"One proof is sufficient for the seeker of truth, but 1000 proofs are not enough for the person of desires." - Shaykh al-Albani RA Allah tuepushe na ushirikina na washirikina wenyewe
Sisi tushaelewa bana kwamba tauhiid ina Vigawanyo vi hao masufi wasio elewa waache hivyo hvyo kujitoa fahamu alafu hao hao utawaona wakifundisha fiqhi utawasikia wana sema masharti ya swala ni 9 wapi kwenye Qur’an yametajwa??
Wewe Shekhe wa kupotosha na wakuhongwa vijipesa vidogo vidogo Sheikh Fawzan si Mtume SAW, leteni Dalili ya moja kwa moja ktk Quran au Hadithi Swahihi kutoka kwa Mtume SAW inayosema ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم mas'ala ya kubambanya kwa wanazuoni ktk Akida Tauhid hayo sio Dalili, nyinyi mawahabi mas'ala ya Maulid tu ambayo ni ktk kusifiwa Mtume SAW mwataka Dalili itoke kwenye Quran au kwa Mtume SAW mwenyewe vipi ktk mas'ala ya Akida Tauhid musitoe ktk Quran au kwa Mtume SAW, tumieni akili musitake kupotosha umma wa kiislamu nyinyi ni wale mashekhe ndaa mafukara
@@ibunjumuatv9502YAANI ELIMU YA MSINGI YA DINI AMBAYO WAMETUMWA MITUME WOOOOTE KUIFUNDISHA ILIKUWA HAIJAFAHAMIKA HADI MTUME ANAONDOKA HAJAFUNDISHA!!!!! ETI AJE AFUNDISHE FAUZAN SHEKH WA KIWAHABI AMBAYE ANADAI ALLAH AMEVAA NGUO!!!!! ACHENI UPUMBAVU MITUME WOTE WALIOTUMWA NA ALLAH UNUMBE WAO MKUBWA KULIKO WOTE NI LAA ILAHA ILLA ALLAH WASIFAFANUE HIVYO VIGAWANYO VYA Laa ilaha illa Allah Aje afundishe Fauzan
@@ibunjumuatv9502 Upo sahihi, Waelimesheni wachanga ila muwe wakweli,so unapinga bidaah wakati wewe unaifanya cha zaidi bidaah inaletwa mpaka kwenye akida.
Wapi mtume aleyhi salam kagawa ya faradhi za uzu wapi mtume aleyhi wasalam kagawanya nguzo za swala. Ninyi mikipinga hizo tawhidi musipo fanya hayo mambo matatu kumfanyia mungu.basi mutakuwa ni washirikina,yaani hayo matatu lazima mumfanyie Allah
@@rashidjuma9169 Wewe unaona we wafikiri dini mi wewe umeona acha kuropoka katika dini ndugu yangu chochote katika dini nilazima kiegemezewe dalili ukiulizwa lete dalili ya kila kigawanyo kama wenzako utaleta
@@ibunjumuatv9502Na kama ndivyo (kama ingekuwa TAWHEED inavigwo 99) basi ingekuwa Zaidi ya 99 Maana Sifa za Allah ni zaidi ya 99, hizo Sifa 99/Majina 99 ya Allah ni Miongoni Mwa Sifa Chache tu za Allah. Tatizo baadhi ya Watu (Wapingao TAWHEED 3) wap o Kiushabiki ,Uchache wao wa Uelewa ktk Elimmu ya TAWHEED 3 na Chuki tu zaidi Kwa Kukosolewa Wanafanya Tiba/Uganga wa Kushirikiana na Utapeli. Kwa Tafsiri/Maana ya Wapingao TAWHEED 3 inamaana wanatutaka/wanatulazimisha tudhani, tusemm na tuamini hata ktk hiyo Surra NAS inamaana Allah yupo ktk Utatu (Ukristo)?! Ukitaka Kumjuwa na Kumuabudu Vema Allah ni lazima/Wajibu umsome ktk TAWHEED Zote 3 kwamaana Ujuwe na Sifa zake na Kujuwa baadhi ya Sifa za Allah (Sifa 99 zake Allah/alizotutajia Allah) ndo utaweza Kumuabudu Vema Allah