Umeomgea vizuri malim hadithi ziko swa ila ufasiri wako unamashakkah( shahida minkumusha hara) kuingiliwa na mwezi wa siku ila sio mwezi muandamo mwezi muandamo ni( hilaalun) wala sio shaharun itafute aya inayosema ( wanakuliza kuhusu miezi miandamo mungu hajasema shaharun ,mungu atukusaidia utaelewa
Asnt mwalim. Kiukweli inaonekana umesoma vizuri dini. Maana nilipokusikiliza sikuona hata pamoja kuupa nguvu upande wowote wala sikuona kushikilia msimamo wako wako kua sehem fulani ndio lazima ifuatwe. Umeeleza vizuri sana kua dini ama wanazuini wameenda njia hizi kwaiyo watu watatakiwa wende kama walivoenda wana zuoni na umeeleza sheria ya utawala pia ilivyo kihaki kabisa. Lakini sio kama vile watu wa siku hizi akisimama katika msimamo wake bas yy huona ndio sawa tu hutaka wengine wote wamfuate yy na wasipomfuata huanza kuwakufurisha. Wakati wema waliopita wameenda njia tofauti na wala hawakukufurishana. Hali ya kua hao ndio walioifaham vyema dini.
tatizo lipo sio kuuona tatizi lipo hapa mwezi ukionekana saudia tufunge dunia mzima hila mwezi ukionekana omani vip wa saudia awakubali kufunga vipi hapo tatizo
Suala hili linawasumbua sana watu na kila mmoja anatumia aya na hadithi inaonesha wazi hakuna siku tutapata muafaka. Mimi nachangia hivi, kama vile ambavyo damu ni najisi ikikupata udhu unatenguka lkn damu ya mdudu kama mbu uliyemuuwa kwenye ngozi yako na akakuachia damu sheria inasema AKILI yako ndio itahukumu hilo kwamba damu hiyo ni kidogo kiasi kwamba haitatengua udhu au ni nyingi kiasi cha kutengua, hivyo suala la mwezi linahitaji pia akili ya kawaida kwamba kwa vile mwezi upo kila pahali duniani bila shaka eneo fulani ndio litakuhusu vinginevyo itabidi kila siku tuwaachie wengine kutazama mwezi ambayo nayo kiakili sio sahihi, Watu wa Saudia Arabia haitawezekana kuwauliza Watanzania au Afrika Mashariki kuhusu kuandama kwa mwezi, iwe je wafuatwe wao tu na huku mwezi upo? Bila shaka kila mtu na eneo lake.
@@vinehots3114 Sorry, dhana ni kufaa au kutokufaa kusali kwa najisi hiyo na sio kutengua udhu kama ilivyosomeka. Hata mavi ya mbwa au nguruwe hayatengui udhu ila ni najis. Ahsante kwa kutanabahisha. Lkn lengo langu linabaki pale pale kuwa baadhi ya ibada hazipo kwenye aya wala hadithi ila akili ndio inaamua.
Lakini kiakili ya kawaida tu. Dareslam na kigoma ni sehemu mbili tofauti ndani ya Nchi moja lakini ziko mbali mbali. Lakini pia kiakili tu ni kuwa kigoma na burudi ni nchi mbili tofauti lakini zipo karibu karibu. Hivi kwa akili ya kawaida tu mtu wa kigoma mwezi ukiandama burudi ambako yuko karibu napo ASIUFUATE,lakini ukiandama dar afuate kwa sababu ya mipaka ya kinchi tu?
