Jua haya kabla ya kuomba Green Card Lottery mwezi October

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.co...
    Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app
    DONATE TO EBM SCHOLARS
    1. PayPal www.paypal.com...
    2. CASH APP cash.app/$EBMS...

ความคิดเห็น • 125

  • @lexmondniyukuri8617
    @lexmondniyukuri8617 ปีที่แล้ว +6

    Kaka this year lazima nishinde 🎉🎉 kabisa ebu ni bless kaka 😢😢😢😢😢🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @odudujack33
    @odudujack33 ปีที่แล้ว +1

    THANK YOU MR. EBM...
    I had lots of questions and you have answered them all in one video...
    God bless you.

  • @CarolynKavengi
    @CarolynKavengi 15 วันที่ผ่านมา

    2024 its my year i blv in God all is possible nita apply mwaka naninamwamini Mungu

  • @ElodieKasibu-zx7nq
    @ElodieKasibu-zx7nq 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amjambo kaka Ernestre na sisi tutaomba naku bahatisha Green card Mungu atatu wezesha mimi ni mkongomani ila naishi Bujumbura 🙏

  • @danielmartinKiondo-dq4jz
    @danielmartinKiondo-dq4jz ปีที่แล้ว +1

    Watu 346 angalau basi tuzid kuomba na kujulishana wengi idadi itaongezeka zaidi ahsante sana ebm

  • @gracejimmy741
    @gracejimmy741 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi mwaka huu nitaomba na nitashinda kwa uwezo wa MUNGU

    • @athumanizaidi8560
      @athumanizaidi8560 11 หลายเดือนก่อน +1

      AMEEN tutashinda wote namimi.

    • @MARYSHANGWA
      @MARYSHANGWA 6 วันที่ผ่านมา

      Amen

  • @victornzebele3990
    @victornzebele3990 4 หลายเดือนก่อน

    Thank you very much my brother #EBM

  • @kevinnyaleso3031
    @kevinnyaleso3031 ปีที่แล้ว

    Raundi hii nitaomba na kushinda!. EBM thanks for your information, insist to all!.

  • @miriamcharles915
    @miriamcharles915 ปีที่แล้ว +1

    In God blessing I will win with my Family

  • @moshilesso8372
    @moshilesso8372 3 หลายเดือนก่อน

    Nitaomba, Mungu anisimamie kushinda.

  • @jeremiahmasuke8375
    @jeremiahmasuke8375 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kwa huu moyo wa kipekee

  • @DASCOMBATA
    @DASCOMBATA 11 หลายเดือนก่อน

    thanks, Mr

  • @SuzanF.Mutagobwa
    @SuzanF.Mutagobwa 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka naomba na nitakuja na watatu wenzangu#sky city

  • @jeremiakyomola4413
    @jeremiakyomola4413 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu naomba

  • @mpawenayolukebryan9764
    @mpawenayolukebryan9764 ปีที่แล้ว

    Thanks 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @hussenkarigo4496
    @hussenkarigo4496 6 วันที่ผ่านมา

    Kaka unatusaidiaje kwasisi ambao tuko njee ya dar es salaam mimi nipo mwanza

  • @ridhwansalum1386
    @ridhwansalum1386 11 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar, Tanzania nakukubali kaka

  • @veraisaria
    @veraisaria ปีที่แล้ว +1

    Nchi ishaishia shimoni huko Watz tanzania ni the best country kuishi.Mimi siondoki nchi yangu ni umaskini wa fikra tu kudhani huko ni kuzuri zaidi ya hapa kwetu hawa mnaowaona wako huko wanaogopa ata kurudi maisha hakuna huko ilikua ni zamani😅😅😅

  • @rahelpaul3079
    @rahelpaul3079 ปีที่แล้ว +1

    Mwaka huu lazima niombe na nina imani nitashinda na kuja kuishi marekani.