na haitoshi Kujuwa/Kumuabudu. Allah Kwa Kujuwa/Kukariri ALLAH tu 🙌 Jina ALLA pia limegawanyika/Lina Vigawanyo vingi/Sifa nyingi na haina Maana Kujuwa/Kusema na Kuamini hivyo Vigawanyo (hayo Majina/Sifa ) ktk Allah itakuwa ni Kubaguwa/kujitenga na Allah (Kutompwekesha Allah). Wakristo wao humfanya Mung ktk Utatu (Mungu/Mola Mola Muumba, Mwana/Mtoto wa Mungu na Roho) laakin ktk Uislamu (ktk TAWHEED 3) hakuna ha Kigawo Kimoja Cha TAWHEED kinachomfanya/Kinachomtowa ALLAH Kutokuwa ALLAH 🙌 Na tunaambiwa/tumeambiwa na Mtume Muhammad SAW kwamba "Maulamaa (Wana wa Zuoni/Wenye Elimu) Wasomi wa Dini/Uislamu ndo Wenye Kumuabudu Allah ipasavyo/Kwa Usahihi" WaAllahu Aalamu
Pole sana ndugu yangu, jifunze dini tauhid si Allah wala Allah hana jina hata moja linaloitwa Tauhid. Tauhid ni matendo yanayopaswa kufanyiwa Allah tu wala mwengine yyte hapaswi kufanyiwa ayo mambo. Kwa lugha fupi ni Kumpwekesha Allah
Au turudi kwenu basi muache kusema hakuna bidaa hasana pumbavu nyinyi mi sijakuelewa maneno mengi umeongea naona kama mzunguko tu wa kukubali bidaa hasana.
Masufi wengi wameelewa baada ya kuoneshwa dalili kutoka kwa masheikh wao wa kisufi kma vile lmam suyutt , mtunzi wa sumtu duraru na maimam wengine wa kisufi. Masufi wenye adabu zao sasa hivi hawatukani tena kwa sababu maulamaa wao wamelieleza vizuri jambo hili la aksami tauhiid
Watu wa motoni wao ni kupinga pinga tu ila kuna vitu wanavitetea hususan mambo ya maulidi ya dufu ya kupiga misosi haaa hapo hauwaambii kitu mtume muhammad uhudhuria kwenye msosi wa maulid
Asalam alaikum jaman msiumize vichwa sana kubishana na masufi hao niwatu wanaopenda shubhaan hata uwapedalili wata ikwepa amaa ubwabwa wamaulid na kukata viuno aaa watakua rafiki zako
@salumhasan Akhuy kwani Maulidi yakisomwa kinakuuma kitu gani muhibu hemu paza sauti badala ya kusema Maulidi bidaa sema zinaa haifai , ulevi haufai,kamari halifai na mengi mengi ya haramu ukimaliza ayo kuyasemea njoo sasa kwenye kufarakisha umma lakini kwanza hemu pigiakelele hayo masuala amabayo hata muumba kayataja hasa kwenye vitabu vyake juzi tu nasikia mtu kamzini mtoto miaka sita mpaka kufa hemu hizi sauti zenu zipazeni Kwa mambo haya katazeni haya maovu mumeacha maovu yanatendeka munakimbilia kwenye Maulidi oh uislamu umepatwa lau angekuepo Rasulullah tusingefikia hapa kwenye mfarakano huu
Ungejua kwanz maana ya usufi shida nimoja tu nyie mnasem mnatak dalili ya kitabu na Sunnah je kma Allah kagawanya tauhid tatu namtume ndio kaifasir quraan haya niwap mtum kafundisha tauhid tatu??? Nakam hamna Alie fasir quraan nakusema Kuna tauhid tatu ninani?? Napia km hamna kaul yamtu lete kauli ya swahaba.au taabiin kma kote hamna hivi we umesoma Zaid kuliko wew. Unalet kaul ya fauzan yey ndio dalaili katk din ya Allah??? Kikubwa tusomen nnajitahid kua nahekma Kayla maneno yenu..
