Miaka 2 Baada ya Kifo cha Deo Filikunjombe, Haya Ndiyo Maisha ya Mjane Wake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Sarah Filikunjombe ni mjane wa aliyekuwa kada muaminifu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, marehemu Deo Haule Filikunjombe.
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Mwanamama huyo amezungumza na Global Tv Online na Sarah Filikunjombe amethibitisha ushujaa kwa kuendelea kupambana na changamoto za kimaisha na kufikia vilele mbalimbali vya mafanikio.
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Mwishoni mwa wiki iliyopita na mwanzoni mwa wiki hii, kwa siku tofauti, waandishi wetu walijipa kazi ya ziada kwa kumtafuta Sarah Filikunjombe ili kujua nini kimeendelea katika maisha yake, baada ya kuondoka kwa mumewe ambapo walibaini mambo mengi mazuri yenye kutia moyo, ambayo mama huyu mpambanaji licha ya kuonekana sisita duu, ameyafanya kwa ujasiri wa kipekee.
    Hatimaye Jumanne mchana, Global TV Online ilifika nyumbani kwake, Kijichi Mbagala jijini Dar na kufanya naye mahojiano ambapo alitoa ushirikiano wa kutosha na kufunguka mengi juu maisha yake tangu kuondokewa na mumewe mpendwa.
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    “Kufiwa ni kovu la milele maishani, kifo cha mume wangu kiliniumiza sana na hata sasa sijapona jereha hilo, nililia, nilihuzunika na bado nahuzunika lakini ilikuwa lazima maisha yaendelee. Tayari aliniacha na watoto ambao bado ni wadogo hivyo wanahitaji uangalizi wa hali ya juu, kwa hiyo ilinibidi nijipange upya namna ya kuwatunza wanangu,” alisema Sarah.
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    AKaongeza; Ukiondoa nyumba na miradi mingine, mume wangu aliacha kampuni ya Jumbo Camera House, ambalo linajishughulisha na uuzaji wa Kamera za kisasa, lililopo Posta Mpya, kwenye Jengo la Benjamini Mkapa, lakini sikutaka kabisa kutegemea kitu hicho pekee, niliamua kuangalia njia zingine za kuingiza kipato ili nikikusanya huku na huku, maisha yanasonga kwa wepesi.
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    “Hivyo, nilianza kujishughulisha na kilimo na ufugaji ambapo nafuga kuku wa kisasa na pia nina mabwawa ya kufuga samaki aina ya kambare, vyote hivyo viko wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani.
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Pia nimewekeza kwenye vinywaji ambapo nimefungua baa iliyopo Vianzi hukohuko Mkuranga na vilevile niko kwenye hatua ya mwisho kabisa kukamilisha mradi wa kuuza unga wa sembe ambao nitakuwa naufunga kwenye viroba, yote hayo yako chini ya kampuni ya Tripple L, ambayo inawakilisha majina ya wanangu wapendwa watatu, Lee, Levis na Larry ambapo hata nembo ya viroba vya unga itakuwa na picha yetu wote wanne,” alisema Sarah.
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
    / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1

ความคิดเห็น • 143

  • @armonmakachayo288
    @armonmakachayo288 7 ปีที่แล้ว +5

    Kaza buti mrs phili, Mungu usimuache kbs,na wanao mume wa wajane YESU yupo, atakusaidia kujua wanao watakavyosoma mpk ushangae. Polesana sana

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 7 ปีที่แล้ว +6

    I always love you Sarah
    Wewe ni Jasiri...Kazana upo Bora sana

  • @upendomackfallen5098
    @upendomackfallen5098 7 ปีที่แล้ว +2

    Very happy for you mumy. Happy sababu ya nguvu ulizonazo. Kifo cha Deo kiliwaumiza wengi na ilivyokuwa ghafla ungeweza poteza mwelekeo kabisa. Mungu aendelee kukutunza na kukulinda wewe na wanao.

  • @tonnyford8196
    @tonnyford8196 7 ปีที่แล้ว +18

    mungu azid kukupa nguvu dada angu fanya hizo kaz zako hakika amin Deo wa pili anakuja kukuinua tena sasa ndo huyo yupo form 2 tuxid kumwomba mungu azid kumpumzisha kwa aman

    • @shamsaismail7707
      @shamsaismail7707 7 ปีที่แล้ว +2

      Tonny Ford mungu amzidishea nguvu na afya njema Inshaallah awalee watoto wake vema ...Mungu amzidishea utulivu wa kaburi lenye nuru Deo ......

