Trela limebingiria na kutumbia kwenye Bahari Hindi katika kivukio cha Likoni
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
- Shughuli za kuliopoa trela lililotumbukia kwenye bahari katika kivuko cha likoni inaendelea kwa sasa. Maafisa wa shirika la Huduma za feri, shirika la coast guard pamoja na jeshi la wanamaji Wanaendeleza shughuli hiyo. Trela hiyo ilitumbukia baharini leo alfajiri
This place needs a lot of prayers sio kawaida, nguvu za majini zi shidwe katika jina la yesu
😂😂😂Yes I see we are Africans and we are ever superstitious.
Hakuna mashetani ...we africans should wake up na tuache kungaanisha kila kitu na mashetani ...serikali iamke irekebishe hio sehemu
@@georgethiongomathenge5366 So true safety measures should be taken to adress on the issue...Accidents happen anywhere
Blood of Jesus Christ cover this place 🙏
This guys has to be paid wel for they're there more than navy...may God see you guys through, the government negligence to act since same incidents happens now n then...kazi Yao ni kuimba BBI,may God replace self-centered leaders with caring leaders
Kweli
Ameen
Uwabariki hao vijana mungu wangu wako na moyo wa utu barikiweni sana vijana kwa kuwaokowa watu
Asanteni sana langu mm ni kusema iyo sehemu iliyo teleza gari ilo nipajegwe kizuwizi pabaki semu tu ya kuweka ilo baba lafehri pekeyake Alafu Pia kann watu wako naharaka ya kutoka bio kwanini watu wasifugiwe Mpaka magari yaishe dio watolewe please lagu niobi tu Asanteni
Mbona hiyo hpo kwenye Ferry pamegeuka Chuma ulete😪😪😪😪😪
What is happening really need powerful prayer
Mapepo yamejaa majini maombi muhimu
How can you call black man's foolishness 'mapepo'.We are living in a continent of men and women with black sense who can't think beyond their ass whether learned or not.
Kenya ferry employe these young men that r always ready to volunteer....n use minimal to no equipments to save lives surely
I speak the blood of Jesus within that place
Shetani ashindwe 2021 has just started na balaa
Fanyeni marifa serekali mujenge ili gari zipate kizuwizuwi chakuzuwia hatari izo..akuna lisilo wezekana fanyeni maarifa apo ferry
Hapo fery kunahitaji marekebisho haiwezekani kila wakati ajali tu
Matokeo ya kidato cha pili
Watu wafanye maombi kw pamoja
Ferry ferry unatakaje?live us alone hatutaki kuishi ndani ya maji enough plz
Shetani ashidwe watu hawatakufa Tena kwa hii ocean God have mercy on us
Amen 🙏🙏🙏
He will never have mercy with men and women who keep making foolish choices and decisions when voting in idiots into positions of power. Enjoy the ride bro
Cant they see what other developed nation has done to promote safety in ferry service...its as simple as bricks and cement and thats it
Strong prayers needed
𝑺𝒂𝒎𝒆 𝒑𝒍𝒂𝒄𝒆🤨😒
Zimeanza kudai damu na sio uongo
thank God the driver had already left the vehicle
Hapo hatari kweli
God have mercy
Ukiomb usisahau kivuko cha ferry Mungu apinge hizo vitu za kishetani..
Maombi muhimu machafu yamezidi Bali njanga la corona
What is going on wow God have mercy
Mbona wasitengeneze barrier za kuzuia gari kuingia ....
Hawana hela
@@thevineyard7149 hawana hio akili...
@@johniemarsha1561 true we are living in a continent whose leaders are intellectually barren men and women with black sense who can't think beyond their ass.
Hii imekua to much wallai. Duuuh mungu atuepushie balaa. Kenya kunanini
Yes is true Ata watu wamesanganyikiwa siku hizi. Kuona mambo mbaya. Kusikia mambo mbaya.....!!???
Derever alipona?
