UTACHEKA: BARNABA ALIVYOPANGILIA MATUMIZI YA SHILINGI MILIONI MOJA KWENYE FAMILIA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 ปีที่แล้ว +18

    Mdogo wangu umetisha 🎉🎉🎉🎉 na bei anazijua on point robo ngano Chapati 7 umenikosha B 👏👏👏👏👏

  • @PrinceNoah-rz1kw
    @PrinceNoah-rz1kw ปีที่แล้ว +15

    Wenzangu na mm kama barnaba gonga like apoo

  • @happynessdavid7921
    @happynessdavid7921 ปีที่แล้ว +16

    IF MATURITY WAS A PERSON

  • @nurdininanjota4056
    @nurdininanjota4056 ปีที่แล้ว +5

    Nimeipenda hii safi👏👏

  • @happynessdavid7921
    @happynessdavid7921 ปีที่แล้ว +7

    NIMEMPENDA SANAA HUYU KAKA
    MTAMCHEKA LKN ANANUFAIKA SANAAAA

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว +6

    Barnaba wewe ni noma 😂😂😂😂😂binadam hutakiwi KUJIFANYA unajua kutumia pesa Kwa kutaka sifa

    • @sumayaishengoma4543
      @sumayaishengoma4543 ปีที่แล้ว +1

      Yupo so really hakuna kufekisha maisha.. nimezidi kupenda

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 ปีที่แล้ว +5

    Nlikua naskiliza interview na mke wangu, zile dakika 5 za mwanzo nikaanza kuskia mtu anasonya tu. Yaan eti dah mbahili sana huyu. Namwambia huyu mbishi ndio maisha yanayopendeza

  • @Josh_1194
    @Josh_1194 ปีที่แล้ว +5

    Et kina vidox na huyo manz wanshangaa as if wao maisha Yao yako juu

  • @tamashaally8049
    @tamashaally8049 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda wewe nimkweli

  • @iddsaid3039
    @iddsaid3039 ปีที่แล้ว +2

    Big up kuna somo hapa.
    REALISTIC

  • @restitutaleshabari3451
    @restitutaleshabari3451 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli kabisa .Barinabas umeweza unayosema ni yakweli.Mimi ni mama wa miaka 57.ninaunga mkono .Ml Moja ka matumizi ya nyumbani ni nyingi sana .unaweza it umia zaidi ya miezi mitano bila shida.

  • @SwidatyOmary
    @SwidatyOmary ปีที่แล้ว +2

    Mfano mzuri wa kuiga❤

  • @OmanOman-ry5gw
    @OmanOman-ry5gw ปีที่แล้ว +3

    Kama msani mwengine angesema one week one million

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisaaa

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 eti una ma effect naipendaiyo kaka

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +3

    Kwenye kukopesha nikamimi bora nikupe bure kuliko kukopesha🙌

  • @hidayapaulo6752
    @hidayapaulo6752 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Boy hutafirisika huendesh na pesa ishi maisha hayo hayo utajir unakuhusu

  • @merypetro5585
    @merypetro5585 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sna

  • @Markhomestz
    @Markhomestz ปีที่แล้ว +1

    Big up sanaa Barnaba

  • @katalinamvanga1199
    @katalinamvanga1199 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sanaa Mangi uko sawa

  • @user-up2yn2lo9f
    @user-up2yn2lo9f ปีที่แล้ว

    Umetisha baba sikwabajeti yiyo

  • @DreamBoy26-ol1xd
    @DreamBoy26-ol1xd ปีที่แล้ว

    Aaaah jamaa genius sanaaaa

  • @MohamedAhmed-ns5mi
    @MohamedAhmed-ns5mi ปีที่แล้ว

    Nakubali bro

  • @geeva99
    @geeva99 ปีที่แล้ว +1

    Ila yuko sahihi matumizi ya nyumbani m1 nyingi sana hadi umeme na maji unalipa ya muda sana

  • @naomihaika538
    @naomihaika538 ปีที่แล้ว

    Kila superstar angeishi maisha ya uhalisia kama Barnaba daa wasingeishi maisha fake na ya kujiumiza,,,,big up barnaba

