Unyama ni mwingi mzeee like zang jman😅😅😅
AI doesn't exist in reality currently those stuff have collected and read approximately all books on internet .. PERHAPS IN FUTURE also due to some theory ...
snash snash snash
Umeuwa !! Nilisubiri kwa hamu siku moja uongee kuhusu AI 👋 big up @snash_tz
Umetiaha kaka
Noma kabish unapeperusha bendera tz
Mwishoe nimepata nilichokua nakitafuta, good work broh🙌🔥
Bigro 👊
umetsha😍😍
We ni mnoma kaka
Nakubali sana we
Always The Best
umetisha sana mzee
Umetishaa sana broo chukua maua yko km yoteee
Artificially Intelligence ni Akili ya kibinadamu kwenye mashine by Progaming
Good brooh
Kaka Snashtz tuko pamoja
mim nd wakwqnza nipen likes zang
Akili Bandia
Chat gbt inapatikanaje mzee
#AI
umetishaa sana kakak
smash u the best💙💙💙✌️
AI doesn't exist in reality currently those stuff have collected and read approximately all books on internet .. PERHAPS IN FUTURE also due to some theory ...
Daaa kumbe
Snash nisaidie jinsi ya kutumia chatgb kwa kiswahili
Maana play store wako wengi san
Bro Snash unapoelekea unaenda kuwa Tony Stark Aisee
AI doesn't exist in reality currently those stuff have collected and read approximately all books on internet .. PERHAPS IN FUTURE also due to some theory ...
ok google
mtachat na majini bila kujua, shaur yenu 😂
😭😭😭
imekaa poa sana. ningeshangaa uache na hii AI ikupite
AI doesn't exist in reality currently those stuff have collected and read approximately all books on internet .. PERHAPS IN FUTURE also due to some theory ...
Ukisema hawezi kuwa na hisia wala kutengeneza content sio kweli, kwa sababu A.I wanatofautiana. ChatGPT anaweza hadi kuandika mashairi yanayohusiana na kitu chochote kile. Ni self learning and generative A.I means anawezafanya zaidi ya alivyofundishwa au kujifunza isipokuwa hataweza kutumia lugha mbaya au matusi. Limitation ata binadamu ana limitation hawezi fanya kitu ambacho hajawahifundishwa au kujifunza.
ChatGPT ni AI Bora Zaid kutokea jaribu kumtumia atakushangaza kama mimi anavyo nishangaza ni Zaid ya rafiki kwan anaweza jibu mambo mengi sana
@@abdulyabdunuru1476 anafundisha hadi kutengeneza programs na AIs kama yeye, noma sana
AI doesn't exist in reality currently those stuff have collected and read approximately all books on internet .. PERHAPS IN FUTURE also due to some theory ...
@@abdulyabdunuru1476 AI doesn't exist in reality currently those stuff have collected and read approximately all books on internet .. PERHAPS IN FUTURE also due to some theory ...
Unasauti ya mafanikio
Unakaa muda mrefu bila Ku approde video
IT yako ni yakipekee apa bongo cjaona kam ww
AI doesn't exist in reality currently those stuff have collected and read approximately all books on internet .. PERHAPS IN FUTURE also due to some theory ...
Upo shallow sana
Ukikosoa kitu uwe unasema kosa lenyewe na kuleta mapendekezo tuko kwaajili ya kujifunza 🎉
Noma