Asante sana kwa kutupatia elimu ya fursa,,nina maswali 2 japo hii post nimechelewa kuiona, 1; Ni tsh ngapi zinahitajika kukamilisha ujenzi pamoja na mtaji wa kuanzia 2; Hao mafundi wapo kila mkoa,mf. mi nipo Geita wilaya ya Mbogwe.Naomba majibu bosi wangu.
Habari yako? Asante kwa somo zur naomba kuuliza huo wavu huko chini ya banda hivo panavyobakia wazi hapajazibwa je wa dudu au wanyama kama nyoka hawa wezi kuwaangilia kuku kupitia huko uvunguni?
Mimi apa naitwa Erick lewanga swali kwa kuna changamoto hali ya mtu labda ametokea katika familia ambayo ipo chini kiuchumi je sasa nitafanyeje ili nipate mtaji wa kua nzisha huu mradi wa kuku kama ujengaji wa mabanda,chakula,nyavu nk??
Hujambo mimi natokea kenya na nko Qatar.Hivi karbuni nataka kuanza iyo project .Naomba ushauri wenu in terms of construction shade pia kutoka mwanzo hadi mwisho.Naomba nambari yenu ya whatsapp Ndio tuweze kuongea saidi.Wakati mwema
Habari me natamani kufuga kuku wa mayai swali langu ni hili je nisawa kununua vifaranga vya miez 3 au ni bora nianze kulea kwanzia vifaranga vya siku moja
Habali wa talam wa changamkia fursa,mimi nimfugaji wa kuku wakisasa wa mayayi, na ninapenda kufyatilia changamkia furusa tv, naomba kujuwa kwanini kuku wangu wanakufa saana hadi 15 kwasiku au zaidi, nimejitaidi kutumiya watalam mbali mbali lakini tatizo linabaki pale pale na kunawakati ndoo linaongezeka,nawana mwezi 4kwa sasa nimeanzana nao 2weeks na walikuwa 1300vifaranga vifo vilianza kwa wingi mara-tu walipo fikisha 8weeks mpaka sasa nimebakia na kuku 620.ijapo walioniuzia vifalanga walinidangamya nikapewa dizaini mbili tofauti za vifaranga ambavyo vilikuwa vimetotolewa kwa aawamu 2tofauti ,bila mimi kujuwa nambegu tofauti ila zote zamayayi. Bazi yakuku kwa sasa kuvimba tumbo na makolomea, na kushindwa kucheuwa, kushindwa hata kula kukaa wana zubaa tu na kufa.
@@changamkiafursa natamani kuwa mfugaji nina eneo zuri. Pamoja na maelezo mazuri hapo juu nahitaji kuwaona wataalam physically niwahoji zaidi na wanisaidie kuanzisha huu ufugaji kuanzia ujenzi wa banda bora.
Mungu akubariki kwa masomo mazuri unayotupatia ndugu yetu, naomba unisaidie Kama Nina chumba tuu nikatengeneza Banda la kuku ndani itakuwaje kwa habari ya mwelekeo wa upepo na jua? Au haifai kutengeneza Banda ndani ya chumba? Naomba kujua
Huyo wakutengeneza banda bora anapatikanaje.
Ahsante kwa mafundisho yako je kuku 10 wanaweza kufugiwa kwenye banda la ukubwa kiasi gani
Mbona amekujibu vizuri fuatilia tena
Na vipi sehemu ya kulala inakua hapo hapo au sehemu nyingine?
Elimu ni nzuri sn,inabidi vijana waache kukaa mtaani,kulaumu hawana ajira hii ni ajira tosha amkeni vijana
Asante sana kwa mafunzo hayo. Mpo wapi nije kuwatembelea.
Hongera sana mtaalamu
Nashukuru sana bro kwa somo zuri
Tuko pamoja
Nimekuelewa sana mkuu
Please do u have any English translation for this video
Asante kaka mm nashida na shazi Fundi mabanda nitampataje nipo mwanza
Chukua namba uwasiliane naye
Naimba nisaidie namba zake
Shaz +255622460105
Nimefurahishwa sana na maelezo yako nimejifunza mengi sana hongera sana Kaka ila tunaomba namba yako tutakuitaji ili utujengee
Upo mkoa gani mkuu??
Hongereni sana kwa elimu hii muhimu
Asante sana kwa kutupatia elimu ya fursa,,nina maswali 2 japo hii post nimechelewa kuiona,
1; Ni tsh ngapi zinahitajika kukamilisha ujenzi pamoja na mtaji wa kuanzia
2; Hao mafundi wapo kila mkoa,mf. mi nipo Geita wilaya ya Mbogwe.Naomba majibu bosi wangu.
Somo zuri sana
Jamani mbona tunataka namba ya sim halafu hamtumi.
Asante njtawalpata wapi
Bei ya vifaranga vya kuku chotara?
KAZI nzuri sana
Ahsante sana
unapatikana wapi
Asante kwa somo la Banda. Kuku anatakiwa be kula kiasi gani(kg) kwa siku? Hasa wa kienyeji
Me niko mwanza nampataje fund wa banda?
