    @tiberioustuti715 4 ปีที่แล้ว +1

    Nahapa Mwenyezi Mungu hawezi kua na malaika wa uchawi Waislamu nawahurumia saana

  • @nasrimohamed5202
    @nasrimohamed5202 6 ปีที่แล้ว +17

    Namshukuru Allah kuzaliwa muislam.km ningezaliwa kafiri na mm ningekua naandka utumbo hapa na kubisha.

    • @jacksondanda6067
      @jacksondanda6067 6 ปีที่แล้ว

      Unamjua 🐷🐷🐽

    • @rehanijuma6910
      @rehanijuma6910 6 ปีที่แล้ว

      Yesu si mungu!!

    • @stephenmseti5539
      @stephenmseti5539 6 ปีที่แล้ว

      Hakuna urithi ktk dini

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      waislam wote makafiri ndugu yangu ,kwani shia anakuitaje wew suni,na wew unamuitaj shia ,hii inaonyesha hata maana ya kafir hamjui ,so haimtach mtu cz imetamkwa na kichaa wa rohoni

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      mshukuru,maana ungekosa wale Malaya 72 kutoka kuzimu,na mtaimbo unaosimama wima 24 hours

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah shkhee shafiii Allah akulunde inshallah

  • @zachariahexegesists7892
    @zachariahexegesists7892 8 ปีที่แล้ว +3

    Yesu aliumba,
    kama Mungu (1
    Mwanzo 1: 1) -
    Yesu ni Mungu
    Wakolosai 1: 16-17
    Maana katika yeye (Yesu) vitu vyote viliumbwa
    mbinguni na duniani, vinavyoonekana na
    visivyoonekana: wenye enzi au usultani, enzi na
    mamlaka. Vitu vyote viliumbwa kwa njia yake na
    kwa ajili yake. Yeye ni kabla ya mambo yote, na
    vitu vyote hushikana katika yeye.
    Yohana 1: 3
    Kupitia kwake (Yesu) vitu vyote viliumbwa; bila
    yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
    Hata hivyo Mungu anasema katika Isaya 44:24,
    "Mimi, Bwana

    • @dullyvidully7798
      @dullyvidully7798 5 ปีที่แล้ว

      Yesu mungu ayo umesema ww lkn mwenyewe hajajiita ivo

    • @lileoh3893
      @lileoh3893 3 ปีที่แล้ว

      Anaetetea uklisto mchungaji 7bu anahofia kibulua kuota nyasi

  • @izatmuslim4862
    @izatmuslim4862 7 ปีที่แล้ว +3

    Jazaakallahu khairaawu

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 5 ปีที่แล้ว

    باراك الله فيكم وجزاك الله خير

  • @khalfanhamisi4218
    @khalfanhamisi4218 6 ปีที่แล้ว +11

    Yastakhafiru allahu, eh jamani,Mungu Hawasamehe nyie wkristo,IPO siku inshaAllah mtaelewa tu.....

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 5 ปีที่แล้ว +2

    Wakirsto kweli mmefungwa macho hamuoni... Nawaombea dua kwa Mwenyezi Mungu Awafungue macho muone ya kheri.

  • @castokulita3288
    @castokulita3288 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika najivunia kuwa mkristo

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 7 ปีที่แล้ว +4

    kila mmoja anayo imani yke ila kiliteremshwa ....ok majini ili waitambue dini unafaaa uwamini Qur an imeshushwa na nikwaajili ya waislam dini ni islam ilio ya hakhi okk wacheni kupotosha nakuiupakia chuki dini islamic ilio takata nailio kamil inshallah tujalie na utuongoze ummath uwe islamic nasote tutakuwa dini 1 siku ya mwisho..asante masheikh kwakujituma na kuwachambulia . Waifahan vzuri kitab tukuff al Qur an karim

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo dini sio ya mungu ,Labda dini moja ile ya mpinga krito iliyotabiliwa kwenye ufunuo wa yohana

  • @bernardchesoli4322
    @bernardchesoli4322 ปีที่แล้ว

    Amen pastor

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 8 ปีที่แล้ว +10

    wallah laadhim mcpobadilika na kumrejea allah mtakuwa kweny hasara kubwa

  • @omargbabagbaba4231
    @omargbabagbaba4231 8 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah sheikh omar wataelewa tu