@@kijanaabdu7732 Hapana na ndio nasema utatumia akili sisi Tanzania au Afrika Mashariki tunaadhiriwa na kitu kimoja kinaitwa Latitude (Mistari ya kufikirika) ambayo kwa sisi imegawa 12 mchana masaa 12 usiku hali hii imepelekea zoni yetu kufanana sana Uingereza ambayo haikujigawa hivyo inatokea kuna siku nadhani 21 September wanakuwa na mchana wa masaa 18 hivyo wao usiku na mchana sio sawa ndio sababu kwenye saa zao lazima uainishe AM au PM kitu ambacho kwetu hakina kazi. Kwa sababu hiyo muda wa sala Afrika Mashariki unafanana sana Kigoma na Dar es Salaam hawazidi nusu saa kuachana ki muda lkn Uingereza ambayo inaingia ndani ya Tanzania mara 4 inabidi kila masafa ya meli 30 hivi uwe na ratiba tofauti ya Sala kiasi kwamba Uingereza na Ufaransa ni kama Zanzibar na Dar es Salaam tu lkn muachano wa saa ni zaidi ya Dar na Kigoma. Sasa kama mtu ataamini yeye hana haki ya kutizama mwezi ila kuna watu pahali watamwambia sawa hiyo ni akili yake lkn ajuwe wapo wako wengine wapo nyuma ya wakati hivyo nafasi ya uwezekano wa kuona / kuandama mwezi haitakuwa sawa. Kama ingetokea Saudia akawauliza muandamo Watanzania ingekuwa sawa lkn haitatokea kwa sababu Tanzania kama watauona 29 Saudia hawatahitaji wao watakuwa 30.
Mimi sijasoma lakini nakubaliana na mawazo yangu yananielekeza nifunge swaum kutokana na mwezi ulioindama nchi hile ambayo Naishi! Mfano mdogo tu umetokea nchini kwetu Tanzania, Ramadhani hii ya 1440AH, Mwindamo wa kuanza kwa ramadhan tulikhitilafiana na Makka na Mombasa pia, Msa walisema wameuona na wakatangulia kufunga sisi hatukufunga, Mwindamo wa kufungua Saudia walifungua na 29 kenya hawakuuona wakakamilisha 30 sisi Tz tukiwa ni 29 Mwezi 29 kwetu uliindama kenya na wao wakauona lkn ni 30 kwao Suali lipo hapa Je mwezi hule uliotoka kwa dakika 15 tu na ukatuwa ulikuwa mwindamo wa 29 ama 30??? Hapa nahic hapataki hadithi kipewa ushahidi panataka maarifa zaidi na ujuzi kidogo ili uweze kuchanganua ukweli. Me nahic tusivurugane Masheikh mliosoma hasa hawa wanaoita watu makafiri kwasbb hawafuati mwezi Kimataifa. Jee miaka yote iliyopita wakati hatuoni kuwa leo Saudia ama nchi nyengine wamefunga tulikuwa tunafuata kigezo gani kufunga ili kufanya mwezi Mwindamo kuwa 1? Allah A’alam na tunamuomba atusameh tukikosea kwa yale ambayo hatuna ujuzi nayo
@@alexmahone.1863 ni kweli dini haiendi kwa mtazamo naomba ujibu hoja hii hadithi ya swahaba wa mtume ibni Abasi kisa mashuhuri cha quraib anasema Kila mtu afunge kwake suali kwako tuwafate wanachuoni au tumfate swahaba aliekua nyuma ya mtume 2)suali langu la pili hadithi inasema fungeni kwa kuonekana kwake mwezi na fungueni kwa kuonekana la ikitokea kuna mawingu au chochote kitakachosababisha kutokuonekaana kwake mwezi timizeni thalasini je suali Dunia yote inawezekana kuwa na mawingu Ushauri musichukua hadithi vipande kwa matamanio yenu tu
Hii Hali yakuonekana na hii Hali ya kuambiwa inatakiwa iwe sehemu zote Sie Huku Tunaambiwa siku zote hatuuoni (iwe basi baadhi ya siku tunauona pia ili tusiipinge hadithi maana siku zote tunaambiwa hatuuoni
Tatizo la Mawahabi hata ukiwathibitikia ukweli, kuufanyia kazi kunakua kugumu, sijui mmerogwa na nani!! Swahaba wa mtume S. W. W. amekataa mwezi wa Shamu, kisha akatoa maelezo ya kwamba :Hivi ndivyo alivyotuamrisha Mtume S. W. W. na pia mtume mwenyewe hakufunga mwezi wa kimataifa, lakini pia jografia ya dunia haikubali mwezi wa kimataifa kwakua machimbuko na machweo ni tofauti, wachilia mbali hayo zipo nchi zenye tofauti ya masaa zaidi ya 12.Hembu Mawahabi acheni upumbavu mfuateni Mtume S. W. W, acheni porojo za Muhammad ibni Abdilwahaabi pamoja na Mashekhe Uchwara wasaka Tonge.