Tafsiri ya surat lfatha kila mtu anajua nayo ni Ninamshukuru MWENYEZI MUNGU mola wa viumbe wote.Mwenyezi Mungu ambaye anahuruma Kwa ajiri ya watu wote na Anahuruma Kwa ajiri ya watenda mema naye ni mfalme wa siku ya mwisho.Kwako wewe tu ndio tunakuomba msaada.Utuongoze katika njia iliyonyooka.Njia ya wale uliowaneemesha.Kinyume na wale uliowaghadhibikia na uliowakasirikia. Haya kulingana na tafsiri hiyo hapo Kuna Neno tawhidi uluhiya ubudiya na asimau l aswifat? Basi turudi mtume ameacha hadithi inayosema tawhidi tatu zipo katika surat lfatha?
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah
La kwanza ujuwe kwamba Izo tauhidi tatu unazosema.nifikra zenu tu mawahabi hakuna icho kitu katika dini bali tauhidi ni 1 tu. Ndo mana mkiambiwa mtoe hadithi sahihi hamna lkn kukaririshwa ndio kusoma kwenu
Tauhidi tatu haina tofauti na mungu baba , mwana na roho mtakatifu. mjomba ikiwa unaamini utatu mtakatifu amini, lkn ikiwa unaamini Allah ni mmoja na haingiliwi na fikra za kibinadamu kama zenu uko sahih.@@ibunjumuatv9502
Huyu muarabu kaja kufundisha mafundisho ya wajomba zake lakini sio ya mtume lengo lenu baada ya miaka 30 litaibuka kundi litasema kuna utatu mtakatifu kupitia hiyo utatu wenu katika tawhidi yenu nyinyi na wao watatunga dalili kutoka kwa wajomba zake.
Zingekuwepo tatu angefundisha Mtume. Yaani hadi mtume anaondoka kumbe mafundisho ya Tawhid yalikuwa bado HAJAKAMILIKA! WAPI MTUME AMEIFAFANUA HIYO SURATUL FATIHA KUWA PANA TAWHID TATU?????
Hakuna Tawhid tatu Elimu ya kwanza na KUBWA kuliko zote kwenye dini ni TAWHID YAANA TAWHID NDIO UISLAM WENYEWE HASAAAA NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU SANA KUAMINI ELIMU YA MSINGI KATIKA DINI ASIFUNDISHE YULE ALIYE TUMWA KUJA KUFUNDISHA DINI AJE ASEME FAUZANI!!!!!! ACHENI UJINGA.
@@IbrahimSeleman-t4e Sikiliza si mmesema leteni DALILI sasa dalili ndo hizo japo mnachakusema tenah sheikh Fawzani yeye katoa dalili hajaleta porojo kama unavyopproja hapo
Ibrahim ACHA ujinga, kwani hiyo Qurani iliyosomwa hapo kama ushahidi wa tauhidi 3 ameleta mtume nani? Jambo usiloliona Kwa mtume liangalie kwenye Qurani, usoliona kwenye Qurani liangalie Kwa mtume. Fuata wa dini ya Mungu ya UKWELI ACHA kufuata MASHEIKH wako
Hiyo ni maneno ya ulamaa na sio makosa lakini ni bidaa hasn yakufundisha watu tawheed lakini Mtume wala maswahaba hawakugawa tawheed huo ndio ubidaa wake.
@@rushu1232hata usuni pia ni bidaa mbaya Kwasababu mtume hakuacha makundi kama hayo Tena Wala hayajui Kwa mfano kama Mungu angemleta mala moja tu basi angestaajabu sana na kuagiza uislam ufundishwe tena

"One proof is sufficient for the seeker of truth, but 1000 proofs are not enough for the person of desires." - Shaykh al-Albani RA
Allah tuepushe na ushirikina na washirikina wenyewe
Mashalla,nakupata shekh wangu na nimekuelewa .Baba Arshad hapa.
