Sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake Allah Subhana Wa Ta'ala Rehma na Amani za Mwenyezi Mungu zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam maasha Allah ni jambo jema hakuna mkamilifu kiukweli ila Muumba wetu Mwenyezi Mungu awasimamie ma sheikh wetu wa ulimwengu mzima wana Tia juhudi kubwa ya kupigania mambo ya Dini barakallahu feekum #kishkitvonline na crew nzima
Allah ameitikia dua za waislamu na wapenda haki duniani kote masheikh wetu wametoka japo bado wengi wenye kesi kama hizi wanateseka magerezani Allah awafanyie wepesi. Tunasubiri khutbah kutoka kwa sheikh wetu Sheikh Kishki Allah amuhifadhi Itakayozungumzia mazingatio ama ibra ama mafunzo kwenye kadhia ya masheikh wetu hawa nini muislamu anatakiwa kujivunza kwenye mtihani waliopata masheikh hawa.
Maasha Allah tabaraka Allah sheikh wetu #nurdeenkishki unapotowa darsa ina uzito na utulivu wa nafsi lazma mumin akae atafakari na aya tendee kazi Mwenyezi Mungu akuhifadh na kila baya na wabaya akupe swiha njema umri mrefu tuzidi kupata faida ya ilmu ya Dini yetu Allahummah Amiin ya Rabbil Allamin
Asalam alaikum. Shekh na itwa Rahmat. Natokea Rwanda . Nirikuwa na swali hivi . Ukiwa na mchumba anataka kuku owa rakini hakuna uwezo Kwa sababu anafanya KAZI inaripa 70000k. Kwamwezi Hana nyimba bado anaishi Kwa mam yake jee . Tufanye subra apate pesa awu tu owane hivi hivi mungu atatia balaka . Kurik kuka hata tuka angukiya kwenye dhambi ? Inshallah mtani djibu . Allah akuzidishie 🤲
Shekh wangu ninaushauri,kutokana na data na muingiliano wa muda hafifu wa simu na kazi panoja na jamii,nashauri uwe unaweka vipande vifupi fupi vya dakika 4 mpaka 30 hivi.hii itatuokolea vyote.Kuanza sijui maik inarekebishwa ni kupoteza data zetu you tube
YESU KRISTO ni Nuru ya ulimwengu wote Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa tubuni kabla hamjaachelewa YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi wa ulimwengu wote.
@@amindsalama9683 ni Mungu mwenye haki,malakala,juu ya vyote vilivyo mbinguni na duniani na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine,huyo ndio BWANA wa mabwana na mfalme wa wafalme
Asalam alaikum. Shekh na itwa Rahmat. Natokea Rwanda . Nirikuwa na swali hivi . Ukiwa na mchumba anataka kuku owa rakini hakuna uwezo Kwa sababu anafanya KAZI inaripa 70000k. Kwamwezi Hana nyimba bado anaishi Kwa mam yake jee . Tufanye subra apate pesa awu tu owane hivi hivi mungu atatia balaka . Kurik kuka hata tuka angukiya kwenye dhambi ? Inshallah mtani djibu . Allah akuzidishie 🤲
Sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake Allah Subhana Wa Ta'ala Rehma na Amani za Mwenyezi Mungu zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam maasha Allah ni jambo jema hakuna mkamilifu kiukweli ila Muumba wetu Mwenyezi Mungu awasimamie ma sheikh wetu wa ulimwengu mzima wana Tia juhudi kubwa ya kupigania mambo ya Dini barakallahu feekum #kishkitvonline na crew nzima
MashaAllah TabaraqaAllah sheikh...shukraan Jazzakallah kheir
Maasha Allah tabaraka Allah habibty #zeitunkassim hujambo??
@@زينببنتسعيد-د9ح siyambo habibty hofu nawe
@@zeitunkassim9352 Alhamdulillah nashukuru habibty wangu niko salama
Allah ameitikia dua za waislamu na wapenda haki duniani kote masheikh wetu wametoka japo bado wengi wenye kesi kama hizi wanateseka magerezani Allah awafanyie wepesi.
Tunasubiri khutbah kutoka kwa sheikh wetu Sheikh Kishki Allah amuhifadhi Itakayozungumzia mazingatio ama ibra ama mafunzo kwenye kadhia ya masheikh wetu hawa nini muislamu anatakiwa kujivunza kwenye mtihani waliopata masheikh hawa.
Masha Allah yabaraqa Allah shekh asante sana
Mashaallah tabaraka rahman Shukran sheikh jazakha llahu khayra
Maasha Allah tabaraka Allah habibty #zaitunikhamisi
Alhamdulillah sheikh kishki Allah ameitikia dua zetu masheikh wetu wapo huru
Alhamdulillah
Mashaallah shukuln sana shekhe wetu
Yarabbi nakuomba mpatie sheikh wetu umri mrefu azidi kutufundisha mambo ya dini
Maasha Allah tabaraka Allah sheikh wetu #nurdeenkishki unapotowa darsa ina uzito na utulivu wa nafsi lazma mumin akae atafakari na aya tendee kazi Mwenyezi Mungu akuhifadh na kila baya na wabaya akupe swiha njema umri mrefu tuzidi kupata faida ya ilmu ya Dini yetu Allahummah Amiin ya Rabbil Allamin
Amiin thumma Amiin
اللهم آمين
اللهم آمين يارب العالمين
Shukran jazakaAllAH khayr
Maashaallah Sheikh Nurdini Mohammad Ahmed Al-ahdaliyy (KISHKI) Allah akihifadhi.
