RECAP: DIAMOND NA RAYAVNNY NDIO WASANII WA KIMATAIFA KWA SASA, HARMONIZE, ALIKIBA WAMEKUTWA NA NINI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

ความคิดเห็น • 69

  • @Akili820
    @Akili820 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa harmonize siyo wa kimataifa? Wewe nawe 🇨🇩🇨🇩☝️

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo wabongo roho mbaya. Wape somo

  • @HazardHbcomEmmanuelprodduseign
    @HazardHbcomEmmanuelprodduseign 2 หลายเดือนก่อน

    Courage Rayvnny une fois tu vas Grandir tu te force vraiment je te suit dépuis le Congo RDC précisément à Kinshasa 🇨🇩🇨🇩.

  • @choeursaintjeanmarie
    @choeursaintjeanmarie 2 หลายเดือนก่อน

    Wa Congo wamepita hiko brother

  • @BabeRymz
    @BabeRymz 2 หลายเดือนก่อน

    Yoooh it's part of development hongera rayvanny🎉🎉🎉🎉

  • @MuddyKazuba-en4mz
    @MuddyKazuba-en4mz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bro nakupenda sana

    • @jadekavusa9309
      @jadekavusa9309 2 หลายเดือนก่อน

      Wabongo andaeni show wenyewe kwe arena Paris tuwa kubali sasa ❤❤❤

  • @MahamuduAbdallah
    @MahamuduAbdallah 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wee mnafiki sanaa lifk yngu

    • @user-gf4zp4si6x
      @user-gf4zp4si6x 2 หลายเดือนก่อน

      Ww CHOKO kwel huyu JAMAa humjui alafu unacomment upumbavu

    • @user-gf4zp4si6x
      @user-gf4zp4si6x 2 หลายเดือนก่อน

      Ww JAMA humfatilii vizur, inaonekana ndo Leo umemuona hufaligi interview

  • @mustarwhite
    @mustarwhite 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rayvanny chuii ni mmoja,africa

  • @kasereka-vy3mw
    @kasereka-vy3mw 2 หลายเดือนก่อน +1

    kkkkk uongo kaka tuanjeye tz tuone amenjaza kwanza.siokualikwa ndo tuanje sema musani mukubwa wakati nyumbani bado

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 2 หลายเดือนก่อน

    Mond vanny❤❤❤❤

  • @Busagotz
    @Busagotz 2 หลายเดือนก่อน

    Sema mda mwingine unachambua vizuri lakini hii sio uchambuzi sasa hivi kweli Harmonize sio msanii wa kimataifa

  • @DivinTchubaka
    @DivinTchubaka 2 หลายเดือนก่อน

    Atcha uwongo rayvanny awezi kujaza Arena paris wahachiye wa Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩amuwezi kabisa,

  • @MuddyKazuba-en4mz
    @MuddyKazuba-en4mz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Diamond mbon amefany mengi mbon huyaongelei acha usenge

    • @user-gf4zp4si6x
      @user-gf4zp4si6x 2 หลายเดือนก่อน

      Ww ndo MARA YAkwanza Leo UNAMFATILIA huyu JAMAA , ACHA UJINGA WW MSHAMBA TU, DIAMOND MBONA KAMUONGELEA SANA KWA MEMA, Yaaan watu wengine bhna ndo KWANZA Leo umemuona mchambuaji na hujamfatilia unaanza KUROPOKA TU, WW unajua mchambuzi boro WA mziki ni NAN? HAPO BONGO ni huyu jamaa, Usiwe unaropoka hovyo.

    • @user-gf4zp4si6x
      @user-gf4zp4si6x 2 หลายเดือนก่อน

      We jamaa mpumbavu kwel, inaonekana ndo Leo kufatilia interview za huyu JAMAaa , DIAMOND ANAONGELEWA VIZUR na huyu jamaa Kila siku, ww sijui ulikuwaga hujanunua Simu kubwa!

  • @EmmanuelMurhula-jb8cb
    @EmmanuelMurhula-jb8cb 2 หลายเดือนก่อน

    Bro nime sha sasa kuelewa mwanzo nili ku tukana lakini ni shaelewa

  • @AlexGwambie-xr2hm
    @AlexGwambie-xr2hm 2 หลายเดือนก่อน

    Daaa kaka uko kama mwanamke wa kihaya mna hatukuelew sta kdg

  • @user-gf4zp4si6x
    @user-gf4zp4si6x 2 หลายเดือนก่อน

    Lecturer wangu AHSANTE SANA

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 2 หลายเดือนก่อน

    Sa show ni yake yeye au kashirikishwa?? Tofautisha kushirikishwa na kuandaa show acha kukoroga watu.

