MUFTI ATOA ONYO ZITO JANA MWEZI HAUKWANMDAMA, HAKUNA TASISI YENYE MAMLAKA YA KUTANGAZA,NI BAKWATA TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 507

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 9 หลายเดือนก่อน +1

    Well and good. Masikini Mzee wetu Shaykh Hemed bin Jumaa (ALLAH SUBHANAHU WATAALA)Amrehemu kumbe alilazimishwa..!!! Yupo akhera na aliyemlazisha yupo akhera. SUBHANAH LLAH. Kuishi kwingi kuona mengi.

  • @HassanKapate
    @HassanKapate 9 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana mufti wetu tumekuelewa vizuri sana asie kuelewa anatakiwa aelimishwe aelewe

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 9 หลายเดือนก่อน

      Mufti asitake KULAZIMISHA Serikali kuingilia Imani za watu maana Serikali HAINA dini,Kwani Answaar kutangaza MWEZI Kuna VURUGU gani imetokea NCHINI?? Atumie BUSARA UBABE SIKU ZOTE Huwa haujengi...

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 9 หลายเดือนก่อน

      IKHTILAAFU hazijaanza Leo na si rahisi kuzimaliza Tena eti Kwa UBABE kuishirikiaha Serikali ISIYO na dini!

  • @IbrahimKimath-u9z
    @IbrahimKimath-u9z 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante shekhe Allah akulinde na mahazidi akulipe pepo kwa kazi na jukum nzito unaloliongoza. Maoni yangu huyu aliyetangaza mwezi bila taratibu za kisheria akamatwe ahojiwe hayo mamlaka kayapata wapi .tuheshim viongozi wetu.

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mufti wa bakwata sio Tanzania ww haupo kwaajili ya Allah Bali upo kwa ajili ya serikal

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 9 หลายเดือนก่อน +10

    Kumbe mamlaka yenu yanasimamiwa na serikali

    • @matarmatar5238
      @matarmatar5238 8 หลายเดือนก่อน

      Swali la kipuuzi kabisa, Jumuiya ya Maulamaa wa Kisaudia inasimamiwa na nani? Sio serikali inayosimamia? Acha kudanganyika kwamba kuna taasisi ya kiislamu isiyosimamiwa na serikali labda kama huishi ktk dunia hii? Ukiishi ktk hii dunia, kila taasisi ya kidini ipo chini ya serikali

  • @KARUTAATHUMANI-cz6mn
    @KARUTAATHUMANI-cz6mn 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi mwenyewe KIGOMA mwezi niliuona na siku ya jumapili ilikuwa tarehe 29 shaban 1445 Cha ajabu ni pale mnaposema kwamba siku ya jumapili ilikuwa ni tarehe 28 Shaban taarifa hii sio sahihi nasikitika sana Mimi binafsi tangu rajabu nafuatilia mwandamo wa mwezi Hadi siku mwezi shabani unaandama nafuatilia SEMA sisi wengine tunahofia mamlaka lakini kiukweli naweza kula kiapo juu ya kuona mwezi mwandamo wa shaban.

    • @ramadhanmasiku4105
      @ramadhanmasiku4105 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli shekh

    • @Abdallah-e7o
      @Abdallah-e7o 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama uliuona ulitoa taarifa wapi siku hio ?

  • @HajiMakame-m8l
    @HajiMakame-m8l 9 หลายเดือนก่อน +8

    Mwambie mama samia anunuwe icho chomo atanunua ananunua magoli ashindwe kununua icho chombo cha kutizama mwezi

  • @allyabubakari5940
    @allyabubakari5940 9 หลายเดือนก่อน

    Allah atakuchoma wew epuka unafiki acha kufarakanisha waumini na mnafiki katika uislamu ana tofaut na kafiri wakiristo wanao dai yesu ni mungu na mwana wa mungu

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 9 หลายเดือนก่อน +9

    Mbona mwezi wa Kenya mwaka jana mliukataa unatuambiaje leo mwezi ukitangazwa kenya mna ufuata Mche ALLAH

    • @MtapankunduLyowa
      @MtapankunduLyowa 9 หลายเดือนก่อน

      Mufti acha kudanganya watu siku ya malipo utawajibika wewe hii dini siyo ya kwako endelea na ujinga wenu werevu tuliisha elewa wewe upo kwa masilahi ya serikali haupo kwa ajili ya dini jiandae kwani kazi yako wewe ni kutangaza mwezi tu sio?

