ONE TO ONE NA SESSION MAALUM: WAKATI WA KUINULIWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
- BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada na kipindi cha kwanza cha ibada yetu nzuri ya tarehe 25 Agosti 2024, inayokujia na kukufikia mubashara kutoka kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ya kipindi cha kwanza ni maombi ya awali ya mtu mmoja mmoja maalum kabisa kwa ajili ya kushughulikia changamoto zote ikiwemo unachotaka kitokee kwenye uchumi wako na wa familia.
Pia tuna session maalum ya maelekezo maalum ya WAKATI WA KUINULIWA yenye kichwa cha somo; KILA ROHO YA JEZEBEL INAYOZUIA KUINULIWA KWANGU IPIGWE NA MOTO.
Kipindi na ibada hii maalum inaongozwa na mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.