SHEIKH: OTHMAN MAZINGE : YESU HAKUBATIZWA ~ WALA HAKUBATIZA ~ UBATIZOO UMETOKA WAPI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 ปีที่แล้ว

    shukran sanaa Allah awalipe wahadhiri wangu na akujaalie afya njema

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah , JazakAllahu kheyran sheikh wetu...

    • @pioustrevol3468
      @pioustrevol3468 3 ปีที่แล้ว

      Ambae anauongelea ukristo bila kuujua weng mnalazmixha ukristo kuonekana haufai ndo maana mnaenda sambamba

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว +1

    Yohana 3:16-17,22-24
    [16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
    [17]Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
    [22]Baada ya hayo Yesu na wanafunzi wake walikwenda mpaka nchi ya Uyahudi; akashinda huko pamoja nao, akabatiza.
    [23]Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.
    [24]Maana Yohana alikuwa hajatiwa gerezani.

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว

    Yohana 19:16-18
    [16]Basi ndipo alipomtia mikononi mwao ili asulibiwe; nao wakampokea Yesu.
    [17]Akatoka, hali akijichukulia msalaba wake, mpaka mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, au kwa Kiebrania, Golgotha.
    [18]Wakamsulibisha huko, na wengine wawili pamoja naye, mmoja huku na mmoja huku, na Yesu katikati.

  • @ramadhaniissa5370
    @ramadhaniissa5370 3 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA SHEGHE

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 3 ปีที่แล้ว +3

    Wape vidonge vyao hao wanajikuta aweerewi wataisoma tu Allah akujaalie mwisho mwema

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว

    Jina la herode nila mtu anae kuwa ana tawal kama raisi au farao au Mfalme, malkia
    Mathayo 14:10,12
    [10]akatuma mtu, akamkata kichwa Yohana mle gerezani.
    [12]Wanafunzi wake wakaenda, wakamchukua yule maiti, wakamzika; kisha wakaenda wakampasha Yesu habari.

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว

    Mathayo 3:13-17
    [13]Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe.
    [14]Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?
    [15]Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali.
    [16]Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
    [17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 2 ปีที่แล้ว

      Maneno ya Mathayo hayo!

    • @sospetro
      @sospetro 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanwilbard8196 mazinge amesoma.ya nani

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Hubirini Quran. Yesu ni Mungu. Ukristu ni Kila kitu
    * Hujui kuhusu ubatizo,hujui kuhusu ukristu.wew unaongea tu ili kifurahisha watu*
    + Unajua kabisa kuwa Ukristu haushindwi na chochote.+

  • @presenttruthloudcryforthel5338
    @presenttruthloudcryforthel5338 3 ปีที่แล้ว

    Hoja dhaifu kbsaa

  • @issamvugusi514
    @issamvugusi514 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunakubali xhekhe mazinge tupe tupe

    • @davidkifalu6812
      @davidkifalu6812 3 ปีที่แล้ว +1

      Waisilam mna fundishwa kushika dini lakini dhambi hamkemei mnafanya kila leo okokeni nina waona huku mtaani tusiseme sana siku ya kiyama tuta patajibu

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว

    Utabiri juu ya sababu na kifo cha Yesu
    Isaya 53:3-5
    [3]Alidharauliwa na kukataliwa na watu;
    Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;
    Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,
    Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
    [4]Hakika ameyachukua masikitiko yetu,
    Amejitwika huzuni zetu;
    Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa,
    Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
    [5]Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu,
    Alichubuliwa kwa maovu yetu;
    Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake,
    Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

  • @danieltunje4512
    @danieltunje4512 3 ปีที่แล้ว

    Yesu alibatizwa na akabatiza. Hio story ya kuwa alikuwa Misri iko na walakini. Soma bibilia kwa makini. Na utafahamu kuwa Yesu alibatizwa na akabatiza na pia alikufa kwa kusulibiwa.

