Huyu dada apewe maua yake mikono juu nimekuwa na shauku ya kujifunza kupika chapati za kurasa nimezunguka kwa wapishi wengi sikuweza kwa Mati mamy food nimepika chapati za kurasa kwa siku jaribio moja na hata sio unga wa Tanzania huyu dada amefuzu ni mwalimu anajitambua anajua anachokifanya kwa kweli you deserve it mamiii congratulations asante sana new sub here.
Mashallah.. hii ufanyie ile mikate ya nyama/zanzibar pizza/ keema chapati.. ile waeka na mayai.. unga watakiwa uwe hivi wavutana. Ndani ueke manda ili ku support nyama na mayai unayoweka ndani. Si mchezo. Mashallah hodari sana wewe.
PPF ni ppf huwa mlaini sn Ila huo self rising flour huwa ni special for cake, half cake na biscuits maana huwa una backing powder tayari, so hakuna haja ya kuweka backing powder, haufai kw chapati wala mahamri
Huyu dada apewe maua yake mikono juu nimekuwa na shauku ya kujifunza kupika chapati za kurasa nimezunguka kwa wapishi wengi sikuweza kwa Mati mamy food nimepika chapati za kurasa kwa siku jaribio moja na hata sio unga wa Tanzania huyu dada amefuzu ni mwalimu anajitambua anajua anachokifanya kwa kweli you deserve it mamiii congratulations asante sana new sub here.
Mmhhh....wavivu tumefikiwa mmhhhh 😂😂.... tunashukuru
Asante ticha japo unachamba ila uko vzur😂😂 tutaelewa tu
Chapati zimetubu kweli zilikuwa na dhambi sana😂😂😂😂Kaz safi dada
Asante Kwa recipe nzuri,napenda kujua moto tunaweka kiasi gani
Moto ucweke mdogo au mkubwa sanaa na kabla hujaweka chapat yko kwenye chuma akikisha chuma kimepata moto kabisaa
@@MatiMamyfood
Asante sana
Mashallah.. hii ufanyie ile mikate ya nyama/zanzibar pizza/ keema chapati.. ile waeka na mayai.. unga watakiwa uwe hivi wavutana. Ndani ueke manda ili ku support nyama na mayai unayoweka ndani. Si mchezo. Mashallah hodari sana wewe.
Asantee sanaa
Mmmhhh.... wavivu 🤣🤣🤣...tutakoma
Nimekupenda bureeee wewe dada
Hapo unatamani kufoka Ila unajikaza😂😂😂😂tufokee bwana ee si tunapenda
😂😂 huku najikazaaa
Hata Mimi napenda mnoo😂😂😂
🎉🎉🎉❤❤❤
Asante sana😊
Delicious❤❤
Yes umenisaidia sana
Ahsante
From tiktok
Unga umetubu kweli huu haha😅😅😅😅😅😅😅
Asante saaaaaaana Sana basi
Kweli zime2bu,vzr
Chapati njema
Thanks sister
🥰🥰
Napenda kujifunza mapishi yako dear
Shukran my dia🥰🥰
Hahhahaa massage tena hhh😅😅😅😅
😁😁
Ahsante snaaa
Nimejarib nimepatia kila kitu nimekuja kuferi sehem 1
Zimetoka nzito sijui nimekosea wap ?
Unga uwe mwepesi sana na uwe unanata kwa mbali alfu mwisho unaweka mafuta
Na nikiweka bluu bend je?
Hakuna shida my dia
Kwa kweli ur the best🔥🔥🔥nauliza hapo kwenye kukunja mafuta ya kukunjia umechanganya na unga?
Yes my dia🥰🥰
Sijaelewa yan unachanganya unga na mafuta ndo unapak au vip
Unga ya ppf, ndio gani..self raising au?
Yes
Thank you
PPF ni ppf huwa mlaini sn
Ila huo self rising flour huwa ni special for cake, half cake na biscuits maana huwa una backing powder tayari, so hakuna haja ya kuweka backing powder, haufai kw chapati wala mahamri