KIKAO CHA WAJAWAZITO WITH GLADNESS KIFALUKA - EPISODE 10

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" TH-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

ความคิดเห็น • 34

  • @user-sz7fj6ll5y
    @user-sz7fj6ll5y 23 วันที่ผ่านมา +10

    Ipo siku mungu utanipitisha apa na utanipa furaha namm kumshika mwanangu❤

    • @Munira-s3x
      @Munira-s3x 22 วันที่ผ่านมา

      Amina

  • @rehemalusindengawa5186
    @rehemalusindengawa5186 23 วันที่ผ่านมา +11

    Uyo mdada usije ukamuacha anamoyo sana kujitowa kwa moyo sikitu rahisi 🙏

  • @JacquelineJoseph-m2c
    @JacquelineJoseph-m2c 23 วันที่ผ่านมา +11

    Mungu wape heri ya milele wamama wote duniani sio rahisi asee🥹🥹🥰

  • @AnnaPatrick-vc7in
    @AnnaPatrick-vc7in 22 วันที่ผ่านมา +9

    Huyo dada nimempenda sana anajua nn maana ya kumsindikiza mzazi walah

  • @mwanaharabu82
    @mwanaharabu82 22 วันที่ผ่านมา +4

    Ila Glad 😅 fyaaaa fyaaa 😂 eti kelele sitaki 😂😂.
    Heshima kwa wamama wote Duniani.
    Huyo dada km ni rafiki yako mshike sana na km ndugu yako pia mshike sana na mzidi kuombeana upendo wenu udumu 🤲🏽

  • @blackeagle4441
    @blackeagle4441 23 วันที่ผ่านมา +3

    😅😂😂fyaaaaa fyaaaaaa😆🤦🏽‍♂️🙆🏾‍♂️God protect my mama ❤️🙌 ila doctor anamoyo m ningecheka mbaya😂🤣😆

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 23 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂😂😂eti tumbo linatuna linauma,Mungu muweza wa yote aliweka kusahau tunarudia nakurudia

  • @LucyanaInnocent
    @LucyanaInnocent 21 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu dada abarikiwe

  • @user-dq1pk7cj2b
    @user-dq1pk7cj2b 23 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu wangu upewe sifa wambinguni

  • @MaryTesha-ke6hp
    @MaryTesha-ke6hp 23 วันที่ผ่านมา +2

    Daaah yan kama mm mwanangu uchungu ulikuja kwa kutapika kama hvyo nlivyotqpika tu njia zote zikafunguka,,,

  • @elinamethod9298
    @elinamethod9298 21 วันที่ผ่านมา +3

    Grady hivi ulimpa zawadi gani huyu dada ukiachana na mshahara uliokuwa unamlipa

  • @CharifaRachidi
    @CharifaRachidi 12 วันที่ผ่านมา

    Jaman uchungu unauma amna ata cha kufananisha nacho kwa kweli

  • @MariamJumanne-ri1mc
    @MariamJumanne-ri1mc 9 วันที่ผ่านมา

    🤣🤣eti fyaa 🤣🤣🙌🙌

  • @michaellagwen8198
    @michaellagwen8198 21 วันที่ผ่านมา +1

    Maji yanatoka ya moto fyaaaa mie hoi😂😂😂

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kupitia glady nimejifunza vitu vingi sana

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w 8 วันที่ผ่านมา

    Sina kumbukumbu😂😂😂😂😂😂weee😂😂😂😂😂😂

  • @SiahMtaita
    @SiahMtaita 22 วันที่ผ่านมา +1

    Apo kwenye kausingizi kauongo kulaleki dk5 nyingi mbona nilingia leba uchii uwiii looh Mungu huyu

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w 8 วันที่ผ่านมา

    Kojoa to😂😂😂😂😂

  • @Mariamsalim-m2v
    @Mariamsalim-m2v 23 วันที่ผ่านมา +1

    Inachekesha lakini pia navuta picha ulipokua wakati wangu mungu ni mkubwa kwa kweli

    • @Mariamsalim-m2v
      @Mariamsalim-m2v 23 วันที่ผ่านมา +1

      Raha ya kujifungulia hospital za pesa wanakuangalia vizuri yaani hapo ni pole nyingi tu

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 23 วันที่ผ่านมา

    Kuzaa kazi mm sitaki hata kusikia uchungu wa kuzaa haufananishwi na kitu chochote dadek, hata roho ikitoka sidhan kama inafikia uchungu wa kuzaa

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 23 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa kurecord usiku huu mnakuwa mmejipanga na sereka yote hiyo??

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 23 วันที่ผ่านมา +1

    chezea machungu huo dada nimempenda

  • @zulphasaid959
    @zulphasaid959 14 วันที่ผ่านมา

    Mmh hapo hadhi ya hospitali uhusika na hela inaongea wallah uwe hauna hela ila uchungu sio poa unaweza geuka spider man

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ukitapika unakuwa unavunja chupa kwa njia hiyo

  • @getrudandihabi4073
    @getrudandihabi4073 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kelele sitaki😂😂😂😂

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo kutapika ni kuvunja chupa mdomoni

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 23 วันที่ผ่านมา

    Pole kipenzi utapona

  • @sabrafoward725
    @sabrafoward725 21 วันที่ผ่านมา

    Fyaa fyaa😂😂

  • @user-sz7fj6ll5y
    @user-sz7fj6ll5y 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie ela ndio kilakitu yani unazaa raha😢

  • @sabrafoward725
    @sabrafoward725 21 วันที่ผ่านมา

    Apo anapobinya tumbo inaumaa nyiee 😢

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 23 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂eti tumbo linatuna