MAULIDI BARZANJE ILIVYOCHANGAMKA MLANGO WA KWANZA MPAKA WA NNE HADHARA YA MASJID MTORO 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @AminaSwaleh-bt8pk
    @AminaSwaleh-bt8pk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu akbar allahu akbar takbir allahu Akbar❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MafundaNassor-d2y
    @MafundaNassor-d2y 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mungu akubariki

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 3 หลายเดือนก่อน

    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAYYIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI

  • @AbdillahiAlly
    @AbdillahiAlly 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna sehemu yoyote iliyo dhibiti kwamba mtume aswaliwe na atukuzwe kwakufanya shangwe hivyo nyiye mtaulizwa hilo mnayo mashtaka mbele ya allah mnazuwa nyiye hiyo siyo dini aliyo acha mtume wetu ( sw) akaseme imekamilika jamani nyiye mnayatowa wapi hayo 😢

  • @MuhidinKamote
    @MuhidinKamote 3 หลายเดือนก่อน

    Elimu zenu zakujifunzia bara baran I nakukata kanzu na suruali naenda chuoni ukasome ww unajua imam Jafar barzinje ww umemxoma vizuri

  • @nassorokoba9161
    @nassorokoba9161 4 หลายเดือนก่อน

    Sahihi yaaa ahi

  • @MuhidinKamote
    @MuhidinKamote 3 หลายเดือนก่อน

    Ww mwenywe bidaa kwani ww enzi ya mtume ulikuepo hutaki mtume atajwe Wala kutangazwa unataka utanngazwe ww

  • @zulfaali8615
    @zulfaali8615 4 หลายเดือนก่อน

    Unasahihisha jambo ulilokuwa hulijui

  • @saidaliomar
    @saidaliomar 4 หลายเดือนก่อน

    Bidaa ni nini hasa tuambieni

    • @salehawadh1393
      @salehawadh1393 4 หลายเดือนก่อน

      Katika lugha ya kiarabu bidaa ni kitu kipya kilicho zuka.
      Kisheria. Ni kitu kilicho zuka katika dini.

  • @zulfaali8615
    @zulfaali8615 4 หลายเดือนก่อน

    Wacheni uzushi wakumsingizia mtume

    • @Hussein-h1r
      @Hussein-h1r 4 หลายเดือนก่อน

      Sis bwan jambo hili hatuach mpaka kiama ndo kiapo chetu

  • @zulfaali8615
    @zulfaali8615 4 หลายเดือนก่อน

    Baada ya kupata sawabu mtapata zambi kwa kufanya bidaa

    • @jumarajabu2667
      @jumarajabu2667 4 หลายเดือนก่อน +1

      Bidaa uloiyona ya kusoma maulidi tu kwakua mtume akufanya vingapi mtume ajafanya wewe unafanya? Mtume ajaacha msahafu kaacha qur'an mbona unashika msaafu na ukasoma mtume ajautubu ijumaa khutba za kiswaili mbona unasikiliza vingi tu wanawachuoni wameurith utume kinachoangaliwa kama jambo lakher alialibu dini linafanywa na kusoma maulidi ni sunna tu kama sunna zingine kasome wewe acha ujinga

  • @jumarajabu2667
    @jumarajabu2667 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio mungu kazi ya kuhukumu yake alwah kama hauna ilim nailo kasome

  • @MuhidinKamote
    @MuhidinKamote 3 หลายเดือนก่อน

    Elimu zenu zakujifunzia bara baran I nakukata kanzu na suruali naenda chuoni ukasome ww unajua imam Jafar barzinje ww umemxoma vizuri