Hela ya zamani. Bongo Zozo aelezea matoleo ya noti za Tanzania. PART 1. 1966 - 1984.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Toleo la kwanza na la pili la Benki kuu (BOT)

ความคิดเห็น • 65

  • @warrenography
    @warrenography 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwalimu Bongozoz anatufundisha kuhusu pesaaaa! Nakumbuka those times I took students to your office in Iringa. Those were the best field trips, fun and educational. Looking forward to the next one!

    • @BongoZozo
      @BongoZozo  4 ปีที่แล้ว +1

      I remembered getting all your kids to draw what they would have put on their banknotes if Iringa were to secede (the answer is Mtera Dam). Namkumbuka sana sana Salum katika hiyo field trip

    • @warrenography
      @warrenography 4 ปีที่แล้ว +1

      @@BongoZozo That's right! I'd forgotten that bit. Ah... good ol' Boom Boom Salum!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 ปีที่แล้ว +2

    Elimu nzuri Bongo zozo asante sana, wengi wetu hatujatumia hizi noti.

  • @chrissfred9706
    @chrissfred9706 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa hiyo bongo zozo kama mimi ninayo tunafanyeje

  • @AfrikanWarriors
    @AfrikanWarriors 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mkuu, nimeipenda sana pia umetufundisha historia ya Tanzania kidogo. Ahsante sana kwa hilo na mola akubariki kwa jitihada zako...

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 3 ปีที่แล้ว

    Very impressive narrations! Unaijua historia ya Tanzania vizuri Sana!

  • @ibrahimvuai9252
    @ibrahimvuai9252 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali bongo zozo kula muhogo asubuhi au urojo

  • @samsifuni
    @samsifuni 4 ปีที่แล้ว +2

    nimependa sana unavyoijua historia sio tu kwa vile umeisoma bali umeiishi na unaipenda. kama nyumbani kabisa

  • @likandafilm9709
    @likandafilm9709 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante balozi

  • @saidijafari2812
    @saidijafari2812 4 ปีที่แล้ว +2

    Ulipotea Sana Bongo zozo

    • @BongoZozo
      @BongoZozo  4 ปีที่แล้ว +5

      Hivi nisipotoa video kila siku, naulizwa: mbona kimya, nikitoa kila siku, naulizwa kazi nafanya saa ngapi?

    • @saidijafari2812
      @saidijafari2812 4 ปีที่แล้ว

      @@BongoZozo mchana nilikutafuta niliona vipi bongo zozo mbona yupo kimya wakati Corona TANZANIA imeisha

    • @baltzrluus3287
      @baltzrluus3287 4 ปีที่แล้ว

      @@BongoZozo sikiliza bro! wewe toa video

  • @neymarmbilinyi9735
    @neymarmbilinyi9735 3 ปีที่แล้ว

    Bongo zozo MIMI NINA Sarafu ya EAST AFRICA shilling 1ya kati ya mwaka 1922 MPAKA 1995

  • @amoury1481
    @amoury1481 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo miwani Daah live

  • @HamisHamissi
    @HamisHamissi 10 วันที่ผ่านมา

    Mina pece ya alzabeth 11:00 mwaka 1992 10 ya simba kanyanyua mguu wa kulia

  • @alikomatola6535
    @alikomatola6535 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah, umetaja Ipogolo hapo Bongozozo

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuu mm ndo naziona leo aseee

  • @dasilvajunior3016
    @dasilvajunior3016 4 ปีที่แล้ว +1

    Sawa bongo

  • @yassirmaulid683
    @yassirmaulid683 ปีที่แล้ว

    connection ndo tatizo hatuna hata namba zako

  • @salamaomary8201
    @salamaomary8201 ปีที่แล้ว

    Winn

  • @priscamwangombola5413
    @priscamwangombola5413 4 ปีที่แล้ว +1

    Babu yangu ameacha hela nyingi tu za zamani mpk shilingi kumi ya noti nimeziagiza ziletwe kutoka kijijini nikuchambulie, za sarafu pia zipo mpk za malikia Elizabeth wa Uingereza ya mwaka 1952

