1. Mpe Space 2. Punguza kuwa Available Sana 3. Jaribu kuwa Busy ( pesa, muonekano , status ) 4. Create memories wakati uko nae ( safiri nae, fun, vacation, dinner, etc) 5. Kuwa mwalimu wake ( msaidie kwenye kitu ambacho unajua , mfundishe vitu vizuri kwenye maisha, be a good teacher, kumbuka akitafuta njia zake mwenyewe atakusharau )
aaajir mtu video grapher mzuri, kama awezi ajifunze tutorial za kuedit video aaache uvivu simple like that yeye anasema mkubwa basi asifanye vitu kienyeji
1. Mpe Space
2. Punguza kuwa Available Sana
3. Jaribu kuwa Busy ( pesa, muonekano , status )
4. Create memories wakati uko nae ( safiri nae, fun, vacation, dinner, etc)
5. Kuwa mwalimu wake ( msaidie kwenye kitu ambacho unajua , mfundishe vitu vizuri kwenye maisha, be a good teacher, kumbuka akitafuta njia zake mwenyewe atakusharau )
Tengeneza video bro
All the way up Cali b0y💫💙🚀,,,big up big bruh💫💙🚀
MASTER.. WisDoM is what's important.. hatutaki mambo mengi.
Safi sana big up bro
Unyama
Voice kusikiliza sometime unachoka ni ushauri bro weka video inakuwa ina mvuto kwa fans wako
aaajir mtu video grapher mzuri, kama awezi ajifunze tutorial za kuedit video aaache uvivu simple like that yeye anasema mkubwa basi asifanye vitu kienyeji
Sahihi
Anakazi ya kueka profile ya mademu feki tuuu mupate kuona anafaidii ......ukimwi mtupuuu dadadekii....aisee wabongo are fakeniii😂😂😂😂😂