Uko vzuri ila jitahidi kutafuta vielelezo zaidi ambavyo vitafanya watu waendelee kufuatilia zaidi bila kuchoka,vielelzo ninavyomaanisha ni kama vile picha za kutosha na video footage chache zitakazo fanya story yak ice ya kuvutia kama wafanyavyo global tv online,but all in all uzo vzuri sana
mungu so kipofu wala kiziwi 2muogope mungu sana alimpa pia amempokonya kuna weng vyeo walivyonavyo hawajui Kama mungu anaweza kuwashusha Kama unamuogopa mungu sema amennnnnnnnnnnnnnnnnnnnn!
Malipo ni hapa hapa duniani na mbinguni pia, wewe ua tesa, nyonga lkn one day utavuna tuu malipo ya damu za uliowaua na kuwatesa. Tujifunze kupitia kisa hki.
Raymond Msanga kuna vtu huhitaji kupoteza muda kugugo bro. Tumia akili tu. Alifuja mali nying za nchi. Akawa na pesa na almasi. Ada ya chuo ni trilioni ngap kwa mwaka ili asiweze kumaliza????? Inaweza kuwa true to some extent.....bt imetiwa chumvi
Ahaa hii nimependa,bigup huko juu sana mdogo wangu
Yahh
Kweli malipo ni duniani kwaiyo alishindwa hata kumjengea nyumba mama yake duh🤣🤣🤣
From somewhere in AFRICA,i love your voice and this beat you used in ithis story,big up bro
I like your educative staffs
unaumiza sana akili kuleta vitu vya maana ambavyo wengi hawezi kwa uvivu wa fikra. kila siku habari za diamond na kiba tu azitunufaishi kitu
hongera sana maan mnatujuza tulikotoka kwa ajil ya kujifunza
Fundisho zuri sana kwa wote
mmm noma hihi iwefundisho kwawengine
ahsante sana kwa historia ambayo sikujua
Safi sana... Nakutakia kila la kheri.. Ufanikiwe ktk kazi yako Good Voice. "Note" Unajua kutangaza Broo.
I like it
Vip tafsili moves mzee baba upo ok sana
Uko vzuri ila jitahidi kutafuta vielelezo zaidi ambavyo vitafanya watu waendelee kufuatilia zaidi bila kuchoka,vielelzo ninavyomaanisha ni kama vile picha za kutosha na video footage chache zitakazo fanya story yak ice ya kuvutia kama wafanyavyo global tv online,but all in all uzo vzuri sana
Amepata laana. Adhabu nyingine zipo hapa hapa duniani
Upo vzr aiseee sio kila dk stori za akina diamond
We ni kati ya Wachache wenye kipaji na uwezo wa Kutoa #SIMULIZI ikavutia ...
Iko poa brother
Aliye juu mgoje chini
Tatizo waswahili tunapenda ubishi bila ya kufanya utafiti, fanyeni research ndo muanze kubisha hayo anayosema ni ukweli mtupu
Kwel
maisha yana stori ndefu sana....
na kwa matukio kama haya twajifunza.... viva africa
Una sauti nzuri ya kutangaza. Sasa tutafutane nikupe story kisha uzitangaze wewe.
@@DavistarMataMediaDM sawa kaka.
p
Good lesson to other leaders
Xo amazing
Duhhh
Nakukubali sana kijana
Unapokuwa unafanya mambo kumbuka kuwa kunayakesho
Mwenyezi mungu kamuadhibu hapa hapa duniani kuonesha mfano kwa binadamu wenye Tabia kama zilivyokua zake.
Safiii miatisaa inapendeza
Una sauti nzuriiiii😍😍
woooh
Da! Kuna wa2 vituko
What a lesson for one to learn
Duuh hii imenishangaza kweli
Walioumizwa wanashindwa vipi kumshughulikia kulipa kisasi kwa aliyowafanyia
Kk unajua keep it up kweli unachimbua
tatizo lako hukutaka kujilimbikizia Mali ona sasa mwanangu
Aisee
Shukran sana kaka ila punguzeni mziki
Magufuli na sheni jee mmewaona wakorofi wenzenu wanavozalilika hapa hapa duniani
Haaaaaa we huogopi wamchezea chui sharubu eee🙊👐akuuuu mi simu, shauri yko
Wewe watakubeba uende jera mshenzi ww
Tamaa mbele mauti nyuma, malipo ni hapahapa.
Saumu Hassan assalaam aleykum
Shaban Ramadhan Waleykum Warahmatullah Wabarakatuh
Unajua actually mungu Hana haraka
Huo ni uongo unaofanana na ukweli
@@saumuhassan6365 What does this mean ??
