Mtazamo wa wananchi juu ya bei elekezi ya sukari

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2020
  • Wakati Serikali ikiweka bei Kikomo katika kudhibiti upandishaji holela wa Sukari hasa katika kipindi hiki dunia ikipambana na janga la Corona, wafanyabiashara pamoja na wanunuzi wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya msimamo huo wa Serikali.
    #SukariYpandaBei #BeiElekeziSukari #SukariBeiJuu #Sukari
    Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • กีฬา

ความคิดเห็น •