Ifahamu kozi ya Computer Science na kazi unazoweza kufanya ukisoma kozi hiyo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @VanyVan-l8j
    @VanyVan-l8j หลายเดือนก่อน

    Vizuli Sana dad angg

  • @salmaathumani7051
    @salmaathumani7051 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa ujumbe nashauri kuwe na vipindi vya kujifunza topic moja had nyingine

  • @rahelsimon
    @rahelsimon ปีที่แล้ว +2

    Hi hv mtu aliyepata division four 28 anaweza kusomea nn? Lakin samahan

  • @kibatexaz8570
    @kibatexaz8570 2 ปีที่แล้ว +1

    Corse gan ni nzuri kwa ngazi ya ajira

  • @chilaboytz3774
    @chilaboytz3774 2 ปีที่แล้ว +2

    Ongea pole pole ww

  • @christophertz
    @christophertz 3 ปีที่แล้ว +2

    Nmekuelewa sana, bas clip ijayo post ya Information technology 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @MaishayaChuo
      @MaishayaChuo  3 ปีที่แล้ว

      Poa poa, kwaajili yako nitafuatia na hiyo💪💪💪💪💪😄

  • @kibatexaz8570
    @kibatexaz8570 2 ปีที่แล้ว

    Unaweza kusoma ict ngazi ya diploma then digree ukapiga comperter science au corse nyengne zinazoendana kwa kutumia cheti cha diploma

  • @RoseJack-q7m
    @RoseJack-q7m ปีที่แล้ว

    Computer sayansi Ina dili na masomo gani na pia mnapatikana wap?

  • @dainess9396
    @dainess9396 2 ปีที่แล้ว +1

    naomba unitajie sifa za kujiunga na computer science

    • @dainess9396
      @dainess9396 2 ปีที่แล้ว

      mm nimemaliza form four nataka kusoma computer

  • @muhidinsaid438
    @muhidinsaid438 3 ปีที่แล้ว +2

    nice voice !

    • @MaishayaChuo
      @MaishayaChuo  3 ปีที่แล้ว

      asante sana jamani.. asante pia kwa kusikiliza

  • @aymanmaganga9315
    @aymanmaganga9315 2 ปีที่แล้ว

    Hiii course me naona ndio update course na inashika sekta mbalimbali

  • @muraadtv7031
    @muraadtv7031 3 ปีที่แล้ว +1

    Je mwanafunzi wa HGK anaweza kusoma course ya computer science

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว

      Hapana labda IT ila uwe ulifaulu hesabu o. Level

  • @togetherwecan-ms7jo
    @togetherwecan-ms7jo ปีที่แล้ว

    Xax mnaachaje comment zawatu amjibu

  • @charlesleonard609
    @charlesleonard609 2 ปีที่แล้ว

    Kwani hii koz unahitaji mtu kwenye vigezo gani

  • @zickmalik4901
    @zickmalik4901 ปีที่แล้ว

    Jamn kuongea sio kils mtu anaweza. Dada unaongea sana ukitaka kuongea vzr andaa formula anza na introduction, kiini, na nk lkn unaruka ruka kama paka mgojwa why? 🤢