ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ngomahii Kari sana Asante jeshi la police wangapi tuko pamoja apo like🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
kama umeikubali hii ngoma gonga like twende pamoja
Hongereni sana asikari wetu mwenyezi mungu azidi kuwasimamia ktk kazi zenu
Kama umeukubali wimbo huu subscribe TH-cam channel hii
good job
TABASAM PROMISE official th-cam.com/video/LKgaNb-KuI8/w-d-xo.html
Eva Gunda +255715622720 kama unawafaham hao askari was Uganda niunganishe nao basi
TABASAM PROMISE official namtafuta kulwa wadepo plz nitafute
Lucia Alfred ndo Mimi hapa Kulwa nitafte kwa namba hizi 0715622720,0753377545
Nimeipenda nyimbo nzuri from+254 naomba wakenya wenzangu mnipe like
Valentine Robinah nitafute kwa WhatsApp plz 0715622720
Saf kabisa nyimbo nzuri.
Asanteee sana kaka
Saffiiiii kaz nzuriiii
nimeipenda mnooo
Ni vizuri kufanya mambo kama hayooo kaka johhn mbukwa
Mungu awabari daima mbelee
Saf kazi nzuri umesomeka
Love this...Do not understand the sentiments..language barrier but loving the rythm
nzuri hiyo. yani hapo ni uhalisia kila kitu tumejitahidi sana
Mko vzr xn ,,bonge la wimbo hongeren xn
Dah! Yupo vizuri
hongereni sana hatua nzur ya kupandisha morari kwa askar
pamoja xana makamanda, maisha marefu kwenu🙏🙏
Vijana mpo safi kabisa.
Mko juu sana nyimbo Nzur sana
Asanteee Sana
@@kulwajeremiah1576 yani umeimba vizur sana mung akubariki♥♥♥♥♥♥♥♥♥
@@faizaahamd2052 da asanteee Sana
@@kulwajeremiah1576 Shukuran sana Mung akubariki zaidi ♥♥♥♥
safi sana wapiganaji wenzang💪💪💪
Hongeren sana mmefanya vizuri kazeni buti
Wa
Wimbo mzuri sana, unapendeza ❤
Ni bonge moja la songs yani aseee nimelikubali kinomaaaaa
Mungu ibariki Tanzania Amani yetu idumu wabarik Polisi wetu
naipenda wimbo huu ❤
Asanteee sana karibu sana
Safi sana vijanaaaa mmetisha
Sauwaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu
hivi ndivyo napendaga saaaafiiii vijana wanguuuuu nimekubariiiiii
Afande Bright Mbwilo haahaaa
TABASAM PROMISE official Sisi nikioo cha jamiii na huu ndio mfanoo
Yes bro
Hahahaha
Barikiwe kwa kazi zuri sana, tunaitaji na movie zenu police, kwani wao wanaweza wananini na sisi tushindwe tumelongwa na nani
Good Job soldiers nakubali nakubali nakubali nakubali Salute kwenu
kazi nzuri mno
kazi nzuri sanaa mkuuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wow nyimbo nzuri sana
Mwanajuma Mahundumla asante
safisana mapolic mmetukomboa tanzania vipaji vipo kila kona
Well indeed Mike Mike from kili
Og sana Makamanda jamn Tanzania yetyu Vipajiiii kama umekubali like tafadhali
Nice Mr man big up
kaz nzur full betto
Kweeeeelliiiiii
Good music, nice message
Good job...timam...👮👮
Sichoki kuwaangalia polisi wetu
Asantee Anna
Nimewakubali sana
Jamani nimependa sana
Hongela tz
Safi sana wandugu
nzuri hiyo FFU arusha
saffy sana kaka kulwa n John mmejitahd snaaaaa
Farida Jillo asantee tunaomba u subscribe
Good job nimewaelewa GHASIA FULL MAYOKO.
Jitume
Hongera sana askari wetu. Mmejitahidi sana
kazi nzuri inatia morali
Safi sana vijana
Ngoma kali ila wabunge nao wangetoa ngoma yao
@@ndorobo205 haaaaahaaa haaaaahaaa
kazi nzur
wako vzr , wakaze Buti, nimeipenda pia
Mungu awabaliki sana nyie ni mfano mzuri
Kazi nzur sn good💪💪💪
Sawa kaka nakubal
Kulwa jamani hapana nakugawa
Haaaaahaaa haaaaahaaa haaaaahaaa haaaaahaaa haaaaahaaa haaaaahaaa
Iko poua sana makamanda,
Duuuu iko kikazi zaid n mazingira halisi nkjua Wenda mmevaa nguo za nyumbani mmejitahd xana maafande tunasema nzuriiiiii iyoooooo
Congratulations to vijana wa chuga
Tanzania ni inchi maskini sana pole 😢 😅
Kazi nzuri makamanda
Nyimbo nzury sanaaa kazeni maafande ila msijisahau mkafikili nyie ni wasanii nyie ni askari
Kazi nzuri
Sawaaaaa mkuuuuuuu
Umejitahidi mwanangu
I'm new subscribe . Pamoja sanaa
hahahaha ulikuwa ujasubscribe
Nyimbo kali sana
Mnajua eti💖💖💖💖💖💖💖
Hongereni sana maaskari wetu , sauti zenu nzuri na location pia ni halisi. Ila mm nawaza mkija kupiga show club afu ikatokea tafarani si mtatuchenjia afu #tutapata tabu sana
hahahahaha, tisha sana
hahahaha
Hahahahah hiii kalii yaoo
hongeren san
ngoma kali wapiganaji
Kazi nzuri...
Nyimbo nzur sana ..but angetokea na mjeda mmoja angeimba pia ingekaa poa
Good job
Millard Ayo asante nimefika
Sana yaan
Millard Ayo ndio amefanya nije hapa
Mwanajuma Mahundumla asanteee kwa support na karibu
Mwanajuma Mahundumla tanx
hahahaha mwajuma ad Mimi
Eliada Abel ha ha ha poa
TABASAM PROMISE official Asante sana nimeshakaribia
Jeshi morali kweli
ngoma kali sana..
xaf sana mko vzr
Nyimbo Kali
Nimeipenda
Mwanajuma Mahundumla asanteee sana
kaz nzur wapiganaji
Ni majukum yao wakat wa aman wanadumisha amasa na wakat wa machafuko wanapambana na maadui 100% kombled
hongereni sana
Arusha tumeanza soon watatuiga
kazi nzuri sana jk mm waga nawakubali sana da! kweli bana mnajua yani ambaye aja subscribe ni mganga
Mungu awasaidie police wetu
Double foux uniform never surrender
Super
Safiii
Yamejitahidi
Young African Ndindanyi 😂😂😂😂Eti yamejitahidi
Hahaha nimecheka Sana, eti yamejitahidi 😂😂😂😂😂
Young African Ndindanyi 😂😂😂😂😂😂😂
hahaha
WCB hawafikii
Kevido Gerryson kabisa hawa ni kiboko yao
Waya
saf sana
tabasamu promise
Muko vizur fanya fujo uoneee
Ngomahii Kari sana Asante jeshi la police wangapi tuko pamoja apo like
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