    • @tonnyford8196
      @tonnyford8196 7 ปีที่แล้ว +1

      Shamsa Kenya In jesus name

    • @andimilemwaipopo4791
      @andimilemwaipopo4791 7 ปีที่แล้ว

      Kambale nakuja kununua

  • @ndabarinzesamuel9333
    @ndabarinzesamuel9333 6 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mama, Mungu wa wajane na mayatima akutangulie pamoja na wanao, yeye ni mwingi wa rehema na atakuwezesha kwa kila jambo.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 ปีที่แล้ว +1

    Pole dada kazi ya mungu haina makosa, Na hongera kwa biashara.Pia tuwajibikeni wa mama.

  • @tumainimsowoya294
    @tumainimsowoya294 7 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mjane mwenzangu, ni kweli maisha lazima yaendelee. Lazima kufunga mkanda ili ndoto za watoto ambazo waume zetu walitaka tufikie zitimie. Ni bidii kwenye kazi na kumuomba Mungu. Nimejifunza kitu kwako, hongera sana

    • @stewartmagiri472
      @stewartmagiri472 6 ปีที่แล้ว

      Tumaini Msowoya hahahaaa na wewe mjane kumbe pole

  • @elivisielifazi5221
    @elivisielifazi5221 7 ปีที่แล้ว +3

    God bless you all the best be strong you are super woman

  • @nchambinzugwa9367
    @nchambinzugwa9367 7 ปีที่แล้ว +7

    Mungu aendelee kukupigania

  • @emmanueldario2730
    @emmanueldario2730 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusaidie utafika pazuri zaidi. life goes on!.

  • @masakivlogs
    @masakivlogs 7 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Shemeji, uko vizuri sana respect sana,always tia juhudi yote yanawezekana na mungu always yuko nasi

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 4 ปีที่แล้ว

    Amen Amen. Mungu akupe nguvu na njia mpya ya maisha. Pole kwa yote . Mungu akubariki wewe na watoto. Amen.

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 3 ปีที่แล้ว

    POLE SANA DADA.MUNGU NI MUME WA WAJANE NA BABA WA YATIMA.AKUTIE NGUVU RAFIKI WA KWELI NI YASU KRISTO YEYE HANA CONDITIONS MTEGEMEE YEYE NA MTUMIKIE PIA.

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 ปีที่แล้ว +3

    uko mrembo dad a hongera sana Allah bless ❤

  • @maryxavery4105
    @maryxavery4105 7 ปีที่แล้ว +4

    hongera sana Dada nimejifunza zaid coz ndzo project nafanya

  • @silviamassawe3660
    @silviamassawe3660 7 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutia ujasir wa kutenda mambo makubwa zaid ya maendeleo.raha ya milele umpe Ee Bwana

  • @dadiemvoulana7834
    @dadiemvoulana7834 7 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akupiganie ufanikiwe kwa kila utakalolifanya

  • @amazingvegetablesservices2268
    @amazingvegetablesservices2268 7 ปีที่แล้ว

    BIG UP Sarah.. ujasiriamali ndio mpango wenyewe. keep it up

  • @vhchdbdjdj1329
    @vhchdbdjdj1329 6 ปีที่แล้ว

    Daaa yani dada wanawake wote tungekuwa kama sara daa wanaume wangetuheshimu mungu amempa moyo wa ujasiri amejuwa akisononeka na kulia sana watoto watayumba hongera sana sara mungu amekufuta machozi ya mume wako jina la bwana lihimidiwe amen

  • @summanelson3718
    @summanelson3718 7 ปีที่แล้ว

    Duh!!! Hongera mama. Uko juu na uko fit!

  • @antidusrwihura6848
    @antidusrwihura6848 7 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada kwa yote,Mungu ni mwema lililopo ni kumtegemea yeye..dada kwa kilimo unachofanya cha matikiti tunaomba msaada wa jinsi ya kupata elimu hii

  • @annahnguvumali1626
    @annahnguvumali1626 7 ปีที่แล้ว

    Hongera sana sana Sarah keep it up mamii marafiki wa zamani michosho tu.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 7 ปีที่แล้ว

