" Ahlan wasahlan wa Marhaban mpenzi msikilizaji nikitumai u mzima popote ulipo , ni Jumapili nyingine nakukaribisha kwenye kipindi Kwa Raha Zangu papa hapa KBC Redio Taifa, mimi sina neno ila amri ya Mungu. Anayekukaribisha si mwingine ila miye Khadija Ali" - Khadija Ali ❤❤❤
"Sijali muyasemayo enyi walimwengu,,natenda niyapendayo kwa raha zangu"
umeona eeh
@@sandukuladhahabu
Hakika mia mia
" Ahlan wasahlan wa Marhaban mpenzi msikilizaji nikitumai u mzima popote ulipo , ni Jumapili nyingine nakukaribisha kwenye kipindi Kwa Raha Zangu papa hapa KBC Redio Taifa, mimi sina neno ila amri ya Mungu. Anayekukaribisha si mwingine ila miye Khadija Ali" - Khadija Ali ❤❤❤
Naomba wimbo wa eshe Mohamed unaoitwa loo mmezoea
Had raha memories 💃💃💃
Mbona nikijaribu kudanlodi siwezi jaman❤❤❤❤
Hii nyimbo pambe hatar
Old is gold
Sadakt ya kale ni dhahabu
Jaman mbona audio hamna
Nice song
asantw kwa kuwa nasi Naomba endelea kushare na wengine wapate kusubscribe Channel yetu
Maneno kuntu
2024
napewa pipi pesa na mobitel
Endelea kuwa nasi share na wengine wapate kusubscribe Channel yetu