  • @davidinya2162
    @davidinya2162 27 วันที่ผ่านมา

    Hi Ernest , am from Kenya can you assist me in filling that application form from your site EBM.

  • @annwamuyu8560
    @annwamuyu8560 ปีที่แล้ว

    I pray to win this time round in Jesus name. I tried kast year and it didn't go thru

  • @khalidomar7611
    @khalidomar7611 ปีที่แล้ว

    Mimi nitaomba mwaka huu na nimeshajiandaa pamoja na mdogo wang na rafiki zangu Insh allah

  • @Frank255-e5g
    @Frank255-e5g หลายเดือนก่อน

    Yani safari hii sichelewi

  • @ngoynzoagermain
    @ngoynzoagermain 9 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana mkuu 5/5 🇨🇩🇨🇩

  • @elizabethjulius8861
    @elizabethjulius8861 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi pia nataka

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli kaaabisaaa

  • @omanhh2875
    @omanhh2875 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yko ya wasph

  • @MALENGWE
    @MALENGWE ปีที่แล้ว

    Naenda kushinda mwakani

  • @gracengole2773
    @gracengole2773 ปีที่แล้ว

    Nitaomba mwaka huu pia. Mungu anipe kibari.

  • @Romtozy
    @Romtozy 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂thats is it,wa2 wanajua lottery but hawawez share,i always tell pple...ila sijai win but i share may God bless me one day,wivu ki2 mbaya

  • @abdurahmanin3
    @abdurahmanin3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi mwaka huu naomba green card lottery 2025

  • @AlexisCongera-so4mi
    @AlexisCongera-so4mi 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka nakufuata sana na umenihamasisha sana sasa Burundi office yako ipo maeneo gani? ?

  • @geoffreynyabigo7565
    @geoffreynyabigo7565 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka kazi Zuli unafanya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mimi Niko Kenya

  • @abdurahmanin3
    @abdurahmanin3 ปีที่แล้ว

    Nakufuatilia toka Bujumbura Burundi

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 ปีที่แล้ว

    ebm...
    piga kazi
    tupo pa1.

  • @ZeyanaKhamis-j8c
    @ZeyanaKhamis-j8c 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani Zanzibar mumefungua wap

  • @Mukrim_007
    @Mukrim_007 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa sisi tuliokuwepo Zanzibar ni lazima tuende Dar es salam mlimani city kwajili yakufanya maombi au inawezekana kufanya maombi tukiwa tupo Zanzibar!!???

  • @lovenessmsuya7767
    @lovenessmsuya7767 11 หลายเดือนก่อน

    Nitaomba na Nitashinda

  • @kamozangando6201
    @kamozangando6201 7 หลายเดือนก่อน

    Nitaomba saaana tu.

  • @HisseinNassoro
    @HisseinNassoro 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa mfano mimi nipo degree nitakuwa sijagraduate je itakuaje ila now ni na diploma

  • @upendomshani3932
    @upendomshani3932 ปีที่แล้ว

    Mm mwaka huu nitaomba na nitashinda

  • @chosen1.
    @chosen1. 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba platform tuwasiliane privately..

  • @MaureenMumba-c3g
    @MaureenMumba-c3g 11 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu nitaomba ,na nitashinda

  • @atoshalyimo2759
    @atoshalyimo2759 11 หลายเดือนก่อน

    Nita apply. But.
    Tatzo pesa ya kuanzia interview mpaka kuja huko ni ndefu sana ndio maana vijana wengi wanaona ningumu sana kupenya hapo

  • @hamudseif
    @hamudseif ปีที่แล้ว

    Ulinihamasisha broo, niliomba na nimeshinda nipo US saiv, 2021

    • @DeeLoy
      @DeeLoy ปีที่แล้ว

      Office za ebm ziko wapi et kwa dar

    • @AfricanFolktalesStories-2024
      @AfricanFolktalesStories-2024 4 หลายเดือนก่อน

      Zipo nyuma ya skycity mall karibu na mlimani city​@@DeeLoy

  • @alfredatembi6697
    @alfredatembi6697 11 หลายเดือนก่อน

    Ndugu Ebm,Safi. Office yako iko mchengo hupi hapo Nbi?