Hao coast guards mbona hawazingumzi ni ma hustler tu
🤣🤣🤣🤣🤣
Whats up with that place???something need to b done,,maombi kwa wingi.
Hyo green hpo Gari kwann isiteleze
Something needs to be done in likoni
Somethings wrong
Likoni ni chuma ulete this too much
Sadaka ya daraja mpya exactly
kunani ferry jamani , Mungu atusaidie.
what happend to building bridges initiative
Hawawezi shughulikia wakenya
Kila siku Kenya 🇰🇪 ferry Èvery day accident 💥
We call upon the blood of Jesus Shetani ashindwe kabisa
Kuna shinda
Eee mungu simama nasi
𝑯𝒊𝒊 𝒏𝒊 𝒉𝒂𝒕𝒂𝒓𝒚 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒅𝒂𝒉
Shida ni hela ..
Ziko wapi..
Wafanyakazi wako ..
Hawana mapato!
Governor wapi wewe..
Toka njeeee
Toka njeee
Wapi Atwoli!!
Kila siku likoni😳
Shetani ashindwe
Kwani hii iko na mda hani ? Mbona huyo jamaa anasema ningeomba serikali iweze weka daraja
Wakenya wenzangu kueni makini na hapo mahali ,hapo ferry Pamekua chuma ulete
😢😭😭😭😢
Maombi yanahitajika hpo sio kawaida
Huwanatamani kufika likoni but vituko naona kila kujao, ni basi sitaki tena wacha nibakie kwetu bara.
Hahaha dada mimi ni mbara na nimeolewa na mkost na kwao ni kaloleni but tumenunua plot ukunda lazima tufunge feri karibu kwangu kama hutaki kuja anyway kifo ni popote
@@jansidorkas2749 kabisaa dadaa
@@aishaabdallah4560 Yeah ni kweli kifo ni popote sasa hivi mimi niko saudi arebia bwana ako kenya na watoto na lazima tufunge ferry tu ndio tufikke kwetu
utakufa huko huko pia, Hautaishi milele
@@jansidorkas2749 hata mimi niko Saudi
Bahari ina njaa
Kenya ferry doesn't hv cctv in their premises. Cz they don't show us cctv footage what happened, so that we can learn from our mistakes.
They have CCTV.
Come see the Nigeria ferry n see the difference...
@@eacoincmubiru5894 only for formality they don't show us the footages
Kwani kuna mini kwa hiyo maji??? This is very sad
Inatafuta kafara,it's spiritual.
@@evalunajohannes2382 😂😂😂😂
@@evalunajohannes2382 bahari kuna wakuu ambayo ni jini na lazima wasanabishe ajali
Kwani mutashinda mkiwalaumu drive
Always?Whats not happening?
Afadhali daraja lamagari hapa wameeka majini yao yanatafuta mwaka ushaingia
kabisa
Kuna nini huko kwani
Ati watumiaji feri hawafuati kanuni
Uhuru uyo unalipa deni freemason ajali zimezidi sasa uhuru nibasi tumechoka
Kabisa
ayyy tena
This is not normal, something is happening
Wanafaa kuweka bamsi
Apo panaitaji maombi kilasiku ajali ajali
Hii handshake ama ni hasla nation imeconfuse madereva. Likoni has been here for decades. Why now?
This place is cursed
Gava do something
duh sina usemi
Serikali ya banana 🍌 Republic
Ama ni ghost 🤔
Yaaah unajua watu wengi wamekufia ndani so mapepo zao ndio zinaitana ....
Lakini nashangaa na wapwani kushinda wananungunika kila mara. Mumejengewa floating bridge hata mwezi hujaisha na musharudi kwenye ferry na mnataka serikali ijenge daraja nyingine hapo kivukioni, sasa nyinyi mnataka nini lakini! Watu wengine hawatajengewa kitu isipokuwa ninyi tu?
Daraja mwisho ni saa kumi na mbili jioni...alafu kama meli inapita inachukua one hour ndio raia warudi kupita kawaida
This place is not good
Matokeo ya kidato cha pili