Ajali mbili zashuhudiwa huku magari mawili yakianguka kivukioni Likoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @agnesmwende1104
    @agnesmwende1104 3 ปีที่แล้ว +4

    This battle is spiritual but those who do not understand will talk according to the physical...christians lets fast and pray victory is by our side.

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว +5

    majini shindwe kwa jina la yesu

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 3 ปีที่แล้ว +2

    Thatz the work of the devol ushindwe kabisa....

  • @browniemrefu5639
    @browniemrefu5639 3 ปีที่แล้ว +10

    Why is everyone blaming the Devil,what I see is just incompetence,and lack of order,its like a scrum when it's time to exit, people and vehicles at the same time,and Kenyans engineer are at sleep the entrance shouldn't be that steep.and why not use anti-skid asphalt.

    • @salomemueni100
      @salomemueni100 3 ปีที่แล้ว

      This is purely satanic putting concerned ones to sleep on their duties..kenyan engineers are good at their work..drivers are well too..nothing like incompetent..devil at work..remember snake (bbi)..,now you know what we mean when we blame the devil

    • @rugendorunene545
      @rugendorunene545 3 ปีที่แล้ว

      I agree it's incompetence. Bad civil works as well. I worked in Alaska for five years. Studied at Kenya Polytechnic as well well as abroad.
      But jobs are given in regard to who you know.

  • @gfgfgf2890
    @gfgfgf2890 3 ปีที่แล้ว

    Hapo kuna mashetani mungu asimame hapo

  • @agnesmwende1104
    @agnesmwende1104 3 ปีที่แล้ว +2

    Jesus is reigning.....Glory to God for saving

  • @helenshella6809
    @helenshella6809 3 ปีที่แล้ว +5

    Waaah hizo ni mapepo

  • @rgouz2056
    @rgouz2056 3 ปีที่แล้ว +1

    No Action will be taken hadi siku abiri wengi watapoteza maisha. Mashetani mbele mashetani nyuma hali ya kivuko imeharibika Sana. Wajenge Daraja. China wame jenga Bridge ya zaidi 10 na meli za Containers zapita ijeikuwe KM 4

  • @Captainevans2024
    @Captainevans2024 3 ปีที่แล้ว +1

    Clean and lime the ramp when it's low tide

  • @fatmamdigo1848
    @fatmamdigo1848 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli ferry kuna hatari jengeni vizuri jamani kwateleza sana apo......alafu iyo barabara kuingia ferry pameisha sana kwateleza jamani.

  • @ruthobiga4778
    @ruthobiga4778 3 ปีที่แล้ว +1

    Uzembe wa Kenya ferry

  • @marykaish7979
    @marykaish7979 3 ปีที่แล้ว +1

    Whaaat🤔🤔🤔imekuwa mtindo jamani

  • @alfylegit9573
    @alfylegit9573 3 ปีที่แล้ว +2

    Devil is at work. Lets pray without ceasing💪

  • @kennedymuriithi5358
    @kennedymuriithi5358 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii place ciwatafute lasting sollution aki ,ikienda sana ni 2billion $

  • @sarahevereso9088
    @sarahevereso9088 3 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani kila Siku hayo ni mapepo jamani hapo mahali panataka maombi makali mnooooo

  • @lucykitundu640
    @lucykitundu640 3 ปีที่แล้ว +1

    Ferry kuna nini jamani

  • @jshahshsh2383
    @jshahshsh2383 3 ปีที่แล้ว +7

    Those are Satan need blood oooh God help ur people

  • @maimunaabdalla7146
    @maimunaabdalla7146 3 ปีที่แล้ว

    Wakenya ni watu wakupenda mfata mzungu kila anachowaambia,ukweli tungefat a mila na desturi tukaacha jisahau sisi niwafrika na tuna mila za mababu zetu. .yooote haya yasingetokea.angalia wa Asia,wachina,na hata baadhi ya hao hao wanaopotosha watu,hawaachi matambiko hawaachi mila zao only few afrikans wamejifanya wazungu sasa matokeo ni hayo mnayaona likoni ferry...tangiya mababu zetu kuna matambiko yanafanyagwa kiila mwaka kama kafara,coz bahari ina wenyewe(majini)na majini hawatawapa amani ferry mpaka mlipie mji wao,mlipe ushuru in other word.sasa knya mwajitia waokovu,waswaili inna.mnasahau jini pia aliumbwa na mungu na akampa hizo power za kusumbua .dharau c kitu chema,toeni kafara kabla hawaja jichukulia wenyewe,ni alarm wanapigia au wanapa warning tutachukua wenyeww kama hamtatupa kwa hiari.

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 3 ปีที่แล้ว

      Eti wazungu wewe unaongea nini ajali hainakinga kaka ni heri unyamaze kushida kuongea pumba

  • @tatujaphet163
    @tatujaphet163 3 ปีที่แล้ว +2

    Waaaah sina lakuongea wacha tu ni nyamaze 🤔🤔🤔🤔🤔

    • @titinmbega4128
      @titinmbega4128 3 ปีที่แล้ว

      Damu yatakika ni mapepo hayo. maombi tu sasa. ju ni mda toka huyo mama na mwanae.

    • @fajarfajar7855
      @fajarfajar7855 3 ปีที่แล้ว +1

      @@titinmbega4128 kabisa hapataacha vituko mpaka litokee kubwa

    • @titinmbega4128
      @titinmbega4128 3 ปีที่แล้ว

      @@fajarfajar7855 Yes my dia kuna kitu apo chatakikana so please tujifinike na Damu ya YESU KRISTO.

