USHIA ulianzishwa na HUYU na ULIANZIA HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Maulana Abubakar anafafanua asili na mwanzilishi wa madhebu ya SHIA
    ⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN
    WHATSAPP
    +255 713 730 907
    +255 687 524 797
    ⚫️ Email: buikhan21@gmail.com

ความคิดเห็น • 106

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @suleimanadim6522
    @suleimanadim6522 ปีที่แล้ว

    Salam alaikum warahmatullahi wabarakat shukran shekh tunakubaliana na ww ila tu sayyidna ISHAAQ ALAIHI SALUT WASALAM HAKUWA YAHUDI

  • @khamisahmada5808
    @khamisahmada5808 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran maulana Allah akuzidishie ghilmu na iwe na manufaa

  • @muhamadyusufu6663
    @muhamadyusufu6663 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mashia ni mayahudi sahihi allah akulipe kheri

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 2 ปีที่แล้ว

    احسنتم

  • @salimocarlo6626
    @salimocarlo6626 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nilisilimu kufata njia ya haki, sikuambiwa kama kuna SHIA wala SUNI. ninachojua nipo kwenye Dini ya Haki Islam siwajui Suni wala Shia. Alhamdulilah.

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว +2

      Unatakiwa usome mungu atakuongoza ishallah utajua tofauti ya mchele na chuya

    • @aishaabdullah4172
      @aishaabdullah4172 2 ปีที่แล้ว

      Kaza uzi huohuo Mtume MUHAMMAD SWALLALLAHU ALAYHI WASALLAM hakutwambia Uislam wa makurdi Bali Alisema Anatuachia QUR-AN na Sunnah zake na atakae zifuata ndie atakae faulu keep Going My Friend Muhimu MWENYEZI MUNGU si Mwenye kupoteza ujira wa mwenye kutenda Mema 💝

    • @hashimsaid5546
      @hashimsaid5546 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo uko Kama mkundu hujui kesho utakunya nini magumu au laini pumbavu wewe soma ujue dini uliyoipenda mashia wanafirana IPO siku na wewe utaambiwa ni sehemu ya dini utaanza kufira au kufirwa samahani

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      @@aishaabdullah4172 wspi mtume kasema Katia hiatus Quran na Sunna.alichotuachia mtume ni Quran na Ahlulbayt

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      @@hashimsaid5546 kama hujui mwalimu mkubwa aliye fundisha kufirana ni Abdallah bin Omar mtoto Omar bin khatwab

  • @hujjahtakila9450
    @hujjahtakila9450 ปีที่แล้ว +3

    Ingekuwa ndio hivyo shekh wangu basi wasingejiita waislamu. Ni dhahir kabisa unaongea kitu ambacho hukijui. Kama kweli mashia wanawachukia maswahaba basi wangrmchukia khadija mke wa muhammad, ally, Hassan, hussein, Abbas, Suleiman farsii, na wengine wengi maana wote hao ni maswahaba. Shida yenu nyie mashekh wadandiaji huwa wazuri saana kutoa uozo wa shia ila hamtoi uozo wenu.

    • @user-mz9qd1pb5t
      @user-mz9qd1pb5t ปีที่แล้ว +1

      Na wewe usiongee isipokuwa Kwa elimu ujinga ulioje mpka Leo kma hujui kma ushia ni ukafiri acha ushabiki na makasiriko kaa chini usome ikiwa kweli unaitaka haki.

    • @hujjahtakila9450
      @hujjahtakila9450 ปีที่แล้ว +1

      @@user-mz9qd1pb5t natamani sana kupata elimu hiyo ya ukafiri wao kutoka kwako shekh wangu

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona wamemtukana aysha awa shia mke wamtume husemi ww umemuona khadija tuuu

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 ปีที่แล้ว +1

    Baaraka llahu fiika Sheikh
    Darsa Nzuri Allah akulipe Kheri

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Baraka gani atazipata muhuni huyu

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353 Atapata Baraka kwa kubainisha ukweli kuwa Asili ya Ushia ni Uyahudi

  • @hassanikichochi483
    @hassanikichochi483 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ulichosema nikweli, mahadui wakubwa ninie answari sunni, na aliepandikizwa kwenye uislamu ni abduli mihabi