Africa mashariki niwajibu kuenda pamoja chomozo zetu hazina tafauti kiutalaamu jografia sote tuko degree 4 .kisha arabuni km suudia na African mashariki Sa ziko sawa lakini cha ajabu chomozo za asubuhi za jua na kuzama jua tuko na ikhtilafu kubwa mno ndio maana hatuamini kufuata chomozo za nchi zilioko na degree 4 zaidi yaani 8 chi za kiarabu Leo nimeswali idi suudia Sa 5:10am jua lishachomoja ambao nda huo African mashariki tuko swala ya asubuhi
Chukulia mwezi uonekane Sudani Saudia watafunga uweje mwezi uonekane Saudia tu na Kesho Yake uonekane kwetu haihitaji elimu kubwa sana ya mwandamo wa mwezi kwani mpaka utangaziwe na Saudia wakati hapo uliopo hakuna mawingu hakuna Moshi wala kitu cchochote kinacho zuwiya umekaa toka saa 11jioni mpaka saa mbili usiku hujauona halafu Saudia wanatangaza wameuona je nini hukumu kwako wewe ambae hujauona
Kijana Abdu mfumo was kiserekali wafata madhab ya kishafi ambao ndio mfumo unaofuatwa wazanzibar hata wafalme walipokuja waliheshimu utaratibu huu hata nikweli wanaofungua mapema ilikuawa wanzuiwa kusali IDD lakini hivi sasa hakuna shida
kama alivo sema baba feisal shara sio mwezi wa kutizama ule unaitwa hilal shahra ni baada ya kuonekana mwezi nisiku za hesabu ya mwezi hivo wanachuni watafsiri wamesema فمن شهد منکم الشهر فليصمه ای حضر شهر رمضان وهو في بلده فليصمهyani atakaehudhuriwa na mwezi waramadhani basi naaufunge huomwe ndiomaana ikaja ومن کان مريضا او علی سفرفعدة من ايام أخرatakae kuamgonjwa au yumo safarini basi atafunga siku nyengine hakuna tafsiri inayofasiri neno shara kua ni mwezi ule wa kutizamwa hizi ni nasaha msikasirike unaponasihiwa ukafanya kibri unajiweka ktka nafasimbasana
na wwe nasir pia kichwakitupu kasome usul ndio utajua kwanini wakati mwengine aya au hadithi husomwa kipande hilosiokosa kisheria kuchukua mahalu shahidi kutolea ushahidi unapohitaji kufanyahivo cc hatutaki kucomit ila wakati mwengine kuna majajili wanajifanya mamuft na wakati mwengine hata kutukana masheikh
Nice xna
بارك الله لك وجزاك الله خير
بارك الله فيك
Mwalim upo vizuri, umeonyesha njia kwa wenye kuelewa.
Ahsante
Alhamdulillah
Jazakallahu khayrah
Allaahu akbar, bad sjakufaham 🙏
miaka 15 years ago wote wafuata mwezi wa mijini ghafla saa hii ndio wao wajua sana kuliko watu wengine watu vuruga daily na watu hawa
Shukrani
asanta
Umeomgea vizuri malim hadithi ziko swa ila ufasiri wako unamashakkah( shahida minkumusha hara) kuingiliwa na mwezi wa siku ila sio mwezi muandamo mwezi muandamo ni( hilaalun) wala sio shaharun itafute aya inayosema ( wanakuliza kuhusu miezi miandamo mungu hajasema shaharun ,mungu atukusaidia utaelewa
Miandamo sawa sasa kama unakubali miandamo Iko mingi kwa nini hufati kwenu
Allah Aallam
shekh up vizuri kwanini bakwata wasikae chini na mashkh wakisuna wakaliongea shida nini
Asnt mwalim. Kiukweli inaonekana umesoma vizuri dini. Maana nilipokusikiliza sikuona hata pamoja kuupa nguvu upande wowote wala sikuona kushikilia msimamo wako wako kua sehem fulani ndio lazima ifuatwe. Umeeleza vizuri sana kua dini ama wanazuini wameenda njia hizi kwaiyo watu watatakiwa wende kama walivoenda wana zuoni na umeeleza sheria ya utawala pia ilivyo kihaki kabisa. Lakini sio kama vile watu wa siku hizi akisimama katika msimamo wake bas yy huona ndio sawa tu hutaka wengine wote wamfuate yy na wasipomfuata huanza kuwakufurisha. Wakati wema waliopita wameenda njia tofauti na wala hawakukufurishana. Hali ya kua hao ndio walioifaham vyema dini.
