tbway humwambii kitu kuhusu Subaru/forester 2014

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @wilimaw2600
    @wilimaw2600 2 ปีที่แล้ว +7

    Ukitaka kuifurahia hii gari safiri nayo kwenda mikoani,this is the best car

  • @pressuresmasululi4212
    @pressuresmasululi4212 3 ปีที่แล้ว +12

    Nilitokea kuipenda subaru wakati unaielezea legacy,na leo na mimi namiliki subaru forester SG5 turbo charge

    • @daveyoga8871
      @daveyoga8871 2 ปีที่แล้ว

      SG5 the best Forester ✅✅✅

    • @suwakamohamed6564
      @suwakamohamed6564 2 ปีที่แล้ว

      Jaman mie ninayo legacy lkn inatetemeka nikiwasha cjaelewa ni kwann mpk sasa ninayo nimeiweka tu

    • @esteretutu89
      @esteretutu89 2 ปีที่แล้ว

      Sh ngap hyo

    • @rogerlyaruu5739
      @rogerlyaruu5739 ปีที่แล้ว

      haina changamoto izo subaru

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla ปีที่แล้ว

      ​@@suwakamohamed6564 tafuta mafundi mazuri, mzeee baba

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla ปีที่แล้ว

    Tbway bhana kwa iyo ww ukinunua gari na watu wananunua hyo hyo hiz trending hazikuanzia leo sema tu mapenz ya watu yako hvyo km kipind cha crown au markX

  • @taummoloki3076
    @taummoloki3076 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba la baba.. Subaru is the best

  • @upendo1020
    @upendo1020 ปีที่แล้ว

    Tbway anaelezea vizuri sana

  • @andresdale8038
    @andresdale8038 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for this video

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 2 ปีที่แล้ว

    I love this guy jamani

  • @selinagift6895
    @selinagift6895 ปีที่แล้ว

    Ni shi ngapi

  • @selinagift6895
    @selinagift6895 ปีที่แล้ว

    Sema

  • @geofreyukason
    @geofreyukason 3 ปีที่แล้ว

    T bway myama kabisaaa

  • @roggersnathan2592
    @roggersnathan2592 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @selinagift6895
    @selinagift6895 ปีที่แล้ว

    Na ulizia ni shiling ngapi inauzwa?

  • @lusakomichael157
    @lusakomichael157 ปีที่แล้ว

    hii garage iko wapi aisee

  • @jorumkiungo303
    @jorumkiungo303 3 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @USTAWIWAJAMIITZ
    @USTAWIWAJAMIITZ 2 ปีที่แล้ว

    Shingap hiiii