Amen Amen hata mm nilikuaga nimehambiwa Kama nitazaa kwa operation lakini niliweka Imani pamoja na Mungu nilikifungua Slm KBs bila shida sbb walikua naniambia nitajifungua mtoto alie fariki ashukuriwe bwana Yesu, asante kwasomo nzuri nakufuata toka USA
Kwakweli Mungu azidi kututunza Mimi pia nimejifungua kwa operation watoto wote wawili nabado nilikua naona kibinadamu nisawa tu kumbe nilikua mwilini Mungu atusaidie uzao unao fuata tujifungue salama kabisa Amina ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
Amina sana mtumishi waMungu kwa SoMo la leo umegusa. Sana moyo wangu maana Mimi hayo yote nimeyapitia, nasaa zingine nap madocta nap wanachangia Kama ulivyosema wao wapo mwilini nasi Rohoni Mungu akubariki naakutumie zaidi mtumishi mm waliniambia nifunge watoto nitakuja kufa nikawambia siogopi kufa kwa maana Mungu ndie aliyetwamulu tuzae
Asifiwe yesu pia nami nilipokuwa na ujauzito mtoto alipitisha masiku nikaambiwa ntafanyiwa oparesheni Kwa jina LA yesu nilitoroka hospitalini juu ya bill baadae baada ya siku Moja nilizaa kawaida amen amen yesu alinitetea
Yaani shetani afanye yote lkn Kila anavyotutendea mabaya mle mle kwenye mabaya yanatokea mema maana huu ulimwengu Kila kitu ni chakuzimu ashukuliwe Mungu maana katika mabaya ya shetani Mungu nae anapitia hapo shetani alileta sm akitaka kutupoteza lkn sm hizo hizo tunasikiliza injili shuhuda na tunasonga mbele huo ni mfano mmoja tu lkn yako mengi nakushukru Yesu umejipanga vizuri wewe na jeshi lako
Iweje mnyama aliyeumbwa kwa mavumbi kama alivyoumbwa mwanadamu azae bila upasuaji? Na mwanadamu azae kwa kupasuliwa? Neno na MUNGU ndio taa yangu. Mapenzi yake na yatimie.
Amen, asante mchungaji, Mungu akubariki sana kwa kutufungua kiroho kwa uweza wa injili ya kweli unayoihubiri.
Amen, MUNGU akubariki Pastor Kwa somo hili ili Watakatifu wengi wapate kujua kuwa operation ni roho toka kizimu
Amen Amen hata mm nilikuaga nimehambiwa Kama nitazaa kwa operation lakini niliweka Imani pamoja na Mungu nilikifungua Slm KBs bila shida sbb walikua naniambia nitajifungua mtoto alie fariki ashukuriwe bwana Yesu, asante kwasomo nzuri nakufuata toka USA
Kwakweli Mungu azidi kututunza Mimi pia nimejifungua kwa operation watoto wote wawili nabado nilikua naona kibinadamu nisawa tu kumbe nilikua mwilini Mungu atusaidie uzao unao fuata tujifungue salama kabisa Amina ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
Amina sana mtumishi waMungu kwa SoMo la leo umegusa. Sana moyo wangu maana Mimi hayo yote nimeyapitia, nasaa zingine nap madocta nap wanachangia Kama ulivyosema wao wapo mwilini nasi Rohoni Mungu akubariki naakutumie zaidi mtumishi mm waliniambia nifunge watoto nitakuja kufa nikawambia siogopi kufa kwa maana Mungu ndie aliyetwamulu tuzae
Ni kweli kabisa Asante kwa kutufunulia Mtumishi
Aminaa mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana
AMINA, MUNGU wetu Asante sanamtumishi barikiwa sana
Gooood
Amina mtumishi wa Mungu.
Asifiwe yesu pia nami nilipokuwa na ujauzito mtoto alipitisha masiku nikaambiwa ntafanyiwa oparesheni Kwa jina LA yesu nilitoroka hospitalini juu ya bill baadae baada ya siku Moja nilizaa kawaida amen amen yesu alinitetea
Mungu Anisaidie nimezaa na operation mimba mbili
Mungu atusaidie mimi mtoto wa kwanza nilifanyiwa operation wapili nikaenda kuomba mwenyewe wanifanyie operation , Mungu nirehem u mimi.
Amen.... Amen..... Mwana wa Mungu.
Amen,
Amen
Ameen
Nena mtumishi wa Bwana
Nikweli kabisa
Mtumishi Nina ndugu yangu ni mjamzito niliota ndoto amefanyiwa opareshen hapo nifanyeje
Eeeh Yesu tusaidie hatuwezi bila wewe
Yaani shetani afanye yote lkn Kila anavyotutendea mabaya mle mle kwenye mabaya yanatokea mema maana huu ulimwengu Kila kitu ni chakuzimu ashukuliwe Mungu maana katika mabaya ya shetani Mungu nae anapitia hapo shetani alileta sm akitaka kutupoteza lkn sm hizo hizo tunasikiliza injili shuhuda na tunasonga mbele huo ni mfano mmoja tu lkn yako mengi nakushukru Yesu umejipanga vizuri wewe na jeshi lako
Sisi tuliozaa kwa upasuaji inabidi tuombe toba ,mana tulishindwa kukaa kwenye nafasi zetu
Kutoka kenya 🇰🇪
😢