MAJIBU KWA YUSUFU DIWANI MKUFURISHAJI || SHEIKH MUHAMMAD IS-HAQ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ni mwezi wa rudud wa kuwanyoosha masufi tu Allah awahifadhi masheikh wa kisalafi

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Muhammad Is-haq nimekufuatilia kitambo kidogo,unanena bila unafiq,
    Mungu akupe Neema uijuwe kweli unusuriwe na jehannam
    Sheikh Bachu YESU(Yasur) anakuja soon mpokee tafadhali

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atuongoze Waislamu wote wakiwemo ndugu zetu masufi katika njia iliyo bora (sawa).

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 หลายเดือนก่อน

      Allahumma aamiin.Yaani wewe ndugu yangu sikukosi kila sehemu Maa shaa Allah

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 4 หลายเดือนก่อน

      @@Hamis-ks1sy Asante Hamis. Au khamisiiiii?
      Kisha umesema ndugu yangu yaani umepatia, nashangaaaa

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 4 หลายเดือนก่อน

      @@darajanida ameen, wewe piga ua, ila upate pepo tu mwisho wasiku, hatumfosi mtu kufuata njia fulani, tunamshauri mtu afanye kila lililo lazima kufanywa ili mwisho wasiku wapate pepo.
      ولم يصبحوا صوفية أو سلفية أو شيعية أو وهابية.إلا بقدرة الله وحده

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 4 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana sheikh is haq kwa kumfundisha mgaga wa kienyeji mpiga vipande Yusuf diwani
    Sheikh Muhammad ibnu Abdul wahabe sio aliye anza kugawa tauhidi
    Maimamu abu Hanifa waligawa tauhidi
    Na imamu abu Hanifa ni wahabe???
    Yusuf diwani
    AJIBU

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l 4 หลายเดือนก่อน +5

    Tatizo hawa masufi wameingiziwa chuki na mashia wao hawajui chochote ,ni wavivu wa kusoma na pia hawajui taarekh ya itiqadi ya Ahalu sunna wal jamaa.

    • @turbobeats8666
      @turbobeats8666 4 หลายเดือนก่อน

      mashia wsnaingiaje hapa

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 4 หลายเดือนก่อน +1

    Masufi nikama vinyago tu,

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 4 หลายเดือนก่อน +1

    Diwani hamna kitu ni msiba mtupu

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 4 หลายเดือนก่อน

    masufi wanafeli wapi

  • @mansulesuleyman6217
    @mansulesuleyman6217 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee ulikua wp ?? Ama ulikua hajatumwa?? Ama walikua hawajakufunza??? Ama walikua hawajakushikisha???

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 4 หลายเดือนก่อน

    Huu uchafu utasafika inshaallah shia na masufi makhurafi wote ngora Moja na hawataki kuskia hili ndo la Sunnah wao wabaki kuzua tu n hawataki kuambiwa watafute majibu kwa Allah yakujibu

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 หลายเดือนก่อน

      We yahudi kweli,Mnapinga bidaa wakati nyie ndo mnaongoza kwakuifanya!, Swali je hiyo tawhid ni Mtume au Maswahaba ndo walianzisha au ni bidaa Zenu.

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 4 หลายเดือนก่อน

      @@darajanida nkama wee mmoja wa hao wazushi sio endeleeni kuchafua dini y Allah n muogopeni ALLAH jamani

    • @YasiniRajabuAlly-oc1pd
      @YasiniRajabuAlly-oc1pd 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@IsmailSanga inaonyesha hujaskiza kilichozungumzwa ukakurupukia comment bs nakushaur kaa uskize kwa umakini kabisa utaelewa ikiwa wataka kuelewa kwa idhni ya llah

  • @badrudinsalum3139
    @badrudinsalum3139 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyo Diwani kam huo ndo ushahidi aliotoa kuthibitisha ukatoliki wa mawahabi basi anatakiwa apimwe akili na hao wafuasi wake ndo wakupelekwa milembe kabisaaa

  • @saidsobongo912
    @saidsobongo912 4 หลายเดือนก่อน

    Masufi wapewe elimu kamahii waki kaliwa kimya wanajikuta vigogo kumbe wapuuzi waganga haoo sijui wana vichwa vya kuku maana hawa fahamu

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 หลายเดือนก่อน

      We Yahudi endelea kuabudu mungu mwenye nywele ndogondogo na kujitoa Muhanga

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 4 หลายเดือนก่อน

    Je,Mtume ndo aliwafunza maswahaba hivyo kua tawhid imegawanyika mara 3!?

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 4 หลายเดือนก่อน

      Kwel ujinga ni upofu sasa ustadh usichokielewa hapo nin shekh anasoma na kutaja vitabu kisha una uliza upuuzi

    • @alf8177
      @alf8177 4 หลายเดือนก่อน

      je mtume aliwafundisha masahaba kama swala in nguzo 17? au hiuitakidi kama sala ina nguzo

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 หลายเดือนก่อน

      @@saidsobongo912 We yahudi kweli,Endelea kuabuMungu mungu nikijana Mwenye Nywele ndogondogo

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 หลายเดือนก่อน

      @@alf8177 We Yahudi,Endelea kuabudu mungu mwenye nywele ndogondogao.

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 4 หลายเดือนก่อน

      @@alf8177 Sifahamu kama swala inanguzo,embu naomba nifaamishe nani alifundisha Kama swala inanguzo 17.

  • @OmarShela-p2z
    @OmarShela-p2z 4 หลายเดือนก่อน

    Inaonesha wewe hata akili hauna