ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nlikuwa sijui kumbe huyu kamanda kaishastaafu mzee kapinga mzee hongera sana kwa kutumikia jeshi vyema umefundisha vijana wengi sana kazi jeshini
Hongera Sana Mzee wetu kwa kazi ilotukuka katka Nchii yetu.
Safi sana hongera mzee
Kajogoo wikaaaaa...wikaaaa wikaaaa ... kajogoo wikaaa wikaa na mayoweee...... hahahah salute kwako afande Meja jenerali mstaafu Alfred Kapinga.
Maslahi na kazi vinaenda sambamba
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu katika nyanja zote ulizotumika kizalendo katika nchi na majirani waliozunguka nchi . Taifa teule . Asante umenibariki sana. MUNGU AKULINDE KATIKA USTAAFU WAKO . UTUMIKE ZAIDI U --CHOMBO CHEMA. ANEN 🙏
❤️❤️🙌
Pongezi kwako miaka 44 jeshini ni mungu tu nilikuta kongo mzeee
Major General ni rank kubwa sana jeshini...
Hongera Sana kamanda pumzika
Sikujua kama amestaafu Mzee wangu Kapinga
Hongera Sana Mpiganaji kwa ujenzi wa Taifa
Boss njoo ututembelee kwa mara nyingne tyena Upanga dar es salaam,tumemisi uwepo wako🙏🙏
Mtu Safi huyu
Mzee ongera nyumbani wapi mzee
Wangoni hao, wanakuchekea mchana tu. Ngoja watakapoanza Kuku Rusharusha usiku . Hawana maana hao hata kidogo .
Joseph kapinga Joseph kapinga nakuita mara2. Uko wapi
mwamba huyu hapa
Chuma hiki
Baba umetelekeza watoto wako wa boxing Arusha hahaha
Nlikuwa sijui kumbe huyu kamanda kaishastaafu mzee kapinga mzee hongera sana kwa kutumikia jeshi vyema umefundisha vijana wengi sana kazi jeshini
Hongera Sana Mzee wetu kwa kazi ilotukuka katka Nchii yetu.
Safi sana hongera mzee
Kajogoo wikaaaaa...wikaaaa wikaaaa ... kajogoo wikaaa wikaa na mayoweee...... hahahah salute kwako afande Meja jenerali mstaafu Alfred Kapinga.
Maslahi na kazi vinaenda sambamba
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu katika nyanja zote ulizotumika kizalendo katika nchi na majirani waliozunguka nchi . Taifa teule . Asante umenibariki sana.
MUNGU AKULINDE KATIKA USTAAFU WAKO . UTUMIKE ZAIDI U --CHOMBO CHEMA. ANEN 🙏