    nimejifunza kitu kutoka Kwako Sarah,ubarikiwe sana

  • @sharomosses5516
    @sharomosses5516 7 ปีที่แล้ว +3

    mungu azidi kukutia nguvu, mipango ya mungu, inabidi kushukuru

  • @veronicatweve4786
    @veronicatweve4786 7 ปีที่แล้ว +11

    Umenenepa sana Mungu akusaidie na wanao

    • @slimthuggfella101
      @slimthuggfella101 7 ปีที่แล้ว +2

      Veronica Tweve 😅😂napita tyu

    • @dullahlddi5690
      @dullahlddi5690 7 ปีที่แล้ว +1

      kaza buti dadaangu we ni malkia wa nguvu

  • @elizabethandrea4466
    @elizabethandrea4466 4 ปีที่แล้ว

    Nakupongeza Sana Mwanangu. Mama Olive

  • @polymrmulugulupoly2149
    @polymrmulugulupoly2149 3 ปีที่แล้ว

    Asante dada komaa ayo ndio maisha binadamu

  • @shijaanania8063
    @shijaanania8063 7 ปีที่แล้ว +1

    mungu akulinde kilagumu litupatapo pana mwanga wa kutokea.Mungu akulinde.

  • @jodeinjmj7843
    @jodeinjmj7843 7 ปีที่แล้ว +6

    mmm da mzuri

  • @emmanueljustin2164
    @emmanueljustin2164 7 ปีที่แล้ว +6

    Be courage and strong and put your faith in Jesus Christ

  • @samsonkusupa8115
    @samsonkusupa8115 6 ปีที่แล้ว

    pole sana mungu atakutangulia ila kuwa makin maana mafcm wasije kukugawana wakafikiri ni mali za chama zilizotelekezwa

  • @samweliecawilondja5037
    @samweliecawilondja5037 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu akupe maisha marefu na azidi kukusaidia

  • @cathmahenge1536
    @cathmahenge1536 7 ปีที่แล้ว

    pole sana dada Mungu azidi kukuimarisha na kukupa nguvu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nampenda Filikunjombe kwa utendaji kz wake.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว

    kwauzuri huu na malikiasi alizo achiwa angejibweteka na kutegemea mabwana hongera dada

  • @biyamungu1021
    @biyamungu1021 7 ปีที่แล้ว +1

    si kwa unene huu mmh hongera ulipoamua kujiongeza

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 3 ปีที่แล้ว

    Mungu mkuu akusaidie na watoto wako. Amen.

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 7 ปีที่แล้ว

    BG UP MAMA DEO. MUNGU ATATENDA MENGI ZAIDI . ZIDI KUMSHIRIKISHA MUNGU YEYE AJUA YOTE.

  • @vhchdbdjdj1329
    @vhchdbdjdj1329 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana dada mungu yu pamoja na wewe mungu akupe nguvu utunze watoto wako

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu mamy

  • @saladaniel907
    @saladaniel907 7 ปีที่แล้ว +3

    nimejifunza mengi sana kwako

  • @theopistermganwa4378
    @theopistermganwa4378 7 ปีที่แล้ว

    Mwanamke mwenzetu umeshinda. Sote tujifunze kupitia kwako. Napenda sn kujifunza kilimo cha tikiti.

  • @jackilinram1083
    @jackilinram1083 3 ปีที่แล้ว

    Pole,na hongera mama

  • @barakakomba6171
    @barakakomba6171 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie dada mkubwa

  • @agnesblidadi6041
    @agnesblidadi6041 6 ปีที่แล้ว +1

    Blessed

  • @raymonadsaliboko3068
    @raymonadsaliboko3068 3 ปีที่แล้ว

    Pole Mungu akupe nguvu

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyenzi Mungu azidi kukupa nguvu na familia yako...ama kweli wema hawadumu REST IN PEACE OUR LOVLY BROTHER AND LEADER...KWELI MHESHIMIWA DEO FILIKUNJOMBE ALIKUA MZALENDO...JEREMIAH 33:3

  • @christinahaule9726
    @christinahaule9726 7 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @queenramadhan2293
    @queenramadhan2293 7 ปีที่แล้ว +1

    ndio tujifunze tusisubiri tu kuletewa ni vema tujishuhulishe tusipende kuwekeza kwa binadam wenzetu wakiondoka tunataabika pole saana dada mungu atakutia nguvu

  • @mohdhassan9943
    @mohdhassan9943 7 ปีที่แล้ว

    mungu akuzidishe nguvu zaidi

  • @fakhadkhaj1100
    @fakhadkhaj1100 7 ปีที่แล้ว

    pole mungu akutie nguvu my dia

  • @matimbwajr4288
    @matimbwajr4288 7 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa amani Deo filikunjombe watanzania hawatakusahau juhudi zako.

  • @Mukozitv
    @Mukozitv 7 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akusimamie.