    • @omargbabagbaba4231
      @omargbabagbaba4231 8 ปีที่แล้ว +2

      MashaAllah sheikh shafi shomar wafudishe wataelewa tu

  • @DafudaDotto
    @DafudaDotto 7 หลายเดือนก่อน

    Kama unahakiri utafiki
    Asante Mungu kwa kunifanya MKRISTO

  • @wanjalajanoh5063
    @wanjalajanoh5063 8 ปีที่แล้ว +4

    eeh Mungu utuongoze na Roho mtakatifu ili nasi siku Moja tuje tukafurahie Yale makao mema ulioenda kutuandalia.....Yesu tuonyeshe njia sawa itakayotufikisha kwa baba yetu salama....maana hapa duniani wengi tumetekwa na muovu shetani anajaribu kila mbinu kuwaangamiza watu wako.....Roho mtakatifu azidi kutuongoza milele na milele......amen

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 ปีที่แล้ว

      Wanjala Janoh ww baki uko uko tu mpk kiama kitakapokufkia nd utaujua kweli km xaiv huuamini

    • @abdallaiddi4739
      @abdallaiddi4739 6 ปีที่แล้ว

      Kwani kuna mkiristo atapata ufalme wa mbinguni km ndio leta andiko ktk biblia

  • @beatricezacharia4313
    @beatricezacharia4313 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu mchungaji uzidi kywafundisha hao waislamu wamjue mungu wa kwer nakitabu cha mungu

  • @deuisalon7248
    @deuisalon7248 5 ปีที่แล้ว +1

    Ustadh shaffih comedian mzur sana n nyie waislam nan kawaloga mnashangilia msichokijua

  • @jumakana6126
    @jumakana6126 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akbar.that's the full truth

  • @kayushapinky2052
    @kayushapinky2052 8 ปีที่แล้ว +15

    mwalimu shafii mabruk hawakuwezi makafiri

    • @SaidAli-hj9qo
      @SaidAli-hj9qo 7 ปีที่แล้ว

      eealwa wajalie hawa wakunuia din wasirudi nyuma kamwe man usilam dio dini ya haki mazige na shaff ogerani San

    • @SaidAli-hj9qo
      @SaidAli-hj9qo 7 ปีที่แล้ว

      makaffry hawajuwi hata twawabu

    • @SaidAli-hj9qo
      @SaidAli-hj9qo 7 ปีที่แล้ว

      makaffry hawajui wala hawataki kukubali usilam ni din ya haki

    • @SaidAli-hj9qo
      @SaidAli-hj9qo 7 ปีที่แล้ว

      makaffry hawajui wala hawataki kukubali usilam ni din ya haki

    • @jossephdaniel1045
      @jossephdaniel1045 7 ปีที่แล้ว

      +Said Ali
      we baba soma

  • @ukhutysalmaah1463
    @ukhutysalmaah1463 5 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdulillah to be a Muslim 🕋 I love Allah I love Islam 🕋 ❤❤❤😍😘❤😍😍😍❤❤❤❤❤❤

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah sheikh shafi

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 ปีที่แล้ว +5

    Uislam raha kweli Masha'Allah

  • @HabibaHabiba-mi1ez
    @HabibaHabiba-mi1ez 6 ปีที่แล้ว +13

    mh yani wakristo mnamatatiz ya akili kuweni na fikra basi sio kuropuka ropoka tu

  • @maungosaidy6141
    @maungosaidy6141 3 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu wafungue ufaam waislam waijue kweli,sijui wamelogwa wasielewe nadhan ndo ivyo. Nashuku Sana mungu wangu kunitoa uko

    • @msangiramadhan1911
      @msangiramadhan1911 2 ปีที่แล้ว

      Yesu Hana mamlaka yakucontrol maisha yako ila anakupa mafundisho yakumjua mwenyezi mungu..
      Sio kumuabudu yeye

  • @comfjunior1531
    @comfjunior1531 5 ปีที่แล้ว +6

    Usanii ndani ya jumba la Sanaa jamani kur an sio kitu cha kukurupukia ona wanavyoumbuka

    • @bidafumbuka855
      @bidafumbuka855 4 ปีที่แล้ว

      waislam someni vitabu vyenu mmefichwa mengi na walimu wenu waongo.

