UTASHANGAA ALICHOKISEMA MR SUGU KUHUSU WIMBO WA NIPENI MAUA YANGU/ROMA MKATOLIKI, NILIANZISHA MIMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.

ความคิดเห็น • 33

  • @erqmusic5973
    @erqmusic5973 ปีที่แล้ว +17

    Ukiona umetoa ngoma na haijadiliwi...haina mstari unajadiliwa inamana hiyo ngoma haina content...mistari zinajadiliwa ni punchlines ❤️🔥🔥🔥

    • @renaltuskavishe3226
      @renaltuskavishe3226 ปีที่แล้ว

      Mistari ya Roma ni ya motion sana kwenye game hii ya hippop

  • @hansdedes1903
    @hansdedes1903 ปีที่แล้ว +5

    Mr sugu tafadhaili sana nimeipenda kofia na sulana za Daiwaka unaweza kunituma nipo Thailand mtanzania mwezako na vile vile na support Deiwaka Shukrani 🙏♥️💖💖!!**

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 ปีที่แล้ว +10

    One love bro sugu, mtoto wa nyumbani💙💯

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 ปีที่แล้ว +5

    Yeah the greatest Man. Sugu Moto Chini, the Hip hop Music Artist.

  • @mwantondo
    @mwantondo ปีที่แล้ว +9

    Muandishi una flow nzuri sana ya kuuliza cha muhimu ni jiongezee maarifa ya game.... Fahamu vitu vingi ili usikwame kwame na but you have logical flow

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA ปีที่แล้ว +9

    Mhe. Mr two mtu makini,unamajibu mazuri,nakukubali mwamba wa rock city

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 ปีที่แล้ว

      Yeah the Smart People, so not rock city. But is the Green City People.

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 ปีที่แล้ว +1

      Huyu Anatole green city ila ukopoa mwamba

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 ปีที่แล้ว +3

    The king of hip hop.. 💪🇹🇿🇹🇿❣️❣️

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda saana sugu Tangu nna miaka 9 na ndiye mwanamuzik aliye nifanya nijue kazi ya Hip Hop Kwa jamii na kwamba ni mtu makini na alijikubari kuwa yeye ni makini .
    Ukimjua Sugu kwenye Muzik wake utahua kwamba performance ya maisha yake siyo bahati mbaya ni matokeo ya alichoamini na kujifanya Kwa spirit Moja.

  • @nasibumwigane6854
    @nasibumwigane6854 ปีที่แล้ว +4

    Mr2 ❤❤

  • @moneymusics6072
    @moneymusics6072 ปีที่แล้ว +1

    Sana sugu

  • @KUBANDA53
    @KUBANDA53 ปีที่แล้ว +2

    Good miuziki Roma

  • @NewardNgoya-uy4up
    @NewardNgoya-uy4up ปีที่แล้ว

    Your are a real confidence, very good home boy

  • @johnyoram7876
    @johnyoram7876 ปีที่แล้ว +6

    Olds Gold ❤

  • @ibrahimurichard377
    @ibrahimurichard377 ปีที่แล้ว +4

    Unaenda kumhoji mtu alafu hujui hata unachotaka kuuliza mtangazaji jipange kwanza kabla ya kumhoji mtu

  • @Bivany96
    @Bivany96 ปีที่แล้ว +6

    Sugu kama sugu

  • @BarakaEzekiel
    @BarakaEzekiel ปีที่แล้ว +2

    Nimemuerewa kwakila alicho kizungumuza muheshimiwa hapooo tuko pamoja

  • @GraceIgnas-pt1vj
    @GraceIgnas-pt1vj ปีที่แล้ว +2

    100%❤❤❤

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 ปีที่แล้ว +4

    Ahahahaha daaaah eti i love money yes am millionaire. Kikomo vipi wakati hii niyatatu

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 ปีที่แล้ว

    Huyo ndio nyelele wa rap,Tz.Sugu sugu sugu

  • @user-ru5wr7nv5b
    @user-ru5wr7nv5b ปีที่แล้ว +4

    Namkubali sana huyo mheshimiwa ❤❤❤ one love

  • @John_sadick1
    @John_sadick1 ปีที่แล้ว +1

    Nomaaa

  • @user-br9ju6xz5i
    @user-br9ju6xz5i ปีที่แล้ว +5

    ila ujipange kuuliza maswali, wewe presenter, coz sikulaumu coz sio mwandishi wa habari ila jipange, na pia usitake kutoa nukuu ya mstari wakati hujakariri vizuri, kiufupi kajipige msasa ndugu yangu

  • @ujimansylivanus944
    @ujimansylivanus944 ปีที่แล้ว +4

    Ulinifanyaa nileweee sanaa kwenye ile ngoma yako inayo itwaa. Wananita sugu.

  • @Boscohamad-br4iq
    @Boscohamad-br4iq ปีที่แล้ว

    mr,sugu kaka

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 ปีที่แล้ว +12

    Nikiona sugu hata Kam sina mb huwa nasongesha nisikilize mwambaaa huyuuu

  • @rahimumuya5118
    @rahimumuya5118 ปีที่แล้ว +3

    Mwandishi msahaulifu

  • @damasmaleo4845
    @damasmaleo4845 ปีที่แล้ว +1

    Deiwaka inanikumbusha takrbani mihongo miwili

  • @user-ex9vf2iy1d
    @user-ex9vf2iy1d ปีที่แล้ว

    Watu wametoka mbali