  • @hamisishabani8346
    @hamisishabani8346 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh hata kama upo dhidi ya mashia kiaqida isiwe sababu ya kuongopa dhidi yao. Usiseme dhidi yao kwasabubu ulisikilizishwa yaliyo dhidi yao na alie dhidi yao bila kujiridhisha kutoka katika rejea zao. Angalau ukae kimya kama huna uhakika na utakacho kisema, no research, no right to speak.
    Neema alizokupa Allah utaulizwa kwazo.
    Muhimu:
    pitia sanad inayomuhusu huyo Abdallah bin Sabaa ikiwa una akili huru

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty ปีที่แล้ว

      Wewe ndo wajua

    • @hamisishabani8346
      @hamisishabani8346 ปีที่แล้ว

      @@MB-yq3ty thuma latus alunna yaumaidhin aninnaiim

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty ปีที่แล้ว

      @@hamisishabani8346
      Qur an yenyewe mnaituhumu sasa unaandika hiyo aya inawahusu nini.

    • @hamisishabani8346
      @hamisishabani8346 ปีที่แล้ว

      Hakuna muithnasharia wa kutegemewa mwenye kuitilia shaka Qur'an hata nukta, Qur'an ni moja na itabaki katika uhalisia wake mpaka qiama. Bali kuamini kuwa Shia wanaweza kuibadilisha Qur'an ni kuitilia shaka Qur'an yenyewe maana Allah ameahidi kuihifadhi dhidi ya batili. Qur'an uliyonayo ndio hiyo hiyo iliyo kwa mashia

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty ปีที่แล้ว

      @@hamisishabani8346
      Kama kawaida Taqiya ya Mashia . Ukafiri wenu upo katika njia mbalimbali na wala hauna shaka.

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 mashia machawa 2

  • @hujjahtakila9450
    @hujjahtakila9450 ปีที่แล้ว +2

    Waislamu wanatakiwa wajiulize swali moja muhimu. Kwanini mara nyingi nyie ndio wengi wa kujihami wakati huo mashia wametulia na kufanya ibada zao bila kuwabughdhi? Kama kweli sio waislamu we inakuuma nini wakati haji mskitini kwako kuabudu?. Waislamu tuweni makini,mara nyingi ukiona mtu anapenda saaana kujihami basi ujue ana mapungufu kumzidi yule anae jihami dhidi yake. Ahsantum

    • @jumachaduma5434
      @jumachaduma5434 ปีที่แล้ว

      Umesoma au umetoa mtazamo wako tu

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty ปีที่แล้ว

      Wewe ni Shia ama juhaal sina shaka na hilo.

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 ปีที่แล้ว

      @@jumachaduma5434
      Allah anawatambua mashia na hili lipo wazi katika tafseer zenyu kuwa Hao mashia Ni viumbe Bora mbele ya Allah kama walivyofasiri wanachuoni wenu wa kisunni.
      "Hakika wale walioamini na kutenda mema, hao ndio wema wa viumbe." (Qur'an: 98:7)
      Imepokewa kutoka kwa Jaabir bin Abdillah anasema: Tulikuwa tumeketi pamoja na Mtume (s.a.w.w) mara akatokea Ali bin Abi Talib, Mtume (s.a.w.w) akasema: "Ninaapa kwa ambaye nafsi yangu imo mikononi mwake, hakika huyu (Ali) na Shia (Wafusi) wake lazima ni wenye kufaulu siku ya Kiyama. "Pale pele Mwenyezi Mungu akatemsha Aya hii. 98:7.
      Taz: Tafsirut Tabari J. 30 Uk 171
      Addurrul Manthur J. 6 Uk. 643
      Tafsirus Saafi J. 5 Uk. 355
      Alburhan fyitafsiril Qur'an J. 4 Uk. 491
      Almizan fyitafsiril Qur'an J. 20 Uk. 482

