Mtikila Achambua Wagombea Uraisi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Mchungaji Mtikila awachambua wagombea uraisi wa CCM na Chadema na ahadi zao za kutoa elimu bure kama vipaumbele vyao.

ความคิดเห็น • 21

  • @chibedechemical2111
    @chibedechemical2111 5 ปีที่แล้ว +4

    Ulikua mkweli na unaona mbali Sana mchungaji!!lait ungekuepo mpaka Sasa Kuna nyumbu wamejiyokeza miaka hii kwenye upinzani wangesema umenunuliwa rest in paradise bishop

  • @hawa8055
    @hawa8055 9 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu ailaze roho yako pali pema.

  • @rosemengo8348
    @rosemengo8348 8 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusamehe mchungaji cjui ulikuwa wa kanisa gani,eti mkataa pema pabaya panamuita,lowasa bado anaitwa na wema,bado anapambana,we msalimie nyerere na filikunjombe na wengine wote

  • @thomasgogomoka6404
    @thomasgogomoka6404 ปีที่แล้ว

    Hii hotuba ilishiba madini sana huenda ndiyo ilisababisha maisha yake kuwa hatarini hadi kupoteza maisha. Pumzika kwa amani Mchungaji mtikila

  • @Ommylayzah_tz
    @Ommylayzah_tz 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 Lowasa bado anadunda duh kwel Mungu hapangiwi

  • @mwajumamapunda624
    @mwajumamapunda624 8 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P.MCHUNGAJI umeongea point za maana kweli yan mbele yk nyuma yetu km elimu bule na izi shule za praivet zitatoa elim bule mtikilq kaongea point xn wote wanafki ahaaaaaaaaaa pumzika kwa aman baba

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 8 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni muislam lakn mtikila namkubali sana kwasabab anapenda haki sijui kwanini watu wazuri hawapati vyeo vikubwa, Mungu amsamehe makosa yake na amuingize peponi

  • @godfreykalonga7207
    @godfreykalonga7207 8 ปีที่แล้ว +3

    Daima hukumu dunian sio mbinguni. Ujinga wa ujanani ndio umaskini wa uzeeni mungu akulaze pema pepon

  • @bahatimutatwa8719
    @bahatimutatwa8719 9 ปีที่แล้ว +2

    UMEONGEA UKWELI MUNGU AKUBARIKI SANA NA AKULAZA MAHALI PEMA, MWENYE KUWA NA SIKIO NA ASIKIE, VIZURI

  • @hamadombeevents2869
    @hamadombeevents2869 9 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P mtumishi ila hauna cha kujibu mbele ya mungu kwani hakuna mtu mwenye dhambi isiyo sameheka na akuna anae penda kuwa na maradhi

  • @shuleyetutv2090
    @shuleyetutv2090 9 ปีที่แล้ว +2

    wewe tangulia tu ulidhani Lowassa angetangulia. Mungu si athumani na iwe fundisho kwa wenye akili kama zako. dhambi yako inakufuata nyuma.

  • @williamsiloma2542
    @williamsiloma2542 9 ปีที่แล้ว +1

    RIP Mchungaji

  • @hussenalybink8567
    @hussenalybink8567 9 ปีที่แล้ว +1

    R. I. P mtumishi

  • @linuskalungwana2875
    @linuskalungwana2875 9 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 8 ปีที่แล้ว

    R.I.P mchungaji

  • @khatibumwalimu591
    @khatibumwalimu591 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nakushukuru wewe ulie tukumbusha habari hii ya mtikila na tumepata picha ya rais ajayo, aliyoyasema karibu yote magufuli ndio anayotekeleza isipokuwa la ubaguzi hilo marehemu aliteleza maana sisi wenyewe ndugu zetu wengi wapo nje nchimbali mbali nao wanyanyaswe? Pumzika kwa amani tunakushukuru sana kwa maoni yako

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 5 ปีที่แล้ว

    Alikuwa anachonga! RIP

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani ปีที่แล้ว

    Magabacholi..🤣

  • @linuskalungwana2875
    @linuskalungwana2875 9 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P

  • @rashidyrashidy3923
    @rashidyrashidy3923 3 ปีที่แล้ว

    R.I.P