SILAA AUAWA kwa KUCHOMWA KISU ARUSHA AKIPAMBANA KUMUOKOA MWANAYE USIKU BAADA ya KUMTUMA DUKANI.....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 76

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน +4

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @AirinSumeno
    @AirinSumeno 4 หลายเดือนก่อน +21

    Hofu ya Mungu imeondoka Tanzania 😢😢😢

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yaani ukisiliza hizi habari kila siku ni mauaji tuuuu jamani alafu ni ya Kikatilii

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli 4 หลายเดือนก่อน +4

    Poleni sana ndg zetu. Watanzania tunaenda wapi! Jamani kwa habari hii ya maumivu na ushahidi kamili hivi!! Seeikali ichukue hatua kali jamanii Alieuwaa na yy auwawee haraka sana ili mavibaka wengine waambiane waache mara moja kuriski maisha ya watuu.

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 4 หลายเดือนก่อน +11

    Jmn kwahyo tufanyeje tuhame nchi au vip maana ukikaa kidgo taarifa za kuhudhunishaa 😢😢😢

    • @ZainabuMsengec
      @ZainabuMsengec 4 หลายเดือนก่อน

      Alafu Rais yupo kimya tu jmn

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan shid ni nin jaman hii nchi inatish mno aman iko wap hap tanzania jaman jaman daan 😢😢😢

  • @EmilianJoseph-u5b
    @EmilianJoseph-u5b 4 หลายเดือนก่อน +10

    Saa 5 mama hayupo watoto hawajala baba anatoka mahangaikoni ndo anarud kuhudumia watoto 🙆 Vijana tuoeni tu😭😭😭

    • @mgayan1222
      @mgayan1222 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yaaaaaaaaaaani 🙌

    • @esthersissamo1120
      @esthersissamo1120 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani mama alikuwa wapi ukioa ni yale yale

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allhamdulillah kwakukamatwa huyo sweitwani. Daa kilakifokinasababu. Kaka kaondoka kama masiala. Allah amueke panapostahili vile yeye anaona.

  • @LaurentLushingemasanja
    @LaurentLushingemasanja 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani likipita kwa mwenzio unajiuliza linaweza tokea kwangu yaan mioyo juu😢😢😢

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana 😢 kweli tabla ya kuacha makundi ya ovyo yanajikusanya ovyo ndio chanzo cha uhalifu 😮

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 4 หลายเดือนก่อน

    Huzuni kubwa sana,poleni sana familia.😢😢

  • @SaidyFaranda
    @SaidyFaranda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma sana

  • @KolethaMmary
    @KolethaMmary 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli au jmn

  • @SalmaSamiry
    @SalmaSamiry 4 หลายเดือนก่อน

    Duuh poleni sana 😢 😢😢😢sijui tuende wapi jamani kila kukicha kuna tukio la kuhuzunisha inauma jamani 😢😢😢

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni Wafiwa kea kweli ni huzuni sana

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 4 หลายเดือนก่อน +2

    Subhanallah 😢😢 hawa wauaji kwanini hawnyongwi wakikamatwa??

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 4 หลายเดือนก่อน

      Dah kungekuwa watu wananyongwa ingekuwa poa sana

  • @PatrickKishama
    @PatrickKishama 4 หลายเดือนก่อน

    Hii inaskitisha sana, ila kwavile wamehakiki mhusika amepatika kulikuwa na haja gani ya kuwapigia polisi, walitakiwa wamalize biashara apo apo, huu ni ujinga wataendelea kutumaliza hawa vibaka na kutuulia watoto hayo ndo magaidi.

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 4 หลายเดือนก่อน +3

    damu ya mtu aiendi bure....asante mungu kwa kukamatwa huyo kibaka.mungu awape uwepes hyo familia

  • @AbelAnthony-sw8si
    @AbelAnthony-sw8si 4 หลายเดือนก่อน

    Wandishi acheni kukuza jambo mnakosea sana, mi kidogo nisema Dkta Silaha

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan tumefikia hapa kwel😢😢😢😢Tz km sudani dah

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 4 หลายเดือนก่อน

    Dawa yao ni kuuliwa tu hakuna kuwa onea huruma watu wa aina hio. Hasbuna Allah Wani'mal Wakiil kwa kila dhalim

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo Arusha bangi nyingi na pombe jamani watamalizana kuuwaana kisu unamkata.mwenzako.kama mntama😢😢😢😢😢😢😢