@@medimisi6930 Mashaallah mashaallah shukran tuko pamoja
Alhamdulillaahi tunaelewa sana
Fauzani ndo kitabu nasnnah teña kwenye aqida
Anaeitafuta haqi dalili moja inamtosha nawatu wa baatwil hata umpe dalili elfu moja hakubali sababu ya hawaanafsi
iko wapi iyo dalili mnaotowa mawahabi
We unawajua watu wabatwili au waufurahisha moyo wako na wewe umetakasika kwa dalili gani
Tatizo ni moja jee kuna qalarasulullah
twuhid 3 nibidaa hakuna engekuwa her engetutamgulia mtu ndio mwalim waumahuu sio wew wewpungitu na nawezake
Majahil kweli
Petro dolla Mhh mawahabi na mnaingombania sana iyo miungu mitatu😂😂
😢😢😢😢😢😢 kweli nyinyi hamusomi lkn munabakisha kuopoka tu kama bedera kufata upepo
❤❤❤❤
Huyo fauzani amesema qala ulamaai siyo kala rasulu
@@SaleheKhamis Hawatakaa walete aya wala hadith iliogawanya tawhid.
Mawahabi wamekuwa makasuku na mBundi,,, ahlulfarqa walfitna.
Tena ulamaai wenyewe pia hakutaja hta 1
😂Aceni kuumiza vichwa bure hakuna ayah wala hadithi. Bali maneno ya wanachuoni. Semeni ukweli aceni kupotosha watu kenge
Tauhidi hizo kazigawa naniiiiii? Tunatakajawanu
Yani kuna watu hawajasoma lakini wanataka kumkosoa FAWZAN huyu ni miongoni mwao wanazuoni wakbw wa Karne hii
Sisi tushaelewa bana kwamba tauhiid ina Vigawanyo vi hao masufi wasio elewa waache hivyo hvyo kujitoa fahamu alafu hao hao utawaona wakifundisha fiqhi utawasikia wana sema masharti ya swala ni 9 wapi kwenye Qur’an yametajwa??
Al akhy abaa uthaymeen Allah Akuhifadhi....masufi ni wajinga daima...hawafahamu ni kama wanyama hawa mpaka watakapoacha uzushi
Wewe Shekhe wa kupotosha na wakuhongwa vijipesa vidogo vidogo Sheikh Fawzan si Mtume SAW, leteni Dalili ya moja kwa moja ktk Quran au Hadithi Swahihi kutoka kwa Mtume SAW inayosema ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم mas'ala ya kubambanya kwa wanazuoni ktk Akida Tauhid hayo sio Dalili, nyinyi mawahabi mas'ala ya Maulid tu ambayo ni ktk kusifiwa Mtume SAW mwataka Dalili itoke kwenye Quran au kwa Mtume SAW mwenyewe vipi ktk mas'ala ya Akida Tauhid musitoe ktk Quran au kwa Mtume SAW, tumieni akili musitake kupotosha umma wa kiislamu nyinyi ni wale mashekhe ndaa mafukara
Mtume ni wewe
Acheni upumbavu msijitie kujiingiza katika uchambuzi swali ni moja tu mtume ndo kasema hivyo?
🎉Ata nguzo za sala hajasema ni 17
Yani mtaangaika kuutetea huo mtatu mtakatifu kamwae hamtaleta hadith ya Mtume mpaka mwisho wadunia.
@@IsmailSanga Hatuangaiki na ninyi kazi yetu nikuwaelimisha wachanga katika dini
Awana hadithi nimaneno ya masheikh tu😂
@@ibunjumuatv9502YAANI ELIMU YA MSINGI YA DINI AMBAYO WAMETUMWA MITUME WOOOOTE KUIFUNDISHA
ILIKUWA HAIJAFAHAMIKA HADI MTUME ANAONDOKA HAJAFUNDISHA!!!!!
ETI AJE AFUNDISHE FAUZAN SHEKH WA KIWAHABI AMBAYE ANADAI ALLAH AMEVAA NGUO!!!!!