    • @sheikhmvanokiloba3228
      @sheikhmvanokiloba3228 9 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli bhanaa
      Uongo huo!!

    • @swaffaa12020
      @swaffaa12020 9 หลายเดือนก่อน

      Kenya ipi hio ilitangazwa Mimi mkenya walotangaza hawakuwa sahihi walibabahsha watu kweli kweli Kenya Ni vurugu tu Na mizozo kila mmoja atangaza

    • @MbuyaMbuya-wi7ke
      @MbuyaMbuya-wi7ke 9 หลายเดือนก่อน

      Hata saudia walikataa uliandama Yemen mwezi Yemen unashangaa Kenya na tanzania

  • @saumsaid1966
    @saumsaid1966 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Mufti kwa hili na inahitaji kusimamiwa

  • @CheerfulJumpingPuppy-kl5ti
    @CheerfulJumpingPuppy-kl5ti 9 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akupe ufahamu mufti

  • @athumanbalozi9748
    @athumanbalozi9748 9 หลายเดือนก่อน +1

    Msimamo ni haki yako mzee
    Upo sahihi
    Maana aswar wanaona
    Wapo sahihi tena wapeponi
    Umewanyoosha

    • @Ernest-jo5di
      @Ernest-jo5di 8 หลายเดือนก่อน

      Nimekuelewa Sheikh Abubakar Bin Zubeir. Itoeni CCM madarakani kumaliza utata wote

  • @Hussein-l6v
    @Hussein-l6v 9 หลายเดือนก่อน +7

    Ahsante sana muft watanzania na kuelewa sana Allah akujalie umri mrefu wenyekher nailoni yenye manufaa zaidi

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 9 หลายเดือนก่อน

    Tunasikia na tuna akili. ALLAH A'ZZA WAJALLA Ndie Mjuzi zaidi.

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 9 หลายเดือนก่อน +2

    Maa Shaa ALLAH 💚

  • @patsonkyando1732
    @patsonkyando1732 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kumuelewa Mungu ni kazi Sana,

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ni wanaadamu Tu, dini wala haijafanywa kuwa ngumu Kiasi hicho

  • @jumannesaid8434
    @jumannesaid8434 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa hiyo kumbe mmekatwa na hiyo mamlaka kutumika kama kivuli cha kutudharirisha waislam kwa maslahi yenu ya kitaasisi BAKWATA!! inna lillah wa inna iraihi raajiun....
    Waislam fungukeni kiimani na nguvu za elimu zenu...hii ni dhima nzito!!

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa wee wenye elimu washakwambia tena unakwama wapi usipofuata wenyeelimu na kufuata pumbao?

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 9 หลายเดือนก่อน

      Ivi unajua nini kuhusu uislamu na kama wewe muislamu jitathmini na uislamu wako

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 9 หลายเดือนก่อน

      Swadakta

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 9 หลายเดือนก่อน

      Povu limekutoka

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 9 หลายเดือนก่อน +1

      Taasisi zote zimesajiliwa kua na Nidhamu.Bakwata si taasisi inayoweza kusimamia haki za Waislam wamejaa zulma tu.

  • @hanswan1
    @hanswan1 9 หลายเดือนก่อน +16

    Serikali haina dini hivyo kila kiongozi wa dini anaruhusiwa kuwaambia waumini wake...

    • @hamisiramadhani14
      @hamisiramadhani14 9 หลายเดือนก่อน +2

      Utaratibu upi wa dini unaoelekeza kila kiongozi wa dini ana mamlaka ya kuwaambia waumini wake juu ya kuandama kwa mwezi?