    • @analyticalguru5851
      @analyticalguru5851 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanao sulubiwa ni watenda dhambi Kwa hivyo umemtusi Jesus

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 หลายเดือนก่อน

    Weka daholo na Ndacha

  • @pioustrevol3468
    @pioustrevol3468 3 ปีที่แล้ว

    Yesu hakuwah kua muislam na hatokuja kua muislam kaka, Yesu alikuja kabla ya mnaemuita mtume na uyo mtume ndo kaanzixha dini yenu xx sijui Yesu ananzaje kua muislam, fatilia Bible za waarabu mnae muita nabii Issa n mtu mwengne kabisa na Yesu wakwetu n mwengne kbx

    • @yussuphshilingi3258
      @yussuphshilingi3258 2 ปีที่แล้ว

      EEpyusi wee binaadam mwenzangu UISLAM ndio dini ya haqi nje ya UISLAM utakwenda jikoni tu

    • @pioustrevol3468
      @pioustrevol3468 2 ปีที่แล้ว

      @@yussuphshilingi3258 nikwambie kitu ndugu yangu Mungu hakuwai kuleta uislam wala Ukristo alileta mitume na manabii na humo ndo tuligawanyika anaejua nan anaenda moton au pepon n mungu pekeake ila sisi ndo tunajipa haki mbele zake na kuhukumu wengne kitu ambacho co kizuri ndo maana cku izi kumekua na mabishano ya wazi kbx ila kila mtu abak na imani yake amin unavoamini kla mtu abaki na anavoamini kwa kwel muim n kuzixhika amri za mungu ndo muongozo ndugu yangu, viongoz wa dini n watu km sisi ukiwaskilza kla ktu 🤩 n tatzo

    • @pioustrevol3468
      @pioustrevol3468 2 ปีที่แล้ว

      Mm n Mkristo mkatoliki na ntabaki ktk ukristo na katika kanosa katoliki milele yote lakin haimaanishi kwamba niwaone wengine wanakosea hpn n vizur kuhexhimu iman ya mtu mwengne mijadala yote ya wakina Sheikh Nan cjui cjawai ona kiongoz wa Katolik ataaah mmoja nafurah kwa hilo

    • @yussuphshilingi3258
      @yussuphshilingi3258 2 ปีที่แล้ว

      @@pioustrevol3468 xawa wajua ubaya wa ukafiri wako baada ya kufa Mimi nnakunasihi Bora silimu uwe MUISLAM uisalimishe nafsi yako ...huko twendako Kuna Moto umeandaliwa watu wasiokua na IMANI YA UISLAM

    • @pioustrevol3468
      @pioustrevol3468 2 ปีที่แล้ว

      @@yussuphshilingi3258 🤣🤣🤣 N kujaza Maji Kwenye tenga Walinambia niokoke nkakataa kwakua ubatizo wangu ndo kujipatanoshq na Mungu Ijekua Uislamu 🤩 miaka Buku

  • @danieltunje4512
    @danieltunje4512 2 ปีที่แล้ว

    Mazinge ni Muongo kabisa.

  • @moshantoj
    @moshantoj 3 ปีที่แล้ว

    Huyu Mzee Hana andiko yesu hakubatizwa😉😉😁😁

    • @ابنعثمن
      @ابنعثمن ปีที่แล้ว

      Hujaelewa,
      Biblia inasema Yohana ndiye alimbatiza Yesu, sasa ukisoma vizuri Biblia utaona Yohana na Yesu hawakuonana kabisa.
      Mi nashauri usome ili uelewe vema.
      Tulia,jifunze bila ushabiki,utaelewa.

    • @moshantoj
      @moshantoj ปีที่แล้ว

      @@ابنعثمن Unajua wewe biblia unaelewa kimsikiti ndiyo shida

    • @moshantoj
      @moshantoj ปีที่แล้ว

      @@ابنعثمن Una andiko hawakuonana?