  • @swalharajab8365
    @swalharajab8365 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo tukusaidiaje mbona wew umekaa hapo hapo bongo 5 husongei kwend kokote ...hapo kenya tuu hujulikani😂😂

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo lama funs wa Tz kama hujasema vizuri wasani wao
    Comments zao utaziona hapa ginsi wanapingana na ukweli

  • @niwakatitv252
    @niwakatitv252 2 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa saaaana kwa kuwa ni mtazamo wako na sio wakila mtu

  • @IbrahimJuma-jg7if
    @IbrahimJuma-jg7if 2 หลายเดือนก่อน

    Elmando unkosea kusema east Africa rayvanny ndo ana BET Kuna Eddy kenzo kutoka Uganda

  • @user-gz4qb9wz3d
    @user-gz4qb9wz3d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Harmonize n sawa na wasanii 400 wakitanzania

    • @King-bureslepro
      @King-bureslepro 2 หลายเดือนก่อน

      We huna fahamu

    • @user-gz4qb9wz3d
      @user-gz4qb9wz3d 2 หลายเดือนก่อน

      @@King-bureslepro habar ndio hio

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 2 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa
      Ila hao wasanii 400 ni wale wa ngoma za Asili kutoka Sumbawanga na kitohole

    • @user-gz4qb9wz3d
      @user-gz4qb9wz3d 2 หลายเดือนก่อน

      @@kilungahamis1270 hawa wasanii 400 mmoja wao n mondi

  • @Owngoal-op8ys
    @Owngoal-op8ys 2 หลายเดือนก่อน

    Wanaosema rayvanny ni mdogo wana wivu tu.

  • @MOHAMEDIKIYONGA-pw4fm
    @MOHAMEDIKIYONGA-pw4fm 2 หลายเดือนก่อน

    W unaxhda fala wweeeh axh uxhawa

  • @rodriguemuteleka7899
    @rodriguemuteleka7899 2 หลายเดือนก่อน +6

    Man arena ya Paris inabeba watu elfu arubaini man fanya research usiseme vitu bila ku chunguza Aréna ya Paris inayoitwa Paris defense arena sold out ni watu 40.000 sio 22.000

    • @DeiraKd
      @DeiraKd 2 หลายเดือนก่อน +3

      Ni ukweli arena ya paris ni watu 20300..nenda google acha kupinga kitu uyo ame fanya research before akuje hapo

    • @DeiraKd
      @DeiraKd 2 หลายเดือนก่อน +2

      Na iyo ndo arena kubwa duniani

  • @jadekavusa9309
    @jadekavusa9309 2 หลายเดือนก่อน

    Muende arena Paris mujaze basi kama fere gola na Fally ipupa

  • @wcb4life875
    @wcb4life875 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acha ungo Maluma hajawai kumuomba Rayvanny collabo, Rayvanny ndie alienda kwenye DM ya maluma na alivyojibiwa akaanza kutuma nyimbo na moja ya nyimbo alizo tuma ni Tetema, maluma akaupenda cuz Una beat yaki Colombia flani Hivi, so wakafanya remix Ndio maana hati miliki ya mama tetema nia Maluma cuz Rayvanny alimuomba yeye collabo! Gets ur fact rights

    • @mbezzoprince9462
      @mbezzoprince9462 2 หลายเดือนก่อน

      Acha kujifanya mjinga Maluma Ali vibe na nyimbo ya Ray akitamani kumjua mwenye nyimbo ili aifanyie remix ndio ray kajitokeza na alivojitokeza Maluma akaomoka kkuelewesha kua Maluma alimuomba Ray kolabo Ile mama Tetema Nia Maluma aliinunua Ile nyimbo

    • @wcb4life875
      @wcb4life875 2 หลายเดือนก่อน

      @@mbezzoprince9462 uliskiliza interview ya maluma alivyokuwa na promote wimbo wa mama tetema kabla awaja perform kwenye tuzo za MTV ema au Ndio hivyo Akili zako Zipo matakoni?