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 4 หลายเดือนก่อน +3

      Na sehem zingine wanauwawa kwa nini kama arusha ni bang

    • @JosephineMhando
      @JosephineMhando 4 หลายเดือนก่อน +1

      Na tuseme na huko Dodoma kote yanapotokea mauaji ni bangi

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 4 หลายเดือนก่อน +1

    SubhanAllah😢 haya mambo yataisha lini? Yaani kila siku mauwaji tu

  • @DevotaKatumba
    @DevotaKatumba 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mliacha kumuuwa mkawa mnampeleka police jmn

  • @secundawabura7902
    @secundawabura7902 4 หลายเดือนก่อน

    aliyemuua ni Polisi? jamani tumrudie Mungu tuache maneno mengi tunapozidi kujenga chuki shetani anachukua nafasi zaidi .
    pole sana familia Mungu awape faraja kuu itokayo kwake ,watu wanatumia mpenyo wa chuki kutenda maovu

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Maisha gani haya mbona watu hawaogopi hata M/Mungu tusimamie

  • @AmedeusMbanda-gh4rj
    @AmedeusMbanda-gh4rj 4 หลายเดือนก่อน +1

    .marehem apumzike kwamani,😭😭😭,

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 หลายเดือนก่อน

    SACCOOS WATAAMKA NA WACHUNGAJI NA KULAUMU POLISI 😢😢😢😢😢

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sheria nzuri ni kuwa ane uwa na yeye hukumu iwe nikuuliwa sasa hizi sheria za kizungu eti haki za binadamu zimeleta ujinga mtu auwa kwa maksudi alafu eti asiuliwe ktk hukumu sasa na alie uwa Bila kukusudia ndio asiuliwe ila yule atakae uwa kwa makusudi ndio hukumu yk iwe kifo tu

  • @ZawadiSaid-x6f
    @ZawadiSaid-x6f 4 หลายเดือนก่อน

    Mwisho wa dunia huu watu wanauawa ovyoo

  • @NeemaSaimon-i4n
    @NeemaSaimon-i4n 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli jmn hapa ni mtaani kwetu ili daraja linanuka bangi mda wote yaani apa nikituo Cha haice sa mbili uwezi kupita

  • @songeza
    @songeza 3 หลายเดือนก่อน

    Jmn kwani zamani watu walikuwa hawspati matatzo kama hayo sasa hivi ni mitandao insongea ukwrli naingine uongo usio aibu hata kidogo

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan hizi kesi mbona hamtangazi zinaishaje?

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 4 หลายเดือนก่อน

    Kila kukicha vifo . Baadae tunasubiri polisi wathibitishe tu kwamba huyo kafa kweli . May be ndo kazi yao kuu kuthibitisha vifo

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 4 หลายเดือนก่อน

    Damu yaaa mtuu haipotei .wamemzurumu rokho yake Arusha Arusha. Jamani kwa nini mauwaji.kila.siku 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @carlosmizambwa8790
    @carlosmizambwa8790 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ujue haya mamb awamu ya 5 hayakuwepo kwa7b watu walikuwa wanachukuliwa hatua kali me naamini kama hatua stahiki zikachukuliwa kwa wahusika imani yangu mambo yatabadilika tunaliomba jeshi la polisi na wizara husika iyafanyie kazi mauaji yanayojitokeza hali imezidi kuwa mbaya

    • @yusufismail3116
      @yusufismail3116 4 หลายเดือนก่อน

      Ulikuwa bado mtoto sio kosa lako.

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 4 หลายเดือนก่อน

      Awamu ya 5 namba au nini we ulishawaiona haki imetendeka Tanzania hii lini? Muozo miaka nenda rud

  • @evarestyohanesmaleko2936
    @evarestyohanesmaleko2936 4 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu maskini😢😢😢

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nawatanzania. Hatuna. Huruma. Wanaeza onamtu anauliwa. Wasmsaidie.badae. Wanatoa ushuhudatu.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchi,mngeliuwa liuwaji km Dar walivouwa kunguni kunguni lilimuuwa Ibra kwa kisu,wananchi wakaliuwa hill kunguni,sasa nyie wa2 wa Arusha mbona hamkuliuwa hilo jambaxi?

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 4 หลายเดือนก่อน +1

    Badala yakupambana na serekali inayo tunyanyasa badalla yake vijana wajinga wanakuwa wezi na wauwaji

  • @HusseinChegu
    @HusseinChegu 4 หลายเดือนก่อน

    Mnawapa polisi kazi ngumu mngemaliza tu kwani mshawajua wauaji

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bangi za Arusha ni shida

  • @LidyaSilaa
    @LidyaSilaa 4 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu tuokoe

  • @abednego3876
    @abednego3876 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mi5 tena kwa mama.