ACHENI UPUMBAVU
MITUME WOTE WALIOTUMWA NA ALLAH UNUMBE WAO MKUBWA KULIKO WOTE NI LAA ILAHA ILLA ALLAH
WASIFAFANUE HIVYO VIGAWANYO VYA Laa ilaha illa Allah
Aje afundishe Fauzan
@@ibunjumuatv9502 Upo sahihi, Waelimesheni wachanga ila muwe wakweli,so unapinga bidaah wakati wewe unaifanya cha zaidi bidaah inaletwa mpaka kwenye akida.
Usitumie Nguvu nyingi wapi mtume kagawanya ivyo
Au mtume akujua ivyo vigawanyo
Kubalini tu mseme uzushi kama huu ni mzur tuwaelewe
Maashaallah
@@nasymchuzi8667 Wameshaumbuka hawana hoja, wamebaki kusema wanawazuoni ndo wamesema.
Wapi mtume aleyhi salam kagawa ya faradhi za uzu wapi mtume aleyhi wasalam kagawanya nguzo za swala.
Ninyi mikipinga hizo tawhidi musipo fanya hayo mambo matatu kumfanyia mungu.basi mutakuwa ni washirikina,yaani hayo matatu lazima mumfanyie Allah
@@FarahJey nyinyi tatizolenu hamujielewi munapinga maulidi kwasababu mtume hakufanya lakinileo munahalalisha tauhidi tatu ambazo mungu namtumewake ajagawasehemuyoyote nakamaipo tuleteeni lakini Kwenye maulidi munataka muletewe hadidhi sahihi kweli mukosawa nyinyi?
Mimi naona tawhidi imegawanyika mara 99
Wewe nani
@@rashidjuma9169 Wewe unaona we wafikiri dini mi wewe umeona acha kuropoka katika dini ndugu yangu chochote katika dini nilazima kiegemezewe dalili ukiulizwa lete dalili ya kila kigawanyo kama wenzako utaleta
Kapime akili
@@ibunjumuatv9502Na kama ndivyo (kama ingekuwa TAWHEED inavigwo 99) basi ingekuwa Zaidi ya 99 Maana Sifa za Allah ni zaidi ya 99, hizo Sifa 99/Majina 99 ya Allah ni Miongoni Mwa Sifa Chache tu za Allah.
Tatizo baadhi ya Watu (Wapingao TAWHEED 3) wap o Kiushabiki ,Uchache wao wa Uelewa ktk Elimmu ya TAWHEED 3 na Chuki tu zaidi Kwa Kukosolewa Wanafanya Tiba/Uganga wa Kushirikiana na Utapeli.
Kwa Tafsiri/Maana ya Wapingao TAWHEED 3 inamaana wanatutaka/wanatulazimisha tudhani, tusemm na tuamini hata ktk hiyo Surra NAS inamaana Allah yupo ktk Utatu (Ukristo)?!
Ukitaka Kumjuwa na Kumuabudu Vema Allah ni lazima/Wajibu umsome ktk TAWHEED Zote 3 kwamaana Ujuwe na Sifa zake na Kujuwa baadhi ya Sifa za Allah (Sifa 99 zake Allah/alizotutajia Allah) ndo utaweza Kumuabudu Vema Allah na haitoshi Kujuwa/Kumuabudu. Allah Kwa Kujuwa/Kukariri ALLAH tu 🙌
Jina ALLA pia limegawanyika/Lina Vigawanyo vingi/Sifa nyingi na haina Maana Kujuwa/Kusema na Kuamini hivyo Vigawanyo (hayo Majina/Sifa ) ktk Allah itakuwa ni Kubaguwa/kujitenga na Allah (Kutompwekesha Allah).
