Mwanaume Alieishi Kwa Miaka 25 Kama Mwanamke
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- Hii ni Historia Ya Mwanaume Alieishi Kama Mwanamke Kwa Miaka 25
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #watuwaajabu #extraodinarypeople
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI
Pole sana ulijinusuru mshukuru Mungu sema ungerudi kwa hali yako
Mungu_tusamehee_ya_ALLAH_Dunia_imefika_mwisho
Waaaaaaaaah pole saana
Shid ya wat wanajaji to huyu jamaa Alieh jibadir kua mwanamke
Wamesahau kwamba mbinu ariyo tumia ni ya kivita na ujasiri Anahitaji pongezi
Sub hanallah!!
Msiba huu
Mnahamasisha ushenzi tu nyinyi,Ili na wengine waweze kuiga upuuzi,Allah atawalaani nyinyi......
Sasa km mambo yalipita km kuna haja gn kuendelea na hio Hali sio sawa kbx nahc km kichwan pia hakuko sawa
Warapfanye Imana niyoyokukuzura
Jaman jaman jaman jaman jaman jaman jaman jaman jaman jaman jaman jaman jaman njoon muone dunia inavyoisha huku
Mbona wamefanana sasa jaman ila daah watoto wanavulugwa na awa wazazi vilaza
Duniani Kuna Mambo
Bado Dunia Ina mengi aisee tena mapya
Wamefanana
Akili ni nywele kila mtu ana zake
Jamaa Muoga Sana Huyo Kisa Vita Ndo Akijafanya Mwanamke Daaah Hawajamgusa Kwel Huyo Jamaa 🤔😁🤣😂🤣🤣🥱🥱
Si vita vishaisha
Pole sana kaka 😍😍😍
Haifai mwanaume kuvaa mavazi ya kike hivyo na mwanamke kuvaa mavazi ya kiume ni dhambi aache na arudi kwenye uhalisia wake vita ilishaisha abadilike
Duhh utafikiri mtu na mwanamke mwenzie
Roho ni moja tu🥰🥰🥰😄
Subhanallha dunia simama nishuke
Mnawachanganya tu hao watoto🤔
Aliingiwa na mapepo pelekeni kwenye maombi, akamatwe anaharibu maadili ya watoto, na mke wke ana matatizo ya akili
Huyu mwanamke Ana moyo jaman
😊😊😊atarii
Wow
Huyo ni dada kiboga analiwa sana
Ana matiti!!
Na ww umeona maan km matiti kabis
@@joycekelvin5434 hata minimejiuza na matiti yaliota badala ya kujiigiza Kia mwanamke
wanatu zinguwa aw uyu nidem
Bonifasi William mpenda
Siwez kumlaumu kabsaa kwasabab alifanya kunusuru uhai wake daah
yesu kristo😪😪😪
Astaghfiru llah ya Allah tujaalie mwisho mwema
aamina.yarabi
Mmmm
Mmmh
Jamani wapendwa katika bwana mumushauli ili apate msaada wa kiakili please
Makubwa 🙆♂️
Sübhanallah
Subuhanallah sasa lengo lake lilikua ninini
Ujaskiza
Ataovo ili lishakua senge
Sasa baada kuepuka kuuwawa na hapo alipo kuna usalama, mbona asirudie hali ya mavazi yake. He's not saying the truth, what does he do for a living
Tupe ukwel wako wew
🤣🤣🤣🤣🤣
sasa na uyo mtoto wakiume akija kuvaa kama yeye asiongee maana ana muaribu mwenyewe
Wanafanana
Hahaha eti bebi anasema!
Anafanya kazi gani sasa 🤣🤣🤣
Hapo nilipenda kujuaa hata mie
Dania imeisha
Shoga mkubwa huyooo
Ukistaajabu ya Musa...?!
Mtihan huo
Nooooooooooo thank you
Huyu angekua bwanangu na mpiga makofi mpaka akili inafunguka
Kuna watu na viatu duniani
Anapumuliwa wasitudanganye
Sasa adi utoboee pua nyusi uchonge daa mtihani🤔🤔
Lakini nijisura lakiume linaonesha nlisauti
Bibiliya uravugango zinamuhunga ntakambare nkazinamukobwa numukobwa nukwo
Nilijua nishayaona yote kumbe safari bado ni ndefu😂😂😂😂
😂😂😂😂 bado sana Mama
@@consolatamedard6593 😂😂😂😂
Mhhh watoto wanamwita mama au baba?
Ndo kwanza asubuhi
Subhaana llaah Dunia Ina mengi aisee daaaaah
🤔🤔🤔🙄🙄
Nimtihani mkubwa huo
Yarahahamutseeeee
😆😆😆😆😆😆
Shoga huyo
Mume hapaswi kuvaa mavaziya kike
Mbon Kama mbovu
Muovu huyu
Wamefanana