  • @emmanuelmawalla6022
    @emmanuelmawalla6022 7 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kulipa nguvu jwa kila ufanyalo uwalee watoto

  • @firdausabdullah6315
    @firdausabdullah6315 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mum

  • @theopistermganwa4378
    @theopistermganwa4378 7 ปีที่แล้ว

    Wifi yote ni ya Mungu. Chakushukuru Mungu Anakujalia Afya njema. Tunakuombea kwa sala Mungu akupe wepesi wa maisha. ni kweli wanawake tuthubutu tusibweteke nimekukubali sn. Nakutakia kila la Kheri kwa kujituma kwako AMINA.

  • @saimonjulius1319
    @saimonjulius1319 6 ปีที่แล้ว

    Pole mungu akutie nguvu

  • @veroben4161
    @veroben4161 7 ปีที่แล้ว

    mungu akutie nguvu hao marafiki walikuwa wanafiki tu tambua kuwa hapa ni wapitaji tu.

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว +3

    pole

    • @emmanuelnyansiro8636
      @emmanuelnyansiro8636 7 ปีที่แล้ว +1

      kila sehemu nakukuta Uko vizuri hutaki kupitwa na habari

    • @mamapekupekupilipilimuwash9016
      @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว +1

      Emmanuel Nyansiro hahaahahahah nakwambia m napenda kuangalia yaliomo sipitwi napata mafunzo na kujifunza maisha kupitia humu

  • @lilianashayo5374
    @lilianashayo5374 7 ปีที่แล้ว

    mungu azidi kukufunguliya milango

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 3 ปีที่แล้ว

    Dena pole sana

  • @davidisack1643
    @davidisack1643 5 ปีที่แล้ว

    one day yes

  • @zulfaibrahim6399
    @zulfaibrahim6399 7 ปีที่แล้ว

    Hongera mamaa

  • @razzomusiq7218
    @razzomusiq7218 7 ปีที่แล้ว

    pole sana dada ila icjal sana kawaida cha msingi kuwa makini sana ktk biashara zako mungu atakubaliki zaidi

  • @panganizai8263
    @panganizai8263 7 ปีที่แล้ว

    pole sana mamy kweli inauma

  • @rogerkhan3623
    @rogerkhan3623 7 ปีที่แล้ว

    good time

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 7 ปีที่แล้ว +2

    ushauri usiruhusu kuolewa tena lea hao watoto !

  • @mariammgaya8319
    @mariammgaya8319 7 ปีที่แล้ว

    mungu hamtupi mja wake, kaza buti dada. you can

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว +3

    hapo tayari ushampata wa kukuliwaza,ulivyokuwa nzuri hivyo

  • @revocatuspatrick3739
    @revocatuspatrick3739 6 ปีที่แล้ว

    kwel Dada jiamin tu mtumainie mung na habr yakulaum isiwepo kabsa we nimarikia wangv

  • @shadrackmfilinge7461
    @shadrackmfilinge7461 7 ปีที่แล้ว

    M/Mungu azidi kukusimamia na wanao.

  • @basilisamsaka1221
    @basilisamsaka1221 6 ปีที่แล้ว

    Mimi ninaumia sana jamani mnaniliza tena,nilikuwa nampenda sana mchapakazi sana.

  • @juliepotami659
    @juliepotami659 6 ปีที่แล้ว

    Umenenepa dada

  • @mariayunza7436
    @mariayunza7436 7 ปีที่แล้ว

    Mungu yu nawe cku zote anaujua mwanzo na mwisho wako

  • @hbgwaay
    @hbgwaay 7 ปีที่แล้ว

    brilliant

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 7 ปีที่แล้ว +3

    Ukigombea ubunge jimbo la Ludewa una asilimia kubwa ya kupata. Kaendeleze alipoishia, utaweza.

    • @daimavlog
      @daimavlog 7 ปีที่แล้ว

      The XYZ mmh aachane na siasa alee wanae wasiekuwa yatima pande zote mbili.

    • @thetreasure2230
      @thetreasure2230 7 ปีที่แล้ว +1

      +Cymah Wandelt mh! kama nakuelewa fulani vile! duh!!

    • @daimavlog
      @daimavlog 7 ปีที่แล้ว

      The XYZ ndugu yangu, siasa ni mchezo mchafu, washasema wahenga

    • @thetreasure2230
      @thetreasure2230 7 ปีที่แล้ว +1

      +Cymah Wandelt aisee wacha tufanye mengine. Hatarious!

    • @daimavlog
      @daimavlog 7 ปีที่แล้ว

      The XYZ ndo hivyo wangu

  • @fransiscaaloycematemu4470
    @fransiscaaloycematemu4470 7 ปีที่แล้ว

    Tulie huku tunafanya kazi ,quoted

  • @gerwaldalwena1210
    @gerwaldalwena1210 6 ปีที่แล้ว

    pole dada mwachie mungu pambana!

