MADHARA YANAYO TOKANA NA MATUMIZI YA FENI...!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Kumekua na changamoto nyingi zinazotokana na matumiz mabaya ya Feni hadi kupelekea watu wengi kupata changamoto za kiafya hivyo fuatilia video hii ili tujifunze namna ya kutopata madhara kutokana na matumizi mabaya ya Feni

ความคิดเห็น • 2

  • @melckmbuya3518
    @melckmbuya3518 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli umenisaidia sana kaka maana nashangaa mpaka kifua kinanisumbua kumbe nikuacha fen on usiku

    • @willemdachi
      @willemdachi  หลายเดือนก่อน

      @@melckmbuya3518 🙏🏻🙏🏻🙏🏻