CCM imetufikisha hapa kwa sababu ya kudhibiti upinzani!. Ukiangalia rasilimali zilizotumika na mambo yaliyofanyika haviendani kabisa!. Ufisadi na ukosefu wa haki vimekuwa ni jambo la kawaida.
Ukshaivimbiwa sembe huwezi kuona matatizo yan huyu poyoyo hajui km uchaguzi wa 2019/2020 ulibunguliwa, eti na yeye ni mwenyekiti wa mkoa hii nchi bado safari n ndefu xn.
Hongereni kwa kazi
Huyu mwandishi wa habari noma sana dah.....
Huyu Odemba angekuwa kwenye boxing ni heavy weight, punches zake ni hatari na nusu! Kuna maswali 4 jamaa karukaruka kama bisi kikaangoni
CCM imetufikisha hapa kwa sababu ya kudhibiti upinzani!. Ukiangalia rasilimali zilizotumika na mambo yaliyofanyika haviendani kabisa!. Ufisadi na ukosefu wa haki vimekuwa ni jambo la kawaida.
HAPA TUMEPIGWA HAMNA KITU
Ukshaivimbiwa sembe huwezi kuona matatizo yan huyu poyoyo hajui km uchaguzi wa 2019/2020 ulibunguliwa, eti na yeye ni mwenyekiti wa mkoa hii nchi bado safari n ndefu xn.
Mtu mzima kama huyu ukiachana na uccm wake lakini anaongea uongo haoni hata aibu😂😂😂😂
Wataanza kukimbia kipindi chako maswali magumu sana unauliza😂😂😂😂
Hongera mwalunenge kwa majibu yako mazuri wewe ni jembe kuwa na pesa siyo tatizo na wewe ni mtendaji mzuri na tumekuona kaka
Yan huyu jamaa mwanzo wa interview mpk mwisho ni tuta,yaan ni ahadi tu hakuna linalofanyika ni tutafanya hiki mara tutafanya kile