Poleni saaaaana kwa Msiba mkubwa wa Mke wa mtumishi wa Mungu Mzee wetu mwana Injili Askofu Yona Suleiman Mungu awatienguvu awafariji saaaaana saaaaana 2 thesalonike 3 : 3, Lakini Bwana ni Mwaminifu, atakayewafanya Imara na kuwalinda na yule Mwovu.
Pole sana mchungaji wangu wewe ndiyo ulipanda wokovu ndani yangu na mpaka Leo Mungu amenisimamisha ktk Imani Mungu wa mbinguni akupe matumaini mapya na neema yake ikuwezeshe kusonga mbele tukijua mama yetu. Yuko mbinguni na sisi tunatarajia kufika huko .Mungu akutunze amen
Pole sana Bishop Yona. Jicho lako limeondoka. Mungu Akutie nguvu. Mungu Aitie nguvu familia nzima, kanisa, Kanisa la Mungu kote ulikotembea ukitumika.
Pole sana Askofu,Bwana wetu Yesu Kristo akufariji
Pole Sana baba Mungu mwema akupe nguvu ya kusimama imara ktk kipindi hiki kigumu.
Pole baba Askofu , 33:28 Bwana Yesu awe faraja
Mungu yupo Atawawezesha kupona mioyo Mtashangaa poleni sana Mtumishi wa Mungu Aliyehai.
Ubarikiwe mch kwa kujali ni wachungaji wachache sn wenye upendo wa kweli kwa wake zao
Mungu nimwema awatie nguvu familia yote Aminaaa 🙏🏻
Pole sana baba mungu aku fariji
Poleni saaaaana kwa Msiba mkubwa wa Mke wa mtumishi wa Mungu Mzee wetu mwana Injili Askofu Yona Suleiman Mungu awatienguvu awafariji saaaaana saaaaana 2 thesalonike 3 : 3, Lakini Bwana ni Mwaminifu, atakayewafanya Imara na kuwalinda na yule Mwovu.
Pole sana baba na watoto Mungu wa mbinguni awafariji.
Pole bishop Tina,MUNGU AZIDI KUWAFARIJI na familia yako na kuwatia nguvu ameen
Pole sana Bishop Mungu akutie nguvu
Mungu awape faraja yake.,Apumzike kwa amani.
Pole sana Bishop Mwenyezi Mungu akutie nguvu
Pole baba yetu, Mungu akutie nguvu tu.
Bwana akutie nguvu Kaka yangu Bishop Yona pamoja na watoto na familia kwa ujumla.
Pole sana Mungu awatie nguvu sana
Pole Sana mchungaji!
Nigonge nisigonge,gongaaaa,niseme nisiseme semaaaaaa,pole Sana mtumishi
Mungu awape faraja kwa msiba huu mzito.
Pole sna mtumishi wa Mungu
Pole sana mtumishi
Mungu akutie nguvu sana na upate faraja za kutosha
Pole sana mtu wa Mungu
Mungu akupe nguvu
Mungu azidi kuwafariji wapendwa.
Nilichojifunza kutoka kwako mchungaji ni UPENDO wa hali ya juu sana.. yote hayo chanzo ni upendo 💕🤝
Ombi langu Kwa Mungu akukumbuke akumbuke moyo wako wa upendo,pia akutie nguvu ushuhuda wako umenifundisha kitu
pole sana
Poleni sana.
Pole sana
Yesu ifariji familia hii
Pole sana mchungaji wangu wewe ndiyo ulipanda wokovu ndani yangu na mpaka Leo Mungu amenisimamisha ktk Imani Mungu wa mbinguni akupe matumaini mapya na neema yake ikuwezeshe kusonga mbele tukijua mama yetu. Yuko mbinguni na sisi tunatarajia kufika huko .Mungu akutunze amen
Pole sana Bishop Bwana Yesu akutie nguvu na farxja
Pole na Wewe pia
MUNGU akutie nguvu mtumishi
Jamani Kisukari kwa Watumishi ni kingi
Kisukari inasababishwa na nn
Mwendo ameumaliza,.imani ameilinda. ,ipo cku tutaonana tena tukifika mbinguni. ,.,