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +2

    Yani uyu barnaba anachekesha sana

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 ปีที่แล้ว +1

    Kuna watu wangesema sado ya nyanya laki mbili vitu ambavyo si vya ukweli 😢😁

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 ปีที่แล้ว +1

    Really life sio licha ya uchaga tu mzee unazungumza ukweli
    Huna muda wa kudanganya jamii ✍️✍️ akili nyingi

  • @mpangampanga1609
    @mpangampanga1609 ปีที่แล้ว

    Hamna mume hapa

  • @user-rv7zt6tj3d
    @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว +1

    Nyie waandishi ndio mnachangia kuurudisha ukabila hata kichwa cha habar haikuwa na maana kuandika mchaga coz tz hatuna ukabila, sasa hiv ukabila unarud kwa kasi na madhara ya ukabila mnayajua oneni burundi, sudan, somalia n.k acheni ukabila umoja ni muhim kwa mtanzania, amani ni nguzo ya maisha acheni kupromot ukabila hakuna aliyebora juu ya mwenngine.

  • @abdallahkamilagwa9655
    @abdallahkamilagwa9655 ปีที่แล้ว +1

    Umenifurahisha Sana Kama "celebrity" badget unaijua😂😂😂

  • @SubirahJamson-tu7vx
    @SubirahJamson-tu7vx ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @aishaz1
    @aishaz1 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @IvanClassicke
    @IvanClassicke ปีที่แล้ว +1

    ✊🏾✊🏾

  • @estermahenge-ks3dr
    @estermahenge-ks3dr ปีที่แล้ว

    anajua kweli hatarii😂😂😂😂

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 ปีที่แล้ว +1

    Barnaba hafake life huwa anaenda straight kabsa huo ndo UHALISIA WA Maisha ya kawaida,kazungumza ukweli kabsa maana MILIONI Moja ni mtaji WA mangi mtaani

  • @ebakeichinge7081
    @ebakeichinge7081 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana

  • @yusuphkayuni8188
    @yusuphkayuni8188 ปีที่แล้ว

    Izi nguo kaludia koz naona interview znapishana miezi afu nguo ni zile zile

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p ปีที่แล้ว

    Bajeti nimeielewa vzr, watu tunaoishi au tuloisha maisha ya hali zote hapa tunaelewana Na pesa ukiwa unaitafuta wewe mwenyewe, kama bado uko nyumban huwezi elewa

  • @fredrickmaitha4427
    @fredrickmaitha4427 ปีที่แล้ว +1

    Ndimu moja mia????😂😂😂😂😂uku Kenya 🇰🇪 tatu ni shilingi kumi😂😂😂

    • @lexusnambasita3086
      @lexusnambasita3086 ปีที่แล้ว +1

      Kumi ya Kenya ni 2k ya tz😅

    • @fredrickmaitha4427
      @fredrickmaitha4427 ปีที่แล้ว

      ​@@lexusnambasita3086oooooh 😂😂😂

    • @westcijosh
      @westcijosh ปีที่แล้ว

      ​@@fredrickmaitha4427uchumi wenu n ovyo sana

  • @tasukutechnologies2573
    @tasukutechnologies2573 ปีที่แล้ว

    Hii ni kweli kabisa

    • @julianaswai7846
      @julianaswai7846 ปีที่แล้ว

      Mimi ni mchaga. Mimi mwenyew naban mpak penati

  • @naomchristopher
    @naomchristopher ปีที่แล้ว

    Saf San broo nimekuelewa.

  • @nuruyusuph5562
    @nuruyusuph5562 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 katisha sana hapo kwenye unga robo chapati saba kweri kabisa jana tu nimepika na zimetoka saba chapati za maji

  • @ndogolofadhila6203
    @ndogolofadhila6203 ปีที่แล้ว

    Unyama

  • @Josh_1194
    @Josh_1194 ปีที่แล้ว +1

    Safi chaliii bajeti muhimu, sio uchaga hat ni kujua maana ya maisha

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 ปีที่แล้ว

    Barnaba Yuko sahihi

  • @vickyadrian1503
    @vickyadrian1503 ปีที่แล้ว +1

    HUJAWAHI NIANGUSHA MDOGO WANGU NAKUPA CHIMBO LA NYAMA MOMBASA MACHINJIONI

  • @edwinamos9734
    @edwinamos9734 ปีที่แล้ว

    Barnaba anacho sema ni ukweli mtupu sio matani mpaka soko la mwana nyamara nisha mwona sio kama huyo sister anajishauwa na kujifanya boss wakati hana kitu tena amfikii barnaba kipesa huyo mama miyeyusho .anaonekana mwigiza maisha

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q ปีที่แล้ว

    Mzee wa Kongoro- "Chapti, " Kinondoni, kwa Makala!