Asante kwa kutujuza mengi
@@DavistarMataMediaDM Nifollow instagram
Jafary lyimo
Alisahau kuwa Mungu ni wa kila mtu
mungu so kipofu wala kiziwi 2muogope mungu sana alimpa pia amempokonya kuna weng vyeo walivyonavyo hawajui Kama mungu anaweza kuwashusha Kama unamuogopa mungu sema amennnnnnnnnnnnnnnnnnnnn!
jamidu kilolo
Maisha Bana !!!!!!
Ana duniya taduru
Duh
Napenda hadithi zako zapendeza aizee kweli
komesha laana zinafanya kazi
hilo nilaana la wananch alivyo wadhilm na pia hakujua maana ya uongozaji ni nini
Sima nni kaka sautu yako iko sawa ila music ulio uweka ungepunguza kidog saut mzee
Wakuu nishaelewa Kwamba sio movie
asante mwana habar wetu
Huyu alikua sio mjanja wakuiba 😂😂😂😂
Malipo yote nihapa hapa na huo ndo mshahara wake
Ni mtihani kweli
golden voice bro
Anatholy Philipo
Mambw
Maisha yanabadilika
Tamaa mbele LAZMA upate chakwako
Haram
Kwel malipo n hapa dunian
Mnaosema hii habari sio kweli tupeni basi ukweli
Mziki unalia mno ungepunguza
Duuu!!! hiyo ni kal kutoka rais mpaka omba omba
Safari bado, atapata pesa
@larik mtuy kwani umeambiwa ni leo au week ilopota iyo had wayu wskarke kambi
Mamkubuka sana huyu jamaa,wakatiwake alitikisa.
naomba jina la sound track
Malipo ni hapa hapa duniani na mbinguni pia, wewe ua tesa, nyonga lkn one day utavuna tuu malipo ya damu za uliowaua na kuwatesa. Tujifunze kupitia kisa hki.
Hii ni kweli kabisa sio uongo kama mnavyodhani baadhi yenu
Raymond Msanga sio kweli bhana!
Moses G. Pendael Cha kufanya chukua jina la huyo rais kisha kagugo mbona rahisi sana.
Raymond Msanga kuna vtu huhitaji kupoteza muda kugugo bro. Tumia akili tu. Alifuja mali nying za nchi. Akawa na pesa na almasi. Ada ya chuo ni trilioni ngap kwa mwaka ili asiweze kumaliza????? Inaweza kuwa true to some extent.....bt imetiwa chumvi
Moses G. Pendael Inawezekana pengine baada ya kupindoliwa akaunti zake zilifreeze,hatuwezi jua.tusibishe kika kitu.
Ni kweli kabisa someni tatizo letu ni wavivu sana
Duh kweli sikio la kufa halisikii dawa
POA POA hahari nzuri
Ya dunia ni hivo.
Hii ndo maana mie nikifanikiwa kuwa Rais hii leo ntaakikisha shinda hatutawahi kutana mahali..ntakuwa naona shinda kwa jirani.
Duh! Msaidien
duu
Nomasanaaaaaaaaa
mia mia
Duuu!!!
angesomeya ata ufugaji ao mkulima.
Yan alijisaausn
MUNGU ATAHATHIBU KILA MFALUM ANAE ONGOZA INJI YAKE KWA UBABE AMEPOKEA MALIPO YAKE
Kitu kizuri simulizi tamu Sana ila uwe unaandika pia
Please! Arrange one day and tell us history of Mansa Musa
Mansa musa the richest man of all time
Yah! That man is icon of Africa, but his story is not much open. I do not know why!
Kwetu tunamuita #Mzalendo
Tisha sana mata
Miladi ayo ajipnge japo yey katoboa tyl
Kila kitu kina mwisho....ona sasa maisha yako yalivyoishia vibaya. Ahaaah....haaaah....haaaaah... .ukicheza na jeshi vibaya, utakiona cha moto.
how
Exi
Sesi
uko vzr ila punguza sound track
Inamaana hana pension
Nahitaji namba yako ya WhatsApp tufanye kazi.
laana mbaya mjifuze
sio kweli iyo
Kwanini
Karma will end karma
Nitafute nikupe story kama hizi, una sauti nzur sana kaka
Hongera sana watsapp namba 0744547862
Duh Life is a cycle
Amesaidiiwa sasa hivi na Rais aliyepo madarakani
dadeq zako,ndo mana sikuzote tunaambiwa kuwa cheo ni dhamana
Doh.!! mitamaa k-bao
Hayo ndiyo malipo yamadikteta
Mengi ni ukweli japo yapo machache yameongezwa
muosha naye huoshwa
Duuuuhhh!!!,
Wewe umesomea uongo tena tunaomba utafute uongo mwingine utuletee mnashindwa kutafuta habali za maana
@@tatutatu1976kwann
Yahayamswagilo
Curse is real!