SUBARU FORESTER EYESIGHT | Gari inayo TAMBUA ALAMA ZA BARABARANI kama MACHO YA BINADAMU - Mr Sabyy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @LEWISKAANA
    @LEWISKAANA 3 หลายเดือนก่อน

    Sabby upo vzr kwenye hizo gari aiseee subaru forester eyesight pia ni gari ambayo naielewa kinoma noma aiseee

  • @Aggreyreal
    @Aggreyreal ปีที่แล้ว +5

    adaptive cruise control ni cruise control ambayo gari ikiwa mbele yako hata kama umeset speed kubwa itaenda speed ya gari la mbele yake na itajipiga breki na kupunguza mwendo kama gari ya mbele itapunguza mwe ndo na baadae itajiongeza spidi yenyewe kama gari ya mbele itaongeza mwendo mpaka kufikia ile spidi ulioset wewe mwenye, kwahiyo adaptive cruise control inatumika hasasa highway kwajili kupunguza uchovu wa kupiga brake na kuaccelerate pale gari lambele linapopunguza mwendo au kuongeza mwendo. kwahiyo adaptive cruise control haidetect all object bali inadetect moving objects (magari au piki piki) na spidi zake, mtu akivuka barabara itadectect collision avoidance system na itaku warn kama usipopiga brake gari itajipiga brake yenyewe kusaidia kuavoid ajali au kupunguza madhara ya ajali. mwisho ni kwamba kama utasimama kabisa for more than 3 secs itajizima kwasababu haijatengenezwa kwajili ya mjini bali imetengenezwa kajili ya highway. na hizo bar zinawakilisha distance kati yako na gari la mbele kwahiyo bar tatu zinamaanisha distance kubwa na bar moja inamaanisha distance ndogo kwahiyo it is the otherway round kutokana na ulichosema.

    • @emmanuelmichael7130
      @emmanuelmichael7130 ปีที่แล้ว +1

      Kwenye consumption ya mafuta kwa SJG ipoje ukilinganisha na SJ5

    • @AbdulazeezAlly
      @AbdulazeezAlly 8 หลายเดือนก่อน +1

      SJG ni nzur kuliko sj5,,,though consumption ya mafuta kwenye SJG ni kubwa kdg,,,but tofauti ni ndogo mnoooo,,,,km ni kwa sabab ya mafuta bas nunua SJG coz ina perform vzr zaid,,ila km ni issue ya budget bas nunua sj5 tu

    • @erickkitila405
      @erickkitila405 7 หลายเดือนก่อน

      Four wheel yake ni kuengage au full time four wheek
      L

  • @FranklinMtei
    @FranklinMtei ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri mnafanya. Creative!

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      Thanks BOSS kwa comment yako, Ubarikiwe

  • @Aggreyreal
    @Aggreyreal ปีที่แล้ว +1

    hizo sensa za hapo mbele hazi detect michoro ya barabarani bali ni parking assist eyesight system haijumuishi parking sensors eye sight system inatumia hizo kamera mbili za mbele kwa jili ya vitu viwili collision avoidance system (mfumo wa kuzuia ajali kwa kugonga) pamoja na lane departure assist (mfumo wa kukupa taarifa ukiwa unatoka kwenye upande uliopo wa barabara kwa kutumia mistari ya barabarani) kwahiyo parking sensors sio part ya eye sight system. wala sensors za parking haziangalii barabar muda wote inachoangalia barabara nizile kamera mbili ambazo ndo mfumo mzima wa eyesight

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      Asante kwa marekebisho 💐💐💐

    • @nickylyanga2139
      @nickylyanga2139 ปีที่แล้ว +1

      Nimenunua hii gari lakini hizo eye site hazifanyi kazi ...kama Kuna mtaalam wa hizi gar tafadhar namwomba please

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      @@nickylyanga2139 Naomba Nipigie /Text/ WhatsApp 0653953900

  • @hemedibakari
    @hemedibakari ปีที่แล้ว +1

    Bei gan Hy gari

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      Boss hii ni 37M . Kwa michanganuo ya magari yetu please tufollow instagram kwa jina Mr_Sabyy

  • @SimonJeshi-nq1hs
    @SimonJeshi-nq1hs 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ina bei gani
    Tuijue bei tuuze viwanja na kuvunja vibubu

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  9 หลายเดือนก่อน

      Bei yake kuanzia 35M

  • @emmanuelmichael7130
    @emmanuelmichael7130 ปีที่แล้ว +1

    Consumption ya mafuta ipoje na je hii gari ina turbo au haina?!

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      Hii inatembea km 14/L . Save no yetu siku ukihitaji tupigie 0653953900

    • @elizabethcastory516
      @elizabethcastory516 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@MrSABYYhello subaru forester eyesight ni sh ngapi?

  • @gloryqueen6296
    @gloryqueen6296 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mimi naitaji ila sijuw bei

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  หลายเดือนก่อน

      @@gloryqueen6296 Hello bei ya sasa ni 35Million . Kwa details zaidi karibu WhatsApp 0653953900 . Asante

  • @kaluzione2231
    @kaluzione2231 ปีที่แล้ว +2

    Bajet yake imekaaje?

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      Bajeti yake inaanzia 37M mpaka 40M kwa Maelekezo zaidi karibu ofisini kwetu au whatsapp 0653953900

    • @HassanHassan-nd4tj
      @HassanHassan-nd4tj ปีที่แล้ว

      @@MrSABYY sawa

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 ปีที่แล้ว +1

    Rimu yake ni saizi ngapi?

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      17 boss

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga2139 ปีที่แล้ว +1

    Hii sio automatic?

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      Ni automatic

  • @gelisonmpogozi4881
    @gelisonmpogozi4881 ปีที่แล้ว +1

    🙌🙌🙌

    • @MrSABYY
      @MrSABYY  ปีที่แล้ว

      🙌🏼🙌🏼🙌🏼