Hongereni Sana Watumishi Wa Mungu Kwa Kazi Nzuri Mnayoifanya...Mara Ya Kwanza Nakuona Ilikuaa Miaka Ya 2005/2006 Pale Vingunguti Ukiwa Na Watumishi Kama Kina Kobero, Ezekiel, Myahudi Na Wengine Wengi Hao Pia Bado Wapo? Pia Kama Mna Vitabu Au Majarida Ya Haya Masomo Nitaarifu Namna Gani Naweza Kuyapata...
Nimekumbuka nanenane Morogoro, 2008, ulisambaratisha sana hawa watu. Tulijifunza mengi kupitia ninyi.Mungu awabariki mtumishi. Kama kuna vitini/majarida/ vitabu vya mada kama hizi tujuzane nipate taratibu kwa kujifunza. Asante mtumishi.
Nimefurahi Sana Kukuona Hapa Kwa Mara Nyingine Tena Mara Ya Mwisho Kukuona Ilikuwa Miaka Ya 2005/2006 Pale Vingunguti Relini Ukiwa Na Watumishi Wenzio Wa Mungu Kina Kobero,Myahudi, Ezekiel Na Wengine Wengi Vipi Bado Wapo?...Ningependa Sana Kupata Majarida Au Vitabu Vya Haya Masomo Ya Kibiblia Kama Yapo Mtumishi...Hakika Biblia Ni Jibu
Hongereni Sana Watumishi Wa Mungu Kwa Kazi Nzuri Mnayoifanya...Mara Ya Kwanza Nakuona Ilikuaa Miaka Ya 2005/2006 Pale Vingunguti Ukiwa Na Watumishi Kama Kina Kobero, Ezekiel, Myahudi Na Wengine Wengi Hao Pia Bado Wapo?
Pia Kama Mna Vitabu Au Majarida Ya Haya Masomo Nitaarifu Namna Gani Naweza Kuyapata...
Nimekumbuka nanenane Morogoro, 2008, ulisambaratisha sana hawa watu. Tulijifunza mengi kupitia ninyi.Mungu awabariki mtumishi. Kama kuna vitini/majarida/ vitabu vya mada kama hizi tujuzane nipate taratibu kwa kujifunza. Asante mtumishi.
Asante mubarikiwe saaaaaana Mungu atawalipa
Mmm! Yaan Mbinguni kuna kazi! Tumekosa kz kweli
Nimefurahi Sana Kukuona Hapa Kwa Mara Nyingine Tena Mara Ya Mwisho Kukuona Ilikuwa Miaka Ya 2005/2006 Pale Vingunguti Relini Ukiwa Na Watumishi Wenzio Wa Mungu Kina Kobero,Myahudi, Ezekiel Na Wengine Wengi Vipi Bado Wapo?...Ningependa Sana Kupata Majarida Au Vitabu Vya Haya Masomo Ya Kibiblia Kama Yapo Mtumishi...Hakika Biblia Ni Jibu
Tanzania munapatika wapi naitaji namba zenu za simu
Na utuambie yesu alisoma wapi!?
Je yesu alienda shule atuambie
Na biblia takatifu umeipata wapi
Hakuna neno biblia ndani ya biblia lipo juu tu
Musa, Ibrahim, Nuh, walisoma wapi