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 ปีที่แล้ว

      @@MB-yq3ty
      hebu ona tafseer zenyu za kisunni zenyewe zinajuwa mashia Ni viumbe Bora na Allah anawatambua
      Allah anawatambua mashia na hili lipo wazi katika tafseer zenyu kuwa Hao mashia Ni viumbe Bora mbele ya Allah kama walivyofasiri wanachuoni wenu wa kisunni.
      "Hakika wale walioamini na kutenda mema, hao ndio wema wa viumbe." (Qur'an: 98:7)
      Imepokewa kutoka kwa Jaabir bin Abdillah anasema: Tulikuwa tumeketi pamoja na Mtume (s.a.w.w) mara akatokea Ali bin Abi Talib, Mtume (s.a.w.w) akasema: "Ninaapa kwa ambaye nafsi yangu imo mikononi mwake, hakika huyu (Ali) na Shia (Wafusi) wake lazima ni wenye kufaulu siku ya Kiyama. "Pale pele Mwenyezi Mungu akatemsha Aya hii. 98:7.
      Taz: Tafsirut Tabari J. 30 Uk 171
      Addurrul Manthur J. 6 Uk. 643
      Tafsirus Saafi J. 5 Uk. 355
      Alburhan fyitafsiril Qur'an J. 4 Uk. 491
      Almizan fyitafsiril Qur'an J. 20 Uk. 482

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty ปีที่แล้ว

      @@muhibbualii4580
      Abadani Ali hakuwahi kuwa Shia kwa maana ya kipote cha dini kinachojiita shia. Ali alikiwa Ahlu sunna waljamaa shia inayozungumziwa ni ufuasi. Mfano kuna Imam Abuu Hanifa na wafuasi wake yaani (shia wake). Kuna Imam Malik na shia wake. Kuna Imam Shafii na shia wake na Ahmad bin Hambal na Shia wake. Ushia huu ni wa wafuasi wanaopendelea kufuatana ana kuchukua Ilmu ama kupendekeza rai za Fulani zaidi pamoja na hayo yote WOTE wapo katika Ahlu sunna waljamaa. Haimaanishi walikuwa kwenye kipote potofu cha kidini kinachojiita Shia ambacho umo wewe, Ali hakuwa kwenye kipote ulichopo Abadani hicho ni cha kwenu nyie na Jalala wenu.

  • @khalfansharji9790
    @khalfansharji9790 2 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh tunufaishe pia maimamu wakubwa wanne nini mwanzo ilikuwa ikhtilafu zao yaani imam malik Hanafi Hambali na Shafi na walikubaliana vipi kutengeza AHLI SUNNA WAL JAMAA somo hili mashekhe wengi wanafanya ubakhili wa ki ilmu! Lakini hawa mabwana wakubwa walikuja zama zipi baada ya Rasulullah S A W.

  • @bindalilitv4366
    @bindalilitv4366 2 ปีที่แล้ว +2

    Usifutu jambo usilo na elimu nalo

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

    Wote ninyi watu wa bidah kasoro wale zimevuka mipaka

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 4 หลายเดือนก่อน

    UWAHHABI ilianzia Nejd. Aliyeuanzisha ni Muhammad bin Abdil-Wahhab. Ni dini mbaya kweli kweli. Mnapousema Ushia kumbukeni UWAHHABI.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Ww kumbe ni mbumbumbu kiarabu tunaweza sema jahil ww kila anempinga shia wahabi huyu shekhe ni wahabi kumbe hujui hta huyu nani unsema wahabi waikuja kuomba mboga kwako kwa mkeo au umekuta kwa wahabi kuna matusi ya kuwatukana wakeze mtume au maswaaba hutokuta katika wahabi mambo hayo naona wamekukalia koohoni wahabi wwnenye matusi kwa swahbba ni shia wahabi wamekujaje

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 ปีที่แล้ว

    Swadaqta

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว

    swali la pili...ikiwa maswahaba wa musa walikua bora mbona alivyowaacha siku40 tuu wakaanza abudu ndama?
    sheikh mantiq upo wapi hapa?

  • @muhamadyusufu6663
    @muhamadyusufu6663 2 ปีที่แล้ว

    Wabainishe na matablikh nao muanzilishi wao nani na wapi

  • @AzizAziz-le1pj
    @AzizAziz-le1pj ปีที่แล้ว

    Shekh Acha unafik , mnafiki mkubwa wewe hujui kitu ABDALLA BIN SUBHAA HAKUNA BINADAMU KAMA HUYU ALIYEWAHI KUZALIWA MNAFIKI KATIKA UISLAMU WEWE

  • @rushu1232
    @rushu1232 ปีที่แล้ว

    Hata uwahabi njia ni hiyo hiyo mayahudi walitengeneza Sh.Mohd Abdulwahab na uwahabi.