  • @user-gf4zp4si6x
    @user-gf4zp4si6x 2 หลายเดือนก่อน

    Muddy kazuba, jina LAKO KWEL UMEZUBAAA

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 2 หลายเดือนก่อน

    Almando hujuwi uko wapi

  • @museojohn3879
    @museojohn3879 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tushakuzoea unaeda Na upepo

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 2 หลายเดือนก่อน

    Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @hilarymayende
    @hilarymayende 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa sometimes hukurupuka kwa kutengeneza content.

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mtu asoeleweka kama wewe ALMANDO,Almando hujielewi na sijui nn unataka,kinyonga yuko nyuma

  • @SamuelOuma-uy2ci
    @SamuelOuma-uy2ci 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unamuchukia alikiba tunajuwa koma kumuongelea kila mara kwa ubaya

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 2 หลายเดือนก่อน

      Ana mchukia kibamia vipi uo ndio ukweli sasa amsifie kwa kipi alichofanya show zake kubwa mombasa

  • @user-gf4zp4si6x
    @user-gf4zp4si6x 2 หลายเดือนก่อน

    Mahamud abbdala nyie ni washamba kama washamba wengine, MMEANZA KUTUMIA SIMU LEO ALAFU MNAKOMENT UJINGA

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe naona unatafuta ugomvi na Konde boy 🙄

  • @user-ow1fb6cz4h
    @user-ow1fb6cz4h 2 หลายเดือนก่อน

    Hujui ki2 ww futa channel yako kiba huna mwacha wap ww

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 2 หลายเดือนก่อน

    Harmonize, rayvanny na diamond ndo wasanii ndo wanapiga show za stadium 😊

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 2 หลายเดือนก่อน

      Apo harmonize hayupo broo uyo bado sana apo ni Mondi na rayvan mwenyewe kwa mbali

  • @raymondwilbert9915
    @raymondwilbert9915 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shida wewe unajisaliti mwenyew

  • @beatricewmussa4049
    @beatricewmussa4049 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani tarehe 5 mpska 7 July, Ali Kiba anaenda Toronto kufanya nini? Di festival ya kimataifa... fanya research yako vizuri na facts ziendane na actuality. Otherwise unakuwa mediocre entertainment analyst

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni shabiki wa diamond na anakutumia kuponda wasanii wengine ila sisi tukwambie tu huwo unao sema wewe ni uwongo huko Albania wewe umeenda lini

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmm Daimond kwa sasa hapana tuwe wakweli tu sasa kafanya show wapi 😢😢 toka mwaka jana

    • @mbezzoprince9462
      @mbezzoprince9462 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 uko dunia hii kweli wew

    • @bemmicrocredit5554
      @bemmicrocredit5554 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona kafanya shoo Germany juzi tu na Jana alikuwa ureno sasa wewe upo Dunia hii hii au upo Jupiter huko

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 2 หลายเดือนก่อน

      Jina lenyewe tausi hahahaha kazi ipo

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 2 หลายเดือนก่อน

    Harmonize akifanya show ulaya utasema ivo ivo tumekuzowea

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 2 หลายเดือนก่อน

    Please don't talk about Alikiba hakuna sehemu ajafiki Almando kumbuka kipindi chazamani apakuwepo technology yaki sasa ila wanitangaze ila king kiba amepiga show nyingi ulaya wewe unajifkiria nini acha pumbavu zako

    • @mbezzoprince9462
      @mbezzoprince9462 2 หลายเดือนก่อน +2

      Na sai anashindwa na nn?

    • @user-mo4up9mv9k
      @user-mo4up9mv9k 2 หลายเดือนก่อน

      @@mbezzoprince9462😂😂😂😂

    • @montanablaww1664
      @montanablaww1664 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwenda uko alikiba kafanya lipi kubwa lakushangaza mtasema kafanya ngoma na r.kelly iyo ndio point yenu kubwa

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 2 หลายเดือนก่อน

      Kafika wapi uyo alikiba show zake labda Mombasa Kenya na Zanzibar hahahaha alikiba alishafeli

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@montanablaww1664hahahaha uo ndio ukweli alikiba hakuna kitu zaidi ya kutembelea upepo wa Mondi ndio kutoboa kwake