Amiiin Amiiin
@@zainabmaulidi9846 Amiin
mashaalla mashaalla mashaalla mashaalla mashaalla
th-cam.com/video/VANVfe_H4MU/w-d-xo.html
Allahuakbar Allah atujaalie tuwe wachamungu ili tuipate Pepo yake ya Firdaus tukiwa Pamoja na Shekh Nurdin 😅Na Mtume wetu Muhammad Sww🤲🤲🤲🤲
MashaaAllah, Allah akujaliie jannatul Firdousy,na akupe elimu ya zaidi ,uzidi kutuelimisha, Ameeen...jazakumullah kheir
Asaalam Allaykum warahamatulah wabarakatulh team kishk online tv
وعليكم السلام ورحمةالله وبركاته
كيفك
Waalkm salaam warahmatullah wabaraqatuh habibty
@@zeitunkassim9352VP hali yako ukhty
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Waleikussalam warahmatullah wabarakat, Sheikh kishki Allah awalipeni kheir ,Allah Akbar walilah ilhamndu, jazzakallah khair
🎉🎉🎉Allah akujaalie kheri ktk dawah
Waleikum musaalam alhamdulila shukran Allah awalipe khery tupopamoja😍🥰💝💝💝💖💖✌✌✌✌
Asante kwa ukumbusho nakupenda kwa ajili ya Allah
Waalaykum salaam Warahmatullah Wabarakatuh
Masha Allah
Jazaakallah kheir Sheikh
JazakAllahu khairan
Sheh nakuoenda kwa ajili ya ALLAH jazzakum llah khaira ALLAH atusamehe waislam wote popote walipo
Mashaallah barakallah fiykum wajazzakullahu
Maashaallaah
Subhanallah allah allah atujaalie tuwe ni miongoni mwa kuepuka mashetani kwa kufanya ibada
Asalam alaikum. Shekh na itwa Rahmat. Natokea Rwanda . Nirikuwa na swali hivi . Ukiwa na mchumba anataka kuku owa rakini hakuna uwezo Kwa sababu anafanya KAZI inaripa 70000k. Kwamwezi Hana nyimba bado anaishi Kwa mam yake jee . Tufanye subra apate pesa awu tu owane hivi hivi mungu atatia balaka . Kurik kuka hata tuka angukiya kwenye dhambi ? Inshallah mtani djibu . Allah akuzidishie 🤲
Aamiin
Allahu ma Ameen yaraby 🤲
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Allah Atuongoze Ya Rabb. Aammiin
Mashaallah tabarak ❤❤❤
Manshaalla tabarakallah 🇧🇮
Asante sana nakupta vuzuri. Mtanzania toka oman.
Allah akulipe inshallah
Mashaallah
Maashaallah xhukurni
MashaAllaah MashaAllaah MashaAllaah
Jazakallah
Allah akubriki shekhe wetu mpenzi Amin
Jazaka'Allahu khairaa
Maa shaa Allah
Assalam walaykum warahmatullah wabarakatuh VP Hal ndio kabisa haipatikani kwaharaka 😂😂
😂😂Naaam innallaha layubbul mutapappirina😅
Nimecheka Jamani
Kwakweli Allah akutuhifadhie 🤲
Maamshallah
Masha Allah raha kweli mafunzo
Aaaaamiii8n yarabiiii
Mashallah
Amiin ya Rabb
مشاءالله تبارك الله
Sheikh wangu kigali tunakumisi tena
Nasi pia burudani 🇧🇮twammiss Shekh😔😔
Mashaa Allah
🤲🤲🤲🤲🤲🙏❤❤❤❤❤
Shukran sana
شكرا شكرا شكرا شكرا زياده
mashallah
💞🇧🇮
Mashaalah
SWADAQTA💯🎯
Nice
Tujisafishe juu ya tabia zetu
Shekh wangu ninaushauri,kutokana na data na muingiliano wa muda hafifu wa simu na kazi panoja na jamii,nashauri uwe unaweka vipande vifupi fupi vya dakika 4 mpaka 30 hivi.hii itatuokolea vyote.Kuanza sijui maik inarekebishwa ni kupoteza data zetu you tube
🙄🙄🙄
Mashaallah
Kishki nae amekua watu nasheed. Ma nyimbo mengi at the background. Au sijui ni admin mwenye hizi nasheed
Swadaktar
Rahman napenda
Dua ya kumlaani Afande Sele haikupaa...
YESU KRISTO ni Nuru ya ulimwengu wote Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa tubuni kabla hamjaachelewa YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi wa ulimwengu wote.
Nyinyi ata mkatiwa kwenye chupa In Sha Allah mtajitokeza yani hamfichiki abadani wallay
Nini maana ya BWANA
@@amindsalama9683 ni Mungu mwenye haki,malakala,juu ya vyote vilivyo mbinguni na duniani na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine,huyo ndio BWANA wa mabwana na mfalme wa wafalme
Mungu wa kweli mwenye haki na mamlaka juu ya vyote vilivyo mbinguni na duniani na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine huyo ndio BWANA wa mabwana
@@marianachriss2444 Ina maana yesu ni mungu
Kdtg
Sheikh wa kisanii.Hapingi Uzushi wala Shirki.Amekuwa ni mtu wa Answar bidaa.