  • @kingthebright8710
    @kingthebright8710 ปีที่แล้ว

    Nairobi ukifunguwa office tupe location pls🙏@EBM SWAHILI

  • @la_niyo
    @la_niyo ปีที่แล้ว

    Kaka wakaa huu tunashinda inshallah 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮

  • @wesleyringo6979
    @wesleyringo6979 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna lile swal number 6 kwenye ile form ya Dv unaweza kunifafanulia !?

  • @ridhwansalum1386
    @ridhwansalum1386 11 หลายเดือนก่อน

    Ukijaza Kutumia Simu je utaweza kua mshindi?

  • @user-dq9nu2ir6t
    @user-dq9nu2ir6t 11 หลายเดือนก่อน

    Kenya ofisini yenu iko wapi

  • @muhamedsaid9545
    @muhamedsaid9545 ปีที่แล้ว

    Hi Zanzibar ofisi yako ipo mtaa gani

  • @fbinya
    @fbinya ปีที่แล้ว

    Count me in bro

  • @sele.njenje-sellou
    @sele.njenje-sellou ปีที่แล้ว

    Habari brother? Nashkuru kwa kuwa miongoni mwa wanaadamu wenye kupenda mafanikio ya sisi watanzania. brother swali langu ni je picha inapaswa iwe na qualifications za aina gani?

  • @mrithitv4423
    @mrithitv4423 11 หลายเดือนก่อน

    Lini matokeo yatatolewa jmn

  • @stanslauskaparangabo8977
    @stanslauskaparangabo8977 ปีที่แล้ว

    Me wa kwnza kucoment. Je picha kwa mwanza wapi tunapata huduma?

  • @obinakakuba2384
    @obinakakuba2384 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka, vp ukiwa unamtoto maybe wa ndugu yako ambaye unamlea baada yawazazi wake kufariki? Kwahii imekaaje kaka

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว

      Anaye takiwa ni mwanao wa kumzaa au mtoto uliye mu adopt kisheria ajulikane na serikali ni wako kwa njia kwa kumu adopt otherwise huruhusiwi na ukimweka mtoto ambay sio mwanao au wakum adopt bila ya kujulikana kisheria unatolewa pia kweny mashindano

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 11 หลายเดือนก่อน

      muasili

  • @DeeLoy
    @DeeLoy ปีที่แล้ว

    Jaman office dar zipo wapi kwani

  • @Mukrim_007
    @Mukrim_007 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka kama inawezekana kupata contact za ofisini naomba please!!??

  • @miriamcharles915
    @miriamcharles915 ปีที่แล้ว

    I will win this Dv lottery

  • @geneviveakech4499
    @geneviveakech4499 ปีที่แล้ว

    Kutoka Kenya nitaomba insha'Allah

    • @Lifemotivation7171
      @Lifemotivation7171 4 หลายเดือนก่อน

      Utapata kaka coz umemtanguliza Allah 🙏🙏🙏

  • @nicnonnious1139
    @nicnonnious1139 11 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa mwanafunzi Marekani na una F1 viza, unaweza kuombe green card lottery?

  • @miriamcharles915
    @miriamcharles915 ปีที่แล้ว

    Where is the Office in Kenya, Nairobi

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mm kwanza naomba confirmation I heard kwamba mara hii wamesimamisha until dv2025. How is it going guys. We need to know before applying. Bro EBM give update pls.

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว

      Yeah there's no any interview for dv lottery winner 2023 it's been closed interview until next dv lottery winners so if you haven't called for interview I'm so sorry there's no it😢😢

    • @binmasoud4150
      @binmasoud4150 ปีที่แล้ว

      @@Bin_Slyim
      So if means there is no dv for 2023 until next 2025 has it, & app for 2025 will be starting in next year.