Wakristo wao humfanya Mung ktk Utatu (Mungu/Mola Mola Muumba, Mwana/Mtoto wa Mungu na Roho) laakin ktk Uislamu (ktk TAWHEED 3) hakuna ha Kigawo Kimoja Cha TAWHEED kinachomfanya/Kinachomtowa ALLAH Kutokuwa ALLAH 🙌
Na tunaambiwa/tumeambiwa na Mtume Muhammad SAW kwamba "Maulamaa (Wana wa Zuoni/Wenye Elimu) Wasomi wa Dini/Uislamu ndo Wenye Kumuabudu Allah ipasavyo/Kwa Usahihi"
WaAllahu Aalamu
Pole sana ndugu yangu, jifunze dini tauhid si Allah wala Allah hana jina hata moja linaloitwa Tauhid. Tauhid ni matendo yanayopaswa kufanyiwa Allah tu wala mwengine yyte hapaswi kufanyiwa ayo mambo. Kwa lugha fupi ni Kumpwekesha Allah
Tukikubaliana kuwa mtume hajaagiza basi huyu muarabu anafundisha kitu kipya Kwa hiyo ni bidaa
masuuf walixoaea kutukan watu kkn walipoonyeshwa maulamaa wao na mashekh zao wamelekeza tawheed 3 .. wameacha kutukana 😅😅😅
jipe moyo tu halaf ufe na msimamo huwo wakiyahud uone
Au turudi kwenu basi muache kusema hakuna bidaa hasana pumbavu nyinyi mi sijakuelewa maneno mengi umeongea naona kama mzunguko tu wa kukubali bidaa hasana.
Hakuna bidaa nzry na hiyo c bidaa ni mafunzoo yanayo patikanaa ktkk aaya hìzoo
Masufi wengi wameelewa baada ya kuoneshwa dalili kutoka kwa masheikh wao wa kisufi kma vile lmam suyutt , mtunzi wa sumtu duraru na maimam wengine wa kisufi.
Masufi wenye adabu zao sasa hivi hawatukani tena kwa sababu maulamaa wao wamelieleza vizuri jambo hili la aksami tauhiid
Tatzo ujaelewa dalili kama hiz amzitaki mnataka maneno aseme mtume leo mnatumia maneno ya masheikh
Alaf mtume akugawanya kwa maneno ayo uo ni uzushi
@@nasymchuzi8667 uwo si uzushi maulamaaa na wametoà mafunzo yanayopatikana ktk ayàa za Allah Allah
Suyutt ndo mtume?mbn mwakwepa swali?wapi mtume kagawa tawhid?hlo ndo swli hatutaki mwanachuoni kasema twataka mtume au swahaba kagawa
Watu wa motoni wao ni kupinga pinga tu ila kuna vitu wanavitetea hususan mambo ya maulidi ya dufu ya kupiga misosi haaa hapo hauwaambii kitu mtume muhammad uhudhuria kwenye msosi wa maulid
kwaiyo taawil sasa rukhsa?
Hiyo si taawil kasome
Rabďa nikufahamishè hiv hiyo ni tafsiri ya aya na mafunzo yanayopatikana ktk aya hizoooo
kwaio mtume kasahau kutufundish taqsiim tauhid fauzan yeye ndoanajua kuliko mtume hahaha kitukooo somen bwana msituchoshe hao warab hawakutak kusom sasa wanavamia dini kuupotosh umma fauzan nan kwan
Ataa nguzo za sala kazisahau
@warshysaid8564 kwaio yy na mtume yy anajua eti
Mawahabi sikuiz wamekuwa watu wa kuzushwa sikuiz wanachukua dalili kwa masheikh
Mnaingia kwenye mtego 😂
Unaposema ndio unajulikana Kama wewe ni nan
Asalam alaikum jaman msiumize vichwa sana kubishana na masufi hao niwatu wanaopenda shubhaan hata uwapedalili wata ikwepa amaa ubwabwa wamaulid na kukata viuno aaa watakua rafiki zako
@@NassorrajabJuma We nae unawaza kujitoa muhanga tu ndo unachojua.
Nassor shukran maneno kuntu!
MAULIDI BIDAA
TAWHIDI SIYO BIDAA!
