Saruji yaadimika na kupanda bei Mtwara, wananchi 'kilio'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มี.ค. 2018
  • Wananchi wa Mtwara wamelalamikia upandaji mkubwa wa bei ya mifuko ya saruji hali ambayo hawakuitarajia baada ya ujenzi wa kiwanda cha Dangote. Nini kimetokea? Mohamed Mwaya ana mengi zaidi.

ความคิดเห็น • 1

  • @material_liv4674
    @material_liv4674 6 ปีที่แล้ว

    du! wametunga lini? mbona majanga haya