    • @fajarfajar7855
      @fajarfajar7855 3 ปีที่แล้ว

      @@titinmbega4128 haaa uko gulf dear haki si home hadi uchaguzi huishe 2022 yani ajali zimekua nyingi hata kama kifo ni popote but laaa

  • @salimbabz3070
    @salimbabz3070 3 ปีที่แล้ว

    Mwaka umeingia kafara bado

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 3 ปีที่แล้ว +7

    These demons want sacrifice

  • @stepm2505
    @stepm2505 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu

    • @kenyamoja755
      @kenyamoja755 3 ปีที่แล้ว

      Africans never learn a lesson. Africans the only warning they take is seriously is law batteries

  • @carolynchege384
    @carolynchege384 3 ปีที่แล้ว +2

    Wah 🙄

  • @winniewayesu6876
    @winniewayesu6876 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngai 😭😭

  • @phyliswanjiku3445
    @phyliswanjiku3445 3 ปีที่แล้ว +2

    What's going on here

  • @abdallahjuma1755
    @abdallahjuma1755 3 ปีที่แล้ว

    Zamani ilikuwa Kila mwaka kuna chwaa ngombe apo likoni...

    • @princeshadrak2310
      @princeshadrak2310 3 ปีที่แล้ว +1

      So this time round hawaja chwa ngombe thats why hii shida imetokea ama???

  • @maimunaabdalla7146
    @maimunaabdalla7146 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo kubwa afrika nikufungiya jicho kitu unakiona unajitiya hukioni,hukisikii.tuache kujifanya hatujui shida ya kivuko soote tunajua mbona mnafungiya macho kitu mnajua???sipendi kuwa mnafiki mimi.mtajua wenyewe.shahada ni mara tatu..,na shahada mbili hizo zimekamilika je mwangojea ya 3???????

    • @jobjobhazard2
      @jobjobhazard2 3 ปีที่แล้ว

      SubhannaAllah ya Allah, Mwenyezi Mungu atunusuru na majanga km haya ya Rabb na safari zetu ya Rabb🤲twaziweka mbele yake.

  • @raymondongus1404
    @raymondongus1404 3 ปีที่แล้ว +3

    This place has a high concentration of demons.

    • @jobjobhazard2
      @jobjobhazard2 3 ปีที่แล้ว

      Yes na imeshindwa kabisa.

  • @Mohamed-un4bj
    @Mohamed-un4bj 3 ปีที่แล้ว

    So sad

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 ปีที่แล้ว

    Kwani siwatoe ilo kafara hao wazee wamila wakate hiyo ngombe ili usalama upatikane huyo nishetani anatafuta bado hajapata akipata wakulingana nadamu yake kwisha undoeni izo mila zakina babu acheni mambo ya uzungu mwingi watu watakufa

  • @stellahmiles2369
    @stellahmiles2369 3 ปีที่แล้ว +1

    OMG

  • @aishaasumany561
    @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

    Ngojeni siku ferry lkizama kama mv Nyerere ndio Mtajua umuhimu wawatu walikoni ferry

    • @mustafarashid2484
      @mustafarashid2484 3 ปีที่แล้ว

      Allah asitujalie na dua yako mbaya,ama kwa vile haushi Likoni.

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

      @@mustafarashid2484 Minavuka kira siku sasa niseme nni kama hawatujali Tufanye nini na wengi niumaskini watusumbua ndio mana Navuka kira siku

    • @mustafarashid2484
      @mustafarashid2484 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaasumany561 hapo sawa ila nkuulize waishi Likoni ya wapi pengne we ni jirani yangu?

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

      @@mustafarashid2484 Niko msikiti nuru

    • @mustafarashid2484
      @mustafarashid2484 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaasumany561 me nko mtaa wa makaa ww ni jirani yangu,0784740413

  • @peterwaywela896
    @peterwaywela896 3 ปีที่แล้ว +1

    Wazee wa kaya walete mbuzi watoe kafara bure naona miungu inawinda damu.

    • @morineopana8991
      @morineopana8991 3 ปีที่แล้ว

      Only God not gods

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 ปีที่แล้ว

      mbuzi gani wewe, What kind of sacrifices are you offering to demons in return for human safety. Those cars have brake problems as well as sometimes the asphalt in kenya ferry is very slippery for a vehicle with poor breaks

    • @peterwaywela896
      @peterwaywela896 3 ปีที่แล้ว

      @@deepsea2141 Huelewi Pwani wacha tu

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 3 ปีที่แล้ว

      @@peterwaywela896 mimi mpwani halisi kukuliko. Mimi ni mwanati mwenyewe, what are you talking about. Uchawi na kafara iko kila mahali na kwa kila jamii/ kabila

  • @fahimkhariff7020
    @fahimkhariff7020 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa puyanga tena

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    mkifika feri muite damu ya yesu

  • @jobjobhazard2
    @jobjobhazard2 3 ปีที่แล้ว

    Nyinyi mna dislike ni nini shida yenu? 🙄🤷

  • @janewairimu5809
    @janewairimu5809 3 ปีที่แล้ว

    😩😩😩

  • @fatmamdigo1848
    @fatmamdigo1848 3 ปีที่แล้ว

    Fanyeni mpango muweke vyuma vikali vyakuvuwia hatari kama izo jamani musiseme eti madereva ndio wasababisha itakuwa aija saidia ktu watu wapoteza maisha...imagh fikiria atakae kufa akiona ninani? Ujinga uyo mzee anaongea..

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 3 ปีที่แล้ว +2

    OMG