    • @AbduliMaulidi
      @AbduliMaulidi 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@hamisiramadhani14kila mtu afuate analoliona liko sahihi, usikataze mtu kuwatangazia watu wake, sio kila mtu ni bakwata

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbduliMaulidihaujakosea

    • @tambweswedi6987
      @tambweswedi6987 8 หลายเดือนก่อน

      😮 see​@@AbduliMaulidi

    • @matarmatar5238
      @matarmatar5238 8 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa kila mtu atatangaza, nani atakuwa kiongozi? Nani alikuwa anatangaza siku ya kufunga au kufungua kwenye karne ya kwanza ya Bwana Mtume Muhammad? Pia nani leo anatangaza mwezi Saudia? Ushawahi kusikia mtu yeyote anatangaza mwezi Saudia?

  • @Ishaqamacheda
    @Ishaqamacheda 9 หลายเดือนก่อน +2

    We kasome tena acha njaaa hizo mnakaa mnapotosha watu kwa njaa zenu huna elimu yeyote uwo umufti wenyewe umepewa tyuu njaa hizo ndo maana mnapotosha watu

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 9 หลายเดือนก่อน

    Muandamo wa mwezi ulimwenguni ni siku moja tu, na mwenyezimgu alimuelezea mtume s.a.w. waambie wa islam watakapo shuhudiliwa mwezi wa ramadhan umeingia wafunge ama wanapo ingiliwa na mwezi wa ramadhan wa funge, ulimwenguni siku ni moja.

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 9 หลายเดือนก่อน

    Dini bila kua na kiongozi nimatatizo ahsante sana kiongozi mimi ni muislam wa madhabahu ya shia ithnaasharia tupo naww

    • @ahlusunna8932
      @ahlusunna8932 9 หลายเดือนก่อน

      Mashia nao pia ni waislamu? Watu wanawatukana maswahaba wa mtume SAW ni waislamu? Inaonekana njaa zinakusumbua wewe .

    • @HabibuMudhwahir
      @HabibuMudhwahir 9 หลายเดือนก่อน

      @@ahlusunna8932 utajua wew

  • @radhidimasambiro4620
    @radhidimasambiro4620 9 หลายเดือนก่อน +3

    Unapenda vyeo sana we mzee

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 9 หลายเดือนก่อน +6

    Taasisi ya kambarangeeee😅😢

  • @aminaabdallah8728
    @aminaabdallah8728 9 หลายเดือนก่อน

    Innalillah Wainna ilaih Rajiun tumuogopeni Allah .Akher zaman

    • @aminaabdallah8728
      @aminaabdallah8728 9 หลายเดือนก่อน

      Subhannallah

    • @aminaabdallah8728
      @aminaabdallah8728 9 หลายเดือนก่อน

      Tupe fatwa maelezo mengi bila reference from Quran and sunna

  • @allykondo8406
    @allykondo8406 9 หลายเดือนก่อน +1

    Basuta only one❤❤❤❤❤

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 9 หลายเดือนก่อน

      Lakini hawana mamlaka ya kutangaza mwezi

    • @hassanmsumari1200
      @hassanmsumari1200 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamalishoo3802hahaha hahaha hahaha hahaha

    • @AbduliMaulidi
      @AbduliMaulidi 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamalishoo3802hiyo ni ya serikali sasa siyo dini

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 9 หลายเดือนก่อน +4

    Serekari msi ingilie mambo yadini mtazuwa ugomvi unatafuta umwamba wapi umeshaferi

  • @samiryalii-fz8zj
    @samiryalii-fz8zj 9 หลายเดือนก่อน +12

    Watu tushafunga leo acha povu 😂😂😂

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa broo povu linamtoka anadhani yeye anaweza kuwasimamia Waislam.
      Huwezi kuamrisha watu wafuate matakwa Yako.
      Kwaivo hatuwezi fuata matakwa ya mufti kwakua si kiongozi anayeweza kusimamia Haki za Waislam.

