That is true serikali ni sisi sote ,walioko madarakani watAPITA LAKINI Nchi inabaki,Tanzania inatakiwa iwe kubwa kuliko sisi sote,Tanzania inatakiwa iwe kubwa kuliko Taasisi yeyote na mtu yeyote
Mtu wa muhimu sana katika Taifa letu Mwabukusi! Unaongea mambo ya msingi sana yanayoweza kulikomboa Taifa letu na vizazi vyetu vijavyo, Mungu akulinde sana,uwe makini ndugu naamini mbwa mwitu wanakuwinda wakati wote wakuangamize! Hebu ongeza umakini na tunakuombea siku zote malaika walinzi wakulinde kila hatua yako,Ameni.
Asante mwabukusi nimekuelewa sana nimepata somo nzuri
Asante Rais
That is true serikali ni sisi sote ,walioko madarakani watAPITA LAKINI Nchi inabaki,Tanzania inatakiwa iwe kubwa kuliko sisi sote,Tanzania inatakiwa iwe kubwa kuliko Taasisi yeyote na mtu yeyote
Hongera sana RAIS la TLS
Mtu wa muhimu sana katika Taifa letu Mwabukusi! Unaongea mambo ya msingi sana yanayoweza kulikomboa Taifa letu na vizazi vyetu vijavyo,
Mungu akulinde sana,uwe makini ndugu naamini mbwa mwitu wanakuwinda wakati wote wakuangamize! Hebu ongeza umakini na tunakuombea siku zote malaika walinzi wakulinde kila hatua yako,Ameni.
Nakuelewa sana Raisi wa TLS
Mwabu mwamba
Wenye Akili tu ndo wanakuelewa mh.Fact Fact.
Uyomgeni wenu Leo anawapa madini mbaka mnatikida vichwa nikweli kk upo vizur sana mamwelewa saaa
Mwabukusi ni tunu za Taifa nyingne
Baba viongozi wa dini hawatujali wanajali sadaka zetu tuuu kutekwa au kuuawa kwa watu haiwahusu hao
Natamani siku moja asikofu wangu atekwe na auawe kama mzee kibao tuone je viongozi wetu wadini wata nyamaza kimyaa?
Usiseme ivyo iyo ninjia pia yakuanzia kama mandamsano nihaki.kama wanaanzia hapo hajaleta tija basi utoe mchango wakwamba wanze njia nyingine
Mwandishi hawezi tamka symposium? Aaaaa!!!!
kuanzia leo nimekushusha hadhi ww n chawa na kichwa maji wa ccm. hilo swala lipo kikatiba
So stupid!
Uyomgeni wenu Leo anawapa madini mbaka mnatikida vichwa nikweli kk upo vizur sana mamwelewa saaa