DIAMOND AZUIWA KUONDOKA NA ZUCHU HOTELINI BABA LEVO AMSHUSHA MWIJAKU KWENYE ROLLS ROYCE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ส.ค. 2022
  • DIAMOND AZUIWA KUONDOKA NA ZUCHU HOTELINI BABA LEVO AMSHUSHA MWIJAKU KWENYE ROLLS ROYCE
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 34

  • @lucasmasesa8825
    @lucasmasesa8825 ปีที่แล้ว +9

    Huyu jamaa mungu amzidishie ana roho nzuri sana,anaroho ya kushea mafanikio yake na wenzie japo kama binadam hakos mapungufu ila anaroho pw

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 11 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo chawa ambae hajawai msaliti dimond wametoka mbali ila uyu mweusi kama chimvi nyingi uyu hee❤

  • @Life_of_collin
    @Life_of_collin ปีที่แล้ว +1

    That callinun smooth Sheesh !

  • @sashawambura
    @sashawambura ปีที่แล้ว +2

    Jamani jamani..Pesa ilimuuza Issa bin Mariam..

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 ปีที่แล้ว +1

    nimeona Beyonce wa tz❤️

  • @hassnsalum6709
    @hassnsalum6709 ปีที่แล้ว +1

    Mwinjaku pamoja na mwambino

  • @adamwapiliadamwapili5698
    @adamwapiliadamwapili5698 ปีที่แล้ว +5

    Leo mwijaku amepanda Rolyroys Fake

  • @muharrijdjemedari9693
    @muharrijdjemedari9693 ปีที่แล้ว +2

    Pesa shikamo🤣🤣

  • @MoiseJay
    @MoiseJay 2 วันที่ผ่านมา

    ❤😂

  • @mwanaiddi9660
    @mwanaiddi9660 ปีที่แล้ว +2

    Mwanaume wake ndo anapenda avae hivyo

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 ปีที่แล้ว +1

    Ila mwejaku

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +4

    Dah mtume s.a.w alisema miaka elfu nyuma kwamba
    "Itafika wakati maisha chini ya kaburi ni bora zaid kuliko ya duniani"
    Ndo haya dunia yote imejaa kamari

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 ปีที่แล้ว

    Pesa hiii jaman

  • @mssgaintoo4321
    @mssgaintoo4321 ปีที่แล้ว +3

    Mwijaka Yupo Upande gani Chawa Kotekote

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 4 หลายเดือนก่อน

    Leo haramu imekuwa ndo halali na Halali imekuwa ndo haramu Dunia imekwisha tumrudie Allah Mauti yanakuja Kubeti ni HARAMU kw herufi kubwa ukubali ukatae

  • @baldebalde8413
    @baldebalde8413 ปีที่แล้ว +2

    🇰🇲🔥🔥🙏🎂

  • @mwanaiddi9660
    @mwanaiddi9660 ปีที่แล้ว +1

    Da kumbe huyu jamaa ananjaa

  • @sadikimi6277
    @sadikimi6277 ปีที่แล้ว +2

    Chakula

  • @sahaleabeid6986
    @sahaleabeid6986 ปีที่แล้ว

    Chibuu,Chibudenga mob lov

  • @RIPusd
    @RIPusd ปีที่แล้ว +1

    hawa machawa wanafuraisha

  • @sharonkane8732
    @sharonkane8732 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi wasafi jamani si mumtaftie huyo zuchu fashionister anawaaibisha🤣🤣🤣

    • @mialiabdullah3315
      @mialiabdullah3315 ปีที่แล้ว +3

      Masikini ndio upapatikia mavazi wenye pesa awa jali bora aingize pesa mama upo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alafu bby wake ame ridika shida iko wapi

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว

    Me nilitaka nione hawo mabaunsa wataendelea kuyafukuzia hayo magari mpk nyumbani kwa SIMBA 😁😁

  • @S__Official24
    @S__Official24 ปีที่แล้ว +1

    Zuchu kavaa nn jaman dah

    • @rayanndizeyes3161
      @rayanndizeyes3161 ปีที่แล้ว +1

      Nguo umeona nini wewe kinyangu na wivu na kwawa toto waweziyo

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว

    Hivi huyo Mwijaku ni mwanaume gani asiyekua na msimamo kama mwanamke. Yaani YEYE na Haji Manara wana muonekano wa kiume lkn wana mioyo ya kike ya kutokua na msimamo, huku wanataka na kule wanataka.
    Yaani hawo hawafai kabisa kufanya nao kazi. Hawana ujasiri na uvumilivu wa kiume. Ni wanaume mavazi tu hawoo

    • @boxpoacher1072
      @boxpoacher1072 ปีที่แล้ว +1

      Sote twataka pesa broo, at the end of the day pesa inabadilisha maisha

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 ปีที่แล้ว +1

      @@boxpoacher1072
      Fact👍

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 ปีที่แล้ว +2

      Ujasiri ni kupata pesa kuneemesha familia, kung'ang'ania sehemu za njaa kwa ajili tu ya kufurahisha na kuneemesha wasio na faida kwako ni uzoba.

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว

      @@boxpoacher1072 aah boy sio kwa staili hiyo ya undumilakuwili mara kwa Harmonizer mara kwa Diamond, mara kwa akina Hersi mara kwa akina MO Dewji.
      Mbona akina Juma Lokole au Baba Levo hawana kieleele hicho na Pesa wanapata.
      Maana hiyo tabia ya hivyo baadae itamcosti ujue, ataonekana hana maana