    • @YasiniRajabuAlly-oc1pd
      @YasiniRajabuAlly-oc1pd 2 หลายเดือนก่อน

      Usufi ndio sambamba na Shia Hilo halifichiki, hivi huoni walivo enea walikua bega na watu gani? Jibu masufi, wakawachukia ahlu Sunnah kwakua hao ndio watu wa mwenendo sahihi hawataki dini ichezewe na kukabiliana nao kwa juhudi zote, wakawaingia masufi wenye chimbuko moja lakupiga vitab sunnah na tauhidi nakueneza bidaa na shirki katika dini na kuwachafua kwa tuhuma mbali mbali ambazo hazionekani kwa ahlu Sunnah hao, zikabaki kua porojo tu, eti mawahabi, ikiwa ss ni wafuas wa Abdul wahhaab bs alhamdulila Mana yy ni katika wema walodondosha uibilisi wa masufi pamoja na ushirikina wao na ushia katika mji mtukufu wa makka, na nynyi ndo wafuas wa mayahudi waabudia makabuli ya masharifu zenu

    • @YasiniRajabuAlly-oc1pd
      @YasiniRajabuAlly-oc1pd 2 หลายเดือนก่อน

      Uwahabi nineno la mashia kuwapiga Vita watu wa mwenendo sahihi wasifwatewe hivo mwashirikiana nao kutuita hivo na mwasaidizana kumpiga Vita ibnul-wahaab nakuwachafua watu wa suudia na Dola yao eti nimakatoliki kwakua hawakubaliani na ushia na mambo ya bidaa na ibada za makaburi, hamjielewi kabisa Sasa na nynyi nendeni uturuki na misri mkaanzishe ibada ya hija kisufi Sufi Mana huko maka maimamu ni makatoliki.

    • @rushu1232
      @rushu1232 2 หลายเดือนก่อน

      @@YasiniRajabuAlly-oc1pd hizo ni fikra zako masufi ni ahlil sunnah wal jamaa mupende msipende nyinyi ni mawahabi wafuasi wa Sh.Mohd Abdulwahab pote lililotengenezwa na mayahudi na waengereza ajabu mwalazimisha uhusiano wa masufi na mashia lakini hamuoni uhusiano mawahabi na mayahudi na makafiri masufi hawamingilii mtu wajitahidi kufanya amal za fardhi na sunnah na mambo ya kheri nyinyi ndio wenye tazkia.

    • @YasiniRajabuAlly-oc1pd
      @YasiniRajabuAlly-oc1pd 2 หลายเดือนก่อน

      @@rushu1232 sawa Ila Allah katuamrisha tuokoe nafsi zetu na zajamaa wetu asa ss tunapoona waislam wenzetu wanaenda kinyume na haqqi lazma tujipinde kuwaokoa ndo Wana Sunnah walivo kwa kupitia kauli hio ya Allah ila baadh ya waislam hao wanapoelekezwa usawa wanakuja juu badala yakujirudi kwa wema, nakuanza kuwapandikiza watu chuki na uwadui katika kuuendea usawa mmeamua kufata matamanio bs msitake kupoteza na wengine' hamna dini yabila kunasihiana' ilanyinyi hata siku moja hampigi Vita bidaa ndo Kwanza mwaitetea wanaoinusuru sunnha nakuepukana na uzushi mwawaita yahudi katoliki wahabi, Allah awafahamishe usawa mtoke katika kuifanya dini yenu ni laghwi yakukatikia mauno na ngoma na kuabudia makaburi na kuwaharamishia wanawake zenu hijabu ya kisheria na uganga na mahitma na mengine mengi ya uchafu wa bidaa din

    • @YasiniRajabuAlly-oc1pd
      @YasiniRajabuAlly-oc1pd 2 หลายเดือนก่อน

      Hamuwezi mkaitetea suudia kwakua ni mji wasunnha unaopigavita bidaa mji wa tauhidi unaopingana na shirki zote zauganga kuabudia makaburi ya masharifu na kila aina ya ujaahili ndomana mji umetanda Amani hamna maachafuko kama nchizenu tegemezi zilizokubebeeni bidaa na shirki uturuki na misri asa lazima washirikina na watu wa bidaa wauone uchungu, na bado mtaumia Sana Ila ndo utawala wa kishetani wa mashia washirikina waleta bidaa pale Usha dondoshwa nakucharazwa vibaya baya na kigongo ibnul-wahaab na Ali suudi mnabaki mnalia tu nakuwachafua Kama nimakafiri na nimayahudi makatoliki,, sasa kwanini msiende uturuki na misri mkaanze ibada zenu za hajji ilamwaenda kuongozewa ibada na wale wale makafir makatoliki ma wahabi mnajielewa kweli nyinyi!?