    • @hassanmasoud8167
      @hassanmasoud8167 9 หลายเดือนก่อน

      Mi mwenyew nimeona povu ... Hili 😂😂😂

  • @dullahkuchi8736
    @dullahkuchi8736 9 หลายเดือนก่อน

    Bakwata kaanzisha Nyerere laanatullah Alaihi sasa wewe njaa inakusumbua unatuamrisha waislamu tuufate ukafiri wa nyerere

    • @JacobMsuya-e2p
      @JacobMsuya-e2p 9 หลายเดือนก่อน

      Nyoko Yako, usimnenee Nyerere upuuzi huo,

    • @dullahkuchi8736
      @dullahkuchi8736 9 หลายเดือนก่อน

      Mbona umeumia sana Nyerere Mumeo nini

  • @hamisimachambula4113
    @hamisimachambula4113 9 หลายเดือนก่อน

    Mufti hupo sahihi kabisa.

  • @yusufmwinjuma5425
    @yusufmwinjuma5425 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume tushatangulia kufunga fanyeni lolote Bakwata ni chombo maalumu chakuvuruga uislam na leo imedhihiri eti mufti kalazimishwa kutangaza mwezi halafu yeye anaharakisha kwenda ftari

  • @2003hintay
    @2003hintay 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mufti shukrani sana unasema kweli kila kitu lazima kiendeshwe kwa kuheshimu mamlaka

  • @JafariBakari-mx2rm
    @JafariBakari-mx2rm 9 หลายเดือนก่อน +7

    Achaunafki uwislam hauwendeswi kwamatashiyamtu

  • @allyomari6484
    @allyomari6484 9 หลายเดือนก่อน +6

    Shehe ilunga alishasema Bakwata haingii mwenye vision hata mmoja

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 9 หลายเดือนก่อน

      Yule sheikh Ilunga alikuwa simba kabisa

    • @Abdoulyousouf
      @Abdoulyousouf 9 หลายเดือนก่อน

      Na ndo maana walimuua

  • @bakarimwaita9017
    @bakarimwaita9017 9 หลายเดือนก่อน

    Ukweli tumeupata kweli Bakwata ni shida

  • @jumankumilwa4139
    @jumankumilwa4139 9 หลายเดือนก่อน +1

    حفظك الله

  • @rizikimweta9189
    @rizikimweta9189 9 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah katumia muda mrefu kwa jambo moja aiseee

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 9 หลายเดือนก่อน +3

    Unatia aibu hata watu huna
    Mufti mzima Msikiti mweupeee
    Huna watuuuuu

    • @hamisiramadhani14
      @hamisiramadhani14 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani ni mwanasiasa au msanii huyo?

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe Banihashim.. ni kichaa wallah sasa unataka mufti wafunge kamba za viungo walete msikitini...
      Na huo msikiti unakuwa wanaingia watu wa ngapi na hapo wako wangapi ?

  • @maulidimkumba3255
    @maulidimkumba3255 9 หลายเดือนก่อน

    M nakuelewa sana mufti coz nmegundua saudia wanafuata kalenda maaana ramadhani walisema March 11 sa walijuaje

    • @HamisiFaki-q8g
      @HamisiFaki-q8g 9 หลายเดือนก่อน

      Ahsante mufty wetu lazima uwe mkali kudhibiti mamlaka

  • @MasoudRashid-h8p
    @MasoudRashid-h8p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mufti mpk sura imegeuka hyo mashekh wenzio wakitiw ndan husem llot unakuja kusema habar zamwez ona aibu wwe

  • @omarysaidi3873
    @omarysaidi3873 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe serikali inawatambua ninyi, basi sioni kesi BASUTA wakipashana habari kibasutabasuta ni halali kwao. Mamlaka yako hayatapokwa BASUTA wakipelekana kibasuta basuta kwasababu tayari Serikali inaisikiliza BAKWATA.