  • @yassirmaulid683
    @yassirmaulid683 ปีที่แล้ว

    pesa tunazo

  • @anithahyera2813
    @anithahyera2813 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli ukiishi na wazee uta ona mengi. Mwenye nazishangaa kweli

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 ปีที่แล้ว +1

    ukabila sio mzur kwel dah Umenena

  • @user-mm3bp5yh4k
    @user-mm3bp5yh4k 8 หลายเดือนก่อน

    Pesa zakigen unaninuw

  • @Mrclement539
    @Mrclement539 7 หลายเดือนก่อน

    Ninazo zote hizo

  • @user-cd5sq1dz4u
    @user-cd5sq1dz4u ปีที่แล้ว

    Nina shilingi 5 yatrekta je unaitaji kwa sh ngapi

  • @thamennaomar205
    @thamennaomar205 ปีที่แล้ว

    Habar Mr bongo zozo naomba number yako

  • @DorkasKamau
    @DorkasKamau 2 หลายเดือนก่อน

    Bado unazitaka

  • @joelshoo3689
    @joelshoo3689 3 ปีที่แล้ว

    Unanunua hela za zamani?

  • @josephmakonga3201
    @josephmakonga3201 3 ปีที่แล้ว

    me ninayo shilingi kumi ya noti na shilingi 20 ya noti vp unaitaji

  • @frankmgomba3749
    @frankmgomba3749 2 ปีที่แล้ว

    Fuvu maki ikoje?

  • @isackathanas4245
    @isackathanas4245 3 ปีที่แล้ว

    Bongo zozo fujo isiyoumiza nakuelewa sn

  • @enockblack6959
    @enockblack6959 ปีที่แล้ว

    Weka baba ya wthapp

  • @reemabenjamin3927
    @reemabenjamin3927 ปีที่แล้ว

    Mbona

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 3 ปีที่แล้ว

    Nazani nimepata hobby mpya

  • @thedypatrick7891
    @thedypatrick7891 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa Nina coins za zamani huwa unanunua

  • @chollejr_
    @chollejr_ 4 ปีที่แล้ว

    Libongo zozoooooo 🤣🤣wewe jana ulikua upande upi? Samata au kiba

  • @iam_pacofx
    @iam_pacofx 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini umevaa Gloves Bongo Zozo?

    • @BongoZozo
      @BongoZozo  4 ปีที่แล้ว +5

      Nisiharibu noti

  • @Soccer_Life2
    @Soccer_Life2 4 ปีที่แล้ว

    kwa wale wapenzi wa movie zakutafsiriwa kiswahili Dj mack mbofya link hapa tafadhali subscribe pia
    th-cam.com/video/VBQQfXaJLv0/w-d-xo.html

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 4 ปีที่แล้ว

    Mi ninzo baadhi ya sarafu ila sijui zipi ninahitajika

  • @sakilabulay2991
    @sakilabulay2991 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm ninayo rupiya

    • @BongoZozo
      @BongoZozo  3 ปีที่แล้ว +1

      Noti? Ya zanzibar?

  • @Danpixel1
    @Danpixel1 4 ปีที่แล้ว

    Kuna mtu uliyekuwa unafanya naye hizo kazi iringa umemsahau kumtaja ndugu na rafiki yako wa karibu.......!!!!

  • @charlespicksony7070
    @charlespicksony7070 3 ปีที่แล้ว

    Kuna DOA lupia ya mwaka 1913 nitafute whatsapp nikutumie picha 0715863405

  • @maulidisalum2939
    @maulidisalum2939 3 ปีที่แล้ว

    Mimi ninazo rupia bongo zozo nahitaj kuuza no. 0699537398

  • @ibrahimvuai9252
    @ibrahimvuai9252 4 ปีที่แล้ว

    I

  • @jonathanimwalimu-wk1xy
    @jonathanimwalimu-wk1xy ปีที่แล้ว

    Mimininazohizonotizote