Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri TAZAMA DIDAH ALIVYOINGIA KAMA MALIKIA KWENYE KIBAO KATA #Bonatv #Exclusive #didah
Make up mbaya. Hongera kwa kuolewa. Allah awadumishe na awape furaha na utulivu in sha Allah. Ila mpambaji wako sio mzuri. Ungepata makeup artist wa zarina mzuri
Mabrouk didah Allah awape masikizano na mumeo nguo nzuri mashaAllah ila makeup amekukosea sana wote ni wivu huo ww c mbaya hata kidogo napenda michambo yko
Yaaani kwakweli Binadam sasa awo wanafanya nn hapo au ndo wakina bwana Harusi 😂🤣😃😁😁nimecheka kama mazuri Yaani tunashindwa kuwangalia Bi Harusi tunaangalia wasimamizi tu
mmh shoga duh acha tu na cc leo tukupe vipande vyako kama vile na ww unavyotupatiaga kiukweli hujapendeza uongo mbaya alirkufanyia makeup kamuombe pesa yako ama ni sura yako ndo haitaki makeup duh hujadamshi hata kidogo..labda gauni2 lakn na lenyewe co xaana...ila nakurakia maisha mema na yenye furaha tele🙏🙏🙏
Wangapi tuko apa bada ya siku chache dida kufariki😢😢😢
Niko apa ndugu😢
Hakika tuna machungu makali
😭😭😭😭
Alipendeza sana dada yetu, mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
Ma sha Allah kapendeza Allah amjarie kher na hakadubu kwenye ndoa iyo in sha Allah ❤😍😍😍😍
Kabisa Mungu amtangulie mara 100
Mashallah mungu akulinde katika ndoa yenu da didah akee hongra Sanaa👑👑🙏🏻🙏🏻💞💞
Nkumiss didah 😢😢😢
Duh kweli Dunia tunapita 😮
Mashaallah mashaallah diiiidaaaa nakutakia maisha meeemaa
My fan Mungu aitangulie hrc yko
Maa shaa Allah mungu akujaalie ktk ndoa yako habibty
Allah akupunguzie adhabu za kaburini
Make up mbaya. Hongera kwa kuolewa. Allah awadumishe na awape furaha na utulivu in sha Allah. Ila mpambaji wako sio mzuri. Ungepata makeup artist wa zarina mzuri
mbaya sana
Au yule anae make-up darleen
@@zenaramadhani5958 yes
At nywele sijapenda mungu akujalie ndowa ya kheri ukatulie uko uendako
😂😂😂😂😂😂😂😂@@zenaramadhani5958
Hii imeisha tusubiri nyingine... maana mwenzetu kila siku yeye bibi harusi🥰🥰🥰
Inshaallah da dida mungu akusimamie kwenye ndoa yako inshaallah🙏
Amependeza atar
Dida ametokerezea
My hyo make up au jivu
Innlillah wainna illah rajioun 😢
Sijui mi ndio mshambaaa nguo mikoro koro mingi
😅😅😅😅😅😅😅😅
Namma pia mshamba nguo mbayaaaaaa tena aieleweki mikono Wala miguu jamni nguo mbayaaaaq
😂😂😂😂
Nguo za special occasions lazima ziwe na makorokoro uwe tofauti na wengine
Libaya kweli
😢😢😢daaahh kama upo hai vile
Jmn nakumbuka ilikuwaga birthday ya warda makongwa alimtunza warda gari walikuwa wanapendana sana pole warda
Kapendeza mashaallah 🌹🌹✌🏻gaun zur snaaa👌👌👌👌👌👌
Mbona hao kina Mama wa mgauni ya njano wamependeza kuliko Dida
Kapendeza' bana
Sio kwel dida kanoga zaid❤
We dida kanoga jamani ❤️❤️
Kweli asa so kwame kup io
Kapendeza mashaallah 😘
Alifalah
Alipendeza sana
Maashaalla mwez mungu ailinde ndoa yako idumu
Amin
nampenda sana dad huyu jamani 😭😭😭
Mashaala yaani kumbe na mienya 2 nitapendeza
Dida nivile alghamdulillah umeolewa hongera bt kuh kupendeza huna siku ulopebdeza huna maji ya kupendeza
😂😂😂
Aiseee maish ni mafupi leo hatuko nae 😢😮
Mtu mzima angelivaa nguo simple tu imezidi madesign mengi mpaka imechafuka.
Gauni linagazibisha watu🤣🤣😂😂kazi wanayo 🙌🙌
Yaani,khaaa
Kisha kazi kubwa😁😁😁
Jaman mama muheshimiwa mashaallh
Mashallah amependeza Sana kilalakheri kwenye ndoa yako dada
Wah
Duh kapendeza Mashaallah lakini haikutegewa hii ndoa kama itavunjika kwa muda mfupi hivi
Mashaallah dida humependeza sana
Designer anajua mbaka anaboa.umenoga dida wangu
Mashaallah Dida
Mashalaah dida kapendeza sana.🥰🥰🥰
Mashaallah mashaallah kheri ikawe mashaallah
Mmm fantastic🤣
Gauni zuri Ila linaazabu sana
Hamependeza manshalha
Sura ya kawaida sana
Makeup ishaanza kugoma
@@ppesampingo9042 😀😀😀😀😀😀😀😀🙌🙌🙌
Ukizowea kujipamba siku ya harus huna jipya cz tushakuzowea
sio kuzoea kujipamba voo' iyo sura binafs ishakomaa watu wanajipamba hum na cku ya harus yke binafc unauliza watu yule nan?
@@rehemasalim4590 hata uzee nao umeshamvaa! Kwani unaogopa nini kusema ukweli?
