Wewe malkia wa Taarabu Khadija kopa twakueshimu sana miaka mingi na umri wako pia huko katika ile hali ya Heshima yake. Ukiongea kitu chochote watakikana upime matamshi siampatane na hekima na bushara wa hali ya juu sana ndio pia watoto wako wajifunie kuwa na mama wa heshima. Mimi ni wa miaka yako kabisaaa lakini miendeno zangu, lugha na matamshi ni ya kipekee. Watoto wangu wanieshimu na pia wajukuu. Ukiongea mambo ya maaba ama ndoa inatakikana unalenga kiusafi na kieshima ndio sisi wafuazi wako wa dadhi na wadogo wako, sana sana watoto wako wajifunie mama yao. Kutamka hadharani mbele ya umati na dunia kiolela hivo kidogo haileti zangwe kwa watasamaji. Ukiwa 57yrs kiza useme unataka kijana mdogo kwako inaoneza sura mbaya kwa watoto wetu. Sijui, ukiamka kesho ukapata binti suchu anangangania lijizee lia miaka 50 utasemaje? Kupata mpenzi ni haki ya kimsingi lakini hatusemi hatarani hivyo peupe. Labda kwenu Tanzania inakubalika, kwetu kenya ni muongozo mbaya kwa watoto wetu. Lakini nakuombea upate mume wa kukufaa kwa mathumaini yako dada. Muziki zako zote tangu 1990 ninazo mimi, nasipenda sana kwa dadhi
Usijizidishe zambi Khadija kopa, ww una sifa gani hata ukajifananisha na mke wa Mtume (swa) ww ukiamka ni pombe ukilala ni pombe. Hapo ulipo upo hoi.... Rudi kwa Allah dada usihadalike na dunia.
Lkni kwa huo umri mama hataa huezi kuamini yani upo strong mashallah, kuna wanawake wengine miaka 54 wamejichokea ile mbaya, yani sjui ni maisha ndio yanayowatatiza au ni hizo pesa ndio hawana zakujieka vzuri, utaona mwanamke ana miaka 30tu pengine kazalishwa watto wawili lkni ukimuangalia utafkiri ni mtu wa miaka 70.
Bibie Kizee Kopa umri umeenda achana na mambo ya kishaitwan. Jielekeze kwenye Ibada, uwe na hofu ya Mungu. Miaka 54 bado unatafuta Mime, huchokiiii!. Huna haya hata chembe. Waachie wanao akina Zuhura wahangaike sio wewe.
Bi Khadija my Advise to u now is,plzz back to Allah and ask forgiveness coz umri wako huo ssa hv hutakiwi tena kua hewani km ulivyokua Maisha kwa Mungu hatuna guarantee nayo Mama anytime twaeza pigwa mkono na Allah.shukran
Ati nn? Yy ndio Bi Khadija mwnywe ...! Wacha kujifananisha na mke wa Mtume sala Allahu alayhi wasallam wakati huna kigezo chchte cha kujifananisha nae...... Umebeba jina tu
Wewe malkia wa Taarabu Khadija kopa twakueshimu sana miaka mingi na umri wako pia huko katika ile hali ya Heshima yake. Ukiongea kitu chochote watakikana upime matamshi siampatane na hekima na bushara wa hali ya juu sana ndio pia watoto wako wajifunie kuwa na mama wa heshima. Mimi ni wa miaka yako kabisaaa lakini miendeno zangu, lugha na matamshi ni ya kipekee. Watoto wangu wanieshimu na pia wajukuu.
Ukiongea mambo ya maaba ama ndoa inatakikana unalenga kiusafi na kieshima ndio sisi wafuazi wako wa dadhi na wadogo wako, sana sana watoto wako wajifunie mama yao. Kutamka hadharani mbele ya umati na dunia kiolela hivo kidogo haileti zangwe kwa watasamaji. Ukiwa 57yrs kiza useme unataka kijana mdogo kwako inaoneza sura mbaya kwa watoto wetu.
Sijui, ukiamka kesho ukapata binti suchu anangangania lijizee lia miaka 50 utasemaje? Kupata mpenzi ni haki ya kimsingi lakini hatusemi hatarani hivyo peupe. Labda kwenu Tanzania inakubalika, kwetu kenya ni muongozo mbaya kwa watoto wetu.
Lakini nakuombea upate mume wa kukufaa kwa mathumaini yako dada. Muziki zako zote tangu 1990 ninazo mimi, nasipenda sana kwa dadhi
Santaaa bi. Khadija kopa umeongea ukweli wengine si wanaume magumegume. Naona bado uko chonjo
MWANAHALIMA MWACHILI Daaa Atulie saahii mama Etu Alee wajukuu
I looooooooooooooooooooove her honestly..Khadija Kopa for Life
Usijizidishe zambi Khadija kopa, ww una sifa gani hata ukajifananisha na mke wa Mtume (swa) ww ukiamka ni pombe ukilala ni pombe. Hapo ulipo upo hoi.... Rudi kwa Allah dada usihadalike na dunia.
Koma wewe
Lkni kwa huo umri mama hataa huezi kuamini yani upo strong mashallah, kuna wanawake wengine miaka 54 wamejichokea ile mbaya, yani sjui ni maisha ndio yanayowatatiza au ni hizo pesa ndio hawana zakujieka vzuri, utaona mwanamke ana miaka 30tu pengine kazalishwa watto wawili lkni ukimuangalia utafkiri ni mtu wa miaka 70.
onekana mama umesumbua sana wanaume nikiona vile wajisebedua daaaah waniumiza moyo wangu
Yaani nakukubali sanaa tu
Santaaa bi khadija mameno yko kweli. Swadaqtaa
njoo tusitiriane khadija hakika tubakie kuleta istighfar
Mche Allah acha ufedhuri dunia inadaa sana
Hongera bado kabinti upo kwenye chati
Hadija nimekupenda usiitikie kibenten kitakukula akini ushangae
nakupenda bure
sheillah chisika
bibi angu ana 64 Happy birthday to u guys betweeen 10 years but bibi angu yuko kama mtu wa 80 😳 But anaumwa na kisukari
Nyooh bi khadija ndio wew
Jamani mama anajua kurembua huyo, kweli, natamani nimuoze mjombangu, nimempenda hadi raha.