  • @jhmosha
    @jhmosha 7 ปีที่แล้ว

    TAKE IT EASY SEMWANGA FAMILLY. EVERY BAD OF THE LATE SHALL BE SPOKEN. JUST TAKE COURAGE

  • @rajabusoda2940
    @rajabusoda2940 7 ปีที่แล้ว

    mungu akupe moyo Wa subra

  • @graceleonard6150
    @graceleonard6150 7 ปีที่แล้ว

    keep it's up

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 ปีที่แล้ว +1

    Ama Kweli DEO Alikua mzalendo wa Kweli

  • @castoryngonyanitv2185
    @castoryngonyanitv2185 2 ปีที่แล้ว

    Na Mimi dada Sarah natamani kufuga samaki ukiwa tayari nikutafute Madam wangu

  • @eunnyjanes1440
    @eunnyjanes1440 7 ปีที่แล้ว

    pia mm naomba kufunzwa upandaji wa tikiti maji

  • @denarddavid9202
    @denarddavid9202 7 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU HAMTUPI MJA WAKE, HIZO KUROELA YANATAFUTWA MAYAI YAKE KWA AJILI YA KUTOTOLESHA VIFARANGA. TUNAPATEJE?

  • @mirajiali7317
    @mirajiali7317 7 ปีที่แล้ว

    mungu atakusaidia dada yangu

    • @maxmlelwa5262
      @maxmlelwa5262 7 ปีที่แล้ว +1

      Hongela sana shem

    • @joachimnyangakachacha5028
      @joachimnyangakachacha5028 7 ปีที่แล้ว

      kumbhaa chapa kazi wala usipate msongo wa mawazo Mola akuepusshe na balaaa utatoka ! AMEN

    • @ombenimihwela5002
      @ombenimihwela5002 7 ปีที่แล้ว

      mama safi sana utanitafuta kwenye namba hii0656554800

    • @mamarich8095
      @mamarich8095 7 ปีที่แล้ว

      OMBENI MIHWELA

  • @nurahfedrickkiluko9412
    @nurahfedrickkiluko9412 7 ปีที่แล้ว

    mola akupe nguvu ila tupate fuzo maisha nikusaidiana ilimwengine akiondoka usitaabika

    • @asteriambwei7223
      @asteriambwei7223 4 ปีที่แล้ว

      Hongera Dada uko vinzuri pambana mamaa na hali yako hiyo ni umejiongeza wachukue mfano kwako jamani wajane pambana na biashara haitakuacha tusikae tuu nyumbani hapana kimbizana na maisha

  • @miriamunakupendabureeukovz4831
    @miriamunakupendabureeukovz4831 7 ปีที่แล้ว

    r.I.p my brother

  • @josephcharo8524
    @josephcharo8524 7 ปีที่แล้ว

    Sorry

  • @bonangatuni8077
    @bonangatuni8077 3 ปีที่แล้ว

    Marafiki wamekukimbia wanakuogopa anakujua tabia yako🤣

  • @erizahashim9866
    @erizahashim9866 7 ปีที่แล้ว

    SUPER WOMAN SONGA MBELE

  • @naree3697
    @naree3697 7 ปีที่แล้ว +1

    Dada uongo huo hizo kucha Ni za kulima kweli

    • @mariammsua6453
      @mariammsua6453 3 ปีที่แล้ว

      Hujamwelewa yy n mkulima sio lazima ukiwa mkulima lazima ushike jembe pia unaweza ukawa unasimamia tuu so lazima kushika jembe

  • @matimbwajr4288
    @matimbwajr4288 7 ปีที่แล้ว

    Ulisimama kwa ajili ya Maendeleo ya nchi si chama. Tulitamani tuwe nawe

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 ปีที่แล้ว

    Kucha shida

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 3 ปีที่แล้ว

    Vp mzgo haujaolewa bdo na ikitokea kuna mtu anautaka jee utakubali

  • @saidikimwaga5090
    @saidikimwaga5090 6 ปีที่แล้ว

    tundamani

  • @juliethecstacy8646
    @juliethecstacy8646 7 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukusimamia

  • @odilinamwakibuka5586
    @odilinamwakibuka5586 6 ปีที่แล้ว

    Kingekuwa kipindi cha magu huyo marehemu angepata nafasi kubwa sama

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 3 ปีที่แล้ว

    Kwani zitto aliacha kukusaidia?

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 ปีที่แล้ว +8

    pole dada umenipa nguvu kweli rafiki wa kweli ni yule uko na shida lool