@salumhasan Akhuy kwani Maulidi yakisomwa kinakuuma kitu gani muhibu hemu paza sauti badala ya kusema Maulidi bidaa sema zinaa haifai , ulevi haufai,kamari halifai na mengi mengi ya haramu ukimaliza ayo kuyasemea njoo sasa kwenye kufarakisha umma lakini kwanza hemu pigiakelele hayo masuala amabayo hata muumba kayataja hasa kwenye vitabu vyake juzi tu nasikia mtu kamzini mtoto miaka sita mpaka kufa hemu hizi sauti zenu zipazeni Kwa mambo haya katazeni haya maovu mumeacha maovu yanatendeka munakimbilia kwenye Maulidi oh uislamu umepatwa lau angekuepo Rasulullah tusingefikia hapa kwenye mfarakano huu
Ungejua kwanz maana ya usufi shida nimoja tu nyie mnasem mnatak dalili ya kitabu na Sunnah je kma Allah kagawanya tauhid tatu namtume ndio kaifasir quraan haya niwap mtum kafundisha tauhid tatu??? Nakam hamna Alie fasir quraan nakusema Kuna tauhid tatu ninani??
Napia km hamna kaul yamtu lete kauli ya swahaba.au taabiin kma kote hamna hivi we umesoma Zaid kuliko wew. Unalet kaul ya fauzan yey ndio dalaili katk din ya Allah??? Kikubwa tusomen nnajitahid kua nahekma Kayla maneno yenu..
Jambo likiwa la uzushi.lazima upate tabu kutoa ta,awiili.hiyo Lugha waijua?
Nikipata mafundisho ya mtume kuhusu taqsiimu nitaanza kusomesha.Maana bado huna dalili
Katafute mafunzo ya Mtume s.a.w ķuhusu nguzò za swala 17
Tafsiri ya surat lfatha kila mtu anajua nayo ni Ninamshukuru MWENYEZI MUNGU mola wa viumbe wote.Mwenyezi Mungu ambaye anahuruma Kwa ajiri ya watu wote na Anahuruma Kwa ajiri ya watenda mema naye ni mfalme wa siku ya mwisho.Kwako wewe tu ndio tunakuomba msaada.Utuongoze katika njia iliyonyooka.Njia ya wale uliowaneemesha.Kinyume na wale uliowaghadhibikia na uliowakasirikia.
Haya kulingana na tafsiri hiyo hapo Kuna Neno tawhidi uluhiya ubudiya na asimau l aswifat?
Basi turudi mtume ameacha hadithi inayosema tawhidi tatu zipo katika surat lfatha?
Aya tupe mafunzo yanayopatikana ktk suratul fatiha sasa
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
VERY SIMPLE
na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah
Allah ndioo kagawanya
Kwenye qur-an
Hakuna atakae kujubu usie jujua ulie kossa adabu uliekuja kwa wazazi wako
Ukizingatia hivyo tauhidi zitakua nyingi na sh othman maalim hajakusudia hivyo mnavofahamu nyinyi ubongo kisoda
@@Shaa2213 Sasa kama zitakua nyingi tuelezee zaidi ya hizo tatu
La kwanza ujuwe kwamba Izo tauhidi tatu unazosema.nifikra zenu tu mawahabi hakuna icho kitu katika dini bali tauhidi ni 1 tu.
Ndo mana mkiambiwa mtoe hadithi sahihi hamna lkn kukaririshwa ndio kusoma kwenu
Tauhidi tatu haina tofauti na mungu baba , mwana na roho mtakatifu.
mjomba ikiwa unaamini utatu mtakatifu amini, lkn ikiwa unaamini Allah ni mmoja na haingiliwi na fikra za kibinadamu kama zenu uko sahih.@@ibunjumuatv9502
Huyu muarabu kaja kufundisha mafundisho ya wajomba zake lakini sio ya mtume lengo lenu baada ya miaka 30 litaibuka kundi litasema kuna utatu mtakatifu kupitia hiyo utatu wenu katika tawhidi yenu nyinyi na wao watatunga dalili kutoka kwa wajomba zake.