tatizo lipo sio kuuona tatizi lipo hapa mwezi ukionekana saudia tufunge dunia mzima hila mwezi ukionekana omani vip wa saudia awakubali kufunga vipi hapo tatizo
Suala hili linawasumbua sana watu na kila mmoja anatumia aya na hadithi inaonesha wazi hakuna siku tutapata muafaka.
Mimi nachangia hivi, kama vile ambavyo damu ni najisi ikikupata udhu unatenguka lkn damu ya mdudu kama mbu uliyemuuwa kwenye ngozi yako na akakuachia damu sheria inasema AKILI yako ndio itahukumu hilo kwamba damu hiyo ni kidogo kiasi kwamba haitatengua udhu au ni nyingi kiasi cha kutengua, hivyo suala la mwezi linahitaji pia akili ya kawaida kwamba kwa vile mwezi upo kila pahali duniani bila shaka eneo fulani ndio litakuhusu vinginevyo itabidi kila siku tuwaachie wengine kutazama mwezi ambayo nayo kiakili sio sahihi, Watu wa Saudia Arabia haitawezekana kuwauliza Watanzania au Afrika Mashariki kuhusu kuandama kwa mwezi, iwe je wafuatwe wao tu na huku mwezi upo? Bila shaka kila mtu na eneo lake.
Damu ınatengua udhu? Hıvı nıkweli? Kwa madhehebu yepı? Mana ımamu shafı hakuıngıza kabısaaaa damu katıka mambo yanotengua udhu ıspokua nınajıs tuu
@@vinehots3114 Sorry, dhana ni kufaa au kutokufaa kusali kwa najisi hiyo na sio kutengua udhu kama ilivyosomeka. Hata mavi ya mbwa au nguruwe hayatengui udhu ila ni najis. Ahsante kwa kutanabahisha. Lkn lengo langu linabaki pale pale kuwa baadhi ya ibada hazipo kwenye aya wala hadithi ila akili ndio inaamua.
Apo sawa
Lakini kiakili ya kawaida tu.
Dareslam na kigoma ni sehemu mbili tofauti ndani ya Nchi moja lakini ziko mbali mbali.
Lakini pia kiakili tu ni kuwa kigoma na burudi ni nchi mbili tofauti lakini zipo karibu karibu.
Hivi kwa akili ya kawaida tu mtu wa kigoma mwezi ukiandama burudi ambako yuko karibu napo ASIUFUATE,lakini ukiandama dar afuate kwa sababu ya mipaka ya kinchi tu?
@@kijanaabdu7732 Hapana na ndio nasema utatumia akili sisi Tanzania au Afrika Mashariki tunaadhiriwa na kitu kimoja kinaitwa Latitude (Mistari ya kufikirika) ambayo kwa sisi imegawa 12 mchana masaa 12 usiku hali hii imepelekea zoni yetu kufanana sana Uingereza ambayo haikujigawa hivyo inatokea kuna siku nadhani 21 September wanakuwa na mchana wa masaa 18 hivyo wao usiku na mchana sio sawa ndio sababu kwenye saa zao lazima uainishe AM au PM kitu ambacho kwetu hakina kazi. Kwa sababu hiyo muda wa sala Afrika Mashariki unafanana sana Kigoma na Dar es Salaam hawazidi nusu saa kuachana ki muda lkn Uingereza ambayo inaingia ndani ya Tanzania mara 4 inabidi kila masafa ya meli 30 hivi uwe na ratiba tofauti ya Sala kiasi kwamba Uingereza na Ufaransa ni kama Zanzibar na Dar es Salaam tu lkn muachano wa saa ni zaidi ya Dar na Kigoma.