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul ปีที่แล้ว +1

      Yesu anaeongerewa hapo ni mtume. Sio wa kwenye bibilia Mungu... Mjue kutofautisha

    • @moshantoj
      @moshantoj ปีที่แล้ว +1

      @@RamadanPaul Kulingana na elimu ya msikiti

  • @FredMogwa
    @FredMogwa 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Mazinge bhana muongo ,,kwanza unasema tusome Mathayo 2:13...sawa ujasoma umekalili kifungu icho na acha kudanganya uma Biblia inajionyesha yenyewe kama ujui kusoma tuambiane,,eti unajiita sheikh alafu watu wanakuamini kabisa na kifungu chako kimoja toa kifungu kilichosema Herode alimkata kichwa Yohana huyo...soma kitabu Cha Mathayo 3:13-17 bac ili tupate jibu kamili ww sema Imani yako ndio ilivyokuaminisha na kukukalilisha..,fundisha ili uma ili kuongopa uma uswali na kusali ili kijiweka sawa mbele ya Mwenyezi Mungu (Allah).

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว

    Maana ya ubatizo
    Yohana 3:3-5
    [3]Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.
    [4]Nikodemo akamwambia, Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa?
    [5]Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +2

    Wahuni tuu na wanajua fika Ila wambiwe tuwaokoe waingie peponi mana moto simchezo tena si wahapa duniani kuni zke ni majabali na watu picha sipati na simumeona hule kajitia yesu kataka azikwe mzima na nam wamemzika mbona hakufufuka heee 😂😂mungubwabgu kukosa akili ni mtihani mapasta wenziwe wametoka bom wanatafutwa wako wapi

  • @heavens9451
    @heavens9451 ปีที่แล้ว

    Wewe Mazinge Umezeeka,Naona hata Maandiko pia Huna pia... Wasemaje kuwa Yesu hakubatizwa na kuwa yohana hakubatiza. Yaan hata unakosa kujua na kukumbuka kiwa Baada ya Yohana kubatiza kwa Maji na baada ya kumbatiza Yesu basi baada ya yesu kubatizwa Yesu akabatiza kwa Roho na sio maji tena.. wewe niwawapi ..? Wacha nkuitie MWALIMU NDACHA AKUCHAPE😂.

  • @calebosano575
    @calebosano575 3 ปีที่แล้ว

    Mazinge ni mwongo tena anajaribu kutumia hoja isiyo na msingi kutetea uongo, Herod hakuwa mmoja, huyu si mwalimu arudi kwa class ya historia

    • @masala8099
      @masala8099 3 ปีที่แล้ว +2

      Caleb ww huna elimu kazi yako kupinga wenye elimu. Caleb ww ni mjinga tu kama wajinga wengine

    • @hamadkhamis6572
      @hamadkhamis6572 3 ปีที่แล้ว +1

      Mazinge kaweka namba yake ya simu mtafute au itakuwa sawa na kelele za mbwa koko.

    • @berry4726
      @berry4726 3 ปีที่แล้ว +1

      Bibilia yenyewe inasema aliekufa kwenye ukristo amepotea watu bado wanang’ang’ania sikio la kufa halisikii dawa.

    • @calebosano575
      @calebosano575 3 ปีที่แล้ว

      @@masala8099 Wewe ndio mjinga zaidi pamoja na mazinge wako kwa maana huelewi. Herod wametajwa Sita katika bibilia na katika historia

    • @calebosano575
      @calebosano575 3 ปีที่แล้ว

      @@hamadkhamis6572 Nitafute mtu asiye na elimu kunisaidia nini wakati hata historia inaonyesha kuwa na Herod zaidi ya mmoja

  • @presenttruthloudcryforthel5338
    @presenttruthloudcryforthel5338 3 ปีที่แล้ว

    Na si wewe ni mwongoo,ndio maana hua nasema huyo isa wa Quran sio Yesu,,Yesu katika Biblia alibatizwaa

    • @moshantoj
      @moshantoj 3 ปีที่แล้ว

      Mwalimu Onyango au Kasinah Nashangaa sana