hiyo tafisiri kwamba hapo ktk aya hiyo kuna vigawanyo kaipata wapi? na hawa kwa miaka yote wanatuambia Taawil na majaaz ni haram?
nyinyi hamjielewi mwaambiwa tauhidi mwajibu mambo mengine
tauhidi ni kitendo siye mungu yaani kumpwekesha mungu katika mambo matatu mbona hamuelewi. nyinyi mazuzu kweli hamuelewi nn sasa
Subhanallah muogopeni Allah subhannahu wa taala ati nini ilm ya dini ya Allah unasema amekuja kusomesha ilm ya wajomba
@@yasiniali7275wanataka tuuu vurugu vile wamezoea maulidini wajinga sana
Watu ttzo wanachanganya haya mambo na chuki zao dhidi ya watu flani
Mimi siyo Muwahabi lakini nimeamini ktk Mgawanyo wa Tawhiid tatu wamenikinaisha
Hao MASHEIKH wanajitia ujinga kutokujua aksam 3 za tauhid ni Kwa AJILI ya kubobea kwao katika shiriki zao
TUNAMUOMBA MEENYEZI MUNGU AWACHIMBUWE VIJANA WENYE ILMU KAMA MOHAMED BACHU ILI WAISLAM TUZIDI KUMZDJUWA MUNGU NA KUUENDELEZA UISLAM WA KWELI
Tawhid ni Moja tu.
Zingekuwepo tatu angefundisha Mtume.
Yaani hadi mtume anaondoka kumbe mafundisho ya Tawhid yalikuwa bado HAJAKAMILIKA!
WAPI MTUME AMEIFAFANUA HIYO SURATUL FATIHA KUWA PANA TAWHID TATU?????
Hakuna Tawhid tatu
Elimu ya kwanza na KUBWA kuliko zote kwenye dini ni TAWHID
YAANA TAWHID NDIO UISLAM WENYEWE HASAAAA
NI UJINGA WA KIWANGO CHA JUU SANA KUAMINI
ELIMU YA MSINGI KATIKA DINI
ASIFUNDISHE YULE ALIYE TUMWA KUJA KUFUNDISHA DINI
AJE ASEME FAUZANI!!!!!!
ACHENI UJINGA.
Sasa fauzan ndio mtume??? Mtume kafundisha tauhid miaka 10 alishindwa kuyasema kua tauhid imegawanyik ktk vipand vitatu, 3
@@IbrahimSeleman-t4e Sikiliza si mmesema leteni DALILI sasa dalili ndo hizo japo mnachakusema tenah sheikh Fawzani yeye katoa dalili hajaleta porojo kama unavyopproja hapo
Ibrahim ACHA ujinga, kwani hiyo Qurani iliyosomwa hapo kama ushahidi wa tauhidi 3 ameleta mtume nani? Jambo usiloliona Kwa mtume liangalie kwenye Qurani, usoliona kwenye Qurani liangalie Kwa mtume.
Fuata wa dini ya Mungu ya UKWELI ACHA kufuata MASHEIKH wako
Wacheni Uhuni eti qur an imegawanya tawhid mara tatu!.
Huo ni uyahudi.
@IsmailSanga Hivi kwani wajua maana ya tawhiid
@ibunjumuatv9502 Yani mtume hakuliona hilo,maswahaba hawakuliona hilo tabiina hawakuliona tabitabiina hawakuliona alafu mje nyie leo mseme lipo!Hamjitambui!.
Hiyo ni maneno ya ulamaa na sio makosa lakini ni bidaa hasn yakufundisha watu tawheed lakini Mtume wala maswahaba hawakugawa tawheed huo ndio ubidaa wake.
kila bidaa ni hasan, haya toa bidaa mbaya tuone maana hadi kukata viuno kwenye zafa tunaambiwa ni nzr, lete bidaa mbaya
Huyo ajajua maana ya bidaah@@medimisi6930
@medimisi6930 bidaa mbaya nikama ushia uibadhi ahamadiya hata kukata viuno pia.