Nafisa Mohamad shoiika mooo
Nafisa Mohamad haaaa
BASI FUNIKA KICHWA JI HESHIMU , IKIWA KWELI WAMTABUA BI KHADIJA RADHIALLAHU ANAHA
NITAKUOA MM KHADIJA NIKUPIGIA KINANDA NYUMBANI NA WEWE UNIIMBIE
Napenda ukweli wako you are so strong baby gal watu hawapendi ukweli but uko poa
apo sawa dada
Teh
Bibie Kizee Kopa umri umeenda achana na mambo ya kishaitwan. Jielekeze kwenye Ibada, uwe na hofu ya Mungu. Miaka 54 bado unatafuta Mime, huchokiiii!. Huna haya hata chembe. Waachie wanao akina Zuhura wahangaike sio wewe.
Mimi nakupa baba angu amesema tutafute mama ila sasa lipa Deni la Temba sitaki uje kwetu namadeni
Wewe mama jiheshimie
Kwn io kwenye kikombe Ni chai au pombe !? Mbona kma shangingi kalewa😎
kaka angu anataka mke,je unauwezo Wa kuzaaa???
Sante mamy umeongea point, Mimi siwaamini kabisa Wanaume vitu kama hivyo hawana, mwanaume akupende bac unapesa au unakitu, mimi cna hata hamu nao.
Saumu Hassan huna adabu kwani nyege zako wapelekapi
Dada Saumu unapokoment jaribu kuangalia uzito wa koment yako tafadhal coz bila mwanaume ww usingekuwepo dada
Sorry if u minde
Umewatusi mpaka manabii....be care in your statement.....
Saumu mie nimekuxoma inaonekana umetendwa wewe pole sana
Asantaaaa
madam anajiamini,,,,, congrats
Utaruka nae babake Mtu?
Deni la Captain amelipa?
ana ngoma uyo shaurienu
bado mama wataka kuolewa...mama wacha aibu
Mimi niko kuna nafasi
Kweli bi Hadija kopa
hahahaha wanifurahisha sana mama, uko sawa kabsa!!
Umezeeka bibi kizee.
orest leon Mamako pia atafikia uko
Asante saumu
😃😃😃😂😂😂😅😆magume gume wasikiy awooooo ataree
Wape ukweli maaa
asanteeeee
nikweli bi Hadija
Rudi kwa mola wako achana na hanasa za dunia
Asiah Mariam kweli mchungu ila ukweli ndio faraja
Asiah Mariam wasafi
Asiah Mariam wallahi tena maana amekalia kiumalaya umalaya
Asante
You look Good
Hapo sawa mamaa vibenten vya tution nooooo🤣🤣
kubar lakini kua umezeeka mama yangu ,tulia tu
mama jitahedi kuwacha tarabu nidhapi
black beauty huyu Ana matatizo
Bi Khadija my Advise to u now is,plzz back to Allah and ask forgiveness coz umri wako huo ssa hv hutakiwi tena kua hewani km ulivyokua Maisha kwa Mungu hatuna guarantee nayo Mama anytime twaeza pigwa mkono na Allah.shukran
Acha miziki basi kma hutaki Zambi coz kwa muislamu sio vzr kuimba tafuta kazi nyengine bora umri umenda huo life too short my mom
Hamide Sultan kote kote muislamu mkristo dhambi
Yap of coz
Kwan amelewa
Lipa Kwanza pesa ya temba
pilly olsen
Duh! Nina 49 aisee nakuja kukuoa
Uwiiiiiiiii
Yaani huyo ndio madame
unavisa we bibi
Hahaha Da khadij
Eti naruka nae
bibi hadidja mimi ndo mwanme mcomoro nina furahi kwe interview yako habo yawanawume
First to watch
Ati nn? Yy ndio Bi Khadija mwnywe ...! Wacha kujifananisha na mke wa Mtume sala Allahu alayhi wasallam wakati huna kigezo chchte cha kujifananisha nae...... Umebeba jina tu
V'ben ten vyataka kulelewaa 😏😏😤😤ukivipa nafasi, havijishuhulishi,,bora ubaki bila🙌
NAOMBA NIKUOE MCHUMBA MWANAUME WA UKWELI MIMI
ww mjinga umbri huo ulionae mpaka sasa hujatubu tuuuu kuna moto huko
Mimi nina miaka 42 lakini nipo kama Dogo janja vipi nilete Posa
Aloyce Steven 😂😂😂😂weeh nenda tu si unamuona mwenyewe mziki wake utakunenepesha tu
Aloyce Steven 😂😂😂😂
😂 😂 😂 😂 wewe nenda tu kaowe
Aloyce Steven hahaha
Aloyce Steven 😂😂😂
Kwan Mama anajibu maswali au anachambana?😂😂😂
Ni kweli mama wanaume wengi hufanya hivyo matokea ukiishiwa atakucheka hunathamaini tena kwake
😂😂😂😂😂😂😂😂
nikweli maneno yako
hhhhhh htki kibenten
😀😀😀😀😃😃
😂😂😂wapewape
achauxenge
hahaha hadija
ana ngoma uyo shaurienu