  • @allytwalibuhusseni9339
    @allytwalibuhusseni9339 ปีที่แล้ว

    Muongo huyu haiwezekani vitu vya miez 3 au mi2 nyanya gani itadumu miez hyo au kuku gani huyo

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 ปีที่แล้ว +1

    Sio kweli robo ya unga ya ngano chapati 7 hapana kilo moja ndio chapati 14

    • @godfreykeita9804
      @godfreykeita9804 ปีที่แล้ว +1

      za mayai znatoka 7

    • @gsimba
      @gsimba ปีที่แล้ว +1

      Ya maji

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว +2

      Kweli za mayai ni 7 za kusukuma 4

    • @naomisamwel18
      @naomisamwel18 ปีที่แล้ว +1

      Itakuw wanakula chapati za maji hao😁

  • @amenamen9752
    @amenamen9752 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂, hautumii gesi, 60,000 , umeme,??! haujamlipa dada, sabuni, mafuta ya kula, Lita tano sasa ni karibia 40,000 na... laki mbili Kwa mwezi kweli?! Hauna mtoto anaekwenda shule kila siku umpe ela ya nauli na kula shule?! Kwa vitu vya sokoni Tu kweli laki mbili sawa, lakini si matumizi yote ya nyumbani

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 ปีที่แล้ว

      Kwan ges ni kila cku au hiyo shule ana lipa naur kila uki tulia uta muelewa zaid

    • @westcijosh
      @westcijosh ปีที่แล้ว

      Vtu unavyo zungumzia havitokei kila sku

  • @silvergold5855
    @silvergold5855 ปีที่แล้ว

    Siyo sifa wala mapenzi mpe hela mkeo acha ubahili

  • @bonphacearon2428
    @bonphacearon2428 ปีที่แล้ว

    Xwala la mecup naona frida kabak anatoa macho tu🤣🤣hana namna kimya, achen hayo makitu ndo mnakua bomba zaid mtu unaweka kope unakua kma mtt wa jini😃

  • @mmn7480
    @mmn7480 ปีที่แล้ว

    Ajakosea nikweli kbsa

  • @GabrielManjura-bm9se
    @GabrielManjura-bm9se ปีที่แล้ว

    Ebhanaee huyu jamaa Ni genius kama Mimi

  • @frederickekyombo-pj3lc
    @frederickekyombo-pj3lc ปีที่แล้ว

    Wasanii wengi Tz Wana fake Maisha ili kuonekana Wana pesa Kumbe awana

  • @hyacintagugu7
    @hyacintagugu7 ปีที่แล้ว +1

    Alooo...Pokea maua yako

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uweeeeeh

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kitu wewee 😸😸😸

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 ปีที่แล้ว

    Ww na mwambs

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว

    INTERVIEW ILISHAPITA,,

  • @DM_15
    @DM_15 ปีที่แล้ว

    Nikweli kabisa sisi ndio tunaishi hivyo mshahara wetu laki tatu kwa mwezi

  • @amjudith
    @amjudith ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว

    Heehehehehe hawa ndo wale wanaume wachoyo😂😂😂😂😂pole kwa mke wake
    Hakuna chapati 7 kwenye robo😂😂😂umeona..iyo ni kilo.
    wanaume wachoyo..wanaume wenye fitna na figisu,kwenda sokoni mwanaume ni sawa kabisa,lakini kwa style hii mmmh
    Huyu ndo mwanaume anakupimia hadi sukari 😂😂😂😂

    • @hotubamusic9004
      @hotubamusic9004 ปีที่แล้ว +1

      Tunajbana il mbelen tuje kula mboga 7

  • @johnnytravo
    @johnnytravo ปีที่แล้ว

    Mmoja tuu? th-cam.com/video/OhoDrsxAQlg/w-d-xo.html