  • @vistoryvistory5908
    @vistoryvistory5908 10 หลายเดือนก่อน

    Hivi mtu akitaka kuongeya na ww anawezaje?

  • @mikidadiabuu4475
    @mikidadiabuu4475 ปีที่แล้ว

    Kiongoz ukishakua permanent resident Wa america ni hatua Gan unatumia kumuombea Ndugu yako na inachukua mda Gan processe hiyo kukamilika mpaka uyo Ndugu yako afike narekani?

  • @user-bt8bk7pm6e
    @user-bt8bk7pm6e 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi naham io ofisi ifunguliwe zanzibar

  • @alexmaige2638
    @alexmaige2638 11 หลายเดือนก่อน

    Na vp kuhusiana na passport numbers wakat in wa ku apply green card, nimuhumu kukata kabsa kabsa au vp

  • @claudeniyondiko5460
    @claudeniyondiko5460 ปีที่แล้ว

    Yeah mwaka huyu nitaomba tena

  • @user-zr1qn2ql8f
    @user-zr1qn2ql8f 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwaka huu nitaomba dv

  • @ebenezerykimendo-oe2mx
    @ebenezerykimendo-oe2mx ปีที่แล้ว

    now tunaanza na green card

  • @JustinGentil-mw4jm
    @JustinGentil-mw4jm 11 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwengine anaweza kumuombea mtu mwengine kama ulivyo sema???

  • @ZephaniahSekwa-fl2go
    @ZephaniahSekwa-fl2go ปีที่แล้ว

    Mimi nitaomba dv lottery mwaka huu. Naamini nitashinda.

  • @ridhwansalum1386
    @ridhwansalum1386 11 หลายเดือนก่อน

    Tuandikiee namba Kuna maswali tukuulizee

  • @rosejambi2713
    @rosejambi2713 ปีที่แล้ว

    Makolilo twabie, offisi yenu iko wabi haba mombasa,

  • @EzekiaVenas-ld5px
    @EzekiaVenas-ld5px 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka mwaka huuh na mimi lazima niombe ila nilikua ninawasiwasi maana Mimi elimu yangu nimeishia dalasa la Saba naomba unitumie namba za ofisini kwako

  • @gidesbalunguza7152
    @gidesbalunguza7152 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeweka nadhiri kanisan hii lottery naamin ntashinda

  • @ebenezerykimendo-oe2mx
    @ebenezerykimendo-oe2mx ปีที่แล้ว

    je kuna kampuni kampani za malekani zinazo dhamini visa na gharama za safari

    • @gladysgitau7458
      @gladysgitau7458 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe mwenyewe utalipia medical, interview,green card n for the flight.

  • @Bless510
    @Bless510 ปีที่แล้ว +1

    Can I apply for DV 2025 Lottery if I have been selected for the DV 2024 lottery, as I have a high case number for DV 2024🇹🇿. Yet what if I won both can i submit again DS260 for 2025 while waiting My 2nL for 2024 ? ? won’t affect anything?

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว

      Of course you can because there's no any interview for dv lottery winner for this year because it's been closed last month so you can apply as well for dv lottery 2025

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว

      So if you did win last year and still you haven't called for interview I'm so sorry 😢 there's no any interview until next year

    • @Bless510
      @Bless510 ปีที่แล้ว

      @@Bin_Slyim I’m winner 2024 wont affect my 2nL for 2024. for applying again 2025 this October.. doing that cos don’t know if they will call me in time to do my interview

    • @Bless510
      @Bless510 ปีที่แล้ว

      @@Bin_Slyim noooo I’m a winner for 2024 waiting my 2NL ? Our season starts on October to next year September we gonna be interviewed, Yet this October I want to Apply Again for incase.. so won’t affect anything

    • @Bless510
      @Bless510 ปีที่แล้ว

      Hopefully ur getting better what I meant

  • @DaudiKunambi-z2x
    @DaudiKunambi-z2x ปีที่แล้ว

    Yaani maandalizi ya nauri marazi kiujumla

  • @mohamedally342
    @mohamedally342 ปีที่แล้ว

    Hello, dubai office yako iko wapi ?