  • @razackhatibu2624
    @razackhatibu2624 ปีที่แล้ว

    kilemba kikubwa elimu sifuri hujui atawislamu wako katibu huko unataka kumtetea abubakary omari na Aisha wakatyvitabu vyako vinaweka wazi watuhawa namakisa Yao mumedanganya sn jmsasa zana zaukweli

    • @nkombesubira7389
      @nkombesubira7389 ปีที่แล้ว

      We umekisoma nn njaa nyie watz mnaingia mashia kwa maslahi tu hmn llt

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa akhy
    Allah akulipe heri kwa kulibainisha hilo

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Heri gani atapata muhuni huyu

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 ปีที่แล้ว

      hebu ona tafseer zenyu za kisunni zenyewe zinajuwa mashia Ni viumbe Bora na Allah anawatambua
      Allah anawatambua mashia na hili lipo wazi katika tafseer zenyu kuwa Hao mashia Ni viumbe Bora mbele ya Allah kama walivyofasiri wanachuoni wenu wa kisunni.
      "Hakika wale walioamini na kutenda mema, hao ndio wema wa viumbe." (Qur'an: 98:7)
      Imepokewa kutoka kwa Jaabir bin Abdillah anasema: Tulikuwa tumeketi pamoja na Mtume (s.a.w.w) mara akatokea Ali bin Abi Talib, Mtume (s.a.w.w) akasema: "Ninaapa kwa ambaye nafsi yangu imo mikononi mwake, hakika huyu (Ali) na Shia (Wafusi) wake lazima ni wenye kufaulu siku ya Kiyama. "Pale pele Mwenyezi Mungu akatemsha Aya hii. 98:7.
      Taz: Tafsirut Tabari J. 30 Uk 171
      Addurrul Manthur J. 6 Uk. 643
      Tafsirus Saafi J. 5 Uk. 355
      Alburhan fyitafsiril Qur'an J. 4 Uk. 491
      Almizan fyitafsiril Qur'an J. 20 Uk. 482

  • @jabirmwalimu2104
    @jabirmwalimu2104 2 ปีที่แล้ว +1

    wee sheikh unawatukana maswahaba

    • @maalimjobe7636
      @maalimjobe7636 2 ปีที่แล้ว +1

      Sahaba gankatukanwa?

    • @abuuabdillaah8909
      @abuuabdillaah8909 ปีที่แล้ว

      Naam amesema waliomfata Ubn sabaa ni maswahaba barobaro, hii ni twaani kwa maswahaba

  • @ibrahim_427
    @ibrahim_427 2 ปีที่แล้ว

    Kweri

    • @sudisilako5468
      @sudisilako5468 2 ปีที่แล้ว

      Mashaallah maulana

    • @athmanidi4879
      @athmanidi4879 ปีที่แล้ว

      Nguzo yauislam ni Tano na nguzo ya Iman ama nguzo za hisan hakuna Maswahabi, Wala Allah hawezi kutuulia kuhusu maswahaba SI katika mswali ya DINI, lakini kuhusu Ali r,a na Ahlul-Bait was Mtume utaulizw

    • @banihashim5347
      @banihashim5347 ปีที่แล้ว

      Ahsanata maulana Abubakar
      Mashia ni watoto wa kiyahudi kabisaaaa

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว

    swali sheikh wa hinna...umar bin khatwab aliposhika madaraka alimpa cheo cha uandishi wa hotba na utunzi wa hadith mtu akiitwa kaab l akhbar(myahudi pure)..vipi hapo?

    • @huseynmaitaya9002
      @huseynmaitaya9002 10 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ni uongo wenu mashia Nyie ndio milio tunga hilo wapelekee mashia wenzako wakujibu

  • @salhiamkubwa1560
    @salhiamkubwa1560 ปีที่แล้ว

    Mmhhh!! Aliyeolew na huyu bwana namhurumia kwa kweli.... Ajua ata kucheka huyu lkn!? Mbona mkavu sana!?

