REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU NI HATIMA/ NIDHAMU YA MAISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.พ. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
    IBADA YA MORNING GLORY: THE SCHOOL OF HEALING
    'HII NI KWARESMA:SIKU YA 11
    26/ 02/ 2024
    MADA:
    NIDHAMU NI HATIMA
    DISCIPLINE IS DESTINY
    SOMO LA LEO: NIDHAMU YA MAISHA
    LIFE DISCIPLINE
    Mwanzo 12 : 10 - 20
    Mathayo 10 : 16 - 20
    NENO KUU:
    "Zitafakarini njia zenu"
    (Consider your ways)
    Hagai 1:7
    Mwanzo 12 : 10 - 20
    10 Basi kulikuwa njaa katika nchi ile; Abramu akashuka Misri, akae huko kwa muda maana njaa ilikuwa nzito katika nchi.
    11 Ikawa alipokuwa karibu kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, Tazama, najua ya kuwa u mwanamke mzuri wa uso;
    12 basi itakuwa, Wamisri watakapokuona watasema, Huyu ni mkewe; kisha wataniua mimi na wewe watakuacha hai.
    13 Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri kwangu kwa ajili yako, na nafsi yangu iishi kwa ajili yako.
    14 Basi ikawa Abramu alipofika Misri, Wamisri wakamwona huyo mwanamke ya kwamba yeye ni mzuri sana.
    15 Wakuu wa Farao wakamwona, nao wakamsifu kwa Farao; basi yule mwanamke akachukuliwa nyumbani mwa Farao.
    16 Naye akamtendea Abramu mema kwa ajili yake; naye alikuwa na kondoo na ng'ombe, na punda waume, na watumwa, na wajakazi, na punda wake, na ngamia.
    17 Lakini Bwana akampiga Farao na nyumba yake mapigo makuu, kwa ajili ya Sarai, mkewe Abramu.
    18 Ndipo Farao akamwita Abramu, akasema, N'nini hili ulilonitendea? Mbona hukuniambia ya kuwa huyo ni mkeo?
    19 Mbona ulisema, Huyo ni umbu langu, hata nikamtwaa kuwa mke wangu? Basi sasa, huyo mke wako umchukue, uende zako.
    20 Farao akawaagiza watu kwa ajili yake, wakampeleka njiani, na mkewe, na kila alichokuwa nacho.
    Mathayo 10 : 16 - 20
    16 Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
    17 Jihadharini na wanadamu; kwa maana watawapeleka mabarazani, na katika masinagogi yao watawapiga;
    18 nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushuhuda kwao na kwa mataifa.
    19 Lakini hapo watakapowapeleka, msifikiri-fikiri jinsi mtakavyosema; maana mtapewa saa ile mtakayosema.
    20 Kwa kuwa si ninyi msemao, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 11

  • @Jeco...
    @Jeco... 5 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeh mwenyezi MUNGU nisaidie niwe mwenye adabu🤲

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 5 หลายเดือนก่อน +1

    Adabu ndio fungu kuu ya ufalme wa mbinguni na duniani eee Mungu unisaidie

  • @magdalenamichael9551
    @magdalenamichael9551 2 หลายเดือนก่อน

    Somo

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc 5 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah niliyakosea adabu yalininyoshaaaaaaaaa

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏

  • @driftdumper8927
    @driftdumper8927 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mahubiri Haya yananipa Nguvu! Tulionje ya nchi baba mchungaji utufikilie tutashiriki vipi!

    • @bonifacedaud8985
      @bonifacedaud8985 5 หลายเดือนก่อน

      Ameweka na namba zake za cm unaweza pia kumchek yan ana mahubil mazur sana yanayofundisha

  • @amossmabangotz2032
    @amossmabangotz2032 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @venerandamwalimu16
    @venerandamwalimu16 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂kwakweli wanawake tunagubu...

  • @kessiae2378
    @kessiae2378 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @fredrickmichael2317
    @fredrickmichael2317 5 หลายเดือนก่อน

    Amen