Sasa kama mtu ataamini yeye hana haki ya kutizama mwezi ila kuna watu pahali watamwambia sawa hiyo ni akili yake lkn ajuwe wapo wako wengine wapo nyuma ya wakati hivyo nafasi ya uwezekano wa kuona / kuandama mwezi haitakuwa sawa. Kama ingetokea Saudia akawauliza muandamo Watanzania ingekuwa sawa lkn haitatokea kwa sababu Tanzania kama watauona 29 Saudia hawatahitaji wao watakuwa 30.
Shukran
Rudi kasome tafsir faswaha
umeeleweka vizur kabisa kwawale wenye akir
Mimi sijasoma lakini nakubaliana na mawazo yangu yananielekeza nifunge swaum kutokana na mwezi ulioindama nchi hile ambayo Naishi!
Mfano mdogo tu umetokea nchini kwetu Tanzania, Ramadhani hii ya 1440AH, Mwindamo wa kuanza kwa ramadhan tulikhitilafiana na Makka na Mombasa pia, Msa walisema wameuona na wakatangulia kufunga sisi hatukufunga, Mwindamo wa kufungua Saudia walifungua na 29 kenya hawakuuona wakakamilisha 30 sisi Tz tukiwa ni 29
Mwezi 29 kwetu uliindama kenya na wao wakauona lkn ni 30 kwao
Suali lipo hapa Je mwezi hule uliotoka kwa dakika 15 tu na ukatuwa ulikuwa mwindamo wa 29 ama 30???
Hapa nahic hapataki hadithi kipewa ushahidi panataka maarifa zaidi na ujuzi kidogo ili uweze kuchanganua ukweli. Me nahic tusivurugane Masheikh mliosoma hasa hawa wanaoita watu makafiri kwasbb hawafuati mwezi Kimataifa.
Jee miaka yote iliyopita wakati hatuoni kuwa leo Saudia ama nchi nyengine wamefunga tulikuwa tunafuata kigezo gani kufunga ili kufanya mwezi Mwindamo kuwa 1?
Allah A’alam na tunamuomba atusameh tukikosea kwa yale ambayo hatuna ujuzi nayo
Seif Masoud
saydina Ally Radhi za Allah ziwe juu yake ansema Dini haiendi kwa mawazo ya mtu.
@@alexmahone.1863 ni kweli dini haiendi kwa mtazamo naomba ujibu hoja hii hadithi ya swahaba wa mtume ibni Abasi kisa mashuhuri cha quraib anasema Kila mtu afunge kwake suali kwako tuwafate wanachuoni au tumfate swahaba aliekua nyuma ya mtume
2)suali langu la pili hadithi inasema fungeni kwa kuonekana kwake mwezi na fungueni kwa kuonekana la ikitokea kuna mawingu au chochote kitakachosababisha kutokuonekaana kwake mwezi timizeni thalasini je suali Dunia yote inawezekana kuwa na mawingu
Ushauri musichukua hadithi vipande kwa matamanio yenu tu
Sh samahani kidogo hiyo hadithi ya qurayb hebu ipite kwa nahau tuweze kupata faida zaidi maana kuna watu wanaitolea ufafanuzi zaidi kwa hiyo dalili
Hata Kama ni madhehebu ya kinafiki,tunaweza tukayafuata?
Hii Hali yakuonekana na hii Hali ya kuambiwa inatakiwa iwe sehemu zote Sie Huku Tunaambiwa siku zote hatuuoni (iwe basi baadhi ya siku tunauona pia ili tusiipinge hadithi maana siku zote tunaambiwa hatuuoni
o
Hk
Swali ni ukionekana africa alafu saudia usionekane je watatufata
kuna wapumbavu wengine wanafuwata sauti za majahilitu kunammoja anasema aondolewe uwahabi mwengine anasema mashia hawakutajwa tuna mwambia akasome anaetumia lughahizimbili nimpotevu aliekosea njia yasawa akasome ajuwe uislam sahihi asitie talbis
Mamlaka.ikisema.tafanye.zinaa.ila.tutumie.kondom.je.tuifate.??