  • @SalmaSalum-m8b
    @SalmaSalum-m8b 9 หลายเดือนก่อน

    Kwakwel nmtihan IPO sir nahis nyumb ya pazia

  • @abdunajuma6024
    @abdunajuma6024 9 หลายเดือนก่อน +2

    Innalillah wainna ilayh rajiun

  • @HajiMakame-m8l
    @HajiMakame-m8l 9 หลายเดือนก่อน +12

    Bakwatwa mzimu alouwacha nyerere

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kama bakwata ni nyerere sawa na saudia vilevile ni uyahudi na ufalme Bora nn hjitambui mburura ww mfuata mkumbo

    • @HajiMakame-m8l
      @HajiMakame-m8l 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@Zuwenamachela Jitambue na wewe

    • @KomboAli-p1l
      @KomboAli-p1l 9 หลายเดือนก่อน

      ​​@@ZuwenamachelaKama saudia ni Kama unavyodai, Basi tambua sisi tunafuata Haki popote ilipo na sio saudia

    • @mkude
      @mkude 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@Zuwenamachela wewe ni jahili huna unalolijua

  • @samlikingo
    @samlikingo 9 หลายเดือนก่อน

    Mufti si wa waislamu wote bali ni Mufti wa Bakwata tu. na kama manataka hilo shiksheni viongozi wa taasisi zingine ili ipatikane hoja ya kuwa ninyi viongozi wa waislamu wote.

  • @abdisalan7515
    @abdisalan7515 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalah mufti wetu ameongea hakii

    • @LovelyBrain-wz7si
      @LovelyBrain-wz7si 9 หลายเดือนก่อน

      Taasisi ya nyerere

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@LovelyBrain-wz7sihata ingekuwa ya mwamposa

    • @KomboAli-p1l
      @KomboAli-p1l 9 หลายเดือนก่อน

      Kirefu Cha BAKWATA,,: ni Baraza la kuwakandamiza waislam tanzania

  • @migoiabubakari5306
    @migoiabubakari5306 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mufti wetu Mungu akuwezeshe na ukundoshe woga ktk kuitangaza haki ilivyo.masha allah

  • @CheerfulJumpingPuppy-kl5ti
    @CheerfulJumpingPuppy-kl5ti 9 หลายเดือนก่อน +3

    Rudi madrasa ukasome mufti uongozi n hekima co majigambo

    • @mttanzaniamalimilo6657
      @mttanzaniamalimilo6657 9 หลายเดือนก่อน

      Khaswaa uongozi ni dhima kubwa sana laiti mtu akilitambua hilo hatafanya majigambo ktk uongozi wa kiislamu, pia ikumbukwe kuwa uongozi ni dhamana ambayo itaja ulizwa siku ya hesabu

  • @RAJABHAMADOTHUMAN-wg2wk
    @RAJABHAMADOTHUMAN-wg2wk 9 หลายเดือนก่อน

    Mambo yadini usiyapeleke kwenye selekal😂😂😂😂

  • @samiryalii-fz8zj
    @samiryalii-fz8zj 9 หลายเดือนก่อน

    Namkiswali geukieni ofisi za bakwata msitazame makka

  • @mkangambwana5690
    @mkangambwana5690 9 หลายเดือนก่อน

    Mufti, tatizo sio kutangaza. Watu hawataki kutangaziwa na bakwata. Bakwata ni kama CCM na ina katiba sawa na CCM kwa sababu kilianzishwa na Nyerere. Mkitaka kuleta umoja badilisheni jina na muwajumuishe wengine lakini hivi hivi ni kama alivyosema Yesu...Ole wenu waandishi na mafarisayo mnapendeza kwa nje kama makaburi yaliyonakshiwa lakini ndani mmejaa uozo. Bakwata ndio tatizo

  • @mirajikimosa4997
    @mirajikimosa4997 9 หลายเดือนก่อน

    Nyie mpewa na nani???mche ALLAH SHEIKH HII NI DINI, Kumbuka kesho YAKO akhera utajibu,

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 9 หลายเดือนก่อน +2

    Baraza gani la Maulamaa walikaa wakakuchaguwa wewe kuwa Mufti wa Tanzania 🇹🇿?

