TAZAMA JINSI BI MWANAHAWA ALLY ALIVYOINGIA UKUMBINI USIKU WA ASANTE MWANAHAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 49

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 3 หลายเดือนก่อน +7

    Sijali muyasemayo enyi walimwengu, natenda niyapendayo kwa Raha zangu❤❤❤❤

  • @Fondo0
    @Fondo0 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jembe Gumu! Mama deserve an award 🎉

  • @FattiHassan
    @FattiHassan 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mashaallah mwanahawa Allah akupe wepesi inshallah Allah utakuwa vzr inshallah Allah

    • @baloz8974
      @baloz8974 3 หลายเดือนก่อน

      Amin yarabi

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 3 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani huyu mama anastaafu bado amnasauti nzuri mnoo

    • @LevinaMiteo
      @LevinaMiteo 3 หลายเดือนก่อน +3

      Nikajua nime tyuu near isikia sauti tamu hii nyimbo kwa Raha zangu naipenda❤❤

    • @biommy6700
      @biommy6700 3 หลายเดือนก่อน

      Umeona eeh

    • @mathewsochieng3335
      @mathewsochieng3335 3 หลายเดือนก่อน +4

      Mola amzidishie umri uzima na afya Mama Mwanahawa Ally

  • @jamilaseif3465
    @jamilaseif3465 3 หลายเดือนก่อน

    Ma shaallah bi mwanahawa nakupenda sana Allah akuweke ❤

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤ mashalla uko vizur unasitahili kupewa tunzo yaan uko vizur na kuzeeka kwako

  • @mercymwende8116
    @mercymwende8116 หลายเดือนก่อน

    Much love from kenya ,mamaa🥰🥰

  • @yasminsakina7668
    @yasminsakina7668 3 หลายเดือนก่อน +6

    More love to my mummy mwanahawa ally

    • @lonnmutta2073
      @lonnmutta2073 3 หลายเดือนก่อน

      sure much love to mum

  • @AshaHaji-cx9kg
    @AshaHaji-cx9kg 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanahawa aliy bado uko vizuri wastahik tuzo

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy 3 หลายเดือนก่อน +2

    Da Zamaradi unewezaaa❤❤❤

  • @baloz8974
    @baloz8974 3 หลายเดือนก่อน

    Sauti kama mwari wa miaka 16 mashaAllah .hongera mama miaka 100 .

  • @AshaOmarimkonge
    @AshaOmarimkonge 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mama hatari Allah amfanyie wepesi insha allah

    • @fifo262
      @fifo262 2 หลายเดือนก่อน

      Anina

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nampenda mwanahawa sana

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama upo vzr sn hakuna kukatanmauno mpk raha sauti manshallah

  • @KhadijazabronMwajombe
    @KhadijazabronMwajombe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah😊😊😊

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh 2 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah

  • @FATMASAGAFU
    @FATMASAGAFU 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila sasa umriii Rudi kwa allah

    • @HanifaMtakila
      @HanifaMtakila 24 วันที่ผ่านมา

      Kwan kamtukana mungu apo

  • @NewNew-ep5dq
    @NewNew-ep5dq 3 หลายเดือนก่อน +2

    Anasauti nzr kushinda mm kijana mdawote nawaza vikoba sauti nitaipat wapi, 🤣🤣🤸🤸🤸💃💃💃

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @DaudiKigembe
      @DaudiKigembe 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @FarashuuMohdAli
    @FarashuuMohdAli 3 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri

  • @hamisaabdalah6232
    @hamisaabdalah6232 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zamarad umeweza

  • @FarashuuMohdAli
    @FarashuuMohdAli 3 หลายเดือนก่อน

    Mama uko vizuri

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 3 หลายเดือนก่อน +1

    comment zote mama uko vizuri sijaona hata ya huruma kwa waislam lakin mtu anaingia ktk kunbi hali tete badala ya kusikitika awache tena mziki haram bado mnamshindilia sifa mnanini nyie wasabasi

  • @MkundeLugula
    @MkundeLugula 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @Ali-gq3fb
    @Ali-gq3fb 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu ndo malkia wa taarab afuate Sabah salum alafu ndo Hadija kopa

  • @Isha-p7q
    @Isha-p7q 3 หลายเดือนก่อน

  • @hotelierlifeinzanzibar2502
    @hotelierlifeinzanzibar2502 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nafanya Kwa raja zangu

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 หลายเดือนก่อน

    🙏👍

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jina la huu wimbo please

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwaraha zangu

    • @baloz8974
      @baloz8974 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa raha zangu .

  • @fifo262
    @fifo262 2 หลายเดือนก่อน

    Mwisho wa maji ni tope

  • @ShabanMainde
    @ShabanMainde 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mshono na umboo😅

  • @khatimabdallah8143
    @khatimabdallah8143 3 หลายเดือนก่อน +1

    ushakuwa hata kutembea mpaka ushikwe mikono we bibi mrudie mola wako

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 3 หลายเดือนก่อน

      Kunakipindi aliugu,maradhi nayo😅😅

    • @allymbaya6411
      @allymbaya6411 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hana umri mkubwa hivyo wa kushindwa kutembea ni maradhi tu hayo ndio yamemdhoofisha

    • @MuhsiniOmari
      @MuhsiniOmari 3 หลายเดือนก่อน

      Tunatakiwa kumrudia wote allah

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 3 หลายเดือนก่อน +4

      Hata wewe umrudie Mungu una makosa kibao na hujui lini utakufa sote kumrudia mungu ni wajibu wetu sio wazee tu mana kifo hakina mzee wala mtoto

  • @ZuwenaIssa-di5yy
    @ZuwenaIssa-di5yy 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @ZuwenaIssa-di5yy
    @ZuwenaIssa-di5yy หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