BABA LEVO AFUNGUKA BAADA YA KUPATANA NA HARMONIZE "SIJAFUTA KESI NILIMWAMBIA DIAMOND, ANILIPE FIDIA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @geofreyhilmary9450
    @geofreyhilmary9450 4 หลายเดือนก่อน +2

    Balozi amezungumzia maisha yake kuliko bidhaa anayotangaza😀😀😀

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw 4 หลายเดือนก่อน +5

    baba levo unajua sana kazi yako 👏👏

  • @user-tm8lq3rc1l
    @user-tm8lq3rc1l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndo blue chawa mwenye akili

  • @AckriniSikulumbwe2000
    @AckriniSikulumbwe2000 หลายเดือนก่อน

    English ya levo bbhana

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo piga kazi mi naona una akili

  • @lodrickmwambene133
    @lodrickmwambene133 4 หลายเดือนก่อน

    Maisha sio lazima utoke familia tajiri au msomi sana nikujuwa kujichanganya na kujitoa akili nakutanguliza Mungu baba levo na mwijaku wamefanya hivi na maisha yanaenda sio rahisi mwanaume kumeza pride yako kujishusha kwa mwanaume mwenzako all the best my brother

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kubali sanaaa bimanyumba unamadini sanaaa Hua unaongea kama utani kumbe umemaliza unamadini Sanaa

  • @walengamwamaua-ws6io
    @walengamwamaua-ws6io 4 หลายเดือนก่อน

    Toka huko mtafuta pesa kwa nguvu, hujamsamea mjinga babu

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mbona hamuulizi ishu za mikataba? waandishi bwana.kuna issue za msingi kuliko personal issues.watu wanataka kujua kuhusu hizo tiles,zinapatikana vipi wewe unauliza ishu za njaaa.dah

    • @mussamalogo5640
      @mussamalogo5640 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hawa waandishi wa kibongo wanafeli

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 4 หลายเดือนก่อน

      Uandishi wa kisasa ni biashara
      Hawa waandishi wanauliza Yale wanayoona yatauza bidhaa Zao kwa wateja wao watumia MB
      Mitandaoni kufurahi

    • @Suleshmond
      @Suleshmond 4 หลายเดือนก่อน

      Mkatataba ni baina ya watu wawili sas wew ni wangapi unataka kujua kuhusu mkatataba

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 4 หลายเดือนก่อน

    Lugha sasa😂😂😂😂

  • @ISSACCECYTIN
    @ISSACCECYTIN 4 หลายเดือนก่อน

    BABU LEVO😂😂😂😂😂

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 หลายเดือนก่อน

    Machawa katika ubora wao 😂😂😂

  • @bahofufilm
    @bahofufilm 4 หลายเดือนก่อน +1

    BABU LEVO

  • @coolson2925
    @coolson2925 4 หลายเดือนก่อน

    mtu poa sana B levo baaaaaaaaaaaaa

  • @bagenihuduma1569
    @bagenihuduma1569 4 หลายเดือนก่อน +1

    B levo hao waandishi hawajakuona hiyo kola. Au wana wivu nao