    • @yusufismail3116
      @yusufismail3116 4 หลายเดือนก่อน

      Ujinga mzigo, Mama anahusikaje hapa?

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 4 หลายเดือนก่อน

      Haya mama anaingiaje hapo? Achani bangi

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nimebaki najiuliza usiku wa saa tano watoto walikuwa hawajala mama alikuwa wapi jamani?

    • @AirinSumeno
      @AirinSumeno 4 หลายเดือนก่อน

      @@sophiakimaro5174 ndyo maana halisi ya siku ya kufa nyani jamani

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 4 หลายเดือนก่อน

    NCHI IPO SALAMA .IPO SHWARI KABISAA .CCM OYEEEEH

  • @navioma4882
    @navioma4882 4 หลายเดือนก่อน

    Tunakwisha🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😶

  • @DaheerK
    @DaheerK 4 หลายเดือนก่อน

    Arusha shikamoni maana mauwaji yenu km ya dar tu kila kukicha nikunuka damu tu bas😢😢😢

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 4 หลายเดือนก่อน

    Huu mtihani wallah

  • @HappynessSoli
    @HappynessSoli 4 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii hatari kila siku mauaji ee mwenyezi mungu naomba utuepushe na haya mauaji

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 4 หลายเดือนก่อน

    Postmotam imefanyika? Ili mahakamani isiwe shida kupata haki?

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 4 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani kwanini unatum a.mtoto.saa tanousiku

  • @irenebarakeli
    @irenebarakeli 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kifo kinatafuta sababu ya kutokea yaani Tz ni uwanja wa wauaji

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 4 หลายเดือนก่อน

    Hyo sasa ndiebanaetakiwa kuwawa maramoja.Hawapaswi kuishi kbisa

  • @SaleheGiza
    @SaleheGiza 4 หลายเดือนก่อน +5

    Muhuaji unampeleka police ili kafanye nn sasa.mmekosea sana mahakamani kuna kesi nyingi huyo muhiaji alitakiwa na yeye apige kisu kama alivyofanya yeye

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 หลายเดือนก่อน

    Yaleyale ya dangote,tena,kwamromboo Arusha

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 4 หลายเดือนก่อน

    Ila mmekosea alivyopatikana huxo moja angemtaja na mwenzie kisha huyo mgempiga mpk afe hao hiyo ndio ilikuwa kazi yao kufanya uharifu

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wauaji wangenyongwa hadharan haya mambo yasngekuwepo,mwenyezimungu amesema muuaji auliwe lakin tukangeuka wanadam,mara utaskia siku 2 tatu mtu anahonga anarud kitaa,matukio yanaendelea

  • @KhamisHassan-ql5ut
    @KhamisHassan-ql5ut 4 หลายเดือนก่อน +5

    SASA MBONA MUNAMSINGIZIA MAMA KWANI WAKATI WANACHOMANA KISU SAMIA ALIKUWEPO

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ataulizwa siku ya Qiyama yy kiongoz sheria za mungu anae ua nae auwawe yy kakaa kimya watu wanaua tu kisha wao wanaendelea kuish

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Kutaila99Usiusingizie uislam kwa kutaja habari za Qiyama, kwani mama aliwashikisha kisu wamuue huyo mzee wa watu?! Hao washenzi si wamemuuwa wenyewe kwa unyama wao, mama kwani mama alikuwepo hapo?! Sasa anahusikaje hapo?! Acheni unafiki hivi na nyie mnaopigana miti gesti na kuvimbishana matumbo pasipo kutarajia kisha baadae mnaotoa mimba au kuuwa vichanga kwa kuvitumbukiza chooni baada ya kuzaa hivi mama aliwaagiza mfanye hivyo huo si ushetani wenu?!

  • @RomanusBussa-g7q
    @RomanusBussa-g7q 4 หลายเดือนก่อน

    Hiii sio nchii😂😢

    • @KhairatBundala
      @KhairatBundala 4 หลายเดือนก่อน

      Ni jehanam😭😭😭😭😭😭

  • @JumaMukhtar
    @JumaMukhtar 4 หลายเดือนก่อน

    Muuwaji ilistahili kuuliwa na yeye

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 4 หลายเดือนก่อน

    Kiukwel sielew tunaelekea wap jamn was tz