Joho has slept in his job for the last 5yrs he has done completely nothing, leave alone the fire accidents, the sewage is broken in the entire Mombasa county and it runs all over the city. It's a mess!
Wajua sasa haloo?!....uswahilini nyumba hujengwa pasipo mtizamo wa barabara si old towni tu watamu village shida Na fire Ni hzi hzi sasa Hakuna kulia Na serekali nikujenga Na kutizamia njia za gari...... uisilamu wasema unapo Jenga nyumba acha pia nafasi ya Hewa Hilo pia haliko bado pia kutaombwa serekali wasaidie Na Hewa,katizame maghorafa ya majengo mitaani ndo utafahamu vema
Poleni Ndugu Zetu Wa Old Town, Lakini Bahari Yote Mnayo Maji Yata Kosaje Jameni 🤔🙆♂️😢❤️❤️🇰🇪
Kama hauna la kusema carol afadhali unyamaze inshallah sisi watu wa old town tuko na mungu bahari nenda wewe ukaogelee
Poleni ilamoto wa Gus hauzimwwi na maji inatakiwa Fire extinguisher kuwekwa kama akiba ndania ma nyumba zindukeni jamani
Poleni Jamani serikali kizembea tuu 🤔🤔🤔
UDA HAS DONE IT AGAIN,RUTO IS CAPÀBLE OF DOING ANYTHING SO THAT HE CAN GET A CAMPAIGN AGENDA,POLENI SANA WANA OLD TOWN
Poleni sana😭😭😭😭kura tano zimenda
Inna lillahi wa Inna ilayhi raji'un😢😢😢
Waah!!! pole sana
Mmmh innalilah wainalilah rajiun 😭 😭 😭 Mungu awa rehemu walio tangulia reserekali yetu jaman
Joho has slept in his job for the last 5yrs he has done completely nothing, leave alone the fire accidents, the sewage is broken in the entire Mombasa county and it runs all over the city. It's a mess!
Alafu anafunga barabara ....shida juu ya shida
The place is congested.hamna barabara ya magari kupita,its abt time kutafuta suluhu ya barabara
Wajua sasa haloo?!....uswahilini nyumba hujengwa pasipo mtizamo wa barabara si old towni tu watamu village shida Na fire Ni hzi hzi sasa Hakuna kulia Na serekali nikujenga Na kutizamia njia za gari...... uisilamu wasema unapo Jenga nyumba acha pia nafasi ya Hewa Hilo pia haliko bado pia kutaombwa serekali wasaidie Na Hewa,katizame maghorafa ya majengo mitaani ndo utafahamu vema
INNALILLAHI WAINA ILEHI RAJIUN
Pole sana kwa mukasa wa moto na kupotesa wabedwa😭😭😭
Inalilah Wa Inalilah Rajucun
Inalilah wainailahi rajiun ! Poleni sana familia
JOHO tosha !
Serekali hakuzembea cz barabara zenyewe gari hazipiti mukiambiwa mukunduwe barabara itakuwa nvp
Nani atavunja nyumba yake bure muwalipe
Innalilahi wainna ilaihi rajiun