  • @hassanofficialchannel1697
    @hassanofficialchannel1697 5 ปีที่แล้ว +3

    Tabarakallah

  • @waziridaawahkenya4245
    @waziridaawahkenya4245 9 ปีที่แล้ว

    AkASHA DAAWAH YOU ARE DOING ATREMENDOUS JOB NOT ONLY IN AFRICA BUT IN THE WHOLE WORLD.THEY ARE ALL WATCHING AT YOUR MARVELOUS WORK.YOU LEAD BUT OTHERS FOLLOW.ALL THE BEST

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  9 ปีที่แล้ว

      +waziri rajab THANK YOU SIR

    • @abdalagoro3671
      @abdalagoro3671 7 ปีที่แล้ว

      waziri rajab 0po9

  • @kayushapinky2052
    @kayushapinky2052 5 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo kasomeni Kwa maalim shafii

  • @rahmahassan1157
    @rahmahassan1157 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdullilah najivunia kuwa mwislam

  • @shishshikoh4979
    @shishshikoh4979 5 ปีที่แล้ว +1

    Aliyempa Mohamed Quran ni adui ya Jibril...kwa hivyo mwenye kumpa Quran ni shetani...huyo ndiye adui wa malaika wa Mungu...na Allah ataingiza unyayo wake jehanam na atachomwa akiwa na wafuasi wake wote...njooni kwa Yesu waislam..Yesu bado anawapenda..msifanye mioyo yenu kuwa migumu
    ...Yesu anarudi kuhukumu ulimwengu ..fuateni yeye aliye hai..mwenye ana nguvu ata za kusamehe dhambi...acheni kuwafuata manabii wa uongo... Yesu tu ndiye njia ya kweli...huwezi kufika mbinguni bila Yesu...tubuni dhambi muweze kusamehewa ...

  • @safikisubi3592
    @safikisubi3592 5 ปีที่แล้ว +3

    Alhamndulillah wa Islam oyeeeeeeeee

  • @rashidirajabu6223
    @rashidirajabu6223 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akujalie uzidi kujua kuruani vizuli

  • @emmanuelhemedy2564
    @emmanuelhemedy2564 5 ปีที่แล้ว +3

    Yesu juu

  • @ayshamohammed1679
    @ayshamohammed1679 7 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah ostadh shafii wataelewa 2 mungu awape subra

  • @sisterolivia9874
    @sisterolivia9874 4 ปีที่แล้ว

    Wanaume mmesoma maneno ya Mungu kweli.. Naomba nipate neema ya kuelewa vitabu zote hizi..

  • @rugemarashid3019
    @rugemarashid3019 7 ปีที่แล้ว +3

    Quran above to all thing

  • @rapafata1108
    @rapafata1108 7 ปีที่แล้ว +2

    Dah. Sura ya ngombe, sura ya buibui. Malaika wakaleta uchawi.

  • @johnomae3267
    @johnomae3267 6 ปีที่แล้ว +6

    Yesu ndiye mwana mungu. Jina hilo hata shetani mwenyewe hutetemeka ulitamkapo

    • @dullyvidully7798
      @dullyvidully7798 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaha pole yko

    • @ramadhanmussa6318
      @ramadhanmussa6318 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwn naomba kuuliza yesu desturi yake ilikuw kuingia msikitin(sinagogi)au kanisani

  • @saumu702
    @saumu702 3 ปีที่แล้ว

    Shafii we Atari munguatakukipa

  • @mansulykilimila1982
    @mansulykilimila1982 4 ปีที่แล้ว

    waislam Takbiriiiiii

  • @kimoyochemokos6908
    @kimoyochemokos6908 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli nyie ustadhu mna kazi ngumu kuwatoa taka hao makafiri, lakini Allah atawaliapa! Msife moyo wala msichoke.

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa mwenyezi mungu Subhanahu wataalla awapiganie wahadhili wetu

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 ปีที่แล้ว +2

    O Praise God Brethrens Greetings fellow Christians who doesn't backfire on Jesus Christ

  • @safinajumanne985
    @safinajumanne985 6 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah Allah awalipe

  • @salymomar9793
    @salymomar9793 6 ปีที่แล้ว +4

    Yesu sio mungu

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 ปีที่แล้ว

      Salym Omar hahaaaaaaaa rudi madrasa

  • @waziridaawahkenya4245
    @waziridaawahkenya4245 9 ปีที่แล้ว +1

    so interesting and educative to watch your dvds

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  9 ปีที่แล้ว

      +waziri rajab KEEP IT UP

  • @isaacmafole2131
    @isaacmafole2131 4 ปีที่แล้ว +2

    Shafii umuezi huyo mwalmu wa kikrsto ni hatari

  • @MohamedIbrahim-zs6nm
    @MohamedIbrahim-zs6nm 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @hmallaikahoney4549
    @hmallaikahoney4549 8 ปีที่แล้ว +20

    daah wakrist humjui mnacho kiongea kweli mnaropokwa tu mungu awasahee

    • @ronaldmbinga4116
      @ronaldmbinga4116 8 ปีที่แล้ว

      afadhali wewe wajua..