  • @YoungblitzDaBling
    @YoungblitzDaBling ปีที่แล้ว +1

    Nilikua naisubiria hii content kwa muda mrefu kwa maana kuna taarifa zina sema green card itasimamishwa washafikia malengo

  • @kwizerabruce-z5n
    @kwizerabruce-z5n ปีที่แล้ว

    Mwaka huyu nitashinda, ila nakubali saana kaka makuriro kupitia videos zako nilijifunz mengi kilugha pia na kwenye green card kwasasa niki apply najua ninachokifany nakina vigezo na mashariti kazaa

  • @evocom2197
    @evocom2197 ปีที่แล้ว

    Nitaomba DV lottery mwaka huu

  • @DaudiKunambi-z2x
    @DaudiKunambi-z2x ปีที่แล้ว

    Sasa kaka je kama nimeomba na nimeshinda je maandalizi yapoje Denis Dubai

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว

      Fatilia video zake nying saana utafaham zaid

  • @kingthebright8710
    @kingthebright8710 ปีที่แล้ว

    Nauliza nikiwa niko na mke nimjamzito alafu inatokeya matekeo tumeshinda . Ila anajifunguwa tumesha shinda green card itakuwaje mtoto atabaki wala tunaweza tukakwenda naye? @EBMSWAHILI

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว

      Utaruhusiwa kwa niaba kuifungua form kwa ajili ya kumweka mtoto pia hawana neno kuhusu hilo ila tu kama mkeo akij funguwa bado kabla ya kwenda marekani naye atapewa pia ila shart lazma uripot hii taarifa

  • @rukiyashali
    @rukiyashali ปีที่แล้ว

    Ikiwa mume na mke wamefaulu green card lakini mke amefika class tu.hii itakuaje?

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว

      Yan hata awe hajasoma hata darasa Moja as long as spouse awe mke au mume ameshinda bac lazma utamwend kwa mgongo wake

  • @saidhamis4120
    @saidhamis4120 ปีที่แล้ว

    Kwa hapa dar kaka EBM office ipo wap?

    • @elizabethkivuruga5351
      @elizabethkivuruga5351 ปีที่แล้ว

      Alisema mlimani city Ila hajalocate sehemu kuanzia tarehe 4/10

    • @DeeLoy
      @DeeLoy ปีที่แล้ว

      Natamani kujua office iko dar mliman city sehem gan

  • @nahiriali1405
    @nahiriali1405 ปีที่แล้ว +1

    Nitaomba kaka mie umenihamasisha toka ile video uliotoa watu wafanye mazoezi nakumbuka ilikua 2017 na nilikua na kg 102 nikapungua na nikawa 89 basi toka kipindi kile paka sasa niko pamoja na wewe Green card nimeanza kucheza 2021 ila ninaimani siku moja nami itakua yangu

    • @Bin_Slyim
      @Bin_Slyim ปีที่แล้ว

      Nyuma ya mliman city

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 ปีที่แล้ว

    Mimi nitaomba nitakuja kwa office yako

    • @DeeLoy
      @DeeLoy ปีที่แล้ว

      Office ni wapi et

  • @frankmwakasole8637
    @frankmwakasole8637 16 วันที่ผ่านมา

    Mwaka wangu huu lazima niombe

  • @Erjmilton
    @Erjmilton 10 หลายเดือนก่อน

    Mm kitu ambacho unaniuzigi ni kimoja tu Huwa unaongea unafoka huongeagi Kwa upole video nying just come down ukiwa unaelekeza kitu

  • @kingthebright8710
    @kingthebright8710 ปีที่แล้ว

    @EBM SWAHILI