Je naweza kufuga ktk chumba cha binadamu?
what are those plants they are feeding on?
ahsante kwa somo hilo.swali langu ni kwamba. je inawezekana kufuga kuku wa aina zote katika banda moja.?
Sio sahihi kwa sababu utopoteza kiza kwa kuchanganya vina Saba vya kuku tofautitofauti
Ni meelimika sana nitaanza kufuga najipanga asanteni
samahani mbona hizo wire mesh za chini ukiwawekea luku wanavimba kwenye nyayo tatizo ni nini tafadhali
Naomba kuhulizia kuhusu ayo majani wanakula kuku ni majani gani?
Mimi Naitwa Paschal kutoka Dodoma Naomba kuuliza je ni mtaji kisasi gani (kwa kiwango cha chini) ninaoweza kuanzia ufugaji???
Asante sana he? Mtaji was kujenga banda ni sh ngapi?kwa kubwa UPI?asante H
naomba nambar yakoo tuwasiliane
safi sana
Naomba namba zen niwe napat ushaurii
Niko Arusha je ni mgawanyo kiasi Gani ninaotakiwa kuweka Kwa kuku wa mayai?
ongera sana
Nimepanda huo ujnzi wa banda
Niko Morogoro nitakupataje uje kunijengea Banda Bora la kuku?
Habar za hapo mjengon mim naitwa anna nipo Arusha majiya chai napenda ufugaj wa kuku wa kienyej naomben mbinu
Namba naomba
Habari yako? Asante kwa somo zur naomba kuuliza huo wavu huko chini ya banda hivo panavyobakia wazi hapajazibwa je wa dudu au wanyama kama nyoka hawa wezi kuwaangilia kuku kupitia huko uvunguni?
Hawawezi kwa sababu unajenga banda halafu ndani ndio unaweka uchanja
Mimi nimefuraia hiyo video
Asante sana
Safi sana naipenda
Pamoja
naeza kufuga kuku wa nyama kwenye banda la mabanzi?
naomba namba za mtaalamu wa mabanda ya kuku
Nashukuru kwa elimu je nawezaje kukupata mwalimu?niko Morogoro
Naomba na yakoo kaka samahani nataka kujenga banda kama lako
Ahsante sana, naomba namba ya simu yako
Je ni sahihi kwaachia kuku wa kienyeji wajitaftie chakula na Hiyo Hina madhara!?
Tunapataje namba yako ili tukiitaji ijenzi tuweze kukipata
Kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji, kuku hawafunguliwi kutoka bandani?
Unaweza kuchanganya kuku wa aina tofauti katika banda moja?
Nahitaji kuwasiliana na Charles Kwa ajili ya kunijengea Banda plse
Naitwa abduli juma nne na kaa nzanzib mm tatizo langu kuku wangu wana umwa ndui ya macho nitumiy daw gan na otc nime tumia na abado
Good work and illustrative
Thanks
Niko Dar nahitaji msaada wa kujengewa banda kuku wa kienyeji
Habari mnapatikana wapi na mnatengenez mabanda mtu akihitaji mm nipo dar
Gharama za kujenga banda hili ni kiasi gani?
Mimi nimefurahia sana.nitafanya mini nanataka kufuka kuku mia moja za kienyeji
Video hii itakusaidia
th-cam.com/video/UTImzNqRzb8/w-d-xo.html
Naitwa Aloyce Richard kutoka iringa naomba kujua tathimin ya gharama ya Banda la kuku 100
Wish it was in english
Asante Sana kaka
Tuko pamoja
Ahsante kwa somo zuri la utengenezaji wa banda la kuku; ukubwa kulingana na idadi na aina ya kuku.
In a limited space will it be possible to build two storeys for more chicken?
Eeeee mm Niko kenya
Daah
Ahsante sana kwa video , Tafadhali naomba namba ya mtu ambae anaweza kunijengea mabanda Zanzibar
Kuku wangu wanahara nyeupe je niwape dawa gani Niko Arusha ,naitwa Anna
Kuku wangu ni wa chotara wako 80
Naomben namba za fund wa banda kama hilo plz
Naomba mlioneshe banda lote vitu vi n avyokuwepo ktk banda yaan mfumo mzima uliooko bandani
Mnatoa huduma ya ujenz wa mabanda
B
MIMI NINA SWALI NAHITAJI BANDA LA KUKU 1000 NAPENDA KUTUMIA MBAO NA MABATI JE GARAMA LA BANDA HILO LA KUKU 1000 NI SHILINGI NGAPI ?
Naitaj nipate elimu ya ufugaji naomba mnipe namba za cm kwa anae jua
Mimi apa naitwa Erick lewanga swali kwa kuna changamoto hali ya mtu labda ametokea katika familia ambayo ipo chini kiuchumi je sasa nitafanyeje ili nipate mtaji wa kua nzisha huu mradi wa kuku kama ujengaji wa mabanda,chakula,nyavu nk??
