Kwanini una mikosi - CALISAH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024
  • Kwenye Maisha ya kila siku tunakutana na vitu vingo sana ikiwemo mikosi,
    mikosi ni nini ? jinsi gani tunawea kuepuka.
    inaelezwa kwa kirefu na CALISAH
    Follow us on instagram: @buildpwr @calisah

ความคิดเห็น • 15

  • @TotyMesha
    @TotyMesha ปีที่แล้ว +1

    Nakufatilia mamen kazii kazii

  • @oppatz5544
    @oppatz5544 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana blood

  • @remybernad605
    @remybernad605 ปีที่แล้ว +2

    Kama utakuwa unasikiliza build na still upo the same person for real utakuwa una matatizo..since the day nafatilia build nimekuwa ni kicharge up ma brain,pia nimekuwa mtu wa kufanya choices nzurii,kupitia build imesadia kujua my purpose,kupitia build nimeweza kujua mindset za girls,kupitia build i started training,kupitia imenifanya nisome sana so I can teach my gf and other people abt life

  • @ShebywakxhuaCALISAH
    @ShebywakxhuaCALISAH ปีที่แล้ว

    I got mah men 💪

  • @RAZYKING-jx8ie
    @RAZYKING-jx8ie ปีที่แล้ว +2

    Bro najivunia sanna kukufatilia since day one toka episode ya kwanza paka saa iiapa nimekua mtu the best sanna kwa wanaonizunguka ☝

  • @benny950
    @benny950 ปีที่แล้ว

    Kabisaa

  • @sofiaissamkandama2742
    @sofiaissamkandama2742 ปีที่แล้ว +2

    True 100%

  • @dcampafrica
    @dcampafrica ปีที่แล้ว +4

    brother jinsi ulivo njee watu wanaweza kukuona mtu wa kawaida tu ila unamadini kichwani usiache kupigania wanaume hakuna mtetezi wao 📌💯

  • @yusuphkidoto6766
    @yusuphkidoto6766 11 หลายเดือนก่อน

    Nataka ngozi yakitoto na yakuvutia napataje niko mkoani

  • @dennardleonard1228
    @dennardleonard1228 ปีที่แล้ว +2

    ISHI MILELE KAKA..LESSON NLIYOPATA NI KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tendo la ndoa ni roho mbili huunganika kuwa roho moja ndiomana baada ya sex tu unaanza kuandamwa na yale ambayo aliyonayo mpenzi wako.

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 ปีที่แล้ว

    Kaka tukupe mauwa Yako na mapema sana

  • @mayshakur1301
    @mayshakur1301 ปีที่แล้ว +1

    Unakitu kikubwa sana bro