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 9 หลายเดือนก่อน

    Mufti yupo sahihi kwa mijibu wa uislam

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 9 หลายเดือนก่อน

    Kama tupo tofauti na Saidia basi tukae tutengene Ijumaa ya ya Afric mashariki tuone kama kama itakubaka Ijumaa tunasali sku moja saa moja yaani wakatimoja na Saidia iweje funga ziwe tofauti muliosoma mnatuchanganya cc mamuma

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 9 หลายเดือนก่อน +1

    Badala ya kuwafundisha watu ilmu, umebakia kugombania mwezi,,,,

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 9 หลายเดือนก่อน

      Hujui elimu ni nini wewe

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 9 หลายเดือนก่อน

      @@jamalishoo3802 na wewe inaonekana ni katika hao wagombea mwezi,,,,

  • @ISSASADIKI-s4l
    @ISSASADIKI-s4l 9 หลายเดือนก่อน

    Wataq yaumani tulijauna fihiilanlahi

  • @RehemaMohamed-ju9ey
    @RehemaMohamed-ju9ey 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika moto unakusubilini😢😢😢

  • @Burange666
    @Burange666 9 หลายเดือนก่อน +3

    Serikali haina dini wanasema kila mtu anayo hiari ya kufunga au kufunguwa

    • @jabirhussein4180
      @jabirhussein4180 9 หลายเดือนก่อน

      Mbona hawatangazi sikukuu ya mawahabi ikawa ndio siku ya mapunziko

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kila siku zikenda mnazidi kukosa watu

    • @hamisiramadhani14
      @hamisiramadhani14 9 หลายเดือนก่อน

      Hivi huwa wanatafuta watu kama wanasiasa ee? Hii ni dini haihitaji kutafuta watu ni elimu na namna ya ufahamu wa mtu juu ya sheria za dini

  • @irtshisekedikhamis5648
    @irtshisekedikhamis5648 9 หลายเดือนก่อน

    Shukrani mufti , uwahabi ni virus katika uislamu

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 9 หลายเดือนก่อน

      Ipo siku ujinga utakutoka!!

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 9 หลายเดือนก่อน +4

    Bakwata si taasisi ya kiislam

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 9 หลายเดือนก่อน

      Bado hujasema na utasema

    • @athumanikhamisi3377
      @athumanikhamisi3377 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamalishoo3802😅😅😮

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 9 หลายเดือนก่อน

    Hayo yote ulio zungumza ni world politic sio Qur'anic politic.

  • @bashiromary4897
    @bashiromary4897 9 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu mbona tofauti ipo kwenye kalenda yenu tu
    Mfano leo tar
    11th Mar 2024
    Sawa na tar 1ramadhan1445
    Kwanini isiwe hivi kwamba kwa Tanzani,Kenya,Uganda iwe 10th March

  • @MasoudSultan-ks6kc
    @MasoudSultan-ks6kc 9 หลายเดือนก่อน

    Kauli Thabit DINI INAHITAJ UMAKINI SHUQRAN SHEKH TUMEKUELEWA

  • @HusseinMdee
    @HusseinMdee 8 หลายเดือนก่อน

    Mamlaka pia kuijua kwao ni mtihani mzee endelea kuelimisha na masheikh wengine nao wamuige mufti wasikae kimya

  • @issahabdallah9018
    @issahabdallah9018 9 หลายเดือนก่อน +10

    Baraza la wahuni hili

    • @MtapankunduLyowa
      @MtapankunduLyowa 9 หลายเดือนก่อน

      Bakwata ndiyo gani tena hebu fafanua ni dini mpya????

    • @MtapankunduLyowa
      @MtapankunduLyowa 9 หลายเดือนก่อน

      Bakwata ndiyo dini gani tena ? ni dini mpya ?????