Naomba namba ya fundi wa banda tafadhali
0768347759
Tunaomba kuona sehemu ya kutagia kuku kweny banda la aina hyo
Naomba namba ya huyo mtengeneza banda nahitaji banda
Mm nipo moro ila sijawahi kufuga kuku wa mayai je naazaje kufuga
Mm niko arusha nahitaji fundi ajeanijenfee banda
Niko Kenya kuku chotara kwa kizungu huitwa aje?
Improved kienyeji chickens
nadhani hybrid
Asanteni sana na je nikizihitaji nitaweza zipata aje?niko Kenya Nairobi.
ndaniyabanda chinikunawavu utafagiaje
Hujambo mimi natokea kenya na nko Qatar.Hivi karbuni nataka kuanza iyo project .Naomba ushauri wenu in terms of construction shade pia kutoka mwanzo hadi mwisho.Naomba nambari yenu ya whatsapp Ndio tuweze kuongea saidi.Wakati mwema
Kuku uwa wana penda mahili pa joto ama pabaridi?
🎉
Habari me natamani kufuga kuku wa mayai swali langu ni hili je nisawa kununua vifaranga vya miez 3 au ni bora nianze kulea kwanzia vifaranga vya siku moja
Habali wa talam wa changamkia fursa,mimi nimfugaji wa kuku wakisasa wa mayayi, na ninapenda kufyatilia changamkia furusa tv, naomba kujuwa kwanini kuku wangu wanakufa saana hadi 15 kwasiku au zaidi, nimejitaidi kutumiya watalam mbali mbali lakini tatizo linabaki pale pale na kunawakati ndoo linaongezeka,nawana mwezi 4kwa sasa nimeanzana nao 2weeks na walikuwa 1300vifaranga vifo vilianza kwa wingi mara-tu walipo fikisha 8weeks mpaka sasa nimebakia na kuku 620.ijapo walioniuzia vifalanga walinidangamya nikapewa dizaini mbili tofauti za vifaranga ambavyo vilikuwa vimetotolewa kwa aawamu 2tofauti ,bila mimi kujuwa nambegu tofauti ila zote zamayayi. Bazi yakuku kwa sasa kuvimba tumbo na makolomea, na kushindwa kucheuwa, kushindwa hata kula kukaa wana zubaa tu na kufa.
Asante kwa swali zuri.
Nitafute what's app 0752209073 tuongee zaidi
Pole kaka mungu atakujalia utafaulu pia mm nataka nianze kufuga pole Sana usife moyo
@@changamkiafursa nahitaji kujenga banda bora gharama bei gani?
@@changamkiafursa natamani kuwa mfugaji nina eneo zuri. Pamoja na maelezo mazuri hapo juu nahitaji kuwaona wataalam physically niwahoji zaidi na wanisaidie kuanzisha huu ufugaji kuanzia ujenzi wa banda bora.
Banda hili ni zuri.
Nipo Arusha ninahitaji kupata Fundi wa kijenga Banda la kuku
Bro asante kwa elim japo Niko nyuma naomba kuulizia nitampataje Hugo shazi mtaalamu wa mabanda ya kuku Niko mwanza mkuu
Mungu akubariki kwa masomo mazuri unayotupatia ndugu yetu, naomba unisaidie Kama Nina chumba tuu nikatengeneza Banda la kuku ndani itakuwaje kwa habari ya mwelekeo wa upepo na jua? Au haifai kutengeneza Banda ndani ya chumba? Naomba kujua
Unaweza ila zingatia ukubwa wa chumba na idadi ya kuku
@@changamkiafursa Asante ndugu yangu
Nahitaji jinsi ya banda kutagia
Hizo wavu za chini ukitka kufanya usafi unazitoaje?
Nitaandaa video
Jmani mm naitwa frank,niko Dodoma, nina kuku wangu wa mayai,lkn tatizo wanashida ya kupinda kwa shingo,nimetumia vitamin haijasaidia,chakula nachukuliaga SILVER LAND, naombeni msaada,unamkuta kuku mwingne kapooza miguu,wengine ndo hizo shingo,nitashukuru sana endapo tatizo langu litapatiwa ufumbuzi
Asante kwa swali zuri, nitaandaa video kujibu swali hili
Wapatie DCP. Wana uchache wa Calcium
Nahitaji kujengewa. Banda
Habari nahitaji fundi was banda.tafadhari tuwasiliane
habari
Salama
Ninaishi tegeta naomba unisaidie kumpatafundi wa banda let kuku
Tunaomba muwe mnaweka namba zenu ili kama mtu kachelewa kuona post awapigie kwa maelemezo mengine
Ukifatilia video zetu Mawasiliano yapo
Nice video. Nilitaka kufahamu unahitaji kufuga angalau kuku wangapi Ili ufugaji wako uwe na tija.
Mita3x3 au 3x4
Mtampateje hiyo mjenga banda nipo mkowa wa geita masumbwe
Nimependa sanaaa .mafunzo mazuri
Share na marefiki na wao waipate elimu bora ya ufugaji wa kuku
Nahitaji kujengewa banda la kuku 200 wa nyama niko Dar naomba contact za fundi