Maashaallaah umependeza sana
Nimelipenda tyu gauni lake tyu bac,usoni mhh
Kwel gauni tuu
Mmmwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah mrembo
@@lucyhusein4043 umeona eeeh
Mungu akuufanyie wepesi huko uliko
safiiii
Maa Shaa Allah Allah awajaalie ndoa yenu idumu na vizazi vya kheri inshaa Allah
Sasa mabamsa wa kaz gan ,Au kaiba bwana
Mabrouk didah Allah awape masikizano na mumeo nguo nzuri mashaAllah ila makeup amekukosea sana wote ni wivu huo ww c mbaya hata kidogo napenda michambo yko
Sa hawa wanaume ndio wasimamizi wa bi harusi
Umependeza dida mashaallah
Me nimeona ana maziwa ya mgongoni 😂😂😂
Kapendeza kweli kweli dah hilo gauni si unajenga nyumba ya vyumba viwili
Hhhhhhhaaaaa
Naona uso bado hujapendeza ata kidogo
Anasura nzito sana haikubali hata make up ila ukimuona kwenye Instagram sasa kama mrembooo🤣🤣🤣
@@hamidayanga8224 😂😂😂
Natamani kukoment ila bas nimekanseli
Mashaalah mungu awafanyie wepesi alhamdulilah
Dida umependeza sana Mungu awatangulie kwenye safar yenu ya ndoa
Mmmh
Amin
Honger kwa ndoa ya tatu
Didaaaah hongera nikikumbuka michambo yako mm hoi
Mawifi wanaojifanya Wana midomo watakoma maana dada huyu anachamba hatar
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tuseme tu ukweli kwamba ni ndoa ya tatu , na yuko hivi, kajitahidi sana Dida! Ikawe heri na mumeo mwanawane!
😢😢😢😢Rip dida
sura ishaenda kuzimu Ata aujanoga uson
🤣🤣🤣🤣
Nguo mbaya jamni aijulikani mikono Wala miguu
Masharah
Tatizo huyo mtangazaji anaongea mpka anaoshiwa maneno kaaaaah🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona ee
Kabisa
Gauni nzuri lakini mpapaji wako kanibwaga😊
umeonaaa sura kachemsha mno kumpamba
Ongera mway
Make up noooooo..... dress😍😍
Wewe Dida, Esma,Benn poll mmechafua mwaka 2021 Katika Dunia ndo ndoa zilizojulikaka kwa michango na kuvunjika haraka
Allah aijarie kheri ndoa yako ukawe mke bora
Amependeza sana dida wa kumbi la moto
Kweli i mean
Nanyie tumeni siku ya ndoa yenu mlivyokuwa mmekaukiana Kama miogo yawekana ata ndoa aujawai kuaidiwa hata uongo au
Hhhha
😁😁😄😁😁😁
Umependeza sana sana
Umependeza
Binadam wa baya et hajapendeza dida umependeza momy
Mek up si mbaya ila sura ndio mbovu
Mashaallah👰
Umependeza my
Haya mango ni mtihani mkubwa yarab
Namshangaa hata mimi mwenzio
Designer anajua mbaka anaboa.
Pendeza sana🥰🥰🥰🥰🥰👍
Yaaani kwakweli Binadam sasa awo wanafanya nn hapo au ndo wakina bwana Harusi 😂🤣😃😁😁nimecheka kama mazuri Yaani tunashindwa kuwangalia Bi Harusi tunaangalia wasimamizi tu
mmh shoga duh acha tu na cc leo tukupe vipande vyako kama vile na ww unavyotupatiaga kiukweli hujapendeza uongo mbaya alirkufanyia makeup kamuombe pesa yako ama ni sura yako ndo haitaki makeup duh hujadamshi hata kidogo..labda gauni2 lakn na lenyewe co xaana...ila nakurakia maisha mema na yenye furaha tele🙏🙏🙏
Ana sura nzito haikubali make-up
Mekup nyeus mbayaaa
Duuuuh mi namuonea huruma Mke mkubwa cjui ana hali gn akiona haya yanayoendelea.
Walai tena...
Usoni ajapemdeza pia ama kwakuwa ana USO mrefu
Sio mref vo uso mztooo umejaa
😢😢😢😢😢😢
Mc Hovyo ameharibu anakosesha radha sijui kapania sanaa kaharibu...... hamezi mate
Hongera
Makeup mbayaaaaa
Bi haruc iwaongea sana 🥺🥺
Ashazoea kuolewa si mageni🤪🤪
Hajapendeza
Kwakeli hajapendeza guo la kishamba kujua sn ndo shida
Mmmmh sura hapana make up sio kapakwa makorokoro mingi simple tu mtu unapendeza
Yaani wanawake wameonekana wengi motoni kwahusda nachoyo kamaivi
Kwani mkimsifu mtachunika? Ovyoo
Mawifi mjipange huyu ni dida na nusu🤣🤣🤣🤣nampenda kwa mipasho yake
TULIORUDIA BAADA YA KIFO CHA DIDA😢
Ndio kaolewa ila sura ngumu Kama viazi vikuu
Kamuumbe ww ili sura iwe laini
Ila khaaaa wamama Hao wamependeza e e e nguo ndeefu MIKONO mlefu wamependeza
Sanaaaa
Na mawigi hhahahaha
Jamani Bi Harusi kapendeza lakini haonekano mbona hao vijana wanamzinga..
Gauni pambeeeeeee
mashaallah kapendeza hongera dd iwe kher kwako
Sasa mabaunsa walikuwa wa nini jamani? Wanaharibu picha tu