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 9 หลายเดือนก่อน

      Sio kosa lako ni kosa la kukosa malezi mema na yenye adabu

    • @hashimsaid5546
      @hashimsaid5546 9 หลายเดือนก่อน

      Bakwata ndio kinini

    • @SeifRupatu
      @SeifRupatu 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe huna adabu mtukasoma mpaka amepewa cheoo kikubwa ktk UISLAMU wewe unampajina hilloo UISLAMU HAUJAFUNDISHA KUTUKANWA VIONGOZI

  • @fatmasherallysherally537
    @fatmasherallysherally537 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe wacha ubabe. Bakwata Nani alikuchagua? Wengine Hatukutambui

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 9 หลายเดือนก่อน +1

    Utatangaza mwezi wakwarezima

  • @MwiloTVonline
    @MwiloTVonline 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa nchi jiran wanatangaza ni viongoz wao m1 ila viongoz wao n waaminifu

  • @brendagregorymndeme109
    @brendagregorymndeme109 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba mufti wetu apelekwe mutawasitw elimu yake ndogo sana

  • @MyName-wd8cp
    @MyName-wd8cp 9 หลายเดือนก่อน

    Serikali ina ingiaje hapa???
    But all in all ALLAHU YAALAM☝🏻🤲🤷🏻

  • @hanswan1
    @hanswan1 9 หลายเดือนก่อน +2

    Comment karibu zote nimesoma na kufurahi kuwa Waislamu hatuburuzwii tunajielewa kauli wala vitisho havina nafasi na nchi hii haina dini watu kutangaziana taasisi zao nawe tangazia bakwata wengine sisi ni basuta....

  • @Imrani-g9o
    @Imrani-g9o 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe koroma ukichoka kapumzike ivi haki yakutangaza mwezi ulipewa na MWENYEZI MUNGU au Taasisi

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 9 หลายเดือนก่อน +4

    Povu la nini shekh dunia kiganjani kwa sasa

    • @MbwanaJumaa-t1n
      @MbwanaJumaa-t1n 9 หลายเดือนก่อน

      Hahaha

    • @mkude
      @mkude 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @RehemaMohamed-ju9ey
    @RehemaMohamed-ju9ey 9 หลายเดือนก่อน

    Badilika ww, selikali haitokujua badae msiba mzito wallah

  • @mkangambwana5690
    @mkangambwana5690 9 หลายเดือนก่อน

    Sum li ruuyatihi wa ftur li ruuyatih. Hii maana ya ruuyatihi sio"mnapouona" ila "uonekanapo" wanaojua kiarabu watanisahihisha. Ingekuwa....funga unapouona....kiarabu chake ni "suum idhaa tarahu"

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna wakutowahela bakwata wapigaji wahela

  • @MbwanaJumaa-t1n
    @MbwanaJumaa-t1n 9 หลายเดือนก่อน

    Kesho utajibu kwa Allah

  • @suleimankapalata7256
    @suleimankapalata7256 9 หลายเดือนก่อน +1

    wote wanaokomenti kumpinga mufti inawezekana wamekosa radhi kama sikwamashekh zao basi hatakwawazaziwao

    • @LovelyBrain-wz7si
      @LovelyBrain-wz7si 9 หลายเดือนก่อน

      Mufti ni WA chama Cha bakwata na sisi tuna taasisi zetu nyie vipi bakwata anayo iyongoza mufti Katina ilitungwa na nyerere upo

  • @SadiHassan-ob6nv
    @SadiHassan-ob6nv 9 หลายเดือนก่อน

    acha izo Allah atakuongoza utambui unachofanya

  • @franksabas6339
    @franksabas6339 9 หลายเดือนก่อน

    Ukimwangalia anachosema sio kilicho moyoni" amejawa na chuki na hasira" Dini haina kumlazimisha muumini - mkazo wa sheria maana yake ni Amri.

  • @majidiabdi424
    @majidiabdi424 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe mganga wakienyeji - Umepata wapi kua Mwezi unatangazwa na Mufti au KADHI ?
    Waropoka ropoka tu - taaja Palipo andikwa ktk Vitabu vya dini kua Mufti au KADHI Ndio watangazaji wa Mwandamo.