    • @hajishabani6763
      @hajishabani6763 ปีที่แล้ว

      sasa ungejua utani alio nao huyu hata usingesema hivyo,mimi namjua vizuri sana huyo.hata wewe ungemjua ungempenda mizaha yake,ila sio muda wote mtu acheke cheke tuu

    • @hajishabani6763
      @hajishabani6763 ปีที่แล้ว

      sasa ungejua utani alio nao huyu hata usingesema hivyo,mimi namjua vizuri sana huyo.hata wewe ungemjua ungempenda mizaha yake,ila sio muda wote mtu acheke cheke tuu

  • @OmarOmar-wx9zg
    @OmarOmar-wx9zg 2 ปีที่แล้ว

    Umesema kweli

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 ปีที่แล้ว

      hebu ona tafseer zenyu za kisunni zenyewe zinajuwa mashia Ni viumbe Bora na Allah anawatambua
      Allah anawatambua mashia na hili lipo wazi katika tafseer zenyu kuwa Hao mashia Ni viumbe Bora mbele ya Allah kama walivyofasiri wanachuoni wenu wa kisunni.
      "Hakika wale walioamini na kutenda mema, hao ndio wema wa viumbe." (Qur'an: 98:7)
      Imepokewa kutoka kwa Jaabir bin Abdillah anasema: Tulikuwa tumeketi pamoja na Mtume (s.a.w.w) mara akatokea Ali bin Abi Talib, Mtume (s.a.w.w) akasema: "Ninaapa kwa ambaye nafsi yangu imo mikononi mwake, hakika huyu (Ali) na Shia (Wafusi) wake lazima ni wenye kufaulu siku ya Kiyama. "Pale pele Mwenyezi Mungu akatemsha Aya hii. 98:7.
      Taz: Tafsirut Tabari J. 30 Uk 171
      Addurrul Manthur J. 6 Uk. 643
      Tafsirus Saafi J. 5 Uk. 355
      Alburhan fyitafsiril Qur'an J. 4 Uk. 491
      Almizan fyitafsiril Qur'an J. 20 Uk. 482

  • @almurajjabuaswabbu250
    @almurajjabuaswabbu250 ปีที่แล้ว

    Et maswahaba vijanavijana duh

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 ปีที่แล้ว

    Kinacho wasumbua masunni ni ilmu.ilmu yao yakubabaisha sana ndo maana wanategemea propaganda zaidi na kurubuni wafuasi wao kwa Hamasa zaidi kuliko ilimu

    • @user-mz9qd1pb5t
      @user-mz9qd1pb5t ปีที่แล้ว

      Sema usemavyo ushia ni ukafiri na utabaki kuwa ni ukafiri mpaka kusimama Qiyaama na ni uchache wako wa elimu ndo unakufanya uone kma ushia ni njia ya sawa.

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว

    huoni mifano unayoitoa ndiyo inakurejelea wewe mwenyewe?

  • @jafarshossy5830
    @jafarshossy5830 ปีที่แล้ว

    Ondoka mnafiki na madevu yako guns elimu ni wewe

  • @mkijilukali2010
    @mkijilukali2010 ปีที่แล้ว

    Kamani ivo mbona kuna maswahaba walikua makafili je mfano uosiunawafaa maana baada yakufa mtume wakibadilika? Wewe ni mbaguzi namchochezi

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf ปีที่แล้ว

    Mayahudi hawachoki na mbinu zao za kuharibu itikadi sahih ya kiislamu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Masuni msifanywe mbumbu.jiulizeni Leo anayepambana na mayahudi kuwasaidia wapslestina ni nani zaidi ya shia

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353 wanasaidia nn wakati hakuna ushindi? Wanawalemaza tu wapalestina huku Wayahudi wakizidi kujitanua kila siku

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      @@jamalsalum8726 ushindi wa mashia peke yao utapatikana wapi wakati masunni wana wageuka wenzao nakufanya unafiki.yani masuni udugu wao ni wamdomoni tu

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353 Mashia wako zaidi ya mara 20 ya mayahudi(washirika wao) wanacheza shere wapalestina tu, zaidi ya miaka 60 sasa

    • @hamisishabani8346
      @hamisishabani8346 2 หลายเดือนก่อน

      Ehe nanyi masuni mmewafanyia nini wapalestina dhidi ya Israel​@@jamalsalum8726