ALIKIBA ashindwa kuvumilia kauli ya DIAMOND na BABA LEVO juu ya MWIJAKU kusainiwa CROWN FM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มิ.ย. 2024
  • #nyundotv #alikiba #diamond #babalevo #mwijaku
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 27

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 หลายเดือนก่อน +2

    Wavaa vikuku humu msitutafute Team kiba tuacheni kamwe hatupotei

  • @TwalibTwaha
    @TwalibTwaha หลายเดือนก่อน +2

    Diamond Yuko good Sana kwenye maelezo Ali kiba sio mtamu kwenye maelezo na ubongo wake unasearch haraka sana

  • @RaptorTechnician
    @RaptorTechnician หลายเดือนก่อน

    Kiba hajui 😂😂😂😂😂

  • @athrahathrah7114
    @athrahathrah7114 หลายเดือนก่อน

    Hhhhh kwani wanajieleza apooo au

  • @wazirally1791
    @wazirally1791 หลายเดือนก่อน

    Kiutaratibu wa mavazi YAI haitakiwi kuibekana nyuma ukuiifunga

  • @user-zq5ld5px6u
    @user-zq5ld5px6u หลายเดือนก่อน

    Babalevoo kwa uchawaa............ unanifuhisha

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 หลายเดือนก่อน

    Kaka mbona tie nyuma haijakaa vizuri?? Kwani hauna kioo au hauna mtu wa kukuangalia??

  • @duwa5526
    @duwa5526 หลายเดือนก่อน

    Mkn

  • @huslymaarifa
    @huslymaarifa หลายเดือนก่อน

    Baba levo anakaa kama shoga anajichekeshachekesha tu.

  • @khamissaid3222
    @khamissaid3222 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa wnye wanadai kiba hajui kujieleza sio waelewa..kwnza jibu litakuja kulingna na swali.ni swali gan amblo hamuelw

    • @KanalIdrissah-dh5hj
      @KanalIdrissah-dh5hj หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉 yko Mzee we ndo umelewa kuliko wengine wanacoment ushabaki tu.

  • @Kingstyvesayjj
    @Kingstyvesayjj หลายเดือนก่อน

    Acha domo mondi kiba Baba yako

  • @kevoo_jb4952
    @kevoo_jb4952 หลายเดือนก่อน

    Kiba hana huwezo kabisa wa kuongea na kujielezea ...hii sio mara ya kwanza kumuoma akihojiwa au akiwa mbele ya umati hakuna keywords anazoongea kabisa hapa siongei kiushabiki.ila Kiba miyeyusho tu

  • @SAYFANMUSSA
    @SAYFANMUSSA หลายเดือนก่อน +4

    Duuh kiba na mond kaka zangu ila kiba kujieleza hajui kaniuzi bwana

    • @Dje-ru9wd
      @Dje-ru9wd หลายเดือนก่อน

      kaka Ali hashindani na chawa

    • @janesjackson3560
      @janesjackson3560 หลายเดือนก่อน

      Fanya maisha yako itakusaidia kuliko ubinafisi diamond alikiba wote watanzania utofauti unauleta wewe

    • @Officialmasaikhan
      @Officialmasaikhan หลายเดือนก่อน

      WEWE UNAWEZA KUJIELEZA

    • @AbdallaMpambika-bp6ub
      @AbdallaMpambika-bp6ub หลายเดือนก่อน

      Ndomana hapendagi kuongea ongea mond ndo mana halis ya domo

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน +1

      Ameingia kwenye Tasnia ya habari ajifunze kuongea bwana. Diamond kahojiwa sana na interview zote aliua kinoma. Wote tunawapenda from Kigona

  • @athumanmwambe3726
    @athumanmwambe3726 หลายเดือนก่อน

    mondi ameweka kipin au

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน

    Diamond amefanya interview nyingi sana hivyo anauzoefu mkubwa wa kuongea mbele ya kamera kuliko Dogo langu Ally Kiba bado sana anatakiwa awe anaita press conference za kutosha ili ajifunze.

  • @user-kk7re2jl8y
    @user-kk7re2jl8y หลายเดือนก่อน

    Ali kwenye kujieleza ni tatizo

  • @shamsihamadi9983
    @shamsihamadi9983 หลายเดือนก่อน

    Kiba ana akili sana anaongea kama jakaya sio huyo bwege anaropoka tu