  • @habiboumbarouk6610
    @habiboumbarouk6610 9 หลายเดือนก่อน +1

    poleni wafuasi wa bakwata wanazidi kupungua

    • @abdallhabinmkasibayyat6657
      @abdallhabinmkasibayyat6657 9 หลายเดือนก่อน

      Kwa uwezo wa Allah atupungui jiuleze fitina zote hizo mlizo nazo na sidi bado tupo

    • @abdallhabinmkasibayyat6657
      @abdallhabinmkasibayyat6657 9 หลายเดือนก่อน

      Kwa uwezo wa Allah atupungui jiuleze fitina zote hizo mlizo nazo na sidi bado tupo

  • @majidiabdi424
    @majidiabdi424 9 หลายเดือนก่อน

    Weni BANGI tu
    Allah hajakupa Mamlaka ya kutangaza Mwezi - kagange huko washirikina wenzio
    Eti Watu wakamatwe kisha wametangaza IBADA - mbona wanaotangaza MAOVU hawakamatwi ?
    BANGI MBAYA

  • @salmoomorefeelingproductio1744
    @salmoomorefeelingproductio1744 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi kweli Tanzania usionekane kenya na zanzibar kweli unafunga ili iweje?Funga kwa kuona mwezi na fungua na kuona mwezi,

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 9 หลายเดือนก่อน

    Wachilia saudia Mimi hata ukionekana north Korea kwa Mzee wa kiduku nafunga

  • @mubaraqotyeno9061
    @mubaraqotyeno9061 9 หลายเดือนก่อน

    Allah ndie ajuae..alie mwongofu

  • @SuleimanKhamis-vw6iy
    @SuleimanKhamis-vw6iy 9 หลายเดือนก่อน

    Nijambo lakukaa masheikh so serekali wao awana dini

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 9 หลายเดือนก่อน

    Tushirikiane hiki chombo kiitwacho BAKWATA kife na kiondoke

  • @AsyaMohamed-em9vw
    @AsyaMohamed-em9vw 9 หลายเดือนก่อน

    Allah amuhifadhi mufti wetu wa Tanzania na Kenya

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna siku mwalim aliwahi kunambia kuwa
    Tz hakuna mwanachuoni

  • @MukhtarRajabukalabaTV
    @MukhtarRajabukalabaTV 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mtume. Na mwenyezi Mungu anasema anayepaswa kutangaza mwezi ni nani? Ni mfuti? Ni serikali au nani? acha Mashekh watupe update

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 9 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kujua kama mufti kaongea pumba uwaangalie waislaam alio nao msikitini hakuna anaye mkubali wangemkubali ungesikia takbiiiri

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 9 หลายเดือนก่อน

    Umechelewa mzee hilo halipo 😂😂😂😂😂😂 hamuaminiki ndio maana

  • @SharifaMwalim-y7k
    @SharifaMwalim-y7k 9 หลายเดือนก่อน +2

    Innalilahi wainna ilaihi rajiunn mungu atusamehe makosa yetu yasiri na ya dhahiri lakini kiukweli tunapotea

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 9 หลายเดือนก่อน

      Yetuyaache umeambiwa vfunga na mwezi wako unaojua Ruksa

  • @nururashidy1447
    @nururashidy1447 9 หลายเดือนก่อน

    Mtiani kwa kweli mbona unahasira unamfokea nani mbona mtume alikua mpole mwenye huruma! Waiteni mzungumze

  • @mohamednyuni2631
    @mohamednyuni2631 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenye kutangaza matokeo ya uchaguzi mbona ni mwenyekiti tu ya tume ya uchaguzi mbona hamtangazi hapo ila jambo la dini hamuongopei mufti wacha iwe kesi ya uhaini kwa yeyote atakaye tangaza mwezi kama si mufti mkuu ama kadhi!

  • @Imrani-g9o
    @Imrani-g9o 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona haupingi hijja kwa kalenda au mfumo wa Saudia?

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 9 หลายเดือนก่อน

    Mufti mwambieni Mzee Bakhresa awanulie ama Mama Samia atawaletea km swadakatun Jaria ya Mzee Ali Hassan Mwinyi

  • @suleimaniamadi1441
    @suleimaniamadi1441 9 หลายเดือนก่อน

    Aya ganni ilosema mwezi ukionekana Kenya ss Tanzania tufunge au tumejipangia wenyewe