    • @jokekpokek1414
      @jokekpokek1414 8 ปีที่แล้ว

      in Jesus name.omba Toba wewe

    • @al-hajjiabdirahman1922
      @al-hajjiabdirahman1922 6 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      wew mume wako anaswal ili akawalawit wanawak 40 bikira kutoka kuzimu,huna chako,na atapewa mtaimbo unaosimama 24 hours na minguvu kulawiti mimama 40 bikira kutoka kuzimu kwa saa ,huna chako ,anawaning'iza wote ka mishikaki kwa mtaimbo mmoja,hahah,Islam z a savage religion

    • @kilianndomba6172
      @kilianndomba6172 5 ปีที่แล้ว

      hivi kweli mnasilikiza mada au unazi umewazidiii maneno ya ndimbo myafanyie kazi waislam.

  • @mauaismail9885
    @mauaismail9885 5 ปีที่แล้ว +2

    Uislamu oyeeee mpaka akrela uislamu namba moja

  • @mudytozy5084
    @mudytozy5084 6 ปีที่แล้ว +19

    Dini ya haki ni uislamu peke yake

    • @evalineakuku590
      @evalineakuku590 5 ปีที่แล้ว +1

      Mudy Tozy uislam ni dini ya lucifer (iblis)!!

    • @MohamedIbrahim-zs6nm
      @MohamedIbrahim-zs6nm 5 ปีที่แล้ว

      @@evalineakuku590 the earlier u accept Islam the better coz adhabu ya kaburi ni kali na dini ya haki mbele ya mwenyezi Mungu ni uislamu

    • @evalineakuku590
      @evalineakuku590 5 ปีที่แล้ว +3

      @@MohamedIbrahim-zs6nm siwezi enda kwa dini ya majini na shetani waislamu mmepotea yesu alisema hakuna atakaye enda mbinguni pasipo ubatixo wa maji mengi
      Yesu alileta kanisa na wokovu atarudi kunyakuwa kanisa si msikiti mohamed atawapeleka janah yake penye kuna pombe na bikira 72 ole wenu waislamu mnaomba mizimu,makaburi njoo kwa yesu muokoke mpate uzima wa milele.

    • @haleemasulthan4894
      @haleemasulthan4894 5 ปีที่แล้ว

      silahisi kupotea njia mungu nijalie nifuate njia ilio nyoka Aliisiram dini kuoruan kitabu mmepotea nyinyi

    • @mfalmewanyika2804
      @mfalmewanyika2804 5 ปีที่แล้ว

      @@evalineakuku590
      Soma kitabu ukielewe vizuri. Wameonywa wale katika kundi la waislam wale watakao abudu makaburi na mizimu hao ndio watakao angamia sio waislam wote. Hata nyie wakristo sio wote munaabudu Mungu mpo wengine mnaabudu sanamu na maaskofu baada ya kuabudu Mungu hao pia wataangamia.

  • @mackmakiwa2342
    @mackmakiwa2342 5 ปีที่แล้ว +2

    Uislamu ni ushetani ulitungwa na wapagani wa makha majini haya mashehe tani

    • @saadaitasu275
      @saadaitasu275 5 ปีที่แล้ว

      Mashetan n nyie mnaomuabud Mungu wenu na vimin

  • @khalfanhamisi4218
    @khalfanhamisi4218 6 ปีที่แล้ว +5

    bwana Peter Samson Allah ndio kila kitu,C jeso, pole xana kama wamwaabudu jeso,ndungu wslam tumu abudu Allah na inshaAllah Allah hatubariki.....

  • @thetruthtvtriplet4855
    @thetruthtvtriplet4855 6 ปีที่แล้ว +3

    Waislamu wamechanganyikiwa hawajielewi

  • @ramadio968
    @ramadio968 5 ปีที่แล้ว +1

    Dh uislam upo juu zaidi