Mi nasema hiv Africa masharik ingenda sambamba ama ni aj shekh
Tatizo la Mawahabi hata ukiwathibitikia ukweli, kuufanyia kazi kunakua kugumu, sijui mmerogwa na nani!! Swahaba wa mtume S. W. W. amekataa mwezi wa Shamu, kisha akatoa maelezo ya kwamba :Hivi ndivyo alivyotuamrisha Mtume S. W. W. na pia mtume mwenyewe hakufunga mwezi wa kimataifa, lakini pia jografia ya dunia haikubali mwezi wa kimataifa kwakua machimbuko na machweo ni tofauti, wachilia mbali hayo zipo nchi zenye tofauti ya masaa zaidi ya 12.Hembu Mawahabi acheni upumbavu mfuateni Mtume S. W. W, acheni porojo za Muhammad ibni Abdilwahaabi pamoja na Mashekhe Uchwara wasaka Tonge.
Africa mashariki niwajibu kuenda pamoja chomozo zetu hazina tafauti kiutalaamu jografia sote tuko degree 4 .kisha arabuni km suudia na African mashariki Sa ziko sawa lakini cha ajabu chomozo za asubuhi za jua na kuzama jua tuko na ikhtilafu kubwa mno ndio maana hatuamini kufuata chomozo za nchi zilioko na degree 4 zaidi yaani 8 chi za kiarabu Leo nimeswali idi suudia Sa 5:10am jua lishachomoja ambao nda huo African mashariki tuko swala ya asubuhi
Mnatuyumbisha, tz tumeuona marekani wao ndo saa 4 asbuhi
Chukulia mwezi uonekane Sudani Saudia watafunga uweje mwezi uonekane Saudia tu na Kesho Yake uonekane kwetu haihitaji elimu kubwa sana ya mwandamo wa mwezi kwani mpaka utangaziwe na Saudia wakati hapo uliopo hakuna mawingu hakuna Moshi wala kitu cchochote kinacho zuwiya umekaa toka saa 11jioni mpaka saa mbili usiku hujauona halafu Saudia wanatangaza wameuona je nini hukumu kwako wewe ambae hujauona
Lakini kwa hapa zanzibar si kila mmoja ana uhuru wa kuabudu na anauwezo wa kuabudu anatakavyo?
Kijana Abdu muongo
Kijana Abdu mbona mabaniani wanaabudu masanamu hapa Zanzibar na wakristo pia wapo
@@danmafy2725 mimi nazungumzia suala la mwezi.serikali inaonaje juu ya wale wanaofunga na kufungua mapema?
Kijana Abdu mfumo was kiserekali wafata madhab ya kishafi ambao ndio mfumo unaofuatwa wazanzibar hata wafalme walipokuja waliheshimu utaratibu huu hata nikweli wanaofungua mapema ilikuawa wanzuiwa kusali IDD lakini hivi sasa hakuna shida
Kijana Abdu baraka llahu fiika hivyo ndivyo yalivyo mas alah
kama alivo sema baba feisal shara sio mwezi wa kutizama ule unaitwa hilal shahra ni baada ya kuonekana mwezi nisiku za hesabu ya mwezi hivo wanachuni watafsiri wamesema فمن شهد منکم الشهر فليصمه ای حضر شهر رمضان وهو في بلده فليصمهyani atakaehudhuriwa na mwezi waramadhani basi naaufunge huomwe ndiomaana ikaja ومن کان مريضا او علی سفرفعدة من ايام أخرatakae kuamgonjwa au yumo safarini basi atafunga siku nyengine hakuna tafsiri inayofasiri neno shara kua ni mwezi ule wa kutizamwa hizi ni nasaha msikasirike unaponasihiwa ukafanya kibri unajiweka ktka nafasimbasana
Afwan Shukrana na tutalifanyia kazi hilo Insha ALLAH, tutafanya marekebisho
Je? Jibri alimpa taari Mtume marangapi kuwa mwezi tayari
na wwe nasir pia kichwakitupu kasome usul ndio utajua kwanini wakati mwengine aya au hadithi husomwa kipande hilosiokosa kisheria kuchukua mahalu shahidi kutolea ushahidi unapohitaji kufanyahivo cc hatutaki kucomit ila wakati mwengine kuna majajili wanajifanya mamuft na wakati mwengine hata kutukana masheikh
io hadithi mnaodai inasomwa kipande ww isome yote mzima tuone nikipi